Uwoya aongea kwanini hakupost Wema Sepetu alipokamatwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 331

  • @sosh673
    @sosh673 5 лет назад +86

    kama na ww unasikiliza haya mahojiano na kusoma comments kama mimi gonga lk hapa😁😁

  • @emanuelissaya8799
    @emanuelissaya8799 7 лет назад +34

    best interview ever uwoya is the best actress proud of you keep working hard

  • @anicetphilip9987
    @anicetphilip9987 7 лет назад +2

    @Irene nadhani wewe ni wa tofauti among bongo movie's actresses

  • @blackjack4241
    @blackjack4241 6 лет назад +2

    She is so truthful thats what makes her special...

  • @didikiki5225
    @didikiki5225 7 лет назад +3

    wow nimesoma la kwanza Adi LA Tatu msewe then nkahamia bunge this is so amazing

  • @eliudhenry4043
    @eliudhenry4043 7 лет назад +3

    Asante sana AYO kwa kuifanya dunia inakuwa kijiji.

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 года назад +4

    Oprah Oprah my wife do you love me ? Huyo ni Vincent kigosi, I like that movie

  • @joycefelix9047
    @joycefelix9047 7 лет назад +19

    I like this lady,she speaks her mind, na ni Ukweli,she live her life

  • @didikiki5225
    @didikiki5225 7 лет назад +2

    kuna shoga angu mmoja kene interview anarembuaga macho sauti anabana mixer kiswanglish yaani afu mwongo mwongo.. Irene yuko tofauti s/o to her

  • @glorygoodluck7125
    @glorygoodluck7125 6 лет назад

    Hongera sana dad irene wanapiga majungu miaka yako kwani c wapo wenye miaka michache mwl mkubwa wal sio mkubwa sna

  • @msigwaarabia9884
    @msigwaarabia9884 7 лет назад +2

    thanx millardayo nampenda sana Huyo Dada wish nimuone one day

  • @carolinemusimbi9232
    @carolinemusimbi9232 6 лет назад +7

    Aww Irene uyowa u share birthday with my daughter 18 December

  • @salimuhamisi3101
    @salimuhamisi3101 7 лет назад +4

    Dada irenee nakupenda bure natamani ningkuwa kama wew from dayna lv m xixter

  • @user-zj7pt7ld5f
    @user-zj7pt7ld5f 4 года назад

    Irene mwenzangu ww unanifurahisha sn ukisema hamuna bwana yan ukisema hvy unanikumbusha mahali . Kwakweli wanivutia kikaz ht kimaisha yk pia najifundish kitu.

  • @juanaboaz5144
    @juanaboaz5144 6 лет назад +2

    Dada Irene idea zako nazikubali xna nimezpenda mno mm mwenyew cpendi mtu anaeyependa kuzungumzia maswala ya mtu haswa mahusiano coz huwezi jua changamoto ya mtu

  • @zainalarssonHotel
    @zainalarssonHotel 6 лет назад +1

    Nimewasikiliza inapendeza sana (kuhusu watoto kuna pA na pB ) Shule ni A daima kipaji ni pB . Kwani CHOCHOTE kinaweza tikea kuumia na vitu kama hivyo . ELIMU HATA UKIWA KITANDA IS NO 1💪🏿

  • @rachealwilfred1695
    @rachealwilfred1695 7 лет назад +4

    am proud of you dear, unaongea kihekima sana . may God bless you and your family

  • @kimah9855
    @kimah9855 7 лет назад +22

    Msomali eehh??? Na mimi ni msomali na msamburu🤗🤗

  • @mgenitsuma8141
    @mgenitsuma8141 3 года назад +1

    Kwa miaka naona swa watu wanene twaonewa tuna mili so ukisema miaka kidgo wambiwa urongo so kila mmoja ajijua mwenywe🚶‍♀️

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 года назад

    You are wise Oprah, I love that name Oprah

  • @ndokihamisi7567
    @ndokihamisi7567 7 лет назад +17

    irene weka akiba ya maneno intaview nyingine usije ukasema kitu tofauti na hii intaview

  • @ruffinsafari4847
    @ruffinsafari4847 5 лет назад +1

    Napenda sana Irene!!

