Hamas lawaachia Wanajeshi 4 wa kike wa Israel liliokuwa linawashikilia mateka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 186

  • @nasrimbaraka341
    @nasrimbaraka341 7 дней назад +35

    Hivo vitambaa ogopa Sana yaani unapigana na mtu anaeamini akifa peponi dah huwez kumshinda hata siku moja I love Islam

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 7 дней назад +5

      Wanaamini ukifa Shahid huozi mpaka siku ya kiama na Allah atakuzawadia wanawake wanaitwa hurulain sabini peponi

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 7 дней назад

      😂😂😂​@@jumakassim8718

    • @StanleyJohn-c1u
      @StanleyJohn-c1u 7 дней назад

      Mbona. Wee unaandika kana kwamba sio mwasilamu😂​@@jumakassim8718

    • @MohamedOmari-y1t
      @MohamedOmari-y1t 7 дней назад

      ​@jumakNa huo ndio ukweli assim8718

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 7 дней назад +7

      Ww umeelewa kwnn hyo vita ni ngumu kwa Israeli..
      Hii vita inaitwa ....JIHADI WAR.

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 7 дней назад +12

    Hamas vidume ,Netanyahu.mpaka tuwaangamize Hamas 😁😁😁😁👍👍👍👍

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 7 дней назад +16

    Kumbe walikuwa hai HAMAS WANAUME💪💪

    • @MwanaHussein-s2n
      @MwanaHussein-s2n 7 дней назад +5

      Huyo 1 Jina lake leri hamass walivujisha video yake akiwa Hai hata trump mwenyewe hakuamini kama Kuna mateka aliye Hai Gaza kutokana na tetemeko lililoikumba Gaza na ndio akamfos bibi Netanyahu kufikia makubaliano

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o 7 дней назад

      Na wanaonekana kua na afya hii ni ishara kwamba hawakufanyiwa vitu vibaya ikiwemo ukatili wa kijinsia walikua na uwezo wa kuwanyanyasa kwa namna yoyote ile ila hawakufanya hivo ,,kwa Israel mambo ni kinyume kabisa wanawake wakipalestina wamefanyiwa ukatili usio elezeka

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 7 дней назад +1

      @MwanaHussein-s2n oooh hakika ndugu yangu

  • @MbaroukAbdallah-k8h
    @MbaroukAbdallah-k8h 7 дней назад +7

    Hammas ❤

  • @suleimankindy6465
    @suleimankindy6465 7 дней назад +19

    Afya zao ziko pooowa pamoja na kuwa wapo kuzuizini chini ya Pango
    Lakini hao Mbwa wengine wanapoachilia wafungwa wanakuwa Taaabani afya zzao
    Kweli Uislam ndio njia pekee ya Thamani

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 дней назад

      Wafe kabisa kuachilia mbali ya afya mzoroto 😅

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 7 дней назад

      ​@@annasolomon9855 natafuta jibu lako ambalo litakuwa size yako ila leo nakuacha mi ninaamini wewe unamoyo wa kishetani na ukiwa mchawi utamla mwanao supu then mama yako akili yako sawa na mchanganyiko wa mavi
      DJ Smaa anajitahidi kuwaelimisha ila wapi mitoto ya shetani ni yashetani tu

    • @SelemaniIssah-p2g
      @SelemaniIssah-p2g 7 дней назад

      ​@@annasolomon9855mungu kasema wakristo na mayahudi,ukiachana na wanayotuonyesha,,wanamazito moyoni mwao juu ya waislamu leo nimeamini kwako,,ishi,,kwenye misimamo yako marejeo yako kabur

    • @AmusedCatfish-hd8wo
      @AmusedCatfish-hd8wo 4 дня назад

      ​@@annasolomon9855ukikosa maadili kwa huu ulimwengu n mfano wa wanyama au zaidi na hii n laana ya kizazi

