Zingatia haya kuepusha Talaka na Migongano ya Mara kwa Mara Katika Ndoa Sehemu ya Pili

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 21

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 2 года назад +1

    SHUKULAN SANA USTADHAT WETU ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI INSHALLAH

  • @mwanamwantumazizi1869
    @mwanamwantumazizi1869 2 года назад +1

    Mashaallah ukty fatma darasa linaelimsha sana jazzakh llah kheri

  • @hassanisalumu7129
    @hassanisalumu7129 3 года назад +4

    السلام عليكم،ماشاءالله تبارك الله،حفظها الله.

  • @Renee1974-v6l
    @Renee1974-v6l 3 года назад +4

    Mimi ni Mkenya na SI Mwislamu, lakini mawaidha ya akina dada hawa wawili huyapenda kabisa

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 3 года назад +3

    Maashallah maashallah maashallah maashallah darasa nzuri sana allah akulipe kila lililokuwa jema

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 года назад

    Mashallah Tabaraka Llah shukran sana Allah akuzidishieni kheri na barka amiin 🤲 ya Allah

  • @AhmedSaid-hy4vp
    @AhmedSaid-hy4vp 3 года назад +3

    Mashallah darasa zuri sna kwa sote wenye Nia ya Mambo haya na faida zake nikubwa sna.muhimu sna mazingatio

  • @samyamohammed4568
    @samyamohammed4568 2 года назад +1

    Maneno mazuri masha allah Allah akuhifadhi Amiin 🤲

  • @sophiamohamed1433
    @sophiamohamed1433 3 года назад +1

    Subhannallah, subhannallah, subhannallah, Allah atuongoze sn ktk twaa yake

  • @swaleheamri2303
    @swaleheamri2303 3 года назад +1

    Dada hongera kwa wasilisho zuri.

  • @a.856
    @a.856 2 года назад +1

    Jazakallah khayran

  • @hassanisalumu7129
    @hassanisalumu7129 3 года назад +1

    Maashaa Allah tabaarakallah ,hafidhahallahu.

  • @mwamvuwaameri2075
    @mwamvuwaameri2075 2 года назад

    Maashallah jazzaka Allah lkhair

  • @rukiahussein9632
    @rukiahussein9632 3 года назад

    Shukrani jazira kwa elimu maridhawa

  • @silvanceodhiambo3750
    @silvanceodhiambo3750 Год назад

    Assalamwaleikum warahmatulai wabarakatu

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 2 года назад

    Mashaa Allah ndoo maana ndoa hazidumu myakahii

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 2 года назад

    Asalam aleikum dada mashallah mambo haya nimazuri saana na ni funzo zuri sana lakini dada naomba kama itawezekana nataka uweleze kwakizungu haya haya manake watoto wetu huku ulaya hawa jui kiswahi vizuri naomba useme in english as wrll wafaidike vijana wahuku piya please jazakallah

  • @fakihshariff7896
    @fakihshariff7896 3 года назад +1

    Aslm alykm warahmatullah. Maneno mazr alhamdullih na mola amuongoze na kumpa uzima daima ili azidi kutufunza mengi zaid ya hayo. Ila nashauri kidgo apunguze kuchanganya lugha wengine tumeishia darasa la saba mengine sielewi akichngnya lungha

  • @ukhtymwana4998
    @ukhtymwana4998 2 года назад +1

    Allah akulipe