𝗠𝗔𝗦𝗨𝗙𝗜 𝗦𝗔𝗪𝗜𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗥𝗜𝗦𝗧𝗢 | Hawana Tofauti

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 191

  • @SansiroMpambanaji-cw1fz
    @SansiroMpambanaji-cw1fz 17 дней назад +2

    Jamani tumuogopeni munguu tusifuate matamanio tutakujakujuta kilamtu aiangalie naafsiyake vizuuuuri kisha ndo amueke wenzake anapotaka

  • @KaramaKarama-jm7qo
    @KaramaKarama-jm7qo 17 дней назад

    Huyu izudin c mwamjuwa ni mvutaji bangi aisee.Anaitwa sheikh kula wao

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 21 день назад +4

    🔉🔉mpaka kueleweke 🔥 🔥 🔥

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      wewe ni jahil murakB

  • @famaufarmajo9665
    @famaufarmajo9665 21 день назад +1

    Allah Atuongoze Nakutupa thabat katika dini

  • @GHOST_bravo.07_TF141
    @GHOST_bravo.07_TF141 18 дней назад +1

    tawheed na sunna ni neem kubwa sana

  • @IsmailMohamed-p7s
    @IsmailMohamed-p7s 20 дней назад +1

    UJINGA NA MATAMANIO NI OUVU NA UPOTOFO NDIYO AKIPELEKA WATU KUANGAMIA KWA SHIRKI NA BIDAA. KUACHA TAWHID NA SUNNA NI KUANGAMIA. ALLAH MUSTAGHANI

  • @rushu1232
    @rushu1232 21 день назад +6

    Hii ni dhulma hali ya juu kufananisha ndugu zako waislamu na makafiri sababu ya ikhtilaf.

    • @bagalucha
      @bagalucha 21 день назад +1

      Jee ni sawa kupitia jina la nabii Issa/yesu kwa jaha/wema wake,au kwa jaha zao,,kuomba kwa jina lake,kama mtume wa Mwenyenzi Mungu,jee hivi inafaa??na yametokea wapi,jee kuna wakati wowote mtume,alielekeza kuomba kwa hii,kupitia wafu.

    • @rushu1232
      @rushu1232 20 дней назад

      @@bagalucha kwanza nabii Issa ni Mtume tena karika ulilazmi kisha kosa la watu fulani huwezi kuchanganya wote kuna baadhi ya masheikh zenu ni mafedhuli lakini huwezi sema wote ni mafedhuli.

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      ​@@bagaluchasoma kwanza ndio uoinge mambo

    • @nassor6333
      @nassor6333 20 дней назад +2

      Mbona na sisi mnatufananisha na Mayahudi

    • @Dawah99
      @Dawah99 19 дней назад

      Tatito masufi hawafaham, hii tawassul wanayofanya ni ushirikina ambayo haina tofauti na wakristo, Allah ataka aombwe peke yake bila ushirika na bila ya kuwekwa mtu baina yake na dua. Ila masufi wanapotosha watu.

  • @SuleLeshi-t2m
    @SuleLeshi-t2m 20 дней назад

    Mtihani huyu sheh ndo waksklizwa kwel mashehe wamelewa dunia

  • @khamishaji9508
    @khamishaji9508 20 дней назад

    Duuuh ndugu muombe msamaha sanna mungu kuwafananisha ndugu zako na makafiri😢😢

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 20 дней назад

      Je una ilimu yoyote ili ututolee? au ni maneno matupu tu? Tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli

    • @Hussein-Abu-Fathiyyah
      @Hussein-Abu-Fathiyyah 20 дней назад

      Hawa mandugu zetu wetu wametoka draw na wakristo kwa hili

    • @khamishaji9508
      @khamishaji9508 20 дней назад

      @@islaminmyheart9348 nakwambiaje hio ilio tumika hapo ni tawassuli na elim ya tawassuli nyie ndo mwaji fanya hamuitaki angalia uzuri katika kipande cha saidi anapo sema kutawassal mwenye channal karudia mara 2 kuonesha anakejelo tawassal kwa kufananisha na kuabudu , ,wakati hata ma imam wemgi wamekubaliana nalo hilo suala la kutawassal mpaka imam ahmad hakulipnga na mama imam tele na vitabu vimejaa kwa mapoloooo ,, nyinyi mupo na misimamo yenu na kupewa kasumba mbaya haya tulisha ya jibu mnoo ila munashikilia apo apo kweny itikadi yenu,, kubwa ni kutaka watu wafuate dini yenu nasio ya uislam ,, hichi alicho kifanya mwenye channel amefika mbali mnoo , sisi hatuiti wale tunao wafanyia tawwasuli hatusemi kua ni waungu bali ni aina ya ibda ambayo kisheria ipo na ina sababu nyingi sanna ,,

    • @khamishaji9508
      @khamishaji9508 20 дней назад

      @@Hussein-Abu-Fathiyyah kwanza ukiristo unaitakidi kua yesu ni mtoto wa mungu je sie tuanitakidi hivo?? ,, pia yesu amekuja kukomboa dunia kwa imani za wale wenzetu??pia yesu kafa msalabani sie tunaitakidi hivo?? ,, ,,,, imma ukija upande wa tawassuli njoo upinge kwa dalili nasie tutakupa zetu,, ,, imma sie tunaitakidi tuanweza kutawassali hata na mitume na huo ndio msimamo wa imam ahmadii kutawassal hakuna shida ,, wewe ni mpotoshaji kiongozi rudi kwa mungu ,,

    • @Hussein-Abu-Fathiyyah
      @Hussein-Abu-Fathiyyah 20 дней назад

      @@khamishaji9508 thibitisha kama itikadi yenyu kwa tawassal ni tafauti na ya wakristo

  • @bagalucha
    @bagalucha 20 дней назад

    Tena unajua kuwa hawa masufi wengi huishia wakawa waganga wa kienyeji.

  • @shariffali7780
    @shariffali7780 21 день назад +1

    Maadui wa kiislamu wanajua mtu akiwa ni mtu wa tasawwuf hawamwezi, sasa wamewapata vibaraka vyao katika sisi kutaka kuchafua ilm ya tasawwuf!

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 20 дней назад

      Mkuki kwa nguruwe,kwa binaadamu mchungu,huyu kaona mbali,jamani utukufu wa Allah ni mkubwa,ikiwa kama bahari iwe wino hautoshi ,kuandika şifa za Allah,hivyo viumbe vyake,mvifanye vishawishi vyake mnavishirikisha kwa lazima???,hamuoni kama mnapotoka???

    • @bagalucha
      @bagalucha 12 дней назад

      @@shariffali7780 Tasawwaf gani hiyo,ya kumshirikisha Allah,na makaburi,nani haswa alokuelekezeni hayo

  • @MohamedMbaruku-yl6dg
    @MohamedMbaruku-yl6dg 20 дней назад

    Tofauti ni Laa ilaha illallahu Muhammadan Rasoulullah

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 19 дней назад

      @@MohamedMbaruku-yl6dg umepeleka mbali malisho ewe! Mohamed. Laa ilaha illa llahu ina vitenguzi vyake na Moja Kati ya hivyo ni "kujaalia baina yako na baina ya Allaah mtu wa kati kati ukawa unaomba huyo na unamtegemea akupelekee maombi yako kwa Allaah, haya ni ukafiri tena kwa makubaliano ya wanachuoni " rejea kitabu Cha vitenguzi vya uislam Cha Sheikh Al Mujaddid Muhammad bin Abdil wahhabi.