  • @adnanomary1955
    @adnanomary1955 7 дней назад +29

    Hamas ni wakarimu sana ingekua israel hao wangerudi na mimba

  • @AyoubHajj
    @AyoubHajj 7 дней назад +12

    Kaka tunapenda sns
    ila tittle ziweke vizuri
    Hamas lawaachiliya haijaka vizuri
    Hamas waachili wanajeshi 4 wa Israel
    Big success 💪 to Hamas

    • @barakashaban1082
      @barakashaban1082 7 дней назад +4

      Kwani ndg unadhani huyu sky anaweza kuwaita hamasi jina zuri!! Hawa ni waisraeli weusi ila hawaonyeshi wako upende gani moja Kwa moja ila ni wale wale tu

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 дней назад

      ​@@barakashaban1082Hamasi ni Magaid..jina Zur litoke wapi kwao😊

    • @Cendrillon1417
      @Cendrillon1417 7 дней назад

      @@annasolomon9855wewe ndio gaidi mkosa akili

    • @barakashaban1082
      @barakashaban1082 7 дней назад

      @annasolomon9855 magaidi ni wale walio uwa watoto wanawake na wazee wasio kuwa na hatia ila hamasi hawajawahi kufanya hivo

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 7 дней назад +22

    Ona vile wanawake wamenona hawajafanyiwa dhulma yeyote lakin Israel wao wana wabaka na kuwatesa wanawake wa ki Palestine ni mungu tu ndo atakae lipa kwa yote💔😭😭😭😭😭😭

    • @AhmedMuhammad-b5n
      @AhmedMuhammad-b5n 7 дней назад +1

      Mbona hayo kubaka hamas ndio wamefanya hukuona zile post

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 7 дней назад +1

      ​@@AhmedMuhammad-b5n wapiiii wewe watu wamenogaa kabisaa haoo kubakwa uko vipiii😂😂😂

    • @mohamedaley5632
      @mohamedaley5632 7 дней назад +3

      ​@@AhmedMuhammad-b5n hv ww ni kafiri umeandika acount ya jina la kiislam

    • @raymrash
      @raymrash 7 дней назад

      ​@@hamisaally968kwani ukibakwa unakua na alama

    • @SelemaniIssah-p2g
      @SelemaniIssah-p2g 7 дней назад +1

      ​@@AhmedMuhammad-b5npost walizo baka ziko wap mbona hatujaziona au nawewe ni miongon mwa watu wanaofuata propaganda za magharibi

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 7 дней назад +5

    Hammas kibokoyao kwkweli mna imaani kubwa sana

  • @MwidaniAbdulmalik
    @MwidaniAbdulmalik 7 дней назад +8

    Tunajengewa fikra za kitoto wakidhani bado tuko ulimwengu ulee sasa Dunia imekuwa chombo kimoja tuko ndani ya sufuria moja hayafichiki tenaaa iko siku wataitoa
    hesabu kamili ya IDF waliokufa kw sababu km hujapigwa mbona wanaume sana na wao ndio wameua watoto kina mama,
    🇮🇷🇯🇴👍👍👍🤲🤲🤲🚀🚀🚀

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 7 дней назад +2

      Kwenye kifaru kimoja kinakaaa watu 6 sasa angalia vifaru vilivo lazwa

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 7 дней назад +8

    Hamas ni binadamu sana wamewatendea wema. Lakin waisrail mateka walowachia wanakovu mpaka kwenye matako

    • @MwanaHussein-s2n
      @MwanaHussein-s2n 7 дней назад +3

      Wameadhibu hadi dk ya mwisho wanawakabidhi kwa shirika la msalaba mwekundu😢

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 7 дней назад +5

    Mm ningejiuzuru khaaa ningekua mnyonge yan mwanajesh nitekwe khaa bora nife😅😅😅hii fezehaa

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 7 дней назад +4

    Hamas Hamas jaman huu ni moto hatar sana... yaan wameteka wanajeshi na wamewaachia na magwanda yao... kuwatia aibu wanajeshi wao wa mchongo wa idf

    • @dubzman5874
      @dubzman5874 7 дней назад

      pengine walikuwa wanavaa ma baibui kule zile fomu zao ziliwekwa siku ya kutoka 😀😀

    • @mohamedaley5632
      @mohamedaley5632 6 дней назад

      @dubzman5874 kilichofichwa ni kikubwa zaid ila muhmu siku waliotekwa walikuwa kwny patro na gwanda zao hvyo hvyo

  • @AllyAbdallah-tn5xb
    @AllyAbdallah-tn5xb 7 дней назад +6

    Wanajeshi wamependeza na wana afya sana....

