Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
I loved the song the moment I heard it in 1983. I was 9
Good memories
you are my age mate .God bless you brother
This song reminds me of my late mum 😢
My late mum loved this song
Sorry dear
Let her soul rest in peace
Wakati waimbanji nyimbo walikuwa na upako, guitar ililia kama mtoto, nyimbo zako zote kimuyu zanibariki Sana, ubarikiwe uishi maisha marefu
🎉 nyimbo za kupumzisha na kufariji
Nyimbo zilizopedwa na mpaka sasa zinapendwa
Brother Emmanuel Peter u have blessed me since 80s upto date. Mungu akubariki. Naomba ya Evangelical Itierio Kisii. Albert from Kisii kenya
Oh , Jamani !Hizi ziko wapi siku hizi ?Oh ,Hizi nyimbo zina nguvu !Zina uwezo mkubwa wa kubadilisha watu
Kiukweli uimbaji wa zamani ulikuwa unagusa mioyo na kuchoma dhamiri za wa watu na kupitia uimbaji watu wengi walimuamini Bwana Yesu,,
Babangu mzazi alikuwa na kinanda cha Philips na senturi za nyimbo hizi.1976-1980.
Vizuri sana je bado unazo Mikanda hiyo??
Nyimbo ambazo zina Upako za tuelekeza mbinguni.
In God We Trust 🇰🇪
I first heard this song in the 70s I think. Lovely song
Yeah exactly Was recorded 1974 by *life recordings* Nairobi when wazungu ndio walikuwa wana record vinyl records
And was earlier sang in the church 1950s before they came to record it in Kenya
Sana Sana every Sunday afternoon kipindi cha wimbo niupendao ama bibilia husema kijabe.
ahsante sana, this is more than gold
kuna mji mzuri wa furaha na amani. tusaidiye Mungu tuingiye l'île lango.
Naam zidi kumcha Mungu na utapata kupitia kwenye lango hilo ambalo ni Yesu kristo
Wimbo tamu sana
When praise was praise before demons came in with rappers
Canaan mji Bora..Wimbo mtamu sana🙏
Baraka tele watu wa Mungu
Kaka je nyimbo ya bishop mwansasu unaitwa INJILI ILIUBIRIWA KWA MATESO SANA naweza kupata
Nitaangalia kwenye maktaba yangu kisha nakujibu... Nipe mda nitafute
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 ok kk
@@NIZgang nimekwisha tafiti ipo channel yake RUclips kaweka nyimbo zake mle hivyo angalia sahii utapata na siwezi weka nyimbo zake kwangu kwani nitakuwa kinyume na haki miliki
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 nimejarib kutafuta but nimekosa kaka sijui naweza pata link
Unapatikana mkoa gani ndg Emanuel? Niko tayari kuja hadi ulipo au nitumie
God bless you servant of God Kwa nyimbo ambazo za songesha mtu karibu na muumba wake.
Amina tukaze mwendo kufika mbinguni
Mubarikiwe sana kwawimbo mutamu sana
UoeGod. Is. Powerful
All he do is good ❤️
Wimbo huu unafariji
Am
Nazidi kubarikiwa tu na wimbo huu.
Ooh naokolewa upya jamani kwa nuimbo hizi ndg Emanuel
Endelea kutuletea nyimbo kama hizi nice song
Amina stay tuned for more
Blessed songs. Inspiring Songs of praise
Nyimbo nzuri
Barikiwa
thanks @emmanuel peter for uploading this song
Thank you glory be to God
Music that touches the soul
The lord is coming and he's speaking to your soul
❤❤
My youth song. God is God
My brother Alex this was special for you infact i wondered where have you been since I uploaded i hope you are doing well...
God bless
I loved the song the moment I heard it in 1983. I was 9
Good memories
you are my age mate .God bless you brother
This song reminds me of my late mum 😢
My late mum loved this song
Sorry dear
Let her soul rest in peace
Wakati waimbanji nyimbo walikuwa na upako, guitar ililia kama mtoto, nyimbo zako zote kimuyu zanibariki Sana, ubarikiwe uishi maisha marefu
🎉 nyimbo za kupumzisha na kufariji
Nyimbo zilizopedwa na mpaka sasa zinapendwa
Brother Emmanuel Peter u have blessed me since 80s upto date. Mungu akubariki. Naomba ya Evangelical Itierio Kisii. Albert from Kisii kenya
Oh , Jamani !
Hizi ziko wapi siku hizi ?
Oh ,
Hizi nyimbo zina nguvu !
Zina uwezo mkubwa wa kubadilisha watu
Kiukweli uimbaji wa zamani ulikuwa unagusa mioyo na kuchoma dhamiri za wa watu na kupitia uimbaji watu wengi walimuamini Bwana Yesu,,
Babangu mzazi alikuwa na kinanda cha Philips na senturi za nyimbo hizi.1976-1980.
Vizuri sana je bado unazo Mikanda hiyo??
Nyimbo ambazo zina Upako za tuelekeza mbinguni.
In God We Trust 🇰🇪
I first heard this song in the 70s I think. Lovely song
Yeah exactly Was recorded 1974 by *life recordings* Nairobi when wazungu ndio walikuwa wana record vinyl records
And was earlier sang in the church 1950s before they came to record it in Kenya
Sana Sana every Sunday afternoon kipindi cha wimbo niupendao ama bibilia husema kijabe.
ahsante sana, this is more than gold
kuna mji mzuri wa furaha na amani. tusaidiye Mungu tuingiye l'île lango.
Naam zidi kumcha Mungu na utapata kupitia kwenye lango hilo ambalo ni Yesu kristo
Wimbo tamu sana
When praise was praise before demons came in with rappers
Canaan mji Bora..Wimbo mtamu sana🙏
Baraka tele watu wa Mungu
Kaka je nyimbo ya bishop mwansasu unaitwa INJILI ILIUBIRIWA KWA MATESO SANA naweza kupata
Nitaangalia kwenye maktaba yangu kisha nakujibu... Nipe mda nitafute
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 ok kk
@@NIZgang nimekwisha tafiti ipo channel yake RUclips kaweka nyimbo zake mle hivyo angalia sahii utapata na siwezi weka nyimbo zake kwangu kwani nitakuwa kinyume na haki miliki
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 nimejarib kutafuta but nimekosa kaka sijui naweza pata link
Unapatikana mkoa gani ndg Emanuel? Niko tayari kuja hadi ulipo au nitumie
God bless you servant of God Kwa nyimbo ambazo za songesha mtu karibu na muumba wake.
Amina tukaze mwendo kufika mbinguni
Mubarikiwe sana kwawimbo mutamu sana
Uoe
God. Is. Powerful