DUNIA (Ep 47)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #dunia

Комментарии • 6 тыс.

  • @Esther01-g1h
    @Esther01-g1h 6 дней назад +3162

    Wanawake wote tunaofatilia hii move, tuwaeshim wenza wetu,tujifunze kupitia Vai, amemfanyia mumewe kiburi lakini mwisho wa siku anajuta, mnaokubaliana na mm weka like yako ya upendo apa,,,m nawapenda♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @Rehema-y3d
    @Rehema-y3d 5 дней назад +320

    Awali yayote Cindy ni mvumilivu sana mpaka KUFIKIA hapa amevuumilia sana ana haki yakudai talaka anaekubaliana na hili gonga like apa

    • @Rehema-y3d
      @Rehema-y3d 5 дней назад +3

      Nawapenda wotee mnaosoma comment hii💝💝💝

    • @neygibson4455
      @neygibson4455 4 дня назад +1

      Sindi ameonja tamu ya mlokole saa hii anamuona mudy kama 😂 ila mvumilivu sana

    • @salumuasha9207
      @salumuasha9207 2 дня назад

      Manyanya jamni amsamehe 😢 bhna mi mpka roho inaniuma

    • @PillyBernard-hy2wo
      @PillyBernard-hy2wo 2 дня назад

      So poah

    • @angelmauja1846
      @angelmauja1846 22 часа назад

      Hata hvyo Cindy ni mwanamke wa shoka

  • @PriscahMkuwa-pl6lc
    @PriscahMkuwa-pl6lc 5 дней назад +112

    Kumbe manyanya ni hb sema vai alikuwa amtunziiii, pongezi kwa michepuko wote😂😂😂

  • @SevelinaMwamlima
    @SevelinaMwamlima 2 дня назад +18

    Dah mapenzi yanauma jamani ukipendwa pendeka uwe na mapokeo mazuri kama ya Matty dondosha like kwa hii dunia

  • @Lionel1157
    @Lionel1157 6 дней назад +1021

    Munao Ombea inchiii ya Congo mungu awabaliki.❤

  • @Brother-moses2vs7bi1v
    @Brother-moses2vs7bi1v 6 дней назад +312

    Hii ndo dunia bana,,,,, anyway all the way from mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🤞 wapy likes zetu pia sis wakenya jameni,,,,

    • @KennMwabili
      @KennMwabili 5 дней назад +3

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pamoja mzito

    • @tommyokillah
      @tommyokillah 5 дней назад +2

      Pamoja

    • @SharonNafula-c5r
      @SharonNafula-c5r 5 дней назад +1

      Pamoja kaka from nairobi kenya 🇰🇪

    • @EuniceKibeeunicebrijo
      @EuniceKibeeunicebrijo 5 дней назад +1

      Pia mm hapa nairobi 🇰🇪 🇰🇪.

    • @AplA-x9b
      @AplA-x9b 5 дней назад +1

      Pamoja sana kutoka kilifi ❤❤❤

  • @YusuphSixbertis-i4n
    @YusuphSixbertis-i4n 5 дней назад +70

    Daa valet.. NAKUPA 100%+.kwa huu scene ya leo.ya hapo ulicho fanya...YOUR THE BEST ACTOR ON THAT CATEGORY.🫡🫡

  • @kichecheBurund
    @kichecheBurund 4 дня назад +42

    Kama una mpenda mungu kuliko iyi series ya dunia naomba weka like nawasio weka kazi kwao...

  • @FelisterFaustine-z3v
    @FelisterFaustine-z3v 5 дней назад +144

    Maskini vai anavo legeza mdomo akifikir atahurumiwaa😂😂😂 naombeni hilo likes bas jamenii mnona me sipew😮

  • @TidesShakila-li8tz
    @TidesShakila-li8tz 6 дней назад +107

    Nmezurura sana kutafta dunia mpka miguu inauma duu jitaidini kuwai kutoa kwa wakati ila nawapenda mno mtunzwe na Kristo temu dunia na wafatiliaji wote wa dunia ❤❤❤

  • @IreneJackson-z9z
    @IreneJackson-z9z 5 дней назад +297

    Nampendaa sana matty jmn afu anaroho nzuri jmn wanaompmd matty kam mimi gonga like❤❤❤❤

