Makongoro kweli mnatisha mnaimba nyimbo zenu mimi mpaka ninatokwa na machozi nzuri inafundisha mpangilio wa sauti kizazi hiki haitatokea mungu awabariki sana sana
Siku hizi kwaya ya inayoimba Kama kwaya za zamani hupati enzi zetu wimmbo unatunguwa kutoka kwa bibilia ukiwa kanisani ikiimba kwaya wewe moja kwa moja umepata neno mungu hata Kama hatahubiri mchungaji mungu awabariki popote mlipo Amina
Makongoro kwaya kuu mwanza na kwaya zote za mwanza 'shinyanga kwa mungu hakuna mzeee kwaya zote za Arusha Nkinga kwaya ya Tabora mungano kwaya kutoka mwanza na mikoa yote ya Kanda ya ziwa mnatisha mbeya Moshi Dodoma Dar es saalam Lulu mtoni na nyinginezo Unatoka nje Kenya Nairobi machakos mbarikiwe popo mlipo
Mungu aubariki uimbaji huu pamoja na waimbaji wa kanda hii yenye baraka na faraja kochokocho.Nafurahia huku Mombasa Kenya.Vibao hivi naomba ni vizuri.Naomba nipate Vol.1-5 tafadhali.
Okay fika pale mwembe stage ya nyali njia ya ndani ulizia kassanga music shop utazipata kwa CD Original..... Usikose kunipa taarifa ili kwa utakazo kosa ni kusaidie kupata kwa ujumla
I am almost sure this is the song that was playing in the 80s that VOK used to play at night after obituaries which was also bedtime and I would hear it just before falling asleep. So soothing ❤
Zote zilikuwepo ila zikapata copyright claims strikes nikafutilia mbali ndio channel ibaki salama hivyo siwezi tena rudisha humu RUclips sheria na masharti utumika ipo nje ya uwezo wangu
Finally the song is here, may God bless you mutumishi
Asante,, sasa sina deni tena nime kamilisha ombi lako na kutakia pasaka njema ndugu
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 Barikiwa sana
Makongoro kweli mnatisha mnaimba nyimbo zenu mimi mpaka ninatokwa na machozi nzuri inafundisha mpangilio wa sauti kizazi hiki haitatokea mungu awabariki sana sana
Siku hizi kwaya ya inayoimba Kama kwaya za zamani hupati enzi zetu wimmbo unatunguwa kutoka kwa bibilia ukiwa kanisani ikiimba kwaya wewe moja kwa moja umepata neno mungu hata Kama hatahubiri mchungaji mungu awabariki popote mlipo Amina
Makongoro kwaya kuu mwanza na kwaya zote za mwanza 'shinyanga kwa mungu hakuna mzeee kwaya zote za Arusha Nkinga kwaya ya Tabora mungano kwaya kutoka mwanza na mikoa yote ya Kanda ya ziwa mnatisha mbeya Moshi Dodoma Dar es saalam Lulu mtoni na nyinginezo Unatoka nje Kenya Nairobi machakos mbarikiwe popo mlipo
This song it make me to remember when I was in Sunday school.
maneno teule yaliyojaa upako ...kwaya ya makongoro hakika kazi zao hubariki zaidi ...nazipeda sana nyimbo zao ...
These are real gospel songs 🙏🙏
Mungu aubariki uimbaji huu pamoja na waimbaji wa kanda hii yenye baraka na faraja kochokocho.Nafurahia huku Mombasa Kenya.Vibao hivi naomba ni vizuri.Naomba nipate Vol.1-5 tafadhali.
Okay fika pale mwembe stage ya nyali njia ya ndani ulizia kassanga music shop utazipata kwa CD Original..... Usikose kunipa taarifa ili kwa utakazo kosa ni kusaidie kupata kwa ujumla
Amen 🙏 beautiful songs
Amina nikweli inahubiri kwa njia ya kwaya mungu awabariki
Through this songs natamani tu kukaa uweponi mwa Mungu. God bless you mtumishi wa Mungu.
Asante sana nikumbuke katika maombi
Mi nataka nyimbo kwaya uijilisti vijana na hero watakatifu
Asante
Beautiful hymns
Jamani nyimbo hizi kwaya hii maneno ya Imani inanifariji sana sana mungu awabariki sana
Nawe pia ubarikiwe sana popote ulipo na uzidi kuwa kwenye imani Yesu kristo yu karibu kuja
This song inspires me alot may God bless them wherever they are.
Remain blessed
Amen Amen Hallelujah, and To God be the Glory.
Asate sana !
Naomba nyimbo Zaid za hii kwaya
May God shower you with Blessings
Wateule nawatakia nataka trle kutoka Kwa MKONO wa MUNGU AMEN BARIKIWENI
Kwaya gani
I am almost sure this is the song that was playing in the 80s that VOK used to play at night after obituaries which was also bedtime and I would hear it just before falling asleep. So soothing ❤
You're correct
Love those old Makongoro songs..soo soulful.
And powerful you've not heard there song *mponya wa dhambi yesu* very powerful check out my last recently video 1968 makongoro
barikiwa sana kwa nyimbo hizi zenye mafuta ndugu
Amina
Pastor Emmanuel God bless you brother for this song keep pekuwa ndungu yangu.
Shukran atukuzwe Mungu Baba mwenyezi kwa kuwa fadhili zake ni za milele
Real worship from servants of God
Tamu nyingi kbs kwa wimbo huu!
❤❤❤ninaposikiya hizinyimbo naonakama nitafika mbinguni
njia ya kwenda mbinguni n kumwamini Yesu tu, hakuna njia nyingine, hizi nyimbo zinatusaidia kutukumbusha wajibu wetu
Finally May God bless you bro
Thank you so much peter, tuletee wanaisrael original na kutanikeni Mungu akubariki sana
Zote zilikuwepo ila zikapata copyright claims strikes nikafutilia mbali ndio channel ibaki salama hivyo siwezi tena rudisha humu RUclips sheria na masharti utumika ipo nje ya uwezo wangu
Kutanikeni na wana Israel zipo humu youtube ila si kwa hii channel
@@clairejunior5978ziko lakini siyo original
Amen
Nyindo icio
Eni
Asante sana mayu kutupa wimbo wakale
This song really uplifts my soul whenever i listen to it.
God is love his spirit is speaking to you through the song
The real pure gospel that can lead some one direct to heaven...thanks Emmanuel and we need more as God keeps on blessing you.
Amen
This must be a very new tune to me...havent heard it before ...am really blessed
Glory be to God welcome to the true gospels of our Lord Jesus Christ
Thanks you very much, more songs please.
Be blessed stay tuned
Now we have an alternatives, God bless you
Thanks for your feedback stay tuned for more
Uko na Patandi choir? Sampled those on RUclips and some are missing. If you have patandi songs kindly let me know.
Msifungiwe Nira full album is already available RUclips search and see it.....I do have full album but won't upload due to copyright claims
Ssng. Uoe preayed for somerorne else everiday
Captain god to now men sang
Looking for nairobi prisons choir of late 70s anyone got them
I only have Yona album
Very Good