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 дней назад +1

      Kwani ulitakaje....

    • @dubzman5874
      @dubzman5874 6 дней назад

      @@annasolomon9855 tulizania watatoka na hali mbaya kama vile wapalestina wakitoka jela za israel

  • @Bilifilmz
    @Bilifilmz 7 дней назад +5

    Israel ujinga mwingi

  • @abdullmo8736
    @abdullmo8736 7 дней назад +11

    Israel inawaminsha watu km Hamsi magaidi ili waislmu sio magaidi nazni sasa Dunia itambuwe km Israel waongo kw dunia

    • @CadiaOnesmo
      @CadiaOnesmo 7 дней назад +1

      Ni magaidi ndo maana waliwateka

    • @raymrash
      @raymrash 7 дней назад

      Kuteka ni sehemu za kazi za ugaidi

    • @dubzman5874
      @dubzman5874 7 дней назад

      lakini dunia nzima inajua kama wazayuni waongo wanatengeneza kesi za uwongo zidi ya wapalestina

    • @dubzman5874
      @dubzman5874 7 дней назад

      @@CadiaOnesmo walikuwa wanataka ma elfu ya ndugu zao tu waliotekwa na wazayuni kwa kesi za uwongo

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 7 дней назад

      ​@@CadiaOnesmokama hamas ni magaidi vipi hao maelfu ya wapalestina waliotekwa na waisrael kabla ya hamas kuamua kulipa kisasi kwa kuwateka hao mateka 300 wa kiisraeli, je hapa ni nani gaidi?! Ni muisrael aliyeanza kuwateka maelfu ya wapalestina na kuwajaza kwenye jela zake au hamas aliyeteka waisrael 300 ili kuwakomboa maelfu ya wapalestina waliotekwa na waisrael?! Ndugu tumia akili acha ushabiki!!

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 7 дней назад

    Mungu aweke amani yake katika eneo lote la mashariki ya kati.

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 7 дней назад +5

    Sema hamas🙌 mpaka wameamua wenyew kuwarejesha na kumbe hamas bado wanajesh kubwa2 ukweli hawa jamaa wangekua nasilaha nihatari zaid ya wale wa israel hawa hamasi wanamipango sana

  • @HansChuma
    @HansChuma 7 дней назад +2

    Halafu kunamijitu humu ambayo mipumbavu kwakilizao finyu kama funza utawasikia oooh Hamas what what what ingekua Waizraeli hapo dah😢😢😢

    • @NaifatAlly-e3j
      @NaifatAlly-e3j 7 дней назад

      Hamas wanaome mpka walipo taka wao ndio wamewatoa mateka😂😂

  • @Ismailjafary-s1q
    @Ismailjafary-s1q 7 дней назад +8

    Chek jesh hilo la Hamas sasa siku zote IDF walikua wanapigana na nani israel kakaa meza moja na Hamas ❤😂😂

    • @kayagoAziza-z2c
      @kayagoAziza-z2c 7 дней назад +3

      Walikua wanauwa wasiye na hatia mbwa ao hamas wenyewe walikua wanapigana na jeshi tu

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 7 дней назад +3

      Daima ulikuwa unaambiwa kama israel ilikuwa ikiuwa Raia, wona Sasa ukweli wako

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 7 дней назад +2

      Hamas wengi walikufa hawa ni waliojiunga upya... halafu jamaa walivyolemewa ikabidi wajifiche kwenye mashimo

    • @RamlaMburi
      @RamlaMburi 7 дней назад +4

      ​@@omondiowino7875wangewafata huko huko kwenye mashimo, au wanaogopa kifo😂😂😂

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 7 дней назад +6

      ​@@omondiowino7875Labda umewaunga wewe, kama waliokuwepo walikufa mbona hao mateka walishindwa kutoroka?
      Tumia akil wewe,, maneno, ya kuambiwa changanya na yako.