    • @anajoyceeliud5341
      @anajoyceeliud5341 5 дней назад

      roho nzr anayo ila anajsahau kama iko ck mpira utarud kwa kipa

    • @AsifiweMbogela-vh6ou
      @AsifiweMbogela-vh6ou 5 дней назад +8

      Tulioanza kumuonea huruma dada vai njoo hapa kwenye kikao tujuane kwa majina 😂

    • @KHAMIS_SHILINGI
      @KHAMIS_SHILINGI 5 дней назад

      😂😂😂😂mimi apaaaa​@@AsifiweMbogela-vh6ou

    • @ednazaburi
      @ednazaburi 3 дня назад

      ❤❤

  • @HappyJeremiah-y7u
    @HappyJeremiah-y7u 5 дней назад +13

    Jamn hii dunia tamu n inafurahxha py jamn m nampenda manyanya n matty nawapenda xan jamn mungu awape afya njema ya kuleta season inayofuata

  • @AbdoulWanderNikiza
    @AbdoulWanderNikiza 6 дней назад +176

    Wanawake wote hiyi move ni fundisho na muuyizingatie sana msije mkapoteza khaki yenu kwa ujinga na udanganyifu kama Vai I'first from Bdi like jmn

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 5 дней назад +106

    Hii ni fundisho kwa wanandoa wote haswa wanawake ndoa siyo mazoea Vai ni mwanamke mzuri sana sema aliweka mazoea baada ya kuolewa akajiweka bize sana kwenye mambo yake kuliko ndoa yake dharau, jeuri na kibuli zilitawala akilini mwake na kujiona kaolewa imetosha acha iwe fundisho 🎉🎉

    • @KemErickKemi
      @KemErickKemi 5 дней назад +3

      Ishu siyo wanawak kumbuken hum wamezungumziwa watu wa aina zot mtazame Sind nay anapitia mangapi ad mav alifua ila mwanaume abadirik

    • @Hanifamallyamallya
      @Hanifamallyamallya 5 дней назад +2

      @@KemErickKeminakuungaa dear kikubwaa heshimaa kwa wote❤

    • @SifaBaranyizigiye-o4h
      @SifaBaranyizigiye-o4h 5 дней назад +1

      Amna bhna vai asamehewe tuu amekiri ona anavyolia😢

    • @FainaJaffari
      @FainaJaffari 5 дней назад +1

      Acha upuuzi mpaka wanaume

    • @FainaJaffari
      @FainaJaffari 5 дней назад +1

      Kwan kuolewa ndo nn hata nyinyi wana ume MPo hivyo😅

  • @RoseMGONJA
    @RoseMGONJA 5 дней назад +97

    Ndoa ni tamu sana kama mwanamke atajua thamani wa mume wake na kumheshimu na ndoa inakuwa chungu pale ambapo mwanamke atakuwa mjuaji kama vai kila ninapo tazama hii movie najifunza mambo mengi sana aliyetunga hii story MUNGU azidi kumpa kibali ndani na nje ya nchi ❤

    • @LoveKalinga
      @LoveKalinga 5 дней назад +3

      Kabisa kama Kuna mwanamke yupo kwenye ndoa anafuatilia hii harafu hajabadilika hachukui notes pole yake

    • @EmmanuelMasigati
      @EmmanuelMasigati 5 дней назад +2

      ✊️

    • @AbdallahMwande
      @AbdallahMwande 5 дней назад +1

      Kaz nzur San kaka

    • @Zainab-d2l6u
      @Zainab-d2l6u 5 дней назад

      Kama wanaheshimiana wote mkea Vai alikua mjinga kwa wakati huo ila sahiv hawana tofauti Tena

    • @RoseMGONJA
      @RoseMGONJA 5 дней назад

      @@Zainab-d2l6u kama vai angetambua mapema kuwa mwanaume hatiki dharau asingejiliza ivo wamaume hawana shida muda mwingine wamawake tunazingua bn

  • @issaNgomanziza
    @issaNgomanziza 4 дня назад +12

    Kazi nzuri kabisa mungu baraka zake ziwe pamoja na nyinyi
    I'm mkali from BURUNDI

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 6 дней назад +74

    Jamani Leo nimewahi Dunia toka kuanza sijawahi kuwa wa kwanza nipeni mauwa yangu 🎉🎉

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 6 дней назад +620

    Ahsante Mungu kwa Siku Nyingine, Kama Umebarikiwa Kuiona Siku ya Leo Gonga like hapa, Tuwape Nguvu Team Dunia Series, 🙏🙏🙏

