WILSON ORUMA AMPIGIA SALUTI PACOME, AMPA ONYO CHAMA, ''PACOME NDIO SABABU TUNAANGALIA MPIRA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 26

  • @JoanWawili-i3d
    @JoanWawili-i3d 2 месяца назад +1

    Pacome on fire htr msimu huu atatisha asipopata majeraha huyu mwamba nusu sumu, nusu chuma kila coach anakubali waooo kwako mpenja

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 2 месяца назад +4

    Me shabik wa simba lkn hyu pacome hapana aiseeee😢😢😢

  • @CharlesNdaki-mb5kt
    @CharlesNdaki-mb5kt 2 месяца назад +3

    Sema uluma sikuhiz uko vizuri Sana haina uchambizi WA kihisiya sikuhiz sasa hivi nyeusi unasema nyeusi nyeupe unasema nyeupe so hongela sana

  • @ZakiaMgabo
    @ZakiaMgabo 2 месяца назад +2

    Point sana umeongea

  • @RoberthBilikule-mt4yn
    @RoberthBilikule-mt4yn 2 месяца назад +1

    pacome atahama lini hapa tanzania?

  • @owennicholous9706
    @owennicholous9706 2 месяца назад +2

    Pacome pasipo na mwanya ye anapasua tu😂😂😂

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 2 месяца назад +2

    Chama hana jipya kwa yanga hii atasubir sana,,,na vile anapendaga ufalme aone km ataupata kule yanga 😂😂😂

  • @SpanishiSugu
    @SpanishiSugu 2 месяца назад +2

    Pacome zuzua ndo mimi nakupenda saana bro

  • @eng.lazarongoro
    @eng.lazarongoro 2 месяца назад +1

    Yanga mara zote

  • @johnmsabaha7399
    @johnmsabaha7399 2 месяца назад +1

    Fala kweli Oruma mshamba sana wewe, ulisema kolowananafasi kubwaya kushinda maana ni kolo bora kuliko Yanga,leo unajikataa mwenyewe! Uchwara sana,bado una ujinga na ushamba bro.

  • @annambele789
    @annambele789 2 месяца назад +2

    Chama atasubiri sana hapo Yanga.

  • @ianak4
    @ianak4 2 месяца назад +2

    Mnakosea kuilinganisha Yanga na Simba. Hizi ni timu mbili tofauti kabisa kimaono (vision) na malengo, kimkakati, kimuunganiko, kimorali, nk. Huwezi kuulinganisha uongozi wa Yanga na Simba isipokuwa kwa mazoea tu. Yanga ni timu tofauti kabisa na imejifunza na kujiinua kutokana na yenyewe, wakati huku kwingine Simba wapo bize kuisoma Yanga ili wafanane fanane. Yanga iliachana na kujilingalisha kitaifa na ikatafuta kuwa timu tofauti kwa kujifunza nchi ya mbali na iliyoendelea sana kisoka. Uongozi wake nao ni madhubuti sana na haujilinganishi na Simba hata chembe isipokuwa tu kwa propaganda za Kamwe na Manara ili kuwafurahisha mashabiki. Acheni kuilinganisha Simba na Yanga mnaipoteza Simba. Iongeleeni Simba kivyake na peke yake, labda muilinganishe na timu zingine za nchini.

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 месяца назад +3

    Mbona mapema saaana... mechi zipo nyingi....na pia kuna mechi za kimataifa na CRDB n.k...
    usishangae mechi na Azam Chama akaanza.... YANGA NI DUBWANA KUBWA SANA SAIVI wana kikosi kipana saana... kuna timu kama 3 mule na zote zimejibeba..
    Nani anaona kama mimi...

  • @khalifabahati
    @khalifabahati 2 месяца назад +2

    Siku hizi Oruma uko vizur.

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 2 месяца назад +1

    Chama anaweza asiwe mzur Kama pacome, lakin naamini chama ataingia kwenye mfumo vzr tu

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 2 месяца назад +2

    Kibu mlisema hachezi lakini now anacheza Yanga

  • @MosesWilliam-oh8tt
    @MosesWilliam-oh8tt 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂ila oluma saizi unatisha mzeee daaa

  • @fikiriadriano4251
    @fikiriadriano4251 2 месяца назад +1

    Mchambuzi kolo kama kolo wakati tumawambia hakuna mchezaji wa kolo anayeanza kwenye kikosi cha Yanga, mlikua mnabisha, na Bado jamjasema mpaka mseme,😢

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 2 месяца назад +2

    Wacheni kumkatisha tamaa bado mapema.

  • @johnabery-vn7eb
    @johnabery-vn7eb 2 месяца назад +2

    Pacome anajua mpila sn

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 2 месяца назад +6

    we humjui Gamond chama atakujakufanya makubwa Yanga

    • @LumumbaFarhani
      @LumumbaFarhani 2 месяца назад +1

      Hata Mudathir hawa wapiga ramli hawakumpa nafasi mwisho wa siku akawaaibisha

  • @IddyyFumbwe
    @IddyyFumbwe 2 месяца назад +1

    Umeanza kujielewa sasa.

  • @ATHANAZI
    @ATHANAZI 2 месяца назад +1

    kumbe binkazumari alikua anakuharibu 😊😊😊😊

  • @deobenedictakyoo3140
    @deobenedictakyoo3140 2 месяца назад +1

    Pacome 😂😂 ni rokert

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy 2 месяца назад +1

    Oruma wewe nyoko leo umekubali vitu na mchezo wa yanga wewe bonge la mnafiki