  • @revinabenjamin5681
    @revinabenjamin5681 5 лет назад +3

    Ka unamkubal uwoya gonga like

  • @asilaalshedhani7028
    @asilaalshedhani7028 6 лет назад +1

    mashaallah mzuri kabla kwa baba

  • @julianalema5780
    @julianalema5780 7 лет назад +1

    jamani nampendaga huyu Irene uwoya mpaka naisi kuumwa...Mungu akupe maisha marefu sana Dada...umebarikiwa mno wsh to see you one day.

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 7 лет назад +3

    Glad to hear dat you're a Maasai Irene uwoya,me too....
    Jus send me your Email if you don't mind Uwoya...
    You look so Gorgeous and Energetic..Bless up

  • @angelshirima7347
    @angelshirima7347 7 лет назад +8

    Jaman iren wew uwoya jna la ukoo unalotumia si ndo kwa bibi ako wanaliita lyamuyaaaa...imesahau marangu kilema kwa baba akoooo tena mchagaaaaaaaaaaa hahahah mkataa kwako mtumwaaaaa acha kutaka makabila ya watuuuuuu fyuuuu Leo nmekuzarau sana.... ivi José na duamarose si ndo ndugu zakooo wadogo zako watoto wababa ako mdogo Ibrahim yule alofarik jmn acha uwongooo

  • @rahapaulina1451
    @rahapaulina1451 7 лет назад +2

    dada Irene you look so pretty hongera mamy

  • @sophiakiugu5828
    @sophiakiugu5828 5 лет назад +1

    Nampenda sana huyu Dada jamani!

  • @divinebernard2624
    @divinebernard2624 4 года назад

    Nampenda saaaaaana

  • @naayiosaalashnaayiosaalash5187
    @naayiosaalashnaayiosaalash5187 5 лет назад +1

    congratulation maasai mwezagu

  • @lovenessgoodluck3486
    @lovenessgoodluck3486 7 лет назад +23

    Sio kwa sura hyo ya kizaliwa 1988 hpana wew kkubwa kwann mkisema ukweli bla kudanganya umri zenu lo aibu

    • @christophendamvya4101
      @christophendamvya4101 6 лет назад

      Beautiful indeed.

    • @shariffakeniya1431
      @shariffakeniya1431 6 лет назад +1

      Loveness Goodluck watanzania wengi wanawake walizaliwa mwaka themanini na hakuna wa sabiini hata mmoja

    • @malikiatumain5320
      @malikiatumain5320 5 лет назад +2

      Unauhakika kadanganya au wabongo ndo mnapenda kudanganywa? Huyo ni mwanamke sio dume sie tunakua haraka sio mbaya kwa miaka iyo ila kama umemzaa bisha au kamtafute umwambie ukweli

    • @blesseddeebrownie7334
      @blesseddeebrownie7334 5 лет назад

      Malikia Tumain ....thank u

    • @antonykusaya5672
      @antonykusaya5672 5 лет назад

      Wala cyo ajabu hata mm ukiniona utajua ni wa mwaka 1972 but c kweli nna mwili mkubwa tuu.

  • @nyambuli.mmanyasi6859
    @nyambuli.mmanyasi6859 7 лет назад +7

    29 atafikisha trh 18 Dec jmn, saiv bd yuko 28

  • @magorimasahi5613
    @magorimasahi5613 7 лет назад +16

    Kitu kiimoja kikubwa nmependa kutoka kwako kutokuchanganya lugha kama mastaa wengne hongera kwa hilo

  • @laymizztaaa1568
    @laymizztaaa1568 6 лет назад +2

    Damn No wonder She is beutifull. Somali blood in her Damn

  • @anjunurdin2763
    @anjunurdin2763 5 лет назад +3

    Mtu yoyote anaepebda kuchukuliwa kimapenzi na wanaume wadogo lazima arudishr umri wake.