  • @Stafamuigizaji
    @Stafamuigizaji 6 дней назад +76

    Movie nzuri sana naipenda hongeren kwa mafunzo mazuri Pia mungu awape kinacho wafanya kulingana na munacho kifanya

  • @johnrichard-i3k
    @johnrichard-i3k 4 дня назад +2

    manyanya upo vizuri ila kwa ulipofikia xaxa ni kelo vai anakuomba mxamaha hujali wala kumxikiliza muhurumie hadi amekwamba ligi hiyo haiwezi mxamehe tu 🎉🎉🎉

  • @Silvadsuzanabaixa
    @Silvadsuzanabaixa 5 дней назад +37

    Jamani ni wangapi wanaomwonea uruma sind weka like yako moja tu apa from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿⚔️⚔️🗡️🗡️

  • @AbrahamLincone-o3d
    @AbrahamLincone-o3d 6 дней назад +78

    Hii movie mmetisha kinoma noma kak kaz nzr san mungu awaongezee kipaj na utunz mzr 🤲🤲🤲

  • @AhmadiAlly-fc8xt
    @AhmadiAlly-fc8xt 6 дней назад +1000

    Kama unakubaliana na sindi kudai talaka gonga like

  • @clemensiadaniel8479
    @clemensiadaniel8479 4 дня назад +5

    Mmmmm jaman nani kama manyanya anamaneno matamu pia ni funzo kubwa sana katika jaman asante kwa ujumbe 😘😘

  • @EzekielNgarembula-b1z
    @EzekielNgarembula-b1z 5 дней назад +246

    Jamani mbona mimi sipatagi izo like toka nianze angalia hii Dunia ila respect sanaa ❤❤

  • @RukaiyaAhmed-l9m
    @RukaiyaAhmed-l9m 5 дней назад +155

    Hahahaha Leo mudi muzungu_paka la baa kawa sheikh🤣🤣🤣🤣🤸🤭

    • @DanielKitoba
      @DanielKitoba 5 дней назад

      😂😂 aisee jamani nimeshangaa anatoa mawaidha matukufu kweli kweli.

    • @MwasitHassan-cv8um
      @MwasitHassan-cv8um 5 дней назад +2

      Me nimecheka kwa sauti et astaghafirullah😂😂

    • @rosemoyo473
      @rosemoyo473 5 дней назад

      Paka la bar mhhhh

    • @ezesamweisabibisamwel6966
      @ezesamweisabibisamwel6966 5 дней назад +1

      Eti astakafullah😂😂😂

    • @brightonferdinand4182
      @brightonferdinand4182 5 дней назад +1

      Mood akiwa hajalewa mtu kabisa, yaani anakuwa na akiri siyo poa. Ila alewe Sasa, mpaka anajinyea... Uongo mbaya pombe mbaya sana

  • @AsifiweImani
    @AsifiweImani 6 дней назад +2556

    Kama unamupenda Mungu kuliko iyi séries ya DUNIA nipeni like wale wasio mpenda kazi kwawo 😂😂

    • @Nelylukinja
      @Nelylukinja 6 дней назад +6

      Kwani ww mungu

    • @EzekielMdem
      @EzekielMdem 6 дней назад +13

      We ni matako ww ndo hatukupendi mungu na Dunia tunavipenda sana kuku ww

    • @WILLY_SKY1
      @WILLY_SKY1 6 дней назад +16

      Tofauti yako na mende ni mbio tu

    • @NeemaLisu
      @NeemaLisu 6 дней назад +18

      Jaman msipende kuleta majaribu kwenye movie kufananisha Mungu na ya dunia jaman

    • @TwahaKitundu
      @TwahaKitundu 6 дней назад +7

      Ndio kutafuta like au

  • @ZuwenaSabiko-y2h
    @ZuwenaSabiko-y2h 4 дня назад +43

    Mume wangu nampenda sana ndo maan namsikiliza ❤❤❤❤

    • @necramsonpate
      @necramsonpate 4 дня назад +1

      Hongera sana mamaa mwenyezi Mungu awajalie kheri nyingi wewe na mumeo inshallah

  • @juspersanitizer7907
    @juspersanitizer7907 5 дней назад +9

    Mimi ndo sijawai pata like ata moja,,,nyie watu mna ubaguzi sana😢

  • @MwanshambaKipanga-z6w
    @MwanshambaKipanga-z6w 5 дней назад +97

    Jaman manyanya Kawa handsome kweli mati ajua kulea pole Vai umejifunza Cindy mama msamehe mkwe wng Muzungu usimuache atadata😂😂😂😂

  • @AbdulRamadhani-z7c
    @AbdulRamadhani-z7c 6 дней назад +186

    Alhamdulillah
    Ndugu zangu tusiache ibada na tusiache kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma mwenye kurehemu
    Tukipata Alhamdulillah
    Tukikosa Alhamdulillah
    Ndio liwe neno kubwa haswa kwetu

  • @SalomeShushu
    @SalomeShushu 4 дня назад +2

    Manyanya hongera kakaaaa, matilida pia hongeraaa nakupenda vaileth koma na ukomae jifunze kulea mmeo🤭🤭

  • @sarahlyimo2378
    @sarahlyimo2378 6 дней назад +75

    Ya leo kali😂manyanya unachofanya uko sahihiiiiii kabisaaa hujakosea popote😂kwa mara ya1 nipewe like jamani

  • @MulefuMilton
    @MulefuMilton 5 дней назад +15

    Kanumba wa pili amepatikana,,,best advicer in relationship,,,,,,wewe manyanya akh❤❤❤❤,,,🇰🇪

  • @MaryMaryk-n4z
    @MaryMaryk-n4z 6 дней назад +74

    Aih jamani mnatueka sana...ila series yenyu tamu sana..tunatamani hadi kuitazama kila siku

  • @JoyceElias-bd3kt
    @JoyceElias-bd3kt 3 дня назад +3

    Jmn jmn ni atar hiii Dunia inafundisha inajenga jmn tujifunze kupitia hii moves

  • @latifamchekenje6718
    @latifamchekenje6718 6 дней назад +181

    VAILETH 😂😂😂🙌 SURA IMEKUA NDOGO UNAONA MATI ANAVYOMPENDEZESHA MANYANYA WETU!!

    • @TifaOsman
      @TifaOsman 5 дней назад +3

      Kweli wajina manyanya now Yuko smart

    • @ChausikuMichael
      @ChausikuMichael 5 дней назад

      Na Leo kichwani kachakaa na minyoosho😅

    • @lydianjoroge
      @lydianjoroge 5 дней назад +1

      𝐾𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖 𝑚𝑎𝑛𝑦𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑎𝑚𝑒𝑝𝑒𝑛𝑑𝑒𝑧𝑎 𝑛𝑎𝑒 𝑣𝑎𝑖 𝑎𝑚𝑒𝑐ℎ𝑎𝑘𝑎𝑎𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑛𝑦𝑤𝑒𝑙𝑒😂

    • @niyonsabasarah-xj2zn
      @niyonsabasarah-xj2zn 5 дней назад

      😂

    • @ezesamweisabibisamwel6966
      @ezesamweisabibisamwel6966 5 дней назад

      Kawaka mpaka bc

  • @Jojonation7
    @Jojonation7 5 дней назад +52

    Safi Sana wafundishe wanaume wengine kuishi na wanawake wenye kiburi na sio kupiga
    Bali matukio na zarau zako zita kupigisha mwenyewe

  • @Dieumercishabani-q9y
    @Dieumercishabani-q9y 5 дней назад +14

    Wanawake nawaomba kupia hiyi muvie inabidi mujifunze mambo ambayo munasitahili kuwa na mume kufanza, kwenye kk manyanya i😂😂ko nafanza divyo wanahume tulivyo mukuwe na jitahidi sana Dd zangu ❤❤❤.

  • @othmack
    @othmack 4 дня назад +1

    Ni kosa kubwa sana kumpandishia mwanaume sauti .. hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu ..

  • @swahibumaliki1547
    @swahibumaliki1547 5 дней назад +192

    Safi Sana manyanya wafundishe wanaume wengine kuishi na wanawake wenye kiburi na sio kupiga

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 5 дней назад +1

      Vay kakumbuka kuna Mungu pia😂😂

    • @beautifulafrica6886
      @beautifulafrica6886 5 дней назад

      Upo sahihi kipenzi

    • @HabibuMatary
      @HabibuMatary 5 дней назад

      Wengine ukiwafanyia hivo wanamwaga ugali na wenyewe ndoa inavunjika

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 5 дней назад

      @HabibuMatary 🤣anamtizama mwanaume anaona kapendeza.naalikua hataki hata kumfulia wala kunyoosha

    • @toryazimio3429
      @toryazimio3429 5 дней назад

      Kwa hatua ambayo alikuwa amefikia Manyanya. Yuko tayari hata Vai angesema It's over​@@HabibuMatary

  • @MariamWawira-k4l
    @MariamWawira-k4l 5 дней назад +23

    Helooooo Tanzania......watching from Kenya mombasa.....bytha vai aliambiwa vizuri hio ligi anayoianzisha hatoiweza ona sasa mpaka dawa anataka kumeza ajitoe uhai aiiiseee seriously......
    Ndio dunia hiii😅😅😅😅😅

  • @AbweMufaume
    @AbweMufaume 5 дней назад +42

    Ongera sanaaaaa kaka manyanya umetufunza sana sisi wana ndoa

  • @LizyGelvass
    @LizyGelvass 5 дней назад +3

    Afu nanyie michepuko tuache ❤kuwa shika sana wanaume wa wenzetu mana kwa pigo za mati mmmm wangapi wanaiba wanaume wa wenzao waweke comenti apo😂😂😂😂😂

  • @meryJoel-h7h
    @meryJoel-h7h 5 дней назад +22

    Kaka manyanya nimejifinza mambo mengi kupitia wew nakupenda kaka yang na pia nataman nkuone kwa kaz nzur upate ata ela ya sodaaaa

  • @savalamanda
    @savalamanda 5 дней назад +8

    Dunia ..mlianza kama utani ..lkn this one na professional movie ....claps 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 6 дней назад +118

    Kupitia Vai ninavyompeti peti Mume wangu sasa hv😂😂😂 Niko makini balaa 😂😂 mpaka ananishangaa na Kurudi sasa hv anawahi Mashaallah kuna sehemu kidogo nilikua sifikii 😂😂😂❤❤❤

    • @InezaFainess
      @InezaFainess 6 дней назад +2

      Na Mimi pia

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 6 дней назад +2

      😂😂😂😂😂😂jichanganye anyakuliwee uone

    • @BishraOmary
      @BishraOmary 6 дней назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha Dada

    • @latifamchekenje6718
      @latifamchekenje6718 6 дней назад +2

      😅😅😂😂😂😂🤣🤣🤣MAFUNZO TUNAPATA ILA ME MGUMU KUSAMEHE JAMAN NATAMANI KUWA KAMA MATI

    • @KarolinaOman
      @KarolinaOman 5 дней назад +1

      Dada umenifanya nikacheka kwa sauti🤣🤣🤣

  • @MiliumFedrick
    @MiliumFedrick 2 дня назад +3

    Pole sana kipenzi cha manyanya hayo ndo maumivu ya ndoa jikaze pia sali sana❤❤❤

  • @ramzymoha3798
    @ramzymoha3798 5 дней назад +13

    Shkilia hapo hapo vai lia na mungu wako.. ndoa ina nguvu cz it has been united by the Almghty Allah.. dua bas nothing else

  • @MousaAmos
    @MousaAmos 5 дней назад +20

    Matlida unatoa fundisho zuri sana kwa wanawake wote walio kweny ndoa na pia wanaotegemea kuingia kweny ndoa maua kwako dada 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Lion_Boy
    @Lion_Boy 5 дней назад +38

    Congo/Goma tuko vitani, ivi kwa mapenzi ya iyi movie nipo nafwatiya chini ya kitanda 😢 congratulations guys🎉

  • @AminaHashim-y2g
    @AminaHashim-y2g 5 дней назад +17

    Kabla hujafa naomba wasiliana na familia yako nisipate shida ya mazish😂😂😂Manyanya 😂😂😂pole vai ukomeee 😂😂

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 дней назад +18

    movie ya manyanya #Dunia
    nimovie bora kutoka mwaka
    2014 and 2025 wqshiliki wake
    wapo silius kwa karata zao
    congratulatino wote mulie shiliki
    kwenye movie bora ya mwaka 2024
    and 2025 hmTanzania hatujawai kupata
    movie bora kama hi Beth vs manyanya
    realshionship ipo goood aijawai tokea

    • @Salhathimidy
      @Salhathimidy 5 дней назад

      Leo Mudi kaongea kistarabu mno

  • @NancyKadzo-r7k
    @NancyKadzo-r7k 5 дней назад +12

    Pole sana vai hapa ndio utajuwa kwel heshima n kitu Cha bure a pesa haiwez kisaidia kwa Kila kitu vai alieka pesa mbele hakuwah kumpa mda mumewe lkn awe pole tujifinze kitu jamn

  • @luckylucky7153
    @luckylucky7153 5 дней назад +15

    Daaah vai umenifanya nimelia 😢 wallah ila ulianza mwenyewe kibri saa hii manyanya apata pakuheshimiwa na kupendwa kwa juu pole yako

  • @IreneTumain
    @IreneTumain 3 дня назад +4

    Huyu vai na kama mm tu yaan na nimejifunza sirudiiiiii tena kumdharau mwanaume aseeee na kumfanyia kiburiii wanawake mnaofanya kama vai achen jamn majuto ndo kama hayo😢😢😢😢

  • @shabanibigo7996
    @shabanibigo7996 5 дней назад +6

    Hii movie kwa kweli imenifundisha mengi sana mana haya mambo ndo yananitokea mie! Big up Manyanya' Allah akuhifadhi zaid ktk mafundisho haya.

  • @JacklineMwano-jr5vl
    @JacklineMwano-jr5vl 5 дней назад +28

    Sawa dunia naipenda ila mnatuchereweshea alafu mnaweka kava ya dunia ndani move nyingine msitufanyie ivo mashabiki zenu jmn

  • @EmmanuelMasigati
    @EmmanuelMasigati 5 дней назад +21

    Bishoo manyanya muonee huruma vai utamuua kw presha😂🙌

  • @yukapagospelsinger2280
    @yukapagospelsinger2280 2 дня назад +1

    Aloooh kweli hii movie inabadilisha sana ndoa za watu, ndoa nyingi zinapona kwa hii movie.

  • @RaurentElias
    @RaurentElias 5 дней назад +17

    Vai nilikwambia mwanaume anachoitaji niheshima2 duh Sasa umejionea eeeh🎉

  • @Glorymushy
    @Glorymushy 5 дней назад +41

    Au vai ndo yule mjinga alie kataa shule chekechea maana tumekosa hoja kumtetea🎵🎶 daaah nalia mimi😢😢😢😢😂😂😂

  • @HaleluyaMlaya-c2f
    @HaleluyaMlaya-c2f 6 дней назад +60

    Jamani vai duu😢😢. Tunaomuonea huruma vai tujuane hapa ❤❤🎉🎉

    • @lucianagadau7563
      @lucianagadau7563 6 дней назад +1

      Tupo mi nataka mat mchepuko aachwe vibaya sana

    • @bigmami1992
      @bigmami1992 5 дней назад +2

      Mimi natamani amsamehe vai kisha awe na wake wawili.

    • @QwerQwer-p8x
      @QwerQwer-p8x 5 дней назад +1

      Inako eelekea mi naona huruma hatakama vai kakosea jaman mapenzi yanauma nyie niulizeni mimi😢😢

    • @ARONPaul-bz3ws
      @ARONPaul-bz3ws 5 дней назад

      Sis ndoo.wqnaume bhaaan😅mkome kushindana na sisi😅

    • @ARONPaul-bz3ws
      @ARONPaul-bz3ws 5 дней назад

      ​@@QwerQwer-p8xunakumbuka.mliulizwq.ligiiii.mnaweza.😅

  • @OlivierAkili
    @OlivierAkili 4 дня назад +1

    Munao ombea inchi yetu Congo Mubarikiwe na Mungu

  • @ImakulataChale
    @ImakulataChale 5 дней назад +24

    Waoooooo manynya unajeuli kama yang saf xan wanao mkubali manyny weka like hapa😅😅😅

  • @ChristinaJonh-e5d
    @ChristinaJonh-e5d 5 дней назад +132

    Ila manyanya Kabla hujafa wasiliana kabisa na ndugu zako nisije pata shida kwenye mazishi yako😂😂😂

  • @AdmiringManatee-wo2cf
    @AdmiringManatee-wo2cf 5 дней назад +5

    My favorite movie big up San Mr manyanya na crew yako nzma kwa hakika munatuheshimisha vyema

  • @RehemaKassamba
    @RehemaKassamba 4 дня назад +2

    Penzi la Matty na manyanya nimejikuta natabasamu kwa maneno yao Yan mpaka mwili unasisimka jamani kupendana raha 😍😍😍❤️❤️🎈

  • @EdinaMatias-c3l
    @EdinaMatias-c3l 5 дней назад +12

    Eheee mudi muzungu Leo kumekucha vibaya nataka talaka yangu Leo🤣🤣🤣🤣

  • @vaimrosso-ik7ih
    @vaimrosso-ik7ih 5 дней назад +25

    Nimechekaa sanaaaa Vai alivoangaliaa akatiaa hurumaa eti manyanyaa mbona Kila ukija u akuja na nguo mpyaa😂😂😂😂

  • @EllyvadiazTz
    @EllyvadiazTz 6 дней назад +438

    Napendaa vai anavotesekaa hahahaa kimemlambaaaa😂😂😂😂😂

    • @NeemaLisu
      @NeemaLisu 6 дней назад +5

      😂😂 yaan mpaka ajifunze na huo mdomo wake

    • @DesderiaJohn-x9x
      @DesderiaJohn-x9x 6 дней назад +4

      Hunishindi mimi😂😂😂

    • @mmmh-s4w
      @mmmh-s4w 6 дней назад +8

      Hata hivo wanaume wana roho ngum hatar me pale ningemsameheee anatia huruma hatar😢😢

    • @Mawazo-vp1vi
      @Mawazo-vp1vi 6 дней назад +1

      Me pia Ila nasema sasa vai akijirudia vip maty atakuje

    • @JaneMkumba
      @JaneMkumba 6 дней назад

      Mnoooo na hela yenywew Iko wap

  • @AyoubKalippessa
    @AyoubKalippessa 4 дня назад +1

    Manyanya we ni 🔥🔥🔥🔥 wa kuotea mbali akili kubwa huyu jamaa sioni wa kumfikia kwa sasa hapa bongo

  • @MRSAIJOB47
    @MRSAIJOB47 6 дней назад +177

    Waliyoona mwz wapili wakiw wazim mnip likes 👍 na mungu awabarik 🙏

  • @SivunoOmar
    @SivunoOmar 6 дней назад +33

    Leo namba moja from zanzibar unguja

  • @OfficialNkuyeheOfficialNkuyehe
    @OfficialNkuyeheOfficialNkuyehe 5 дней назад +14

    DahaHii moves Inafudisha sana maisha yetu ya kilacku big Up sana Mnajua mnajua tena

  • @YusuphFrancisMasapa
    @YusuphFrancisMasapa 4 дня назад +1

    Sijuii ndioo tamahaa yangono kwa matti. mbona kalivoachiaa nywele ndioo nimekapenda❤

  • @CarolynMulika-m4n
    @CarolynMulika-m4n 5 дней назад +17

    Wuueh matty kwa hakika mungu akubariki bcoz kuna siri nyingi tunazijua nakuzipata kupitia unyenyekevu wako n pia kwa kua muelewa ❤❤❤❤❤❤

  • @sultanrichardson5487
    @sultanrichardson5487 6 дней назад +38

    Tunaotamani manyanya asiludi kwanza Kwa vaileth Kwa sas tujuane Kwa like👍

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 6 дней назад +25

    Hapo Cindy upo vizuri ndoa sio ya lazima ikizidi omba talaka na hapo kwako pamezidi muddy talaka ipendezi wewe unavyio lewa kila siku mkeo Alia akwambia Bado hubadilikipe talaka kaende zake 😢😢😢

  • @MelaineDukundane-tx1ue
    @MelaineDukundane-tx1ue 3 дня назад +1

    Manyanya msimamo wako haaaa upewe Kabisa maua yako ,umemkosoa Kabisa Vai,najifunza

  • @SalumKibangu
    @SalumKibangu 5 дней назад +27

    Ila manyanya sasa hivi mpaka ana nawiliii kudadekiii kumbe Vai alikuwa anamzeesha2 kijana wa wa2 😂😂😂

  • @PrettyMarie81
    @PrettyMarie81 6 дней назад +127

    Waaooo hatimae movie yetu pendwa imetoka ❤ kama unaipenda dunia like kwao🎉🎉

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 5 дней назад +7

    Dah atimae vailet umejihusisha na maswala la maombi hukulipiza kisasi kama mmeo alivyo chukuwa uwamuzi mzito kama ule mungu aendelee kuisimamia ndoa yako vailet i love more mommy❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤

  • @VanessaModest
    @VanessaModest 4 дня назад +2

    Jamn roho yangu ndogo nilikua namchukia vai lkn kwasasa inatosha jmn manyanya msamehe vai

  • @MAINESSNANDI
    @MAINESSNANDI 5 дней назад +36

    Leo Mudy kimemlamba😅kumbe anajua Mungu yupo😅

  • @DativaLeo-y7k
    @DativaLeo-y7k 5 дней назад +67

    muddy asema astaghafulilah 😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli yamemfika

  • @betolucas-s8j
    @betolucas-s8j 5 дней назад +11

    manyanya nakupenda sana minimwana mke mwenziye na vai napenda sana wanaum wenye msimamo nzulisana naomba usije ukakaacha katoto kawatu kakupendasana kinachonifulahisha kanakueshim kamezidisha ❤❤❤❤❤❤❤ naomba muke wamzungu awemwanamuke mwenyemsimamo tena nawaomba ata akiachana namdi mzungu akaishi maisha yakujieshim asijekuwa dada wakujiunza napenda wanawake wanaopenda.kujituma sana

  • @ImaniFaith-q4r
    @ImaniFaith-q4r 4 дня назад +1

    Kupitia hii movie naahidi kumheshimu na kumpenda Sana mume wangu

  • @NdayishimiyeIddy
    @NdayishimiyeIddy 5 дней назад +10

    Asante sana pia kwa hii ambao mumeonyesha apa, wanawake angalieni namna gani inauma kwake VAI si kwake tu, na myoyo nyingine imeuma .ila yote imetoka kwake mwenyewe kwa kukosa busara na maalifa. Mujuwe kwamba La kunuka halina tena uvumbaaa. Ebu tengenezeni uvumba wa kila mda.

  • @MasanjaneySahani
    @MasanjaneySahani 6 дней назад +18

    Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe kwahy hili ni fundisho kwa wanawake wote hata kama mme wako anarudi kutoka kazini ucku sana ww wala usimuulize muache umjari vizur tu cku ya kwanza ya pili hivyohivyo mwishow atajishitukia yeye mwenyew na kuanza kurudi mapema kama unaamini gonga ❤❤ hapa

  • @ntahomvukiyeeric6508
    @ntahomvukiyeeric6508 5 дней назад +65

    Rafiki mnafki huyusasa anajianzisha tena wanaomkemea tujuane hapa😅😅

  • @YasintaEdes
    @YasintaEdes 3 дня назад +3

    Jaman manyanya nakuomba mpunguzie mateso Vai
    Kwa sasa amejua makosa yake,,
    Nampenda sana vai

  • @FestusBagaile
    @FestusBagaile 5 дней назад +14

    Ko ndo mmenitenga ?? Gonna like familia ❤

  • @ImranJuma_dr
    @ImranJuma_dr 5 дней назад +7

    Ubarikiwe wew mfatiliaji wa series hiii sema amina naomba like jamani eeeh mpaka ninune

  • @paulmayunga2006
    @paulmayunga2006 6 дней назад +14

    Manyanya wew kiboko unajua kufundisha mtu adabu atanyooka tu

  • @jafariiddi-b8v
    @jafariiddi-b8v 3 дня назад +1

    nafrah vai anavyo teseka manyanya mwzo alijutia ndoa yke holaaa michepuko yte

  • @HamenyimanaJeanmarie
    @HamenyimanaJeanmarie 6 дней назад +50

    Sijachelewa mm wakwanza ,wanawopenda Kaka manyanya tugonge like hapa ❤️❤️❤️

    • @beautifulafrica6886
      @beautifulafrica6886 5 дней назад

      😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊

  • @lizzybenny9368
    @lizzybenny9368 5 дней назад +13

    Jicho la tatu namwona Cathe si rafiki mzur kwa Mat kama anamwonea wivu hv mwenzie pia vai pole sana Mme anauma sana jaman

  • @MauaHamad-i7d
    @MauaHamad-i7d 5 дней назад +12

    Ah jaman vai mbon hujajiamin wew kam umekataa bc mwanamke hujikazaa pamban nabmengine

  • @SadaRamadhani-q7s
    @SadaRamadhani-q7s 5 дней назад +2

    Vai unanitia huruma lkn xx xhida n kwamba uliyatak mwenyew, pole eee uclie mwaya