Allahumah Ameen , Jazaqallah kheir Shk. Hamza Mansour , Allah akubariki na ajaalie ujumbe huu uwe ni sababu au moja ya sababu ya kutufanya tuwe wenye kubadilika.
Jazakallah khayrah oustadh, na hii ndio hali ya Maulamaa wetu wa leo, kila siku raddi na kukafirishana, mbaya zaidi wanayafanya haya katika mitandao ya kijamii na hili hupelekea upenyo kwa makufar kuzidi kupata chance ya kutuangamiza sie waislam.. may the almighty Allah forgive us and grant us Jannah at any rank among its ranks even if not jannat firdaus 😭😭😭😭😭inshallah
Amiin ya rabb. May Allah grant u more en more knowledge concerning our deeen. Alhamdulilah always for ur mawaidha. Allah akbar it really soothing our hearts en increases our iman as well. Alhamdulilah for being a Muslim. May Allah grant U sheikh Mansoor the very best of your knowledge Ma sha Allah! Happy to be among ur followers.
Kweli kabisa masheikh inawahusu hii masheikh wengi sana wao kwa wao wanasemana vibaya huyu anaongea hivi ijumaa hii yule ijamaa ijayo anajibu yale yaliyojiri ijumaa iliyopita yote kisa mskiti wa sheikh fulani unajaa kuliko wangu au watu wanamlenda sheikh fulani huu mtihani hasaa
Kama tungekuwa tunapata khutba nzima ingekuwa kheri,, coz hii khutba ilikuwa na ujumbe mzito sana, iyo ni summary ty, lkn sheikh Hamza wallah hii khutba ilitugusa sana🙏
Mashallah,, Sheikh Mwenyezi Mungu akuzidishie

Amiin ya Rabb.
Amiin🤲🤲😭😭😭😭
Aamiin
Allahummah Ameeen. Jazaqallah kheir shk.Hamza mansour Mola akubariki.
Mwenyezi mung amjalie mwish mwema na amlinde nama hasadi
Allah akujalie sheikh hamza ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ujumbe umenijenga Sana Allah akuzidishie
Ma shaa Allah
Subhanallah 😭😭😭
Allaah Subhana Wata'ala akuhifadhi sheikh Hamza umesema ukweli
Mungu atukubalie maombi yeti inshaallah
MashaAllah Allahuma bariq
Jazaka Allahu kheri
Mashaallah tabarakaah
Shukran mawaiza mazuri ❤
Amiin ya rabb. May Allah grant u more en more knowledge concerning our deeen. Alhamdulilah always for ur mawaidha. Allah akbar it really soothing our hearts en increases our iman as well. Alhamdulilah for being a Muslim. May Allah grant U sheikh Mansoor the very best of your knowledge Ma sha Allah! Happy to be among ur followers.
Masha ALLAH
Améen 🤲 ya Allah
Alla akuweke atupewisho mwema
Rabiie Zidna elimah 🤲 Warzqunah Fahamah.., Allah Akuhifadhi dunian Na. Kesho Akhera uwe Miungoni Mwa waja Wake wema Inshaallah
Mashallah kwa ukumbusho❤❤
ماشاء الله
Manshaa Allah Allah atupe mwisho mwema 🤲🤲🤲🙏😭😭😭😭
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatu
Allah atujalie kwa mioyo enye utulivu
MashaAllah
Mashaallah baraka llahu fiyk
Kweli kabisa masheikh inawahusu hii masheikh wengi sana wao kwa wao wanasemana vibaya huyu anaongea hivi ijumaa hii yule ijamaa ijayo anajibu yale yaliyojiri ijumaa iliyopita yote kisa mskiti wa sheikh fulani unajaa kuliko wangu au watu wanamlenda sheikh fulani huu mtihani hasaa
Kweli hasa
Kama tungekuwa tunapata khutba nzima ingekuwa kheri,, coz hii khutba ilikuwa na ujumbe mzito sana, iyo ni summary ty, lkn sheikh Hamza wallah hii khutba ilitugusa sana🙏
Masha Allah sheikh Hamza Allah akuhifadhi 🤲
maashaallah maashaallah 🙏🙏
ماشاالله
Kwakweli hali imekuwa mbaya kwa wanazuoni wetu .kwa mwendo huu tutaipata dola ya kiislam kweli
Twaibu
Kweli kabisa shekeih
Masha Allah