Aisee nlikua mtoto kabisa sjaanza hata lakwanza nlipoanza kujitambua ndo nakuta hii ngoma inapigwa!.. aisee kmbe watu wa zaman walikua wanajua kupiga solo!
Bwana Linus Mwamakula hii ni kumbukumbu isiyofutika,Huu wimbo hunikumbusha marehemu kaka yangu miaka ya 80 mwanzoni alikuwa akija Likizo kijijini na Player yake ( Philips changer) hii santuri ilikuwa inatamba sana, Spika inawekwa juu ya mtungi ili kupata Bass, Hizi nyakati zilikuwa na raha yake.
Hapa siisikii sauti kali ya Lovy Longomba, zaidi nalisikia hilo sauti zito lake gwiji Jimmy Monimbambo!!. Napenda sana tunes za Shikashika sijui ni nani aliyekuwa akipiga gitaa la solo kwenye kundi hili!!.
Mwaka 1979 nikiwa darasa la tatu. Namkumbuka mjomba Joseph Keghena, RIEP!
Aisee waliokuja hapa 2023 tujuane
Sweet old music of our time
Hermosa canción saludos desde barranquilla Colombia
This edition remind me of our beer drinking group called SOLAR GROUP in Kiswa Kampala I'm 80s
Hahaha.......Not far from the bar of the late Hon. Dr Ojok Mulozi
Very nice. Reminds me of the village moonlight lit parties ca. 1980s.
Aisee nlikua mtoto kabisa sjaanza hata lakwanza nlipoanza kujitambua ndo nakuta hii ngoma inapigwa!.. aisee kmbe watu wa zaman walikua wanajua kupiga solo!
Mie ngoma nimeisikia mwaka 1979 baada ya mjomba kurudi kutoka Uganda na record player. Nilikuwa darasa la tatu. Mambo ya kale sana haya. Dhahabu.
Ila hapa nilichokibaini aliyepiga gitaa la kati ni moto wa kuotea mbali
Excelente tema bravo
Remindes Miyomboni recording center at Iringa in 1980s
Nice song, memorable moments.
Ujana ni moshi kweli
Nashukuru kwa kumbukumbu,miaka ya 79 namshukuru mungu kwa kunilinda,wenzangu lika langu wengi ni marehemu,enzi za santuri na record plea.
Bwana Linus Mwamakula hii ni kumbukumbu isiyofutika,Huu wimbo hunikumbusha marehemu kaka yangu miaka ya 80 mwanzoni alikuwa akija Likizo kijijini na Player yake ( Philips changer) hii santuri ilikuwa inatamba sana, Spika inawekwa juu ya mtungi ili kupata Bass, Hizi nyakati zilikuwa na raha yake.
Felix Magulu,likizo zenyewe zilikuwa mwisho wa mwaka-december,kwa ajili ya xmas
Hapa siisikii sauti kali ya Lovy Longomba, zaidi nalisikia hilo sauti zito lake gwiji Jimmy Monimbambo!!. Napenda sana tunes za Shikashika sijui ni nani aliyekuwa akipiga gitaa la solo kwenye kundi hili!!.
Hapa Lovy Longomba alikuwa bado hajajiunga, Nadhani alikuwa bado yuko Super Mazembe.
I love this song
Solo Shika Shika alipiga Thierry "Chery" Matumona. Sauti ta Monimambo ni hii 0:58
@@bingwason ahsante sana Mkuu
Lovy Longomba alikuwa bado hajajiunga, Nadhanj bado alikuwa Super Mazembe
Excelente
Swee memories.
Elegante
0:23
bn
0:16
0:10
Huyo mwamba anayecharaza rythim guitar 🎸 ni moto