OMG😭Wanapanga kutoa watoto 2kafara iliwaweze kudhibitishe safari Yao ya kuenda Mombasa na kuangamiza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 117

  • @joycewafula935
    @joycewafula935 2 месяца назад +14

    Dangulo, chisaka,IBRA,raff, Eric, please kuweni rada hapa kiwarambe 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Thechoosen-m5m
    @Thechoosen-m5m 2 месяца назад +7

    Huyu mama angekuwa anafuata mashariti kw mungu vny anafuata kw mganga angekuwa mbali sana kimwili kiroho na kiakili😢

  • @janenjenga8906
    @janenjenga8906 2 месяца назад +8

    Kwani mama shifuna hajui sauti ya Chief?
    Huyu ni chief.....piga like kama umekubaliana na mimi!!!!!

  • @FAMOUS95-V
    @FAMOUS95-V 2 месяца назад +13

    God don't allow those innocent kids to suffer Lord,wewe uonae sirini yesu tenda maajabu watoto wapate kutoka kwa mikono yao wachawi in Jesus mighty name 🙏

  • @MacyMacy-xb1ex
    @MacyMacy-xb1ex 2 месяца назад +2

    Mungu Sisi tunakutegemea Baba

  • @Brianmutaii
    @Brianmutaii 2 месяца назад +6

    😢huyu ni chief plzzzzzzzzzz kuweni makini nametumia mwili ya mtu.

  • @nancymoraa6491
    @nancymoraa6491 2 месяца назад +6

    Eric please msikubali watoto watolewe kafara wamwagie holy water 💦 wakimbie

  • @VAa-nb1odviolette
    @VAa-nb1odviolette 2 месяца назад

    Uyuni chief amezibadirisha anaongeya kama chief😂😂😂😂😂😂😂

  • @janenjenga8906
    @janenjenga8906 2 месяца назад +1

    I like when they mention God......... halleluyah 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @جواناالكيني
    @جواناالكيني 2 месяца назад +6

    Hii body ni kma chief ndio anatumia juu hii sauti ni ya chief 😢

  • @ساليبولندا
    @ساليبولندا 2 месяца назад

    Huy.nicifu😂😂😂😂😂

  • @Believeinchrist-y8y
    @Believeinchrist-y8y 2 месяца назад

    Mwanamke mnono mjinga mpumbavu fighting a loosing battle

  • @faithimani-kg2ct
    @faithimani-kg2ct 2 месяца назад

    Mama mnono mweusi mpumbavu,😂😂😂 you're days are numbered.

  • @NaomyMorgan
    @NaomyMorgan 2 месяца назад +1

    Ita chisaka,IBRA na dangulo msaidiene

  • @Maggykiongo224
    @Maggykiongo224 2 месяца назад +2

    This time round they will not managed
    Waagamie wao wenyewe

  • @MaurineKhavai
    @MaurineKhavai 2 месяца назад +2

    Huyu ni chief aky

  • @joycemu9257
    @joycemu9257 2 месяца назад +1

    Ngai huyu ni chief Mungu ingilia kati saidia kina RAF na team yake mama mjinga mpumbafu unadhania utafaulu mipango yenu iteketee in JESUS name

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 2 месяца назад +1

    Huyu ni muizi kubwa ndio chif wanaua nao watu😊😊😊

  • @janeWanjiru-l3c
    @janeWanjiru-l3c 2 месяца назад

    Bona anaongea kama chief 😮😮

  • @johnndunguMbugua
    @johnndunguMbugua 2 месяца назад

    Umeshaa shikanizwa juu we are watching you very clear na nyinyi na kevo,we are coming for your cabin

  • @carolineunguku9163
    @carolineunguku9163 2 месяца назад +1

    Mama shifuna siku zako zakuondoka hapa duniani zimewadia,mwanamke mjinga mpumbavu mnono,hao mababu watafurahia kula nyama yako,ushindwe katika Jina la Yesu kristo

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 2 месяца назад +3

    Mugeita polisi Erick mungu awasaidie chisaka mufwate huyu jama

    • @veronicahmsagha9077
      @veronicahmsagha9077 2 месяца назад +1

      Police watalipwa na mama shifuna

    • @Jackline139
      @Jackline139 2 месяца назад +2

      Wewe ni mgeni kwa hizi video polisi wangapi wamehongwa na mama shifuna hii kazi ni maombi yetu tu na pastor Joshua na mungu wetu Ndio ataweza