  • @salimumbaruku2913
    @salimumbaruku2913 20 дней назад

    Kijana ukiwa umeyazungumza hayo kwa kutania yaani mashara tu basi Sawa. Lakini ikiwa ni kwa kielimu basi bado nenda kasome na umuombe Allah akupe hekma na busara katika Maisha yako.

  • @khamishaji9508
    @khamishaji9508 20 дней назад

    Na ikiwq una wa fananisha masufi na manasara kwa hakki basi mungu akulioe kheri na ikiwa hukutemda hakki mungu akurudishie mwenyewe ukafiri na watu washuhudie ,, 😢😢

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 20 дней назад +2

    Wallahy namshukuru Allah kunitowa katika uho usufi na kuifahamu dini sahihi na njia ya mtume muhammadi sala na salamu ziwe kwake, tulipotezwa sana na hawa watu wallahi allah haitoiacha dini yake idondoshwe na njia za kisheitwani atailinda mpk kiama, pamoja na kuingiza kwao batwili masufi, hakki allah ameinyanyua juu, saivi katika usufi wamebaki wazee wale washirikina shirikina na vijana mazezeta tuuh, wasoelewa dini yao na tunawqombea kwa Allah azidi kuiangaza hii nuru ya usalafi kwa watu walopotezwa waone mwanga mana wapo kizani bila kujijuwa

    • @khamishaji9508
      @khamishaji9508 20 дней назад

      Wewe endelea kuwatetea hawa wajinga peke ako ,, vitabu vya masheik wakubwa ulimwenguni vinakubali kutawassuli kasome we panya

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 20 дней назад

      Maashaallaah kama umeongoka kwa kuwaacha masufi hongera kaa huko huko lakini siku ya qiyama tutajuana nani mushriki na ni nani Muslim wa kweli

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 20 дней назад +1

      ​​@@abuuayoubayoub9260kwa hakika umepeleka mbali malisho! Vipi ukija kujua hiyo siku unayosema kuwa wewe ndo upo kwenye makosa, itakusaidia nini kujua kwako siku hiyo? Una nini ndugu yangu? Unahukumu vipi? Au unacho Kitabu ambacho mnasoma kuwa nyinyi mtayapata hayo mnayo yachagua? Basi wapi mnaelekea?. Kujua ni hapa duniani, hakikisha unachokijua na kukiamini Je! Kinaendana na Qur'an na Sunnah na kinaendana na maswahaba? Kama kina endana bainisha kwa hoja na Sisi tutakuamini na kukufata. Ama malalamishi na kulalamika hiyo siyo hoja. Na Allaah ndo wakuombwa msaada

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      ​@@abuuayoubayoub9260yani kutika kwenye usufi ukenda kwenye utatumtakatifu ndio kuokoka dah mawahabi bwana

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 20 дней назад

      @abuuayoubayoub9260 Muslim wakweli waabudia maiti siooo hatarii xana mtu akipotea wakumuongoza ni Allah sijui siku utaongea maneno hayo wakati moto upo mbele yako utayakumbuka hayo maneno yako unayorahisha

  • @abumuadmahatmohamed
    @abumuadmahatmohamed 21 день назад +5

    🔨 MPAKA KUELEWEKE

    • @أبومعاذ-ض6ع6ب
      @أبومعاذ-ض6ع6ب 21 день назад +5

      Mpaka kueleweke!Kwamba hii ni Sunna wajib kuifuata na hii ni Baadil ni wajib kuiacha!

