FAFANUZI KUHUSU MAKANISA SABA(7) YA ASIA NDOGO - 2. SMIRNA (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 окт 2024

Комментарии • 7

  • @bakaribyaombe8223
    @bakaribyaombe8223 Год назад

    Ubarikiwe na kuongezewa hekima na maharifa na Mungu Bishop

  • @BahatiAmani-rx5ne
    @BahatiAmani-rx5ne Год назад

    Asante baba Kwa mafundisho,ninahaja yamasomo haya.

  • @deogratiusmichael7979
    @deogratiusmichael7979 2 года назад

    Bishop Mungu akubariki Sana,umenitia moyo Sana kupitia ujumbe Wa kanisa la smirna.

  • @tgc.mlimamoria3202
    @tgc.mlimamoria3202 2 года назад

    Pole sn Dr. Mungu aendelee kukupa afya. Tunabarikiwa na masomo

  • @prospermanga2268
    @prospermanga2268 2 года назад

    Hongera sana Bishop. Na pole Tunakuombea uendelee kuimalika.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 2 года назад

    Masomo mazuri sana. Sasa nimepata kuelewa vizuri maana ya Makanisa Saba ya ufunuo

  • @stevenjohn3688
    @stevenjohn3688 Год назад

    Shalom Bishop, tunashukuru kwa elimu hii muhimu kufahamu historia ya kanisa lkn pia kwa maisha yetu ya sasa. Ili iwe rahisi kwetu kufuatilia clip hizi ni vizuri ziwe na mtiririko wa namba hasa kama masomo ni ya kitabu au mada moja. Tunapata shida kidogo kujua niliishia wapi na naendelea na clip ipi.