SIRI, UTAJIRI WA MR BLUE/ AFUNGUKA YOTE/ ANAVYOINGIZA PESA/'NIMEFANIKIWA SANA'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 145

  • @hassanmakame4382
    @hassanmakame4382 Год назад +53

    Iv uyu mtangazaj anasound km milad km naww umeona ivo gonga like hapo

  • @delgadochriss3201
    @delgadochriss3201 Год назад +3

    Remember when i was young nkija town nkiangalia tv...nyimbo ni mapozi nawe...nkajifundisha kubreak...kurudi kijijini nka shine wenzangu sema kupata wasupa.......you guy my guy it was lit

  • @MwasonKambi-hv2sv
    @MwasonKambi-hv2sv Год назад +7

    Mr blue always ni legendary sisi mtaani tunamuelewa saana 💪 ila huyu presenter ni very talented pia Yuko vizuri saana All the best to him 👏👏👏

    • @antoinekatembo8520
      @antoinekatembo8520 Год назад +1

      The guy is really professional presenter in the country

  • @iamgoldendee1
    @iamgoldendee1 Год назад +2

    Anacho ongea Baisa ni ukweli Mtu mimi mmoja ni shahidi kwa wimbo wangu nilio mshirikisja mwaka huu unaitwa umefeli Golden Dee feat Mr Blue Utafute utauskia Dah bro aliupenda wimbo wangu mwenyew studio alifika akasema dogo kubali ukatae Humu na tupia verse Dah siku amini msani mkubwa nchini na Africa mashariki na kati kuna wanao mlipa ili aimbe nao mimi kanibless free Tena bila kumuomba ebuane jamaa akashika maik hilo verse sasa mama yangu dah ishi sana bro Baisa Minakupenda bro and thnks I weiting for the VIDEO BRO KOZ NASHUKURU HATA WIMBO ULIUPENDA NA HATA LEO UNANIAMBIAGA NI MOJA KATI YA PLYLIST ZAKO ZA SIKU UKIWA UNASKILIZA WIMBO THNKS BRO 🙏🙏🙏💯💞💞

  • @abuumicheni1935
    @abuumicheni1935 Год назад +10

    SAFI SANA HUO NDIO UBINAADAMU KUJUTIA NA KUOMBA MSAMAHA KWA ALLAH BIG UP MWENYEZIMUNGU ATAZIDI KUKUFUNGULIA BRO MABLUE

  • @evansmayuro8038
    @evansmayuro8038 Год назад +10

    Alafu mbona sioni anayezungumzia kuhusu mtangazaji ? Ndugu mtangazaji kwa jinsi anavyohoji maswali yake aise yuko so profesional alafu maswali yenyewe creative sana . Tumpe maua yake

  • @bobbyhanns9077
    @bobbyhanns9077 Год назад +6

    Mr blue it's such an inspiration honestly 💙the love I have for him is unconditional iwanna be blue 💙

  • @mbidjisilunga2575
    @mbidjisilunga2575 Год назад +5

    Tokeya Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️mimi n'a mkubali Mr Blue ,nakumbuka sana ,eshima kwako

  • @lukangyela8347
    @lukangyela8347 Год назад +16

    Mr blue historia yako niliokuanaijua na ndo ilikua imebakia kwa kichwa Changu ni kwamba wewe ni mtoto wakitajiri so mziki ilikua kutowa jina na ujulikane kama kuna mr blue na ulikua ukiazima nguo za jamaa moja mkubwa kwa umri ila alikua best yako.
    Ukweli umesema .ila nakukubali mwanangu wewe ndo mtu wawatu.kuna wengi wametudanganya ili awe mtu tofauti na wenzake

  • @abdoumirhane9783
    @abdoumirhane9783 Год назад +5

    From Comoros islands🇰🇲, i apreciat you Blue 🙏🏼 Big up bro

  • @davidmwangi4811
    @davidmwangi4811 Год назад +7

    From Kenya with love, have listened to him since his early songs like mapozz etc,

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 Месяц назад +1

    Mr blue kuna huyu dada mweuzi wa ile movie ya kijana na mwalimu wakiwa kwenye mapenzi?