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      ​@@أبومعاذ-ض6ع6بnyinyi mawahabi mnafuwata suna ipi.zaid ya.fitina.pembe ya shetwani kutoka najdi

    • @shaibamran5419
      @shaibamran5419 21 день назад +2

      kabisa

    • @MussaSeif5G
      @MussaSeif5G 21 день назад

      Duuuih!!!! Haw watu hawan mungu​@@shaibamran5419

    • @MussaSeif5G
      @MussaSeif5G 21 день назад +1

      Wanakufuru saw na wakristo

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 19 дней назад

    Jameni tuongeze mb view's zinalipa 😂😂😂😂😂 twende nalo

  • @KhamisiMulusi
    @KhamisiMulusi 21 день назад

    Sub-haanallah -masufi mmefika mbali

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      kukiko nawhabi waliomgawa mungu kwenye utatu ntakatifu

    • @bagalucha
      @bagalucha 19 дней назад

      Mimi nimeyasema hayo hapo chini,unalolipinga wewe ni lipi??
      Hiyo Ndo elimu,katafute matari upige,hiyo ndio elimu yenu kubwa,
      Kwa hayo niliyoyanukuu kutoka katika Quran na maneno ya mtume mwenyewe,ya kwamba hakutaka kaburi lake lijengewe,pinga hayo kielimu,reference zote nimekuwekea.kama mtupu Huna elimu,funga mdomo wako,katafute maulidi upige matari.

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 13 дней назад

      ​@@darajanidaUtatu Mtakatifu ni Wawakristo kama mnaotaka kuleta kupitia video clip hiyo,,,, Vile ni Vigawanyo vya Tawhid sio Vigawanyo vya Mungu

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 13 дней назад

      ​@@darajanidaTawhidu uruhuiya-Kwa Allah peke yake ndiye anayestahiki kuabudiwa
      Tawhidu rububiya- Kwa Allah peke yake ndiye muweza na mmiliki wa kila kitu mfano muumbaji, mtoa riziki, mkadiria mambo
      Tawhidu asmai wa swiffat- Kwa Allah anamajina mazuri mazuri na Yana sifa zakee
      Haya nitajie Kuna miungu gani wengine asiyekuwa Allah hapo

    • @darajanida
      @darajanida 12 дней назад

      ​@@emanuelkyomo3772sasa ukisema tauhid uluhiya.tauhid rububiya ndio umesema nini wskat allah ns rabu ndio huyo huyo ukiamin uluhiya.ndio umeamin rububiu.na.ukismini rububiys.ndio.umeamin uluhiya na ukiponga moja tu katika hivo ndo umepinga vyote sasa hapo itagawika vipi tauhid

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo 20 дней назад

    Nanyinyi hamna tofauti na nayahudi

    • @nassor6333
      @nassor6333 20 дней назад

      Mshasema sana hivyo Wala Haina tabu.

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 20 дней назад

    Nivizuri Watu Wakasoma Kwa Watu Wenye. Nenda Kwenye QUR'AN Surat QAHF Nenda Kadoma Kisha Cha Asw'habu QAHAF

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 20 дней назад

    Watu wa maulid bhana Ah! Si kuomba maiti tu, huku kwetu mpaka wanasomea sanamu hitima...

    • @MussaYasini
      @MussaYasini 20 дней назад +1

      😢

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад +1

      lete ushahid.wa hilo

    • @bagalucha
      @bagalucha 20 дней назад

      Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi??
      Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
      Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
      [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
      Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 19 дней назад +1

      @@darajanida wakaidi ninyi na itikadi zenu mbovu hizoo

    • @darajanida
      @darajanida 19 дней назад

      @@AbdulIssa-o7e wakaod kivip kwahiyo mtu akisema kitu tuwamini tu bila ushahif halafu kama upo tayar tuwangalie uchafu uliomo kwenye vitabu vya kiwshabi na vitabu vya kisufi upo taar tuwaze mjadala

  • @hamidayoub1387
    @hamidayoub1387 20 дней назад

    Ukihisi kuwa wewe ni mwema bas jukumu lako ni kuwaombea wale waliowaovu kwa kwa mujibu wa mtazamo wako .
    Dharau allah ameharamisha , vip uwadharau waislaam wenzako ?