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 7 лет назад +17

    miaka yake ni Kweli, aliolewa akiwa na 21

  • @mariammarco1554
    @mariammarco1554 7 лет назад +12

    Nakupenda bure mdada

  • @aminaismael4201
    @aminaismael4201 7 лет назад +1

    kweli kabisa hapo umesema kwenyendoa nakuunga mkono mengine nimuwachie mwengie

  • @tamtam2589
    @tamtam2589 7 лет назад +20

    napenda hubani sauti then wewe Dada mzuri sana

  • @barbarajoh7603
    @barbarajoh7603 5 лет назад

    Huyu dada hana hakili yeye ni mchana Fullstop aache long long

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 5 лет назад +1

    nice,unaongea vzr sana unaelewka jmn,penda sana

  • @magrethzacharia7383
    @magrethzacharia7383 7 лет назад

    hongera umependeza

  • @kimzhavia2653
    @kimzhavia2653 5 лет назад

    I lov u irene

  • @amanimtasha9168
    @amanimtasha9168 7 лет назад +57

    Wadada wamjini mbona sura, miili haifanani namiaka yenu!!?? Eti miaka 28 while looking at last 32/33 😞😕☹️

    • @metalcombat4470
      @metalcombat4470 7 лет назад

      Ohoooo!

    • @say_no_to_hivaidscookie3701
      @say_no_to_hivaidscookie3701 7 лет назад +3

      Kama alikua miss Tanzania kipindi kimoja na Wema why not!? Of corse she is 28 yrs.

    • @amanimtasha9168
      @amanimtasha9168 7 лет назад +1

      Sijakataa wala kupinga. Nashangaa kwanini wanaonekana kuwa watu wazima angalau miaka 4 zaidi nakuendelea tofauti naumri wao wanao sema. Nimtazamo wangu mimi

    • @sarahgakii5903
      @sarahgakii5903 7 лет назад +3

      Amani Mtasha pombe uzeesha

    • @amanimtasha9168
      @amanimtasha9168 7 лет назад +1

      Sarah Gakii . Kwakweli hiyo nayo itakuwa sababu 😃

  • @neemajohn1944
    @neemajohn1944 6 лет назад +22

    Mama yake tu ndo anajua ukweli wa miaka yake,msikatae kwa sababu aliambiwa na mama yake kuwa kazaliwa 88,sasa mnakataa nn?

  • @shanimwakipesile3341
    @shanimwakipesile3341 5 лет назад +3

    umechanganya ndio nini we sema Baba ako mtu wa Wapi full stop

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 6 лет назад

    Msimamo wako nimeupenda my uwezi kunyanyaska

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 лет назад +43

    iren bana hakumbuk kama alisemaga aliishia form 4 sasa leo kasoma kampala mara india anyway maisha sio elem tu ukiwa na akili ya maisha sio lazima kusoma sana kutaka kuutaka uchiz maana ukiwa na akili nying waeza palalaiz ... wengine vichaa maana ukifikiria wasomea enjinia alaf miaka imeenda then kaz kila ukitafuta wanakuambia hatuez ajir mtu wa pernsion 😋😂😂😂😂😂 aisee hapo ndo utajua Daimond platnumz kaishia langap

    • @hadassperez494
      @hadassperez494 7 лет назад +2

      wee hujaskiza vizuri. form -form 2 tz, akamalizia secondary kampala. india miezi Sita computer. 😕

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 лет назад

      Kitone Kantasha1 haaahaaahaa

    • @winieramadan9857
      @winieramadan9857 7 лет назад

      Kitone Kantasha1 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @shakirarashid9181
      @shakirarashid9181 7 лет назад +2

