KING WA MADEM |11|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 166

  • @fayojarso3777
    @fayojarso3777 8 дней назад +8

    Bailam pole sana kwa mimba, lakini hi tamthilia ni mzuri sana sana kabisa god bless you, mimi kutoka kenya, asante sana

  • @maregesipeter4998
    @maregesipeter4998 7 дней назад +7

    #BHAILAM ww ni hatariiii unajua sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DearNaah-st2nx
    @DearNaah-st2nx 7 дней назад +5

    😆😆😆😆baba kijachooo bhailam😂😂😅mamboo😅😊et ap inamiez mi ngap bab😅😅

  • @TREETOPCYBER
    @TREETOPCYBER 7 дней назад +4

    Tamu Sana Nina tumaini kuwa kuna pati lingine❤❤

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 8 дней назад +10

    😂😂😂😂😂😂Kwa hyo baba hii ni ya miezi mingap

  • @BimkubwaMohamed
    @BimkubwaMohamed 7 дней назад +4

    Mwaka wa kijogoo huu kijogoo ndan ya moyo wa kistuli 😂

  • @AlfaneNassoroFahamo
    @AlfaneNassoroFahamo 7 дней назад +5

    Nakukubali sanaaa kijogoo niko Mozambique❤

  • @rajabkiti896
    @rajabkiti896 7 дней назад +3

    😂😂😂shekhe umetisha sanaa yaan humu tuuh,kijogoo kinamimba

  • @JuliusJembelayexu-dh5mm
    @JuliusJembelayexu-dh5mm 7 дней назад +9

    Jamani bailam kayakanyaga tena ila wanamxingizia tu kuwa mimba ni bailam wakat mimba ni ya chacha like yako ni mihim❤❤❤❤❤❤❤

    • @minabuelysee8
      @minabuelysee8 7 дней назад

      Hata mimi nilikua nafikiria ivo ivo

  • @mutindangei9732
    @mutindangei9732 8 дней назад +6

    Nimebaki hapo Kwa mtume😂😂

  • @Nojabz
    @Nojabz 8 дней назад +5

    😅😅😅 bhailam una kazi sanaaa, from drc 🇨🇩

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 8 дней назад +5

    Mganga wa kwanza kusema kweli 😂😂😂 hataki shobo wa maalim😊,aaaaweeeeh 🙌...alafu apo yani mzee simba kuzinduka tu direct akajua ni picha wamedelete mmmh!

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 8 дней назад +4

    Kistuli kiboko... Naona game ndio kwanza limeanza

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 8 дней назад +4

    Kazi nzuri bro bhailam mariam Mzee simba Mzee masuod big up sana

  • @AliJum-pm6mz
    @AliJum-pm6mz 8 дней назад +6

    Iviii naomy kaenda wap jaman

  • @jumasualehe8374
    @jumasualehe8374 8 дней назад +12

    Tena wakwanza mimi... Naomba like zangu

  • @GwagwagwaMkaliwao
    @GwagwagwaMkaliwao 8 дней назад +4

    Sasa kijigoo ndio utembee balabalani😂😂😂❤

  • @DianeAhishakiye
    @DianeAhishakiye 8 дней назад +5

    😂duuhh kazi tunayo

  • @MejaMahuhu
    @MejaMahuhu 8 дней назад +4

    Akuuuu alikua anapenda tuh swaga zangu zile ududu😂😂🎉

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 8 дней назад +3

    😂😂😂😂😂....sisheki kutokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 wanao penda undundu🎉🎉🎉

  • @RazziMusic
    @RazziMusic 8 дней назад +8

    Much love to you ,, from Kenya,,,

  • @MariaTsuma
    @MariaTsuma 8 дней назад +4

    ila bhailam jamani 😂😂 eti anamuliza miezi 😂😂

  • @NiyitangaLeilla-k1h
    @NiyitangaLeilla-k1h 8 дней назад +6

    Waburundi mie wakwanza Tena mwisho hakuna ungine

    • @Keke-m6d
      @Keke-m6d 8 дней назад

      Reka reka 🎉🎉

  • @ProspaSalumLungwecha
    @ProspaSalumLungwecha 8 дней назад +4

    Bhailam kazi unayo na kigoda wako 😂😂

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 8 дней назад +4

    Bailaim umeyakanyaga kakangu 😂😂😂😂😂mimba hiyo

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 8 дней назад +4

    😂😂😂😂 mganga anasema yule mwalim hatar mie mwenyew sitaki hata kumshobokea

  • @Fatma-xm8ej
    @Fatma-xm8ej 8 дней назад +3

    Nimewahi..leo..bahati ya kwangu..💕💕💕

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 7 дней назад +3

    Bhailam umeyatimba nabado utakutwa nazaidi yahayo mana we nisikiyo lakufa halisikiyi dawa😂😂