  • @abdisalat1579
    @abdisalat1579 21 день назад +2

    Kwanini upitie na usiombe direct

    • @swabrianwar1020
      @swabrianwar1020 20 дней назад

      sababu mtume kafundisha

    • @abdisalat1579
      @abdisalat1579 20 дней назад

      @swabrianwar1020 mtume kafundishe kama dua kuombewa ni kwa alive hair si maiti

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      ​@@abdisalat1579kwani yule maiti ndio naeomba au mawahabi hawana ufahamu

    • @bagalucha
      @bagalucha 20 дней назад

      Allah kakataza kuomba wafu
      Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
      Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
      [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
      Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki

    • @bagalucha
      @bagalucha 20 дней назад

      Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi??
      Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
      Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
      [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
      Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki

  • @OmarAidarusHussein
    @OmarAidarusHussein 21 день назад

    Hili jamaa lenye hii channel lajifanya mtakatifu kweli kama kweli wapiga watu rudud na mambo ya dini ungefats mienendk ya Mtume wetu maana kwa ilmu niliyonayo hakuna hata siku moja alisimama kwa mimbar akapiga waislamu wenzake radhi
    In shaa Allah utakua Kuni katika kuni za motoni kwa kudanganya watu na kupoteza watu

    • @bagalucha
      @bagalucha 20 дней назад

      Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi??
      Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
      Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
      [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
      Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki

    • @farajichilumba5114
      @farajichilumba5114 20 дней назад +1

      Kwani mwenyewe kaongea

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 21 день назад +2

    Mpk mtu kuamua kumuita mwenzako kafiri yatakiwa ujue kitu kimoja tuu ikiwa mbele ya Allah Hana ukafiri ujue ukafiri apo warudi kwako moja Kwa moja Na Allah ndio ajua zaidi Nani muislamu na Nani kafiri haya twendeni nalo tuu ivoivo lkn tuogopeni cku sote tutakapo kua mbele ya Allah

    • @bagalucha
      @bagalucha 20 дней назад

      Sasa uzito umezidi wapi,ukafiri?na kuufanyia tashtiti utukufu wa Allah Al Wahab,mnavuka na kulitengenezea upotoshaji ,kwa nini msitafute jengine,Hasbünallah waneema lwakil,baya zaidi mnazuwa na kulazimisha na kejeli vicheko,ati mawahabi,mkaongeza juu tena mayahudi,sasa nyinyi mwaka mzima fanyeni maulidi,na sisi mwaka mzima tutautukuza utukufu w Allah.

    • @bagalucha
      @bagalucha 20 дней назад

      Mkuki kwa nguruwe,kwa binaadamu mchungu,huyu kaona mbali,jamani utukufu wa Allah ni mkubwa,ikiwa kama bahari iwe wino hautoshi ,kuandika şifa za Allah,hivyo viumbe vyake,mvifanye vishawishi vyake???,hamuoni kama mnapotoka???

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 20 дней назад

      Kwani mtu akiwa hai kukuombeeni haitoshi???mpaka wawe wafu,Ndo nyinyi mridhike??,masufi mnaudhalilisha uislamu,ati anajifahamu sheikh,a Naomba kwa jina la yesu??

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      ​@@sabraham5308soma kwanza ndio useme

    • @bagalucha
      @bagalucha 20 дней назад

      Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi??
      Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
      Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
      [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
      Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki

  • @NassorMuyugumbi-p9q
    @NassorMuyugumbi-p9q 18 дней назад

    Masalafi hamjachoka Kiki, leo hi mumeamua Bora muwatoe wenzenu kwenye DINI waziwazi
    Alooo
    Hivi NINYI ninwakamilifu kiasi gani????
    Mnajua kwamba sisi maamuma tunawachekecha alafu tushagundua kuwa huo upande wenu pia Kuna kupenda dunia kulikopitiliza ktk upande wenu, au Bado hamjitathmini namna mlivyobaki kuwa hamsumbui kabisa

