TT Comedian WHO'S LAUGHING NOW
HTML-код
- Опубликовано: 8 янв 2025
- TT Comedian_ who's laughing now
Kenya's youngest Comedian.
It's about: Comedy Laugh's.
For Bookings/Enquiries: +254 738 712728, comedianttke@gmail.com
FB: / ttcomediankenya
IG: / ttcomedian
Twitter: / comediantt
#TTcomedian #tt #LadhayamtaTv @chikunde254 @ TT Comedian
Our comedian tunakuringia sana sana God bless you
Asante sana Kwa support
Amen Amen😂😂😂😂
Amen
My boy tt one love from Somalia Napenda Kazi yenu tt family crew
Thank you so much from Somalia for the support
Wow somalia
Katwin my dear 😊😊 sorry...nwie keep going TT comedian family...jey from Garissa county
Jey Jamal thanks so much bro
TT my best.while nikiona notification lazima nishuke.🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣
heheheh 😂😂😂😂💕
Hahahaaaa TT mwisho wa mawazo jamani💕💕 katwin utajua hujui dada😂😂😂😂😂nimecheka yangu yote😂😂😂😂😂
Asante sana
Woi nimechongeshwa viazi inauma
😂😂😂katwin pole kwa kuteswa n mtoto mdogo,,ungemchapa hayo yaishe😂😂😂aaaah banah mambo makali kweli,,,tricky sana ,,TT keep it burning 😜
wewe nakuonea mbali sana😂😂😂😂
@@ttcomedian 🤣🤣🤣🤣😂😂😂okay fine
TT anaweza....hii leo imesidi....gatween ngojea kuku yako ...🤣🤣🤣🤣
Asanti sana
LET'S GIVE TT AND THE TEAM 1000 LIKES... KAZI NZURI SANA... Na alafu aki mmetustarve for long.. Tulijuwa TT amefunga shule na content ingeshuka almost daily..
Hhhhhh
TT naomba ukuje TZ ok
Thank you sir for the support always kaka
@@MrPROSPER2025😊😊😅😢🎉🎉😂
😂😂😂😂😂 TT comedian yaani huwa napenda show zako huwa nikiangalia show zako na cheka sana
Asante
Thankful sana
OMG🤣🤣🤣🤣tt wewe ni mjeuri sana umeacha sister kwangori you're my number one comedian in kenya big up my baby boooo💪💪💪 love you❤❤❤
Shukran sana keep the support
Thanks
TT Comedian, Kiboko yao, hushindwi kamwe 💪💪
Santi sana Kwa support
Nakwambia
@@katwin58 hnb
@@katwin58 nn
TT comedian my guy kuku full badaye Eti haina kijwa na miguu 🙆🙆😂😂kazi poa👏👏👏
😂😂😂😂 sindio wewe umewahi ona wapi kuku full bila mguu na kichwa
@@ttcomedian TT we we ni nyoko sana
Yani katwini ni Dada mpole msikivu mwelewa lait ningekuwa mkubwa angekuwa bibiangu
🤣🤣Wenye tulilelewa n shosh tunajua ako kafeeling ka kubembelezwa.🤸🏻🤸🏻
Asante sana
hehe
Nilidhani ashakua prodigal son kumbe kasharudi.......big up sana TT
heheheh wewe
Shosh you are a really a mother mweleze katwin vizuri asijeakadanganyika aache tamaa. Shosh asante kwa fundisho
Shukran sana keep the support
Mie nishapewa kisomo
Asante sana
Walai shosh utapatwa na pressure juu ya TT .. TT mi mtutukutu kweli ww unapiga kelele na TT ameshimba hongera kwa mwana wa OC'S
Thank you so much
TT is big HERO
Asante
Àqz``☆
😀😀😀 Tt aky umemtenda katwins heheee ati kuku mzima, utachonga viazi dada 😀😀😀
Huyu tt jamani
😂😂😂😂🤣🤣Tt my favourite comedian big up cant wait for next episode
Asante sana keep the support
Thanks so much keep the support
Msee wa OCS,bigup sana,continue hivo hivo.