      Kitone Kantasha1 ivyi dada Kweli mtu mtt wa pailoti kusomea inchi nyingine hawezi kumupeleka uko

    • @kitonekantasha1687
      @kitonekantasha1687 7 лет назад +2

      Mie sijasemea utarij wawazazi wake mm nimenukuu maana before aliulizagwa kama wee nimfatiliaj mzur wa mkasi au take one au kwa millard sina uhakika kat yaizo niwap aliulizwa ila kanirudisha kwenye kumbukumbu ambayo niliwah kumsikia akisema... yeye kwao wako wa 2 na yeye ndo wakwaza ila kipind anamaliza form 4 alikataa shule maana darasan hakuwa mzur na aliona anapoteza mda wake coz wakat anangoja matokeo alijiingiza kwenye u MISS. So hujanielewa pwent yangu lamda. Who dant knw kuwa IREN family yake inajiweza? Mmmh niuwii radhi pia dada 😃😂 unitue kama ndoo ya maji

  • @luluashiri7610
    @luluashiri7610 6 лет назад

    Umependeza sana

  • @shukurudavid4369
    @shukurudavid4369 6 лет назад

    Naona millard Ayo, unamu-interview Mzungu.

  • @rahmasellemani4563
    @rahmasellemani4563 7 лет назад +1

    ndio na mm nashangaa sana kama anapenda wanaume wenye sura ngumu mbona msami mzur alifata nn kwanza yeye mwenyewe Ana sura zito kama togwa lililo chacha usije kuwa huu umaarufu sijui tu 😁😂

  • @mariajohn2043
    @mariajohn2043 7 лет назад +5

    Mmh kwakweli mm nishawahi kumskia akihojiwa na kudai elimu yangu ni darasa la saba. Nmenukuu tena huku akicheeeeka

  • @dianamadege1703
    @dianamadege1703 5 лет назад +1

    Nampa hongera mpiga picha si kwa edit hiyo angekua du

  • @beatricedeogrtius7408
    @beatricedeogrtius7408 7 лет назад

    hongera twin wa mie

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 лет назад +31

    Nimesoma nae huyu darasa moja Saint Thomas gongolamboto

    • @hanuni2356
      @hanuni2356 7 лет назад +2

      Tracy Justice we una miaka mingapi kama ulisoma wote

    • @tracyjustice1600
      @tracyjustice1600 7 лет назад +1

      Hanuni 23 kwa nn umeniuliza miaka? nakaribia 32 mwezi ujao

    • @jenithafred2084
      @jenithafred2084 7 лет назад

      Tracy Justice kwani watu ulio soma wote mlikuwa na miaka sawa?

    • @hapiekilawe5521
      @hapiekilawe5521 7 лет назад

      Tracy Justice 😂😂😂

    • @tracyjustice1600
      @tracyjustice1600 7 лет назад +2

      jenitha fred hapana, ila ni kweli anaweza kuwa na umri aliosema maana Irene toka tupo shule ana mwili mkuza

  • @germanabukombe7452
    @germanabukombe7452 5 лет назад +2

    Napenda sn sauti yko

  • @salomesadala8324
    @salomesadala8324 7 лет назад

    nakupenda sana irene

  • @edsoniminani7061
    @edsoniminani7061 4 года назад +1

    In short Uwoya rafiki yangu haukusomaz😂😂😂😂

  • @janethmollel9618
    @janethmollel9618 7 лет назад +9

    how do u feel pale mzazi na hasa baba anapokutazama na vinguo vya uchi uchi??... I'm ur fun....but huwa nilidhan nyie hamnaga wazazi kutokana na uvaaji wenu. I like kukuina but sitaki niwe mm nimevaa hivyo, wala mzazi wangu wala mwanangu.