    • @Daifar100
      @Daifar100 17 дней назад

      Hao masharufu ndio wapenda dunia ndio maana walipokuja wakoloni waliofyata kimya hawana mchango wowote..wapenda dunia wanadai mpaka usharifu wa uongo ili wapate pesa, wanasoma dua na albadiri kwa ajili ya matumbo...mashekhe ubwabwa

    • @NassorMuyugumbi-p9q
      @NassorMuyugumbi-p9q 16 дней назад

      @Daifar100 umeamua kiwajibia siyo,
      Haya twende taratibu,
      Unasemaje kuhusu masalafj kwa masalafi kupigana RADDI NISAWA???
      HILO MOJA;
      MBILI;
      USHAWAHI KUONA HAO MASHARIFU NA WAOIGA MADUFU WANA MAGOMVI YA KILA SIKU KAMA MASALAFI!!!???
      TATU;
      KWA MUJIBU WA DINI MAWAIDHA/NASAHA NI KWA HEKIMA NA MANENO MAZURI, HUU UTARATIBU WA RADDI NI NINI MAANA YAKE, TENA MUDA MWINGINE HUINGIA HADI KWENYE MAISHA BINAFSI, HIYO INAKUWA NI NASAHA AU KUSENHENYANA!!!???
      NNE:
      KWANI HADI SASA MASALAFI KUNDI LAO LINA MAPOTE MANGAPI, NA NINI MAANA YA KIGAWIKA KWAOO!!!??
      TANO:
      INAKUWAJE UISLAM UWE KAMA DINI ILIYOMILIKIWA NA KUNDI FULANI, HII YOTE NI KUTAFUTA NINI KIAS KWAMBA WANAMUINGIZA NA KUMTOA WAMTAKAE, HAYA NDUGU KWA DHAMANA IPI NA IMETOKA WAPI HADI WAFANUE YOTE HAYO!!!???
      TAFAKARI VYEMA NA CHUNGUZA KWA KUTULIA SIYO UNAJIJIBISHA JIBISHA KIRADDIRADDI DUNIA YA SASA SIYO YENYEWE.

  • @rushu1232
    @rushu1232 21 день назад

    Kisha mwajiita masalafi ni usalafi gani munalazima kutowa watu katika dini kwani ni ya babayenu.

    • @nassor6333
      @nassor6333 20 дней назад

      Mbona na nyinyi mnatutoa kwenye dini Tena mnatuita sisi ni Mayahudi. Mkuki Kwa nguruwe

    • @rushu1232
      @rushu1232 20 дней назад

      @nassor6333 kwahivyo sisi sio waislamu na sio waislamu na mashia sio waislamu maibadhi sio waislamu kwahivyo ulimwengu mzima hakuna waislamu twatowana sisi kwa sisi.

  • @johancruyff1408
    @johancruyff1408 20 дней назад

    💉 wape dose mpaka wanyooke

  • @muhammadnassibu7706
    @muhammadnassibu7706 18 дней назад

    الله المستعان!! Yani salaf hawakuwa waongo kusema dhambi za shahwa ni afadhali kuliko bida'a,

  • @khamishaji9508
    @khamishaji9508 20 дней назад +1

    We jamaa unachuki tu asaa kuenda makaburini ni kufanya ibada ,, tutaenda mbwa wewe usituchanganye na tukifika huko tutawasomea quran na tutafanya kheri ili ziwafikie wao na izo sumu zako hazitofika popote fala mmoja wewe

  • @zakiabdulrahman-w4y
    @zakiabdulrahman-w4y 21 день назад

    makafiri hao

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      ukimuita mtu kafir kama.si kafir hee sijui itajuwaje soma hadithi yamtume utaoata hukumu ua jambo hilo

  • @KikwaleRashidi-e3y
    @KikwaleRashidi-e3y 19 дней назад

    Usalafi na ukristo Wana tauhidi Tatu ?
    Ukitaka Dalili zipo

  • @bagalucha
    @bagalucha 20 дней назад

    Mkuki kwa nguruwe,kwa binaadamu mchungu,huyu kaona mbali,jamani utukufu wa Allah ni mkubwa,ikiwa kama bahari iwe wino hautoshi ,kuandika şifa za Allah,hivyo viumbe vyake,mvifanye vishawishi vyake???,hamuoni kama mnapotoka???

