HUYU NILIKUWA NAMUELEWA SANA ASA NAONA ANAELEKEA KUCHANGANYIKIWA MWANZON KABISA KASEMA UNAMUITAJE DULLY SYKES A LEGEND UNATAKA UMNYIME MICHONGO THN MWISHON KAJA KASEMA TENA MFANO MTU KM DULLY SYLES HE DESERVE TO B A LEGEND ASA NDO NIN ANAPINGANA NA KAULI ZAKE MWENYEW
Legend aliyoikataa ni ya maana ya kibongo, na legend kwa maana ya legend kweli ndiyo kawataja.Kwa kifupi tu Tanzania ina watu wengi wako nyuma ya wakati,na wajinga wamewazidi nguvu wenye maarifa katika maeneo fulani fulani
Kwa TZ, Album za kuandika na kufyatua nyimbo kusema album unaweza ukawanazo hata 1000. Lakini USA ni process sana kurecord album na kuipelrka sokoni ni kazi nzito ambapo utatumia pesa nyingi sana. Lakini bongo ukiwa na milioni 1 unarecord album na kuipeleka sokoni
UNJU yupo kwenye game mwaka wa ngapi mpaka ashindwe kuwa na album 11? Au ni kwamba mashabiki tumelemazwa na wasanii wetu kwa kutokua na utamaduni wa kutoa album. Kwa hiyo tukisikia Kuna msanii ana album 11 sokoni tunashtuka. Gharama kuwa kubwa Kuna sababu zaidi ya kuingia studio kurecord, kama vile matangazo, usambazaji, n.k vitu ambavyo Kwa wasanii wetu huvifanya wenyewe kutokana kwamba walaji muamko wao ni mdogo, hawapendi kununua wao wanataka Bure, kusikiliza album zenyewe ni mtihani hata hizo unazoziita za kimarekani, katika 10 unaweza usimpate hata mmoja. Asa kibiashara inakua haina maana kuweka budget kubwa katika promotion na distribution ikiwa return yake inakua ni ndogo. Zaidi zaidi tunao faidika ni sisi familia, tunanunua Kwa 20,000/- au 10,000/- kutia Whatsapp basi. So mwisho wa siku uzalishaji kuwa na gharama kubwa haimaanishi basi kitu kinachozalishwa kitakua na ubora. Mfano mzuri Album ya Kendrick Lamar - Mr. MORALE nadhani Kwa uzalishaji ilitumia gharama kubwa kuzidi hii saizi ya GNX, kutokana kwamba promotion yake ilikua ni kubwa. Lakini mapokeo na ubora ni vitu viwili tofauti, GNX > Mr. MORALE. Mimi nadhani tuendelee kuwa support Kwa kununua album zao pindi wanapokua wakizitangaza katika page zao za Instagram. Maana wasanii wanaotoa album Kwa bongo ni wachache sana. Tena tunashukuru Hawa maana naona hata upande wa bongo fleva wameanza kuamka pia.
Asikimbulie kutoa album atoe hata wimbo moja tu utakao kua back up ya hihop kama jay na chemsha bongo na sio ujuaj mwing na ushamba mwng wa kujifanya anajua sana he us still learning but mwalim wao hakua na fimbo
@@godsson5954 Nikkimbishi ajenge carrier yake tena? Wakati anatimeless song kibao kama Kila siku, playboy, chelea pina, nyakati za mashaka, Romanza e.t.c
Nikki Mbishi anajua🎉🎉🎉🎉
Big up kwa wanawote waliotokea TmT. Salute kwa Unju
Huyu Ukonga. Ilala hiyo
@@beatbyrich2891kwani TmT inamaana gani?
Keep learning, keep rising bro Unju WM 🫡
interview za unju ni kali hazichoshi respect ❤❤❤
Much respect jogoo 😊😊
Respected broo😅😅
Nikki kweli ww ni mbishi 😂😂😂😂😂ukiitwa legend umezalilika kma mzee flani
Oi oi heshima sana rasta interview kali sana ✊🏿
Oiiii Respect Sana Mwanangu
Big thinker
❤❤❤❤ respectful
Rap Legend mbona heshima kubwa sana.