  • @FurahaSadock
    @FurahaSadock 8 дней назад +3

    Sana sana pia kicheche amekiwasha Kule mfateni

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 8 дней назад +4

    Kijogoo 😂😂

  • @HalimaCharo-n2b
    @HalimaCharo-n2b 8 дней назад +7

    Naomba namba ya huo shekhe

  • @Emerald_Sunny
    @Emerald_Sunny 8 дней назад +3

    Nduguu huponii ukitoka janga hilii uko kulee sai umekamatwa tenaa

  • @abdanchama3022
    @abdanchama3022 8 дней назад +7

    Watoto wa ntwara nnafujoooo

  • @mabingayusuph
    @mabingayusuph 8 дней назад +3

    Nouma sana ais kazi nzr sana

  • @richardharuna2118
    @richardharuna2118 8 дней назад +1

    Kazi nzuri bailam bonga la story mwanzo haikuanza poa ila saiv imekua kal we wekeza t mashabik wanapenda mt alie serious

  • @paulmobagi5063
    @paulmobagi5063 8 дней назад +4

    Mtumee.......😂😂😂😂

  • @ErnestMusukwa
    @ErnestMusukwa 8 дней назад +2

    Bhailam nakupenda sana we endeleatu

  • @bettyfuraha4796
    @bettyfuraha4796 8 дней назад +4

    😂,😂😂😂😂 Balham

  • @slokidog
    @slokidog 8 дней назад +3

    hahhh Bhailam kayatimba jamani kama unamkubali masoud gonga link apa ata moja

  • @saidiaswani-rw2mm
    @saidiaswani-rw2mm 8 дней назад +2

    Unaandika sana kaka dah kazi nzuri

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 7 дней назад +2

    Bailamu😂😂😂😂😂😂😂 love ❤️ 😍

  • @HalimaCharo-n2b
    @HalimaCharo-n2b 8 дней назад +2

    Hongereni sana .

  • @boychidu
    @boychidu 8 дней назад +3

    SAFI SANA 🎉

  • @JulienBaguma-y2s
    @JulienBaguma-y2s 8 дней назад +2

    Léo imefika mapema sana shida tena kwa bailham mume wamimba pole sana😭😭😭

  • @Isael.6396
    @Isael.6396 8 дней назад +4

    Wa kwanza mimi from congo 🎉

  • @abdiazizabdi9583
    @abdiazizabdi9583 8 дней назад +2

    Hapo kwa muda iko sawa 15.52 is enough

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 6 дней назад +1

    Jamaaanii

  • @JayBrown-254
    @JayBrown-254 8 дней назад +2

    Kijogoo,Mr smos!😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MaulidUbaya-d7v
    @MaulidUbaya-d7v 8 дней назад +1

    Khaaaaaaaaah kijogoo nipo nawewe mapaka wakuuwe😂😂😂

  • @Young_p2007
    @Young_p2007 8 дней назад +2

    Big talent my brother 🎉🎉

  • @AlainTuriwa-t2l
    @AlainTuriwa-t2l 8 дней назад +3

    Bhailam😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 7 дней назад +1

    Nilijua hi juice sio yakherii kabisaa mtoto na mama jaman mali mumechukua nabado munamuandama..Angle mwaya umekubali kiapo kwann naunajijua huezi bila mwanaume

  • @NETEYANU
    @NETEYANU 8 дней назад +2

    Kistuli hapana😂

  • @PendoBahati-i1u
    @PendoBahati-i1u 8 дней назад +3

    😂😂😂😂 kwaiyo baba hii Nia miez mingapi

  • @sprinternishuli5810
    @sprinternishuli5810 8 дней назад +3

    😂 Bailham Balthazar 😂

  • @Bbyviny
    @Bbyviny 8 дней назад +3

    Kamluzi kamliam hahahahahahahah🎉🎉🎉🎉

  • @sadiomane124
    @sadiomane124 8 дней назад +3

    Bhailam 😂😂😂 kayakanyaga

  • @IssaBengine-w5v
    @IssaBengine-w5v 5 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂 Ngo kwani niamyezi mingapi
    Bailam kweli. Bado mziki anao

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 6 дней назад +1

    Amazing

  • @WingoAsake
    @WingoAsake 8 дней назад +3

    Wa 31 from Mozambique

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 8 дней назад +2

    Noma sana 😂🤣 mimba 😅

  • @ankochoka
    @ankochoka 8 дней назад +2

    NINGEAMBIWA MIMI HUYU DOKTA ANGENITAMBUA 😁😁😁

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 7 дней назад +1

    Bhailam uta fika mbali sana

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z 6 дней назад +1

    Maalim ni hatarii

  • @munamamaj9622
    @munamamaj9622 7 дней назад +1

    😂😂😂😂😂 hio mimba ya bairam

  • @Ellierhumbaz
    @Ellierhumbaz 8 дней назад +2

    Hii shati ya bhailam nmeiona kwa kelvin

  • @jamesmpinga543
    @jamesmpinga543 7 дней назад +1

    Kali sanaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @titustv2333
    @titustv2333 8 дней назад +2