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 21 день назад

    nihiii ndio masufi kukataa tawhidi rububiah, mushrikina wa kikureishi wana kiri rububiah wakati wa kukabiliana na hali ngumu, lakini wakimbilia makaburini na kupitia miti

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      huna hufahamu wa jambo hilo waropoka tu

    • @hassanmohamedabdalla4108
      @hassanmohamedabdalla4108 20 дней назад

      @darajanida soma vitabu za dini utaelewa zaidi

    • @darajanida
      @darajanida 20 дней назад

      @@hassanmohamedabdalla4108 wewe naona huelewrki nimekuwambia.huna ufahamu wa jambo jhilo haya lete ushahid kuwa makafir wana tauhid rububuya karibu

    • @bagalucha
      @bagalucha 20 дней назад

      Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi??
      Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
      Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
      [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
      Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki

    • @bagalucha
      @bagalucha 20 дней назад

      Allah na mtume wake wameyakataza haya,hawa masheikh wanaotapakaza uwongo,wameyapata wapi??
      Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
      Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
      [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
      Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki

  • @MohamedMbaruku-yl6dg
    @MohamedMbaruku-yl6dg 20 дней назад

    Nyie mashekh wasiku hizi mupo sana kimslahi ya kidunia inaulazima gan kuwasema waislamu wenzako ili iweje?Acheni mambo hayo wewe unauhakika gan kuwa yote unayoyafanya yapo sawa na Allah anayakubali mumefikia mahala munawafananisha waislamu wenzenu na makafiri.Sio vzur mujiangalie na munavyovipost.wewe ulieopost hii video je kutawasali hairuhusiwi katika dini? Acheni kuiga na kufuata mikumbo.Elimishen katika media na sio kupotosha

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx 21 день назад +1

    Wacha ujinga mwenye hii Chanel nenda ukasome

    • @OsmanMahamed-o5k
      @OsmanMahamed-o5k 21 день назад +1

      Wewe ndiyo uwache ushirikina wewe ndiyo una fa ukasome touwhid

    • @darajanida
      @darajanida 21 день назад

      ​@@OsmanMahamed-o5kelezea ushikina gani uliopo au ndio kirusi cha kiwahabi kisha kuwathir😮😮😮

    • @9119-r4t
      @9119-r4t 21 день назад

      مثل هذا المشرك مثلهم

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 21 день назад

      ​@@OsmanMahamed-o5kAhlu bidaa mnamatatizo unawaambia wenzio wakosome kumbe ww ndo jahli, inatakiwa usome ujue kutofautisha shirki na tahweed, hakki na batwil saw akhy pata ilmu utajuwa lasivyo utakuwa kibubusa

    • @HamisiKacheche
      @HamisiKacheche 21 день назад

      Masufi wanamumini Allah na mtume wake na yoote aliyo kuna nayo,,pia wanasoma quran na kuiyamini,,pia wanaitakid kuwa issa ni Mtume wa Allah wala si Mungu, lakini wakristo wao haya yote ni kinyume chake,,,utawezaje kuwafananisha waislamu na wakristo? Hivi masufi kesho kwa Allah wakilalamika kwa kuwaita wakristo nyie mtajiteteaje ? Yaani utatumia dalil gani ambayo imekuruhusu kuwaita wakristo? Embu muda mwengin tumchen Allah,,,juen Allah ni muadilifu na anamalaika wake wanaoandika kila kukicha kitu,,, tuacheni chuki bali uwadilifu ni kitu muhimu,,sina elimu kubwa wala si ng,aalim bali ni mawazo yangu finyu tu hayo