Eti sicheki na wowote
Nikki mbishi hip hop icon
Real hip-hop
HUYU NILIKUWA NAMUELEWA SANA ASA NAONA ANAELEKEA KUCHANGANYIKIWA MWANZON KABISA KASEMA UNAMUITAJE DULLY SYKES A LEGEND UNATAKA UMNYIME MICHONGO THN MWISHON KAJA KASEMA TENA MFANO MTU KM DULLY SYLES HE DESERVE TO B A LEGEND ASA NDO NIN ANAPINGANA NA KAULI ZAKE MWENYEW
Legend aliyoikataa ni ya maana ya kibongo, na legend kwa maana ya legend kweli ndiyo kawataja.Kwa kifupi tu Tanzania ina watu wengi wako nyuma ya wakati,na wajinga wamewazidi nguvu wenye maarifa katika maeneo fulani fulani
ukiwa na akiri kweny kijiko kamwe huwez muelewa unju
Unju kma unju
Sugu ana albums 13
Cku hizi vyuo vikuu vinaproduce machawa tuu 😂😂😂😂😂😂kina mwijaku
Track za bogota na kopareti naziskiza siku nzima na hazichuji maze
Unju mwana hip-hop halisia na msema ukweli na msema ukweli anachukiwa Niki wambie ukweli at wakinuna
Kwa TZ, Album za kuandika na kufyatua nyimbo kusema album unaweza ukawanazo hata 1000. Lakini USA ni process sana kurecord album na kuipelrka sokoni ni kazi nzito ambapo utatumia pesa nyingi sana. Lakini bongo ukiwa na milioni 1 unarecord album na kuipeleka sokoni
UNJU yupo kwenye game mwaka wa ngapi mpaka ashindwe kuwa na album 11?
Au ni kwamba mashabiki tumelemazwa na wasanii wetu kwa kutokua na utamaduni wa kutoa album. Kwa hiyo tukisikia Kuna msanii ana album 11 sokoni tunashtuka.
Gharama kuwa kubwa Kuna sababu zaidi ya kuingia studio kurecord, kama vile matangazo, usambazaji, n.k vitu ambavyo Kwa wasanii wetu huvifanya wenyewe kutokana kwamba walaji muamko wao ni mdogo, hawapendi kununua wao wanataka Bure, kusikiliza album zenyewe ni mtihani hata hizo unazoziita za kimarekani, katika 10 unaweza usimpate hata mmoja. Asa kibiashara inakua haina maana kuweka budget kubwa katika promotion na distribution ikiwa return yake inakua ni ndogo. Zaidi zaidi tunao faidika ni sisi familia, tunanunua Kwa 20,000/- au 10,000/- kutia Whatsapp basi.
So mwisho wa siku uzalishaji kuwa na gharama kubwa haimaanishi basi kitu kinachozalishwa kitakua na ubora. Mfano mzuri Album ya Kendrick Lamar - Mr. MORALE nadhani Kwa uzalishaji ilitumia gharama kubwa kuzidi hii saizi ya GNX, kutokana kwamba promotion yake ilikua ni kubwa. Lakini mapokeo na ubora ni vitu viwili tofauti, GNX > Mr. MORALE.
Mimi nadhani tuendelee kuwa support Kwa kununua album zao pindi wanapokua wakizitangaza katika page zao za Instagram. Maana wasanii wanaotoa album Kwa bongo ni wachache sana. Tena tunashukuru Hawa maana naona hata upande wa bongo fleva wameanza kuamka pia.
Kajaribu hata 1 tu😂
Una uhakika ?
ukiwa na akiri kweny kijiko kamwe huwez muelewa unju
Unamuita dully sykes je steve wonder utamuitaje ??
Tmt Festival ❤
Oooiiii Mashariii
Bonge la interview 🎉🎉🎉 Maushap.....Rastaaaa
Oooooiii Heshima Sana Mwanangu ✊🏿💪🏿
More than Nokia 😂
Album nyng za kufanyia nn?? He needs to drop one or two hit songs for his damn career
Asikimbulie kutoa album atoe hata wimbo moja tu utakao kua back up ya hihop kama jay na chemsha bongo na sio ujuaj mwing na ushamba mwng wa kujifanya anajua sana he us still learning but mwalim wao hakua na fimbo
Hunju aheshimike tu
Anamzidi soggy kwa album??
Nikkimbishi anaalbum nyingi kuliko soggydogy
Atoe hit song hata moja tu kwajil ya career yake
@@godsson5954 Nikkimbishi ajenge carrier yake tena? Wakati anatimeless song kibao kama Kila siku, playboy, chelea pina, nyakati za mashaka, Romanza e.t.c
@@godsson5954 Yaani anaproject 11(album & mixtape)
Punguza pombe
Ujinga ujinga umekuwa mwingi sana bongo nakubaliana na Niki