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 7 дней назад +8

    Hawa watu walikuwa wanakula nini wa afya nzuri au tunapigwa kiini macho kuhusu Hamas maanake si elewi Nina watoto wawi tu jasho linanitoka kuwahudumia Hao hamasi mateka 90 Kila wanayemwachia kapendeza hey!!😊 sielewi

    • @BarakaKusalula
      @BarakaKusalula 7 дней назад +4

      Mimi pia Kuna kitu sielewi hapo😮

    • @phiescophiladephy1036
      @phiescophiladephy1036 7 дней назад +5

      sheria ya dini ya kiislam aisemi kua ukimkata mtu mateka umtese

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 7 дней назад +5

      Ndio Muelewe UISLAMU Sio Mmbaya Au WAISLAMU Ila Umesema Mtu Akikudhulumu Unaruhusiwa Kulipa KISASI, Hata BIBILIA Inasema hivyo tena BIBILIA Inasema BWANA Mwenyewe Au JEHOVA Analipa Kisasi, Hao Japo ni MAADUI Lakini Walikuwa MATEKA Tayari kwa hiyo hawakuwa na Madhara Ndio Maana Wakihudumiwa VIZURI

    • @J4UPro
      @J4UPro 7 дней назад +5

      hawa Hamas wapo smart sana mambo yao.
      Wanavitengo vya hatari usipime.

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 7 дней назад +3

      Kwa kweli vinashangaza sanaa😂😂😂 itakua walijipanga kwa mda mrefu humo humo waliko waficha kuna wengine wanapika chakula ata mimi ningekua karb ningeshiriki nao kwenye upikaji chakula niandalie vidume vitoke vikapigane ni wape na mateka pia bahati yao niko mbali😂😂😂

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 7 дней назад +2

    Israel alikuwa anapigana na wanawake na watoto wa Gaza .Hamas hao wapooo wengii na afya njemaa. Hamas ni imani huwezii kuiondoa.

  • @daudinyello4033
    @daudinyello4033 6 дней назад +1

    YANI ISRAEL, U.S, U.K, FRANCE, GERMAN NK...WAMEFELI KUWAPATA MATEKA MPAKA NJIA YA DIPLOMASIA

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 7 дней назад +3

    Na mabomu yote hayo ila bado wahuni wapo wengi 😂😂 na wanaleta mateka 😂😂

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 7 дней назад +3

    Dah ila hamas noma kumbe bado wapo tu kudadadeki 😅😅😅

    • @AbuuBakarmussa-v4k
      @AbuuBakarmussa-v4k 7 дней назад +3

      Ss walikuwa wanakula nn hawa watu 😢😢😢 naona bado wapo fiti na silaha nzto wanazo

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 7 дней назад +7

    Ila Israel mlikuwa serious kusema mnamaliza hamas maana naona bado wapo jamani walikuwa wapi🤭🤣

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 6 дней назад

    Update za Congo bundala

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 7 дней назад +7

    Hamas bado wapo wengi sana , hawa ni mfano wa nyumbu 😂😂😂

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 7 дней назад

      Wale ni waliojiunga upya ...wengi wao waliuawa..

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 7 дней назад +3

      @omondiowino7875 who told you

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 7 дней назад

      ​@@omondiowino7875 wamejiunga lini😅???