    I like Tanzanian English 😂😂

  • @LuluPeter-o1t
    @LuluPeter-o1t 7 дней назад +1

    Mmmh movie ni 🔥🔥🔥🔥

  • @AllyAme-n4l
    @AllyAme-n4l 8 дней назад +2

    Daah pole😂😂

  • @Lucy-t7n
    @Lucy-t7n День назад

    Eti alikua anapenda zile swaga zako za ududu😂😂😂😂😂

  • @Michaelunderson
    @Michaelunderson 8 дней назад +1

    Kijogoooo kimempata tena balaaa Sasa limemkuta kubwa tena hatar

  • @AdijaJuma-b6e
    @AdijaJuma-b6e 8 дней назад +1

    Nawa kubali sana 🎉🎉❤

  • @NiyitangaLeilla-k1h
    @NiyitangaLeilla-k1h 8 дней назад +2

    Yupondohuyo kafanya

  • @dimpohzbekah-co5vh
    @dimpohzbekah-co5vh 8 дней назад +2

    Baltazar 😂😂😂

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 6 дней назад

    This is first love from Mozambique ❤🇲🇿

  • @fatematecno3097
    @fatematecno3097 8 дней назад +3

    Hapo masudi kakosea ilikua mimba iyende kwamwenye mimba😂😂😂😂😂😂😂

    • @MATHAYOJACKSONOFFICIAL
      @MATHAYOJACKSONOFFICIAL 8 дней назад +1

      Da hapa movie imekosea mwenye mimba sio bhailam ni jamaa mwingine

    • @SummaiyaKassim-zv5nt
      @SummaiyaKassim-zv5nt 8 дней назад

      Kweli kabisa bhailam rekebisha hicho kipande cha mimba iende kwa mwenye mimba

    • @EsterWilla
      @EsterWilla 8 дней назад

      @@fatematecno3097 kabisaaa mana siku zote mambo kam hiz mimbq huenda kwa mwenye mimba kwel

    • @RukiaManga-z1t
      @RukiaManga-z1t 8 дней назад

      Yy kamlenga tu bhailam ndo maana

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 8 дней назад +1

      Kumbuka wako na kisasi na bhailam,masoud na dadake

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 8 дней назад +2

    Faith una akili

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب 8 дней назад

    Waaaah makubwa haya bhailam murudie mungu wako ww 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aya

  • @EriudiJaphety
    @EriudiJaphety 14 часов назад

    Kwaiyo hiii ni ya miezi mingap??😂😂😂😂 Nimeche ka Sana kama mazuri daaar😂😂😂

  • @salymahMysoul
    @salymahMysoul 8 дней назад +1

    Ila kijogoo 😂😂😂

  • @moretrixxmontana6208
    @moretrixxmontana6208 8 дней назад +1

    Umeweza kistuli

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary 7 дней назад +1

    Mimba ya chacha hiyo

  • @mwantumiddi-h6o
    @mwantumiddi-h6o 6 дней назад

    Jaman bailam kayatimba

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 7 дней назад

    Mko vizul Sana 🛍️😍🇹🇿

  • @NtambaMachunda
    @NtambaMachunda 8 дней назад +1

    Nakubali sana

  • @MoussaAbdoul-wo3ur
    @MoussaAbdoul-wo3ur 7 дней назад

    Kijogo haukomi tu kijogo 😂😂

  • @gabrielkinuka6744
    @gabrielkinuka6744 5 часов назад

    Ya miezi ngapi hii baba 😂❤

  • @leonardthobias2552
    @leonardthobias2552 7 дней назад +1

    nice

  • @SophiaNdayishimiye
    @SophiaNdayishimiye 3 дня назад

    Kazi nzuri ❤

  • @JeanLunda-nv5fd
    @JeanLunda-nv5fd 8 дней назад +1

    Pole bhailam

  • @KulwaAbubakali-m5z
    @KulwaAbubakali-m5z 7 дней назад

    Kijogo kayakqnyagaaa😅😅😅😅

  • @kifalumjanja2428
    @kifalumjanja2428 6 дней назад

    Kubwa kulko😮😮 duuu

  • @TeknochalifoTekno
    @TeknochalifoTekno 8 дней назад +1

    Bom trabalho irmão

  • @RajabuAlly-tg3vh
    @RajabuAlly-tg3vh 7 дней назад +1

    Hapo mmetupiga na kitu kizito maana alieweka mimba ni mwingine why haijaenda kwa muhusika

  • @richardharuna2118
    @richardharuna2118 8 дней назад +1

    Bia❤❤❤

  • @Heiskmb
    @Heiskmb 7 дней назад +1

    Kijogoo

  • @NiyomugaboEric-q3s
    @NiyomugaboEric-q3s 8 дней назад +1

    Wakwanza hapa nawapenda sna like hapa

  • @JACKMIPAMBA
    @JACKMIPAMBA 8 дней назад +3

    😂😂😂😂😂

  • @Bbyviny
    @Bbyviny 8 дней назад +1

    Ko ustazi kashibdwa kuja kama mimba sio ya kijogooo