Ameruhusu hawa wawepo kwa sababu; 1. Ili neno lake lipate kutimia math:24:3-20 2. Ili kuhakikisha anachuja kuwa pata watakatifu.Hakuna kinyonge kitakacho ingia katika ufalme wake. 3. Ili udhibitishe wingi wa neema zake.
Aisee ukitenda dhambi inakutoa kwa Mungu, ndio maana Yesu mara zote alikuwa akimponya mtu anamwambia ( usitende dhambi tena) yasije yakakuluta makubwa kuliko haya. Kwa sababu anajua dhambi inakutenga na Mungu, naikishakutenga unapigwa na adui.
Mshahara wa dhambi ni mauti acha kudanganya watu biblia inasema afanyaye dhambi afanya uasi.Yesu hakuna kutengua torati ndiyo maana matokeo ya dhambi yapo Hadi Leo
@@mwl.enocktuza Huyo huyo ndiye aliye mpa jina la kuwa hivyo vipodozi ilikuwa geresha. Alianza kujisalimisha ndipo akapewa jina na ujanja wa mjini sasa kwanini hasimpigie kampani. Na wajinga wote wa neno la Mungu atawapata wengi.
Watu sasa wanataka maubili yanayoponya. Sasa wewe unatoa jasho bule kumwambia mtu kuwa kutenda dhambi c kosa huo so uponyaji mwisho anabaki nadhambi yake na akaendelea nahumu yadhambi
Siyo wajibu wa shetani kukumbusha kutubu aisee, Kazi yake Ni kukufanya upumbazike kwa kujiinua kwake ili siku ya mwisho ahukumiwe na wengi katika Jehanamu ya milele. Kuwa macho ndugu yangu 1Them:3:1-3
Pingeni Kwa hoja,huyu mtumishi yupo sawasawa Kwa maandiko anayosoma,we are free in new covenant
Wewe nibaraka sana
Wewe mwenyewe dishi lako haliko vizuri
wale wanaoishi katika agano jipya watakuelewa.
YESU ni mjumbe wa agano jipya hakuja kutengua torati
Haya mwengine ndio huyu,,,,kuonesha hata ukiuwa sio dhambi jamani waelekeza watu wapi,, nia yako yakuhubiri haya mahubiri ni gani?
Huyu ni chizi wakala wa shetani
Kiazi kweli wakala wa Shetani ushindwe..
Bwana Yesu asifiwe mutumishi,, aksante sana kwa mahubiri,, naweza kukuona je ?
Zumaridi wa pili
Kwanini MUNGU aliluhusu manabii hawa watokee duniani? Ee Mungu tuhurumie
Ameruhusu hawa wawepo kwa sababu;
1. Ili neno lake lipate kutimia math:24:3-20
2. Ili kuhakikisha anachuja kuwa pata watakatifu.Hakuna kinyonge kitakacho ingia katika ufalme wake.
3. Ili udhibitishe wingi wa neema zake.
@@yesutuatosha1460 asante
@@leahmgunda4154
Hatuna budi kutiana moyo Katika nyakati hizi za uovu,lakini neema ya Mungu Ni kubwa mno.
Aisee ukitenda dhambi inakutoa kwa Mungu, ndio maana Yesu mara zote alikuwa akimponya mtu anamwambia ( usitende dhambi tena) yasije yakakuluta makubwa kuliko haya. Kwa sababu anajua dhambi inakutenga na Mungu, naikishakutenga unapigwa na adui.
Inakutoa kwasababu unajua ni dhambi kwako, ila usingekuwa unajua haiwezi kukutoa kwa Mungu, na ndo kinachotakiwa
Na unajua ni dhambi kwasababu umeambiwa na Sheria ya Musa, ambayo Kristo aliigongomea msalabani
@@elishadauson8341 nawe dishi liko negative
Kujua au kutokujua sio kinga ya uhalisia,,mfano ukigusa waya wa umeme ukijua au usipojua ukigusa shoti unayo hakika
Kazi ipo
Mmmh we baba muogopen mungu
Mshahara wa dhambi ni mauti biblia inasema hakuna mjadala .afanyaye ndambi afanya uasi kwa kuwa dhambi ni uasi
Hawa ndio wanaokuja kuwaambia watu wafunge mpaka kufa
Mshahara wa dhambi ni mauti acha kudanganya watu biblia inasema afanyaye dhambi afanya uasi.Yesu hakuna kutengua torati ndiyo maana matokeo ya dhambi yapo Hadi Leo
Vipodozi vimekupa pesa hadi shetani amekupata.
@@mwl.enocktuza
Huyo huyo ndiye aliye mpa jina la kuwa hivyo vipodozi ilikuwa geresha.
Alianza kujisalimisha ndipo akapewa jina na ujanja wa mjini sasa kwanini hasimpigie kampani. Na wajinga wote wa neno la Mungu atawapata wengi.
Lakini wacha atimize unabii wa siku za mwisho 1Thim:4:1,2
Mdo:20:26-29
2Thim:3:1-10
Hakika utawapata was size yako maana utawata wako wengi
Afu natamani huyu mjinga atokewe kama walivyotokewa blaziri nahayo mafuta yao yakunuka
Kweli hekalu hamna mama samia picha zake zinatumika vibaya sanaaa mitandaoni yani mtu kkaweka picha ya rais huku picha za ngono kwa page mpaka mbooo
Watu sasa wanataka maubili yanayoponya. Sasa wewe unatoa jasho bule kumwambia mtu kuwa kutenda dhambi c kosa huo so uponyaji mwisho anabaki nadhambi yake na akaendelea nahumu yadhambi
Siyo wajibu wa shetani kukumbusha kutubu aisee, Kazi yake Ni kukufanya upumbazike kwa kujiinua kwake ili siku ya mwisho ahukumiwe na wengi katika Jehanamu ya milele.
Kuwa macho ndugu yangu
1Them:3:1-3