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 7 дней назад +5

      aaah kwhy hzo jezi ni mpya si ndio omondo

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 7 дней назад

      @@AliNassor-qt6fmHajielewi 😅😅😅

  • @JoakimMarko
    @JoakimMarko 7 дней назад +1

    Ila tuyahudi tuzuri mwee

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 7 дней назад +5

    kuna wa Cristo humu walikuwa wanakubali uwongo wa Netanyau je wameamini, kama Magaidi ni hao wenyewe?

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 7 дней назад +4

    kwahiyo hamas ndio hao wamevaa vitambaa kwa kuzungushia nyuso zao

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 7 дней назад +1

    Sasa subiri uone wafungwa wapalestine 😢Walivyoteswa na kunyanyaswa laanatullaah Israel

    • @mohamedaley5632
      @mohamedaley5632 7 дней назад

      Allah awalaani sna... awarithishe ardhi yao Hamas wawatawale

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 7 дней назад +5

    Israil walisema wamemaliza hamas wote ,na hao ni nani 😂😂😂❤

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 7 дней назад +2

      na wap mbele yao😅😅😅

    • @dubzman5874
      @dubzman5874 7 дней назад

      chezea mujahidin wewe😄😄😄

  • @OmariWaziri-h4t
    @OmariWaziri-h4t 7 дней назад +3

    Wailaeri hawananguvuza kijeshi

  • @SalimAbdulla-q7m
    @SalimAbdulla-q7m 7 дней назад +4

    SIO WANAMGAMBO MUSIWADHARAU.
    NI MAKOMANDO WA FALESTIN
    .WAMEPIGANA NA DUNIA NI WANAMGAMBO YU HAO?

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 7 дней назад +2

    Tena wana afya mzuri na furaha tele mhmm kuna kitu cha kujifunza wacha tuwaone na walotekwa na israeli wakoje

  • @SaidKarama-z4e
    @SaidKarama-z4e 7 дней назад +6

    Sasa israel alikuwa anapigana na nani naona hamas wapo kibao au alikuwa anapigana na raiya aibu kwao

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 7 дней назад +2

      😂😂😂
      Alikuwa anapigana na Raia wasiokuwa na Silaha yoyote
      Halafu anajifanya Israel kashinda Vita
      Basi muhimu auwe tuu

    • @KhalidiBoaz
      @KhalidiBoaz 7 дней назад +1

      Ngao ya Hamas ilikuwa ni Raiya,walivua magwanda wakavaa kiraiya, Bado Hamasi ni Magaidi hata mkiwapaka ranging nyeupe bado tu ni MAGAIDI TU😂😂

    • @dubzman5874
      @dubzman5874 7 дней назад +1

      wanawake wazee na watoto ndio waliokufa pale gaza mostly

    • @salimalmughairi1634
      @salimalmughairi1634 7 дней назад

      @@KhalidiBoaz hata wewe hapo ulipo ni gaidi wa Inchi yako kwani hulipi hata kodi harafu unaongea utumbo hapa pumbavu nendeni mkatoe mikunu kwa wa Israil

  • @JoakimMarko
    @JoakimMarko 7 дней назад +1

    Ahahaaa yani wayahudi wa4 wakiachiliwa. Basi wapalestina mia2 nao wana achiliwa so mchezo😊

    • @HammyJey
      @HammyJey 7 дней назад

      Kabla ya KUROPOKA UTUMBO huo unatakiwa ujuwe wapalestine ni wengi mno waliopo ktk magereza ya israel maelfu Kwa maelfu hvyo huwezi kusema uwachie waisrael sawa na wapalestine kwasbb Israel ni wachache lkn wapalestine ni wengi sana walioshikwa. Na pia Jiulize Sasa ungekuwa ni ww muafrica ungefananishwa na weupe wanagap thamani yko 😅 maana Waafrica ndy watu wanaozaraulika duniani kuliko MTU yoyote yule ila njaa tu ndy hufanya Waafrica kujipendekeza Kwa weupe.

  • @ommymehmed8880
    @ommymehmed8880 7 дней назад +1

    Mbona wapo vzr sana kimwili yaan kama wanatoka matembezi tu.

  • @natual7572
    @natual7572 7 дней назад +2

    @omondiowino... sjaon comment yako hap au huamin kuwa mabavu sio tib

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 7 дней назад

    Hamasi wakarimu sana imagine sare hata hazina vumbi wana afya nzuri na chakula walikuwa wanazuiwa ila wao walipewa chakula jamaa ni wema tuseme tu ukweli

  • @suleimansharjy9890
    @suleimansharjy9890 7 дней назад

    @Djsma,Ali Masubi, Henry naFredrick Bundala,Tunasubiri Uchambuzi ,kwa nini Hao Mateka wa Israel ikiwa bado wapo mikononi mwa Hamas Wanacheka/Kutabasamu kupita kiasi.Nini kipo nyuma ya pazia tusichokijuwa? Japo ni kweli wanafurahia uhuru wao ila wamezingirwa na Hamas.Tunaomba ufafanuzi kwenye GPS,

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 7 дней назад

    Israel imeshindwa kuwapata mateka kweli paka jamaa wanawatoa wakiwa wazima bila wasiwasi

  • @MosesMwakatumbula
    @MosesMwakatumbula 7 дней назад

    Hamas ni Majambazi hatari

  • @AhmedMuhammad-b5n
    @AhmedMuhammad-b5n 7 дней назад

    Hawa Israel na hamas wanaelewana sema sisi ndo tunajipendekeza😂😂😂😂😂

  • @ShemsaKiobya
    @ShemsaKiobya 7 дней назад +3

    .alikuwa wanauwa wanawake na watoto yaani hawana akili kabisa

  • @MarckMasaki
    @MarckMasaki 7 дней назад

    Vip walisema hamasi ni wabakaji vipi wamerudi na mimba au

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 7 дней назад

    Mateka wengi wamefichwa misri na Lebanoni....

    • @mbaraktaher4911
      @mbaraktaher4911 6 дней назад

      mh we ndo hmna kitu mateka wanatolewa gaza unasema wampelekwa misri kichwa maji kwa kweli

  • @shabanbisaki
    @shabanbisaki 7 дней назад

    Muda utaongea Haki itashinda wanfiqi watadhalilika maana huku hawapo na huku hawapo

  • @AmusedCatfish-hd8wo
    @AmusedCatfish-hd8wo 4 дня назад

    Wamama wanne wenye furaha bashasha n afya njema chini ya mikono ya hamas na ndio wauwaji wachinjaji wa watoto na wamama wa hamas hakika n ajabu hamas na sheria za uislamu usalama wa wamama hawa wauwaji

  • @KhalidiBoaz
    @KhalidiBoaz 7 дней назад

    Pamoja na kuwasifia Hamas,bado HAMAS NI MAGAIDI TU,HATA MUWAPAKE RANGI NYEUPE BADO NI MAGAIDI TU😂😂

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 7 дней назад +1

    Wangewapa mimba wawaachie wamezaa.

  • @MohamedOmari-y1t
    @MohamedOmari-y1t 7 дней назад +1

    Hivi nyie SNS hii title mmeandikiwa ama mmeandika nyie wenyewe kwa kutumia usomi wenu😂😂😂?

  • @shabanbisaki
    @shabanbisaki 7 дней назад

    Kama humu Kunamashoga wanaumia kwa ushindi huu kwanza wanamawazo megi wanafikilia maamuzi ya trump

  • @shabanbisaki
    @shabanbisaki 7 дней назад

    Waisilam wanapigana vita ya kishelia hawauwi watoto na wazee labda kwa bahatimbaya

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 7 дней назад +1

    Km n makamanda mbn wanaume tukiingia mnakimbia uwanjan wa vita Israel oyeee

    • @fakijecha
      @fakijecha 7 дней назад +1

      Yani kigende tu kinawashinda alafu wanauwa watoto na kina mama wasio na hatia km wanajua vita had Leo hawajui wamewekwa wapi ni wazi Israel vita haiwezi maneno mengi tu

    • @fakijecha
      @fakijecha 7 дней назад +1

      Yani kigende tu kinawashinda alafu wanauwa watoto na kina mama wasio na hatia km wanajua vita had Leo hawajui wamewekwa wapi ni wazi Israel vita haiwezi maneno mengi tu

    • @HammyJey
      @HammyJey 7 дней назад

      Kwaiyo vile vifo vya wanajeshi wa Israel wanouwawa na Hamas na vile vifaru vinavyoripuliwa huwa anaviripuw nani kama hamass WANAKIMBIA uwanja wa vita??? 😅

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 6 дней назад

    Hawa jamaa wakorofi sana mbona hawaachii mateka wote. Maana Waisrael wamewaachia mamia ya mateka wa wakipaganaji wa kipalestina.

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 7 дней назад

    Wengi wa wanateka wapo misri

  • @husseinc
    @husseinc 7 дней назад +1

    Sky hao sio mateka ni wafungwa wa vita. Wapalestina waliotekwa na israel unawaita wafungwa, waisrael unawaita mateka! haya ndio madhara ya kucopy propaganda za media za west na kuzisoma

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 6 дней назад

    😂😂

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 7 дней назад +1

    Trump oyeeeee

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 7 дней назад +2

      kwhy trump ndio aliwapa afya hao matek walio kuwep gaza

  • @AllyJuma-d6f
    @AllyJuma-d6f 7 дней назад +5

    Askari wanne kwa wafungwa 200 daah kweli Hamas kiboko😂Israel alitakiwa akubali haya mapema sana kubadirishana mateka hii vita ingeisha mapema mnoo ila wakajidai wababe kiko wapi sasa

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 7 дней назад

      Tafsiri yake ni kwamba thamani ya myahudi mmoja ni sawa na wapalestina 50. Hili sio jambo la kuangalia ukubwa wa idadi. Ni tusi kwa wapalestina. Wangesema idadi sawa kwa lengo kuheshimisha ethnic group yao.

    • @muhammadmrmj6228
      @muhammadmrmj6228 7 дней назад

      Shida wao Israel wameteka watu wengi ndio maana ika wanafanya hivyo​@@humphreymwihambi4330

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 дней назад

      Mhmm ujinga wako ulokujaa zidi ya ukafiri ndio mana kwenye picha ya mungu ni mzungu na mamaake ila shetani ni mweusi na muna8furahia tu kila kitu hewalla mzungu​@humphreymwihambi4330

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 7 дней назад +2

      Sio kweli, tukiangalia idade ya wa fungwa wa ki palestina kwenye Magereza ya kiahudi huko, Israel ni kubwa, kwa iyo tuki chukuwa, huku kwa Hamas, hao walishikilia watu idadi nDogo Sana, kwa iyo Mabadilishano haya ni sahihi, kwani inge kuwa kwa usawa wa idadi ya watu watakae achiliwa, Hamas aachilie 4,na israel aachilie 4,basi wa Palestina wengi wange baki wengi Sana kuachiliwa.

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 7 дней назад

      ​@@MikelSitoesijui unapiga mahesabu Hili linafanyika Kwa gharama gani... wangapi wameangamia huko Gaza...Yani uwatoe watu 50000...kama kafara ya kuwapata watu 2000😂😂😂

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 7 дней назад

    Hamas wametoka kwenye shimo lao la ngiri 😂😂 chezea Israel 😂

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 7 дней назад +2

      Hao unao wasifia nchi za 4 zinawasapot lkn wanamgambo tu hamajaoka hat mateka moj wameishia kuuwa watu wa kawaida na sio wajend hata moj milio okoa

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 7 дней назад +1

      FK youuuuuu SHOGA Jeusiiiiii hilooooo

    • @HammyJey
      @HammyJey 7 дней назад

      Hivi Ile idadi ya wanajeshi wa Israel wanouwawa huko gaza huwa anawauwa nani kama hamass walikuwa ktk shimo la ngiri? 😅😅😅