Dkt. Khalid asante sana kwa kua mtu mwenye busara ya kujibu masuala ya wizara yako ya mawasiliano Mwenyezi Mungu akuzidishie hekma na ulimi unao toa maneno ya kistaarab kwa wananchi na wasikilizaji kwa ujumla, busara ni kitu adimu
Mimi siamini maneno mpaka nione vitendo, Meli ya mv. Mpapinduzini two tuliaambiwa hapa hapa kua mwenzi September itafanyiwa maboresho na October itaanza kazi hadi hii leo nov 1 mv. Mpanduzi haijaondoka forodhani ilipo parkiwa, saaa mimi siamini maneno .
Dr.Khalid tunaimani na wewe ila Kilio changu pale jamhuri garden darajani apewe mtu mwenye uwezo pale ni sura ya nchi ukipata nafas nenda kaangalie kinachoendelea pale ni uwekezaji wa maigizo tu
Huyu ni mtu Muongo kama walivyo Waongo wa CCM tu. Huyu sie aliekua Muandishi wa Katiba Mpya na akawa tayari kuiuza Zanzibar kwa kunenepesha Tumbo lake? Hizi nyimbo za kujengwa barabara na Gati za Pemba zipo tokea tu Watoto sasa tupo na Wajukuu.
Dkt. Khalid asante sana kwa kua mtu mwenye busara ya kujibu masuala ya wizara yako ya mawasiliano Mwenyezi Mungu akuzidishie hekma na ulimi unao toa maneno ya kistaarab kwa wananchi na wasikilizaji kwa ujumla, busara ni kitu adimu
Mimi siamini maneno mpaka nione vitendo, Meli ya mv. Mpapinduzini two tuliaambiwa hapa hapa kua mwenzi September itafanyiwa maboresho na October itaanza kazi hadi hii leo nov 1 mv. Mpanduzi haijaondoka forodhani ilipo parkiwa, saaa mimi siamini maneno .
air port pemba itajengwa
barabara zitajengwa,
huu ni kama wimbo wa taifa na tayar tumeuzoea. barabara ya wete chake huu ni mwaka karib 4
Tiffu toeni ata asante kwa kufatilia chanal yenu au hua hamsomi coment
Yaani miaka 50 bado mnazungumzia road kujenga. Mtihani hata road hazifikia 2000km Zanzibar yote.
Lini?????
Hee waziri kusini gani hiyo barabara iliyokamilika
Mkoani Barabara za Mtambile Kangani, Mtambile Mwambe, Mizingan wambaa, Mjawiri Tundaua hizi vipi. Hazijengwi
Kwa Pemba maneno tu utekelezaji zero
Sas mtazdisha ajali coz askari wenu wnakaa na marungu njian iyo sheria namb ngap na kifungu gan .
Dr.Khalid tunaimani na wewe ila Kilio changu pale jamhuri garden darajani apewe mtu mwenye uwezo pale ni sura ya nchi ukipata nafas nenda kaangalie kinachoendelea pale ni uwekezaji wa maigizo tu
Huyu ni mtu Muongo kama walivyo Waongo wa CCM tu. Huyu sie aliekua Muandishi wa Katiba Mpya na akawa tayari kuiuza Zanzibar kwa kunenepesha Tumbo lake?
Hizi nyimbo za kujengwa barabara na Gati za Pemba zipo tokea tu Watoto sasa tupo na Wajukuu.
Kiongozi hapo umezununza Point kubwa. Una akili nzuri ndugu. Bado Utekelezaji tu
Muwalipe sio muwaondoe watu kweny maeneo yao alf hawajui waende wp
Hamuna lolote, usanii tu, izo zinazojengwa saiv miaka 2 Tena hazijamaliza
uhakika
Bandari ya wete je mwaka gani kujengwa
barabara ya gando hoi bin ntaabani saiv mbovu kabisa