  • @shikobig3591
    @shikobig3591 2 месяца назад

    Mama shifuna uko na 4 days uage dunia kwaheri🤗

  • @resperadhiambo
    @resperadhiambo 2 месяца назад +2

    Eric chisaka raf wakati nisawa kufunga na kuomba muombe bila mcheo mungu asimama na nyinyi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 месяца назад

    Mungu awalani

  • @maryngatia2362
    @maryngatia2362 2 месяца назад +2

    Ndugu yangu hutakula Christmas na familia yako juu ya tamaa

  • @lilianemmanuel9097
    @lilianemmanuel9097 2 месяца назад +1

    Ivi akifika location ni lazima asnze kujiongelesha 😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊😊

  • @sara-fx3wp
    @sara-fx3wp 2 месяца назад +2

    Naomba hawa watoto wasiuliwe kafara isifanyaje

  • @ZuniraSalim-jo5zv
    @ZuniraSalim-jo5zv 2 месяца назад +2

    chisaka na eric ibrah shikaneni mumalize huyo before mama shifuna ampeleke kwa mganga ampe power

  • @BkrDjalo
    @BkrDjalo 2 месяца назад +2

    Basi chisaka Na Eric Na ibra mumutafute

  • @FaisalToto
    @FaisalToto 2 месяца назад +1

    Mama mpumbavu hana akili hatawahi faulu mission ya kuwatafuta kina raf

  • @JoanKinya-tw2gq
    @JoanKinya-tw2gq 2 месяца назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in the Mighty name of Jesus Christ 🔥🙏

  • @EuniceBukokhe
    @EuniceBukokhe 2 месяца назад +1

    Yaa chief anamaliza watu

  • @Marionwanjiru009
    @Marionwanjiru009 2 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @LamaribamJumbe
    @LamaribamJumbe 2 месяца назад +1

    Mtu Mzima Ovyo kutwa
    Unashindia USHIRIKINA TU Doooooo Aisseh

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 2 месяца назад

    Marto uko na siku chache sana😢😢😢😢chunga

  • @Peris6815Manyara
    @Peris6815Manyara 2 месяца назад +1

    Huyu n chief walai 😢😢😢

  • @hadijasalim7769
    @hadijasalim7769 2 месяца назад

    Mm nawaomba apokwenye vikao vyao niraisi sana kumupa risasi anakuwa hajiwi fanyeni ivo kakondi bastora

  • @zenajimmy6603
    @zenajimmy6603 2 месяца назад +3

    My brother itaneni please 🙏 mulalishe hizi parasite 🦠 2

  • @Dinah-qg1mq
    @Dinah-qg1mq 2 месяца назад +3

    Mbona nasikia ni sauti ya chief maybe anatumia mwili ya mtu

  • @MildredInyanji-qu1fh
    @MildredInyanji-qu1fh 2 месяца назад +2

    Errick mkuwe Tu karibu wasijaribu hata kidogo kiwarambe wenyewe kabisaaa

  • @VeronicaMmbone
    @VeronicaMmbone 2 месяца назад +2

    Huyu ni chief mgani anaconnect waalifu

  • @FaisalToto
    @FaisalToto 2 месяца назад

    Mungu anawalinda Kila mahali wanapoenda

  • @Famillebeine
    @Famillebeine 2 месяца назад

    Huyu Sasa ndio anajua Bei sio wale wa 50kids 50 k😂😂😂

  • @beatricemona7591
    @beatricemona7591 2 месяца назад +1

    Lazima huyu mama ajiongeleshe!

  • @JoanKinya-tw2gq
    @JoanKinya-tw2gq 2 месяца назад +1

    Eeeetiii mama sifuna anasema mungu ni mwemd amepata maroo!! Shetani ni muongo

  • @Samira-m7u
    @Samira-m7u 2 месяца назад +1

    Huyu ni chief anatumia mwili ingine saut ni hiyo hiyo kabisa ya chief

    • @NofelaJaco
      @NofelaJaco 2 месяца назад

      aky ni kweli😊

  • @CharityChao
    @CharityChao 2 месяца назад +1

    Mungu ingilia kati hao watoto wasiuliwe

  • @Elizabethnzulavoma
    @Elizabethnzulavoma 2 месяца назад +1

    Kaheni kwa poster mpaka siku ya nyungu coz munganga hanawatafuta plz na hanawenza kunja kama kunguni na wewe kisaka we love all the time hapo ni wewe na raf

  • @sarahngige1589
    @sarahngige1589 2 месяца назад +1

    Tafutaneni na huyu kwanza cabin master Mr Makoti @chisaka

  • @LydiagathoniGithinji
    @LydiagathoniGithinji 2 месяца назад

    Huyu ni chief

  • @davidkariuki7951
    @davidkariuki7951 2 месяца назад

    I think 🤔🤔 hawa watoto wanatolewa children's home 🥺🥺

  • @zenajimmy6603
    @zenajimmy6603 2 месяца назад +1

    Huyu Huyu tafuteni akina dangulo chisaka mpite nae haki

  • @Samira-m7u
    @Samira-m7u 2 месяца назад +1

    Ombi langu kwenu muende muuwe huyo mganga 😢

  • @MaryVick210
    @MaryVick210 2 месяца назад

    As how there r busy to fulfill there mission b busy also to fulfill ur mission keep God first always

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 2 месяца назад +2

    Yani machif dio wanamaliza watu kwa eria

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 2 месяца назад

      huyu ni cheifu wa kule wa chisaka😢😢

  • @abwaancalisey505
    @abwaancalisey505 2 месяца назад

    Hiyo sauti ni ya chief anatumia mwili mwingine

  • @paulinamunyugi2291
    @paulinamunyugi2291 2 месяца назад

    Wa kila wakati kwa kichaka???

  • @marysaimon2213
    @marysaimon2213 2 месяца назад

    Mumama mnono mpumbavu

  • @ساليبولندا
    @ساليبولندا 2 месяца назад

    😢😢😢huy.nichif.chidwe.chetani.mukife.mwote.chetani

  • @sendi565
    @sendi565 2 месяца назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢mungu wngu

  • @Hashimunamwira-bn9sg
    @Hashimunamwira-bn9sg 2 месяца назад

    Eti sioni kama hizi manungu mbili zipo huku huyo ni raff na Eric washakumulika kitambo tumekuona wendo nungu

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 2 месяца назад +1

    Endeni team kubwa but Raf asitoke kwa pastor

  • @ImeldaAkala-e5o
    @ImeldaAkala-e5o 2 месяца назад

    Mwanamke mnene mpumbavu
    Kama nguruwe mwizi

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 2 месяца назад

    Uyu ni chifu ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIE HAI

  • @EuniceBukokhe
    @EuniceBukokhe 2 месяца назад +1

    Hutatoboa wewe mama 😮

  • @Believeinchrist-y8y
    @Believeinchrist-y8y 2 месяца назад

    Huyu jamaa 3 months ago alikua tu na hii jacket kwa hivyo bado ako rada

  • @Nancy-wy2zi
    @Nancy-wy2zi 2 месяца назад

    Eric ita Chisaka na Ibram wamalize haraka

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 2 месяца назад

    Iwish mkufe before mmeharibu nchi kabisaaaaa

  • @MuthamaMacelina
    @MuthamaMacelina 2 месяца назад

    Eric muwe karibu na hidden camera muokoe hao watoto kabla wachinjwe pliz

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 2 месяца назад

    Mshindwe na mipango yenu 😂😂😂 huyo anawaogopa akina makoti 😂😂 kitawarambeni tu sk yenu iko mpka muache tabia mbaya zenu kuuza watoto

  • @webbryr5568
    @webbryr5568 2 месяца назад

    🤲🤲🤲🤲🤲🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🇸🇦🙏

  • @LucyNdunge-yy4nb
    @LucyNdunge-yy4nb 2 месяца назад

    Uyu ni chife amejipondua ata sauti ni yake

  • @RMM2222
    @RMM2222 2 месяца назад

    Please mkue karibu na mkue na pastor na holy water 💧 waweze kushindwa in jesus name

  • @sendi565
    @sendi565 2 месяца назад

    No justius kenya ata kidogo

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 2 месяца назад

    Hawa wageni kuwamaliza ni haraka

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija 2 месяца назад

    huyu cheif ametumia mwili ya mtu mwingine sikien saut yake

  • @eunicengonyo7301
    @eunicengonyo7301 2 месяца назад

    Sauti ni ya chief hadi sweta ni yake ,huyu chief anatumia mwili different ......na siniliacha amekuwa wazimu ama kuliendaje

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 2 месяца назад

      au ametumwa na bibi yake achunguze mama shifuna🤣🤣🤣huyu ni yeye hawa kina raff wawe makini sana

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 2 месяца назад

    Bado unataja Mungu di umrudie uache mauaji

  • @Roz-m2z
    @Roz-m2z 2 месяца назад

    No ule chif mbaya ama mugu fanya jambo

  • @LydiagathoniGithinji
    @LydiagathoniGithinji 2 месяца назад

    Tafuta pastor Joshua msikubali watoto wakufe bule

  • @MuthamaMacelina
    @MuthamaMacelina 2 месяца назад

    Huyu Mato tunataka CABIN yake

    • @NofelaJaco
      @NofelaJaco 2 месяца назад

      tena kwa mpigo😂

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 2 месяца назад

    Hawa watu mkishika

  • @LadykenyaNandigaa-eh9hi
    @LadykenyaNandigaa-eh9hi 2 месяца назад

    Utakufa vibaya wewe mama sifuna usipobadilika utakuwa bibi wa sheteni kule jehanam na kevo alikwambia😂😂😂 sasa iyo mali yote utapelekea shetani hips zako zote😂😂😂

  • @Dama-w8f
    @Dama-w8f 2 месяца назад

    Guys uko wapi huyu nichife ametumia wili ya mtu huyu haki so kuweni makini ssna

  • @CathelineKarumbi
    @CathelineKarumbi 2 месяца назад

    Mungu usikubali watolewe katikati jina kuu la yesu chrito, haki nawaomba musinde peke yenu'nawaomba tena musinde peke yenu endeni group kama tatu ya raf kina ndangulo nakina riaga mkipiga maombi huko setani atasindwa na msiache.paster joshua please

  • @eunicemwongeli9066
    @eunicemwongeli9066 2 месяца назад

    Maombi yetu msielewane ata kidogo tuko magotini Eric and ua team twaombea wewe mama mnono mpumbavu mjinga na huyo kijana mrefu mshenzi pia mjinga ushaelewa ee

  • @sendi565
    @sendi565 2 месяца назад

    Huyu Tena mtapelekana vile kevo alisema

  • @zenajimmy6603
    @zenajimmy6603 2 месяца назад +1

    Musikubali hao watoto Huyu shuulikieni before it’s too late atafutwe usiku na muwe wengi please

  • @MaryVick210
    @MaryVick210 2 месяца назад

    I destroy almost there plan in fire of the hollyspirit cover u team raf in God all possible beleave call him he will answer ur prayer

  • @leahchepkemboi7142
    @leahchepkemboi7142 2 месяца назад

    sauti yke kama ya chief ama ni kichana yke

    • @Brianmutaii
      @Brianmutaii 2 месяца назад

      😢😢😢ni chief ametumia mwili ya mtu

  • @WeddyKathambi-b6g
    @WeddyKathambi-b6g 2 месяца назад

    Chisaka tuondolee kelvo na mzee wa kijiji huyu mama sifuna abaki peke yake misdions zake ziangamie

  • @ReemaM-i5t
    @ReemaM-i5t 2 месяца назад

    Lkn uyu mama shifunaa kazid walah😢😢😢yye anasema wakina rafuu n Eric wanamufatilia badal watfute kazi wafanye lkn yy hawez fanya hio kaz niyee nakuua wtto lkn kupenda kutafuta hio az afanye aaah hawezi mupuuzi xana uyu punda kbsa😢😢😢😢

  • @ropmercy5980
    @ropmercy5980 2 месяца назад +2

    Waah huyu mwenye ako na stock ya watoto ni hatari 😢😢😢

  • @AssnnetMusuruve-jp5dv
    @AssnnetMusuruve-jp5dv 2 месяца назад

    Hii Sini sauti y chief 😮jameni naona uyu n chief amejigeuza kuwa n sura y mtu mwengine cheso

  • @AminaAnasi
    @AminaAnasi 2 месяца назад

    𝐆𝐚𝐚𝐚𝐢 𝐚𝐤𝐢 𝐜 𝐦𝐟𝐚𝐧𝐲𝐞 𝐣𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐡𝐮𝐲𝐮 𝐦𝐚𝐦𝐚 𝐚𝐣𝐢𝐤𝐮𝐭𝐞 𝐤𝐰𝐚 𝐜𝐡𝐮𝐫𝐜𝐡 𝐛𝐟𝐨 𝐭𝐡𝐨𝐬 𝐝𝐚𝐲𝐬 𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐛𝐨𝐮𝐧𝐜𝐞

  • @damarisnjerunjeru399
    @damarisnjerunjeru399 2 месяца назад

    Huyu ni chief