Ahsante Dr. Huyu Dr nimebahatika kukutana nae pale Agha Khan - Dar es salaam. Alinifanikiwa kumsaidia mke wangu kutatua tatizo lililomsumbua kwa miaka 9. Ni mtu na nusu, Mungu akubariki sana Dr Hanifa. Personally I appreciate you to the extent you can't imagine.
Shukran mwanangu jazakallahu khaira nimeelewa.doctur
kwa mara ya kwanza leo nakua wa kwanza asante kwa ujumbe dokta
😃😃
Ahsante Dr.
Huyu Dr nimebahatika kukutana nae pale Agha Khan - Dar es salaam.
Alinifanikiwa kumsaidia mke wangu kutatua tatizo lililomsumbua kwa miaka 9.
Ni mtu na nusu,
Mungu akubariki sana Dr Hanifa.
Personally I appreciate you to the extent you can't imagine.
Nisaidie no zake
Mashallah Mashallah Doctor....! Aferin
Shukran kwa somo zuri
Asantee Sana.
Uposofti usoni hadiraha maashaallah
Ongera dada umeereza vizuri sana
Congratulations Dr.
Shukrani do
Shukran sana
Asante dokita sasa tumepata ushauli
Yes
Shukran
Doctr mim nina ndugu yangu anamwili wakawaida lakini tumbo limeja nahuwa hali chakula kwawakati na hatumi kilevi chochote
Mimi nina wek moja Sasa tumbo linakuwa kubwa hata kama sijala kitu sasa kula siwezi tumbo linakuwa kama mzigo
Wahi hospital umuone doctor usichelewe tatizo likawa kubwa
Anapatika wapi doctor
Shukran