Lkn uko tu mfunny,
Shukran sana keep the support
@@mjukuu254 that is my promise ,❤
Umeona eee
@@katwin58 walai😊,welcome to mt channel,pitia huko
Shosh huwa anapeana a very good advice 💯💯💯🥰
Asante sana Kwa kutupiga support
Asante sana
Katwin pole sana 😂😂😂😂 TT Ni hatari sana 😂 ogopa jamani
Hahahahahah santa sana keep the support
Nakwambia nimechonga viazi nimeosha vyombo nimechoka sana
@@katwin58 😂😂
Duuuuh katwin TT amekuweza, ila shosh anakuaga na nasaha sana big up guys
Asante sana nashukuru ❤️❤️❤️❤️
Imeniuma sana vile tt kanifanya
Uwiii. Tt ameruka kuchapwa fimbo. amefungisha katwin safari mpaka hotelini .Na akajifinyina kuku mzima katwin amebakiya akichongeshwa viyazi . amekula kuku Na macho😂. . Tt anajua ako Na shosh wanguvu. Ameshiba mjukuu Akalale amechoka kumbe kuku imetuli kwa tumbo 😂🤣waaaaah 👍
Oooooh bana huyu tt njooni mumuchukie
@@mjukuu254 Tt tutamuacha aendeleye kukaa Na udogo janja wake pahali popote alipo Mungu amlinde zaidi kila siku yeye . NA team's work wake wote .tunawapenda sana nyoteni. Kipindi chenu kizuri nyinyi wote. Hongera sana 😂🤣👍
TT jameni huwezi fanyia katwin hivyo🤣🤣🤣
Oooooh njoo hapa
Pia wewe nakuja sasa
Inauma sana
Hehehe,,,, TT narrowly survived today 🤣🤣🤣
Bibi ndo wanatuharibia watoto wanawadekeza sanaa 😂
Hahahahaha kweli umeonaa
Kweli kabisa ila huyo ndie roho yake
@@katwin58 katwin umenijib lovee jamn 😍😍😍😍😍😍😍
Lazima tuwapende wajukuu
@@selinamakonde5740 waooooh shoshi ake tt 😍😍😍😍
Tt anaeza fanya chochote akijua kuna shosh akimdefend. Ananikumbusha marehemu shosh yangu mungu amlaze pahali pema peponi. Hio love iko juu sana. Nawapenda sana tt comedian
Asante sana nashukuru...pole kwa kumpoteza shosh
Asante sana
Shosh😂..unanimaliza sana venye unadefend mjukuu wakoo
Manze bana
Nangoja sana,, TT niko ready kwa collabo
Asanti sana Kwa support
TT naona uliamua Mwarabu hatawai kaa na amani😂😂😂
Kweli
This little boy is so talented much appreciate this guy 🇰🇪 🇺🇬
😁😁😂😆🤣 Baba wa hiari wa TT kutoka Tanzania
For
Shosh💯/💯 mwisho umenifurahisha umewaelimisha akina dada zetu wasipende vya bure💯
That's for your commet
Thank you so much keep the support
TT kasema eti tamaa yake ndio imemfanya😁😁😁😂😂😂😂
Big up to the entire crew.cant stop laughing 🤣🤣🤣🤣🤣TT the ".....na nmeenda"
Hahahahahaha karibu sana
Jamal keep the good work, much respect brother
Shoshi unamlea vibaya TT mwenyezi mungu akikuchukua TT afunzwa na ulimwengu
Asante sana
Al fayzin
Dah haki ya nani huyu ndo tt mwana wa ocs yaani me nilijua katwin leo atakula kuku mzima lakini badala yake kibao kimemgeuka🤣🤣🤣🤣 pole sana katwin leo umepatikana😂😀😀😀 shoshi wamdekeza sana tt jamani bora umrudishe kwa babake😘😘😘kazi nzuri you always make me happy. Kila la heri na mafanikio tele nawaombea.😘😘😘
Inshallah
Thanks janeth for the support
Waaaah TT my guy amepata katun amechonga viazi ama ?hahaha....sasa shosh na osis case hahaha you guys make my day THANK YOU!!!!