    • @metalcombat4470
      @metalcombat4470 7 лет назад +4

      Una dhani ndo kaanza kuvaa leo? Walimuona. wame amua kumuachia au ame amua kupuuzia muongozo wao.. Bas!

    • @rayfredinand2976
      @rayfredinand2976 5 лет назад

      Yani hayo yanakuhmiza

  • @muddymakame2978
    @muddymakame2978 5 лет назад +7

    Dah Irene kasoma India lini hahaha io ndo bongo movieee banaaa

  • @geofreymatto6710
    @geofreymatto6710 7 лет назад +2

    Kwaiyo na mimi mmbea kukucheki kwa youtube

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 7 лет назад +3

    ila kwa kweli huyu dada nmn fulan kama hazeeki hivi au sijui ndo nimeanza kumjua mapema.,ila yote kwa yote niseme tu simlaumu alichokisema DOGO JANJA .,nadhani hakukosea

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 лет назад +8

    Millard! Usiweke Interviews za vidosho a.k.a. vishuna. Unacorrupt files zangu kichwani, mzee!

  • @dadycarenjr5732
    @dadycarenjr5732 7 лет назад +6

    mamaye walah mtt Mzur sana wewe

  • @getrudequeen6657
    @getrudequeen6657 6 лет назад

    wooow kumbe irene mama wa kwetu tabora

  • @safiasaleh813
    @safiasaleh813 6 лет назад

    Alafu wanajirejesha nyuma miaka yao wakati anaanza kuekti move sawa na mm kwamba mm nnamiaka 37 yy ndio kwanza 28 heeeee umejirufisha sana shoga c mdogo wa miaka hio ulioitaja

  • @regandeus5806
    @regandeus5806 6 лет назад

    duhhh mbona miksa ya maneno jamani?

  • @tanayiantan8318
    @tanayiantan8318 7 лет назад +6

    maghufuli...lol...watoto wana tabu...ila Irene ni mrembo

  • @mercymyrah8677
    @mercymyrah8677 7 лет назад +1

    Irene hyo mwanao amenibamba nikikaa nae kwa nyumba hakuna kuboeka.

  • @nbursongsverrynicejh6274
    @nbursongsverrynicejh6274 7 лет назад +4

    iyo mwaka kwa mm naona nisawa juu yeye ni mnene

  • @ernestgeorge1343
    @ernestgeorge1343 6 лет назад

    Mamhina kwamwak huwo uliotaja dad hapana kwani wew nimtu mzm au kwasababu mnatembea nawatoto wadogo ndomana nnajishusha umri jamani ongeeni ukweli

  • @yovinadominic3486
    @yovinadominic3486 6 лет назад

    yes. uko vizur hata Mimi shule sikuitaji

  • @joycemtweve6209
    @joycemtweve6209 5 лет назад

    Msewe primary 😍😍😍😍😍

  • @safiasaleh813
    @safiasaleh813 6 лет назад

    Airin ulikua unarangi nzuriii saa ivi umekua kama Maico Jackson

  • @allenikaduma1488
    @allenikaduma1488 7 лет назад

    Noma sana

  • @rachaeltoili2241
    @rachaeltoili2241 7 лет назад +4

    But u seem older than 28 Irene.En its like I saw u darker b4 now u r light skin ama pesa hubleech😀😀

    • @christinanuurinkluge9118
      @christinanuurinkluge9118 6 лет назад

      🤣🤣🤣🤣 she think know she are muchanganyiko mmm mwaafrika huyo My be age yake mmm 38

  • @sofiambaga2659
    @sofiambaga2659 5 лет назад +1

    Muongo Sana huyu mdada jaman hata haogopi wkt sekondari kamalizia Gongo la Mboto ni Mnyamwezi kwa Mama na baba

  • @prettyakoth4306
    @prettyakoth4306 5 лет назад

    Mbona hamuelewani na Wema Sepetu

  • @sweetmama3242
    @sweetmama3242 7 лет назад +22

    Wewe dada unamiaka 28 uko kama una 37. Ebu piga tizi basi. Utazeeka mapema ukicheza.

    • @metalcombat4470
      @metalcombat4470 7 лет назад

      Eh! Sweet Mama, tartibu basi mama.

    • @sweetmama3242
      @sweetmama3242 7 лет назад

      Metal Combat Taratibu na nini kaka?

    • @metalcombat4470
      @metalcombat4470 7 лет назад

      Hiyo midongo kwa huyo mdada, Sweet.. Eti afanyeje? hehe!

    • @sweetmama3242
      @sweetmama3242 7 лет назад +1

      Metal Combat Afanye tizi aisee. Miaka yake haiendani na mwili wake. Labda awe amerudisha miaka nyuma. Ila ni mrembo.

    • @metalcombat4470
      @metalcombat4470 7 лет назад

      Ni kweli lakini, Sweet..

  • @gka9147
    @gka9147 7 лет назад +28

    Kila kitu Mauongo Mauongo Mauongo

    • @divinebernard2624
      @divinebernard2624 4 года назад

      Ww njo u ongeye ukweli kama ww mamayake mzazi🙄🙄

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 лет назад

    love you irene

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 лет назад +8

    heheeeee Irene umezaliwa mwaka 88? uwiiiiii mdogo kumbeee duuu mmmmhh ila nakupenda sanaa

  • @jacquelinesabas4235
    @jacquelinesabas4235 5 лет назад

    Nakukubal Milard Ayo

  • @juliaslengai3323
    @juliaslengai3323 5 лет назад

    Usimuite mtoto kichaa na akiwa kichaa kweli utasema amelogwa

  • @christinebelinda3498
    @christinebelinda3498 7 лет назад +1

    mnapenda kficha miaka sana wadada wa Tz😂😂😂😂

  • @minuubeiby2127
    @minuubeiby2127 7 лет назад

    Mashallah uko poa daa

  • @mishershamte3527
    @mishershamte3527 6 лет назад

    nice Dada

  • @mwajumahamisi6738
    @mwajumahamisi6738 7 лет назад +1

    huo n mwili tu.... kwan aliposhiriki mashindano alikuwa na umri gani? n mwili tu

  • @safiasaleh813
    @safiasaleh813 6 лет назад +2

    Uyo Airin, Wema na Wolpa wanajirejesha nyuma tuuu hawapendi uzee wakati wakitoa mamekap yao tu sura zao utakimbia

  • @ishamshehe36
    @ishamshehe36 6 лет назад

    ww nimm bora sana

  • @mercymyrah8677
    @mercymyrah8677 7 лет назад

    hahahahahahahaha ati nini kinakukera dar😂😂😂😂u made my day siste

  • @nasraabdi1529
    @nasraabdi1529 4 года назад +1

    Mbona mkubwa hivyo kadanganya umri 🙄

  • @ellenkamanzi2384
    @ellenkamanzi2384 5 лет назад

    Dah kila lenye mwanzo linamwisho uyudada amehanza kuzeeka yan duuh

  • @benpozite2390
    @benpozite2390 7 лет назад

    siisi kama usani siyo kuwajulisha ukweli kuusu maisha yenyewe

  • @carolineomwok1438
    @carolineomwok1438 6 лет назад

    Amen Ameen

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 5 лет назад

    Ila irene hiyo nguo yako yaingiza upepo kweli

  • @vailetmapunda106
    @vailetmapunda106 5 лет назад

    Acha uongo kuna ubaya gan kuomba pesa kwa mume wako au mpenz wako?

  • @neemasulaimani4202
    @neemasulaimani4202 7 лет назад

    Nice

  • @mugwegwe
    @mugwegwe 7 лет назад +2

    Jamani wa Tanzania huyu mwana dada namuheshimu saaaaaana nana mpenda saaaaaana sijuwi ni fanye je . Niniahamu nikutane naye .