  • @nelsonjonathan7660
    @nelsonjonathan7660 Год назад +9

    Kweli broo nakumbuka kuna msanii anaitwa smart alivyokupigia t cm kuomba collaboration hukuwaza chap ukatimba Studio ukafanya nae kitu bahat mbaya t ngoma haijaenda mjini ila moyo wa kusaidia wengine unao... Big up brother

    • @BigDreamsWorldwide
      @BigDreamsWorldwide Год назад +1

      Kwann ngoma yake haijaenda mjini na ni collaboration ni kubwa

  • @goodlackriwa6728
    @goodlackriwa6728 3 месяца назад

    Blue uko vizuri ,unaongeea vizuri sana,

  • @richardgitau36
    @richardgitau36 Год назад +2

    Nampenda sana blue baiser namkubali sana kutoka 🇰🇪

  • @patriotkenya
    @patriotkenya Год назад

    A big fan of mr blue from when he dropped mr blue song and the banger mr mapozi. Baki na mimi is another classic song i like..mr blue is a legend of the industry.salute !!

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Год назад

    I love blue since day one ile nyimbo nikilala sipati usingiZi nikikuota natoka namachoz i love love 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Год назад +3

    Big up Sana 💪 woof kwake bro blue kwl maisha nkpambana

  • @g2c477
    @g2c477 Год назад +1

    From Kenya, namkubali sana Blue

  • @hamadiayossy190
    @hamadiayossy190 Год назад +3

    Daaah mwanangu nimekuelewa sana,big up sana

  • @pyzzocatto1829
    @pyzzocatto1829 Год назад +7

    I really really really and really appreciate this guy

  • @shashatours6454
    @shashatours6454 Год назад +3

    Me nimekubali umeongea vizuri sanaaa kaka ❤❤❤ nimkubali sanaa kaka

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 Год назад +4

    Waaaoh kaongea ukweli sanaa Big Up sana

  • @davidchihimba9489
    @davidchihimba9489 Год назад

    Blue is easy man,anajichanganya popote nimekutana na blue sehem nyingi sana za kawaida tu na story za kawaida za kimaisha.big up sana kaka

  • @BakitaBakiflow
    @BakitaBakiflow Год назад

    Mr blue ni njia fulani inayo niongoza kujuwa mziki wa bongo❤

  • @jumahamis227
    @jumahamis227 Год назад +4

    Sema blue yupo real sana na ndo aliyeleta unyamwez sana kwa wasanii wa bongo ingawa hawampi heshima yake, hivi jina lake la Lil Sama aliliachaga 😂

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty Год назад +1

    Ila kweli kipindi kile mdogo anafanya vizuri sana na akili zakujitetea bado walikuwa nyuma yke wanaingiza pesa kupitia yeye nimwemwelewa😢❤

  • @kigodatz6458
    @kigodatz6458 Год назад +1

    Nakubali my brather

  • @UtufyoPangachini-ru3yg
    @UtufyoPangachini-ru3yg Год назад +5

    Wewewewe wewe mr blue nakukubali sana sana

  • @browncheyo5554
    @browncheyo5554 Год назад +2

    One of the best interview

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 Год назад

    Karibu waanahabari wote wa Tanzania 🇹🇿 wanaiga sauti ya milad hayo

  • @boniface_mwangala
    @boniface_mwangala Год назад

    Mr Blue normally speaks the reality. Maisha halisia nyuma ya camera!

  • @terrymc5593
    @terrymc5593 Год назад +4

    Nakukubali sana broo baisa maneno yakujenga jamii

  • @WankuruMasanja
    @WankuruMasanja Год назад

    From kenya..namkubali jamaa huyu saana mr blue

  • @babilytv9572
    @babilytv9572 10 месяцев назад

    Bright interview, Presenter umeniangusha wewe ndio kama mgeni kwenye hii interview na mr. Blue ni kama ndo mwenyeji wako.... you are not free boy you are acting like, nat free, nervious like--- I would like to see you the best, and good voice you have but practice more in interviewing

  • @husseinkombo-3447
    @husseinkombo-3447 Год назад +3

    Nimekukumbuka blue mitaa ya mchikichini karibu na kwakina ally kiba.......kitambo tuokota mifuko kariakoo tunauza mtaa wa mweza na madina..au msikiti wa idrisa

  • @KIM-xl6zs
    @KIM-xl6zs Год назад

    Ati mnazi unaota juani, this tanzanian Swahili sounds good, cheers from kenya

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 Год назад

      Samahani amesema mnauzi kuota uwani

    • @KIM-xl6zs
      @KIM-xl6zs Год назад

      @@HisMajesty64 hiyo inamaanisha nini ndugu yangu

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 Год назад

      Kaka yangu hiyo ina maanisha kwamba mnazi umeota kwenye sehemu ambayo si ya kawaida ama inayotarajiwa. Uwani ni sehemu ya nyumba kwa kimombo wanapaita kama sijakosea courtyard. Sasa baada ya kujua maana ya uwa unawezi binafsi kutafsiri Blue amemaanisha kitu gani.

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Год назад +1

    niliwahi kumkuta tabata na mr ommy black sikujua kua ni mr bluu kumbe ndio yeye anajichanganya na masela kibao kure kimanga tbt

  • @emmanuelopiyo6408
    @emmanuelopiyo6408 Год назад

    Mr blue one of my best rappers from TZ much love from Kenya 🇰🇪 but you need to do something with khaligraph jones

  • @rukayyaaliy9713
    @rukayyaaliy9713 9 месяцев назад

    Mungu akubark

  • @AmosSniper
    @AmosSniper Год назад

    Mzee wa chafu tatu ,,,waooooo Big-up sana damu yangu

  • @paulnovatus4920
    @paulnovatus4920 Год назад +2

    Nakukubali Sana baiser

  • @safarimallya4536
    @safarimallya4536 Год назад +1

    Safi sana bro

  • @BrysonMayunga-lc6mq
    @BrysonMayunga-lc6mq Год назад +1

    Nilimuona huyu jamaa kagongwa kahama yuko fresh sana also lulembela geita nakukumbuka ulikuwa road kwenye ndinga lakini hai kama kawaida

  • @FundimusicOg
    @FundimusicOg 16 дней назад

    Saluteee

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Год назад +4

    Uyu mwamba namuelewa sana

  • @ibrahimmasoud8385
    @ibrahimmasoud8385 Год назад +2

    Huyu ndio msanii mwenye styaile ya pekee ,hata akibadilisha staile zinamkataa

  • @zarrykaidza2359
    @zarrykaidza2359 Год назад +2

    wazee blue blue, lkn dimples zimepotea na shavu mjomba nlipenda sana

  • @murarayvan5732
    @murarayvan5732 Год назад

    Apa Rwanda Tunamupenda sana Mr blue

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 Год назад +2

    Yaan umeongea ukweli kbs mm nakujua

  • @saidmajeba9791
    @saidmajeba9791 Год назад +1

    Laiti ningekuwa msanii ningekuwa nachana style na muonekano wa mr blue

  • @salminhustler962
    @salminhustler962 Год назад +2

    Ukitoka kwenye changa moto we mwanaume tumikia watu

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Год назад

    Mr Blue unakumbukaga nilikua nawe 2014 km sukoseiBarking East London

  • @OmarOthmanRashid
    @OmarOthmanRashid Год назад +4

    Show gani ulofanya au safari yako ya uengereza ndio umerudi na Pete zote izo na pesa za kutosha eeeeee naijua iyo

  • @allysaid7108
    @allysaid7108 Год назад

    good speach baiser

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Год назад +2

    Does he still manages himself..??

  • @mustafamusty
    @mustafamusty Год назад

    Yaaaa damu yangu sikupingagi Babylon

  • @jimmymbella997
    @jimmymbella997 Год назад +2

    Nqkubali sana kazi zako

  • @JimmyNtakarutimana
    @JimmyNtakarutimana Год назад

    Eeh nimependa kipindi chako bro? 🇧🇮

  • @SimionFrancis-w4h
    @SimionFrancis-w4h Год назад

    Nakubal sana byaisa

  • @HamisiSwalehe-c5z
    @HamisiSwalehe-c5z Год назад

    Nice

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q Год назад +3

    We "Blue!" Hiyo miwani, ni mambo ya welding au bodaboda?

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 Год назад

    Blue mdogo wangu dah nakuelewa sana janja uko sawa dogo respect sana joh

  • @ngoyaboy1590
    @ngoyaboy1590 Год назад

    Huyuuu jamaa mbona kama millad Ayo

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 Год назад +1

    Kaka blue kumbe uko sahihi na no mkweli bas tunajifunza kupitia mifano yako🙏

  • @ConventionalViews
    @ConventionalViews Год назад

    Legend

  • @kambonamahmadoo6814
    @kambonamahmadoo6814 Год назад

    Blue,,,tisha sana

  • @hoseapeter2240
    @hoseapeter2240 Год назад

    Mbona kuna mengi huuliz maswali yakutupa more story

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 Год назад

    Macho yanaona kama unajibu yes,
    moyo unaona kama unajibu no...

    • @001Xxl
      @001Xxl Год назад

      OK ndio ngoma la moyo wangu iloo

  • @HallanHallen
    @HallanHallen Год назад

    Nakubar maniga

  • @MrDonshady99
    @MrDonshady99 Год назад

    Mbona hakuna relation na title zenu😮

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 Год назад +2

    mtangazaji ame mkopy Millard ayo,,mpaka anakera sasa,,,jaribuni kuwa wabunifu Kwa sauti yako mwenyewe,,una iga mpaka sauti duu

    • @MrishoMzelela-xb9bb
      @MrishoMzelela-xb9bb Год назад +4

      Hamuigi hiyo ni vocal code yake tu sema wewe unamjua Millard na umemzoea

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Год назад +2

      Huyu ndio alivyo punguza makasiliko

    • @michaeljohn9070
      @michaeljohn9070 Год назад +1

      @@kwisa4899 labda Kama ni kaka ako,,usitufanye sisi wajinga bro,,tunaona na tuna elewa pia,,anaiga swaga za Millard,,ila isiwe kesi,,huenda ni jamaa ako,,so hatuwezi elewana kwenye hili

  • @daudpius130
    @daudpius130 Год назад

    Saut yake inafanana na salm kikeke

  • @fahmiabdulla7690
    @fahmiabdulla7690 Год назад

    Mm sijui mmb ya Kujirusha LKN kiSykological (anaonyesha KM MKWELI? au KM Nakosea sorry BUDDYS

  • @cleartzboy
    @cleartzboy Год назад +1

    Hii mario haijue marioo kwa Sasa

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 Год назад

    binadamu hua hatufanani sura tu hatasaut hua tunafanana jamaa saut yake kama millad ayo

  • @emmamga5495
    @emmamga5495 Год назад +15

    Huyu mtangazaji anamuiga sauti Millard Ayo

  • @steve3209
    @steve3209 Год назад +1

    Biz babilon kichaa la Hip hop

  • @AkibaNgombo
    @AkibaNgombo 9 месяцев назад

    Wazii

  • @boniphacemwalikiamos4516
    @boniphacemwalikiamos4516 Год назад

    Sio kwa ubaya lkn naamini kuwa na icon yako wewe kama mtangazaji ni bora kuliko kuwaiga wengine kisa ni mastaa...hapo mmenielewa?

  • @mdundotv4501
    @mdundotv4501 Год назад +1

    KWENYE COVER MMEWEKA PICHA ZA NYUMBA ZA SERIKALI DODOMA NA MR BLUE KUDANGANYA UMA, NAONA MNATUMIA PICHA ZA SERIKALI VIBAYA. ASANTE.

  • @Msemaukwelikweli
    @Msemaukwelikweli Год назад

    KWANI HUYU NI BROTHER YA ayo?

  • @zondomartine
    @zondomartine Год назад

    Mr Blue Baiser, nouma

  • @RamadhanYassin-k2f
    @RamadhanYassin-k2f Год назад

    Kwel kbs

  • @tpanrag3976
    @tpanrag3976 Год назад

    Hi oya ghsy

  • @HassanShaban-ru2nb
    @HassanShaban-ru2nb Год назад

    Aliwika ni rigendi

  • @rapamafia3365
    @rapamafia3365 Год назад

    Kipenzi cha wanyonge

  • @harizoneVlby
    @harizoneVlby Год назад

    👍

  • @TiphatiphaTifahtifah
    @TiphatiphaTifahtifah Год назад

    Kweri

    • @josephatamos3716
      @josephatamos3716 Год назад

      Dogo namkubali malayakwa kumona ilikuwa baliadi sasaivi inaitwa simiyu anatembezwa juuyagali jioniyake akapafom ukumbi JB zamanisana

  • @bodiboy7166
    @bodiboy7166 Год назад

    Millard voo

  • @iBraah257
    @iBraah257 Год назад

    Blue mtot wa wamjiini

  • @EdwardOmary
    @EdwardOmary Год назад

    Millard Ayo 2

  • @HamisiSwalehe-c5z
    @HamisiSwalehe-c5z Год назад

    Namkubal sana hana makuu huyu

  • @RichardRobert-ou9zh
    @RichardRobert-ou9zh Год назад

    Izo nyumba ziko iyumbu dodoma you dom uko.

  • @hurumasilasmwamwezi4351
    @hurumasilasmwamwezi4351 Год назад

    Reporter boaring, toooò much copying Ayo. Can't you do chakwako

  • @ishaqhashim6333
    @ishaqhashim6333 Год назад +1

    Bro tambala la nn kichwani😂😂😂😂😂😂

  • @ZionTZ09
    @ZionTZ09 Год назад

    Mapete ya kiganga🤭

  • @hdmsasa3355
    @hdmsasa3355 Год назад

    Hd Msasa gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomfunika MC BALAA ruclips.net/video/DFFTXkrlXH8h/видео.htmlttps://ruclips.net/video/DFFTXkrlXH8/видео.html

  • @Jonathankaghese
    @Jonathankaghese Год назад

    😅

  • @harizoneVlby
    @harizoneVlby Год назад

    🤍👍