Shukran sana keep the support
Thanks
Asante
TT comedian has done it again...Na lakini mzee wa kofia ako wapi ..nakumbuka wakicha show Na TT about Kuku ya mapocho pocho Hilton hotel
Ako tuned in more to come
Shosho tt asante sana kwa ushauri wako unatusaidia sana sis wa sichana🇧🇮💓💗
Thanx for the support
Asante sana Much appreciated
Asante sana
Mjukuu endelea kumsimamia huyo dogo ili ufike mbali naamini hata na wewe utafaidika pamoja na timu nzima,,,,huyu dogo ni big brand siku zijazo
Thankful sana
@@mjukuu254 wewe ni moto mjukuu,, sholout from mwanza tanzania,,,,,
TT noma sana mazee🤣🤣🤣🤣
Thankful sana big bro
True
A can't stop laughing 🤣🌹💐
Natia mware we pray you Kenyan girls should produce such talented kids
Katwin amechonga viazi already😂😅😅😁😁
Oooooooh bana
TT very creative deserves a million likes 👍👏❤
Thank you sir
Nop maddam
Jifunze kuvumilia dadangu 🤭😄😄
Mwambie ukweli
Ajipe moyo kabisa
Wish I was here and watch live
Leo TT ameamua kuspoil Katwin,kweli girlchild anachezewa mind hapa 😂😂😂
Asante sana
Can you imagine
Haki TT wewe ni noma, unakula katwin akimeza mate 😂😂😂🤣🤣🤣
Ha ha ha hii ni mbaya
Can't miss on this channel everytime I see notification I feel so amazing,,,,,,, more love TT and your company from this side 😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Thankful sana for your support
Keep supporting en God bless you
hahahaha katwin kua mpole
@@OFFICIALMWARABU 🙏🙏
@@liliannyabs2331 mmhhh thanx alot en twashukuru
Tamaa ndo zimemponza Katwin kabisaaaaaa😁😁😁😁
Hahahaaa that's for you comment
Kweli tena
Thanks
Keep going keep going you always makes my day big up to all the team 💪💪
Thankful sana
Thanks so much..nitazidi kujiskuma
Tante
@@katwin58 welcome
@@ttcomedian all the best always
Shosh best mentorship more love
Shukran sana keep the support
Thank you so much
TT Baba lao... uyo sister anaingia box araka 😂😂
Hahahaha ushasema bazenga
TT unamuonea sana Katwin jamani sio vizuri 😜😜
Wallai njooni mumetwar
Hapo sawa kabisa tt smart boy congratulations good job
niwangapi wamejua bill itaachiwa katwini😂😂😂
Hahahahahahaha really
Me sukujua
@@katwin58 mm nilijua tuu anakupeleka out TT na ata cost atakuachia wewe😂😂😂
@@mjukuu254 TT ni noma mjukuu ona Sasa TT amebebesha mzigo mtoto wako @katwin wakuchonga viazi na kwa shosh pia akatoboa😂😂😂
Namkubali sana shosh kwa kuwaelimisha Dada zetu
Santi sana
Asante
Tengeneza CD ili ipatikane kwa series.
Watoto watu wanapenda sana kazi zako huku TZ
Asante sana ntalishugulikia hilo suala
I agree with you 🙏🙏 ongera tt young boy,,I love your videos xsana may God protect u uende far.
Nunua kuku😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahaha Asanti sana
tt shosh loves you so much... Katwin next time chapa yeye kabisa😂😂😂😂
Asante
Hahahahahaha jamani
TT. You are good in bringing 😂😂😂 like you so much 💞
Shukran sana keep the support
😂😂😂 tricky Sana bro eti katwin alikuwa akule nini???....
I like comedies of this kid, he is very creative and always thinks as adult , TT continue growing up
Inshallah
much appreciated 😂😂😂😂😂
It's happier when someone likes your comments then boom notifications of new subscribers
Thank you so much
🤣🤣🤣🤣katwin alikuwa akule kichwa na miguu ole wako dada
Jamani tt sio vizuri thankful sana
I got a new way of removing stress, i just watch ttcomedian
Each and every person knows that
Tt is our future comedian this one is on another level
Wow wow much appreciation 🥰💕🥰🥰🥰💕🥰🥰
Cutee
No no no
@@tabbykiratu2018 gryyfff 5⁶uu3abuVw
He is already a star commedian
Haki hii nimecheka yangu yote. 🤣🤣
Nani kama TT with shosho on his side....pole sana Katwin.
Santi sana
Nishapoa dada asante
Asante sana
😀😀😀😀TT migu na supu niya watoto
heheheh aki
👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥thanks TT comedy
welcome
😂😂😂😂😂😂😂💥💥💥💥💥AUNT KATUI HUYO NDIO TT MAASHALLAH MAASHALLAH NAWAPENDA SANA 💞💞💞💞💞💞
Inshallah Jazak Allah
Asante sana I say Kwa support
@@katwin58 katwin naomba namba yako ya simu!
TT 🤣🤣🤣🤣🤣patia katwin kuku 🤣🤣🤣lemme laugh
Hahahahaha sante sana I say
heheheheh
@@ttcomedian umekaa sana kabla upost mama mdogo
Leo TT amechoma 😂😂😂🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Sana tena
Lakini nlinyce juu TT akikula kula kuku nlikuwa hiyo idhaa..
Content iko freshi ndugu 💯💯
Kijana ya OCS umekua mkora😆😆, katwin amepata kazi, malipo ni virtual, non existence 🤣🤣🤣
Hahahahahah
Tt..unaweza kula kuku mzima na ukane kulipaa🤣🤣🤣
Bana ni mbaya sana
Sindio sasa wakileta kuku nusu
@@mjukuu254 🤣🤣kabisa
@@ttcomedian hawakuleta kichwa na miguu..🤣🤣🤣aaalaah
TT nakubali kazi yako
Tt what you are doing to katwin is not fair 🤣🤣😂😂😂😂😂 and how grandma pamper you she is spoiling you. By the way nimekua adicted na ww good work from 🇹🇿 TZ
Santi Valeria tz tunakuja soon
TT you will go far together with your team trust me
Thankful
Hapa shoosh i like that Tt wapendwa na shoosh
Shukran sana keep the support
This one is on another level. Keep it up. Katwin Leo umepatikana.
Nakwambia Asanti sana
Yani
Much appreciated.... we will keep on working hard ....on the big future
@@katwin58 kazi unayo kwa nyumba kila mtu anakunyanyasa pole ....sana
Doto asante
Big up xana TT keep it up
Much appreciated 🤣🤣
To the world,pure talent men💓
Inshallah Asante sana
Amen amen
Don't mind my kiswahili coze an Ethiopian but I enjoy each and every videos of you're channel
Hahaha TT Ako napesa ....Aki wasichana nakuku
Hahahahaha umeonaaaa
Can't stop laughing 🤣🤣🤣🤣🤣, TT is very talented.
Asanti sana kepp the support
Hahahha usicheka sana hahaha
Woiyeee katwin kameza,tt katafuna😂🤣😂🤣😂🤣🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩
Hahahahahaha
TT you are just owsome
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂 shoshiiiii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ bureeeeee
Santi sana
Shosh am happy to see you ju I didn't see you last episode!!!
yuko tena sana
Shosh much love from tz
Asante sana
Shosh na TT mtatuonysha mambo...katwin utapata tabu sanaa..
Hahahahaha Asante sana keep the support
Umeona eee
Shosh na TT wake 💪💪
😂😂 asante
TT ,,world best,I don't believe he tricked katwin🤣🤣
katwin ana lala
@@ttcomedian 👌👌🤣
I like all of this fame and I truly love the lady KATWIN SASHA she always makes me wonder if such girls still exist in my world.. Her kindness has a ♥ in it!💖💖💖🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
Mmmmh thank you so much
Thanks you always support
Welcome Katwin i really like your good and kind heart♥
😍😍🔥🔥🔥love this guy
very talented
Heheheh 😂😂💕💕
adan
TT your a big child
Wow tt thanks so much for your comedy
Much appreciated kabisa nashukuru sana
You made it TT,big love bro
safi...🔥🔥🔥
Tt aki nakupenda sana
Thanx for your comment
Santi sana Kwa support
Hahahahahhaa tt kamuuzia kesi mwenzake
Asante sana I say
Pole Katwin..but I have to laugh..girl child 😂😂😂😂
Hahahahahaha sawa
🤣🤣🤣🤣🤣 katwin chonga viazi
Hata leo nimechoka sana
@@katwin58 Taft dressed thus three award DDDr,
Shukran sana inafunzo❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Asante
I just love this kid ