AHMED ALLY ATEMA NYONGO, ACHENI KUKAA NA CALCULATOR, AZAM FC HAMALIZI NAFASI YA PILI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024

Комментарии • 20

  • @ngurukitv4584
    @ngurukitv4584 22 дня назад +2

    Good job bro God bless you 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @kajunakalugaba5269
    @kajunakalugaba5269 21 день назад

    Hivi wakimaliz point sawa nani anakuwa nafasi ya pili?

  • @houmdmajid-ur9dp
    @houmdmajid-ur9dp 21 день назад

    Mm ili jama silikubali tena sahiv na mara hii mm bila kuondosha zile taka taka mangungu na jarbu tena

  • @MussaKolela-md4gc
    @MussaKolela-md4gc 22 дня назад +1

    😅😅😅😅safi msemaji wetu

  • @user-ty9yg8fg9g
    @user-ty9yg8fg9g 22 дня назад

    Umeanza tena
    Bakisha akiba ya maneno kwahiyo una uhakika wa kushinda mechi zote?

  • @fadhilinyengo8262
    @fadhilinyengo8262 22 дня назад

    Huyu jamaa ni vhale tu wala haeshim mpira

  • @shabsoomary2514
    @shabsoomary2514 22 дня назад +1

    Ila simba msimu huu wametudisapoint sana sisi mashabiki hatuna raha hii timu

    • @Gisakijamaduda
      @Gisakijamaduda 22 дня назад

      Wewe shabiki maandazi huna raha!!!!!!😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @shabsoomary2514
      @shabsoomary2514 22 дня назад

      @@Gisakijamaduda ndyo kitumbua

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 21 день назад +1

      ​@@shabsoomary2514😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @shabsoomary2514
      @shabsoomary2514 21 день назад

      @@MiriamAbdallah usinicheke ety ndyo hali halisi ilivyoo

  • @mkudembeteni4075
    @mkudembeteni4075 21 день назад

    Azam akisha chukkahiyo nafasi yapili kimataifa Ataenda kufanya nini?tuacheni ushabiki wa kizwazwa kima taifa timu ya Simba ndio walio tutoa Matongotongo Na kutufungulia njia za mafanikio nnje ya Simba Na Yanga Kimataifa hakuna tunachoweza jivunia.

  • @alimohamed4712
    @alimohamed4712 22 дня назад

    Simba Hali ngumu baba kwa sasa au hamlitambui hilo

    • @EliahKayombo
      @EliahKayombo 21 день назад

      Ktk maisha unspitia vipindi tafauti Hali ngumu na Hali nzuri

    • @user-hf7dz1zh5v
      @user-hf7dz1zh5v 21 день назад

      wewe ndouna hali nzuri

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 22 дня назад +1

    Azam kazeni kamba. Ili tupate mageuzi katika ligi ya mwaka huu.