Bunge la kitaifa na lile la seneti kutetea walimu wa sekondari msingi kuhusiana na uwajiri

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • Walimu wa shule ya sekondari ya msingi katika kaunti ya Nairobi walishiriki maandamano siku ya alhamisi kuishinikiza tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC kuwaajiri walimu elfu arobaini na sita badala ya walimu elfu ishirini na sita ilivyo mapendekezo ya ya tume hiyo katika mswada wa bajeti ya mwaka 2024/25
    walimu hao wamewasilisha hoja katika bunge la kitaifa na lile la seneti kutaka mabunge hayo mawili yawasaidie kupigania haki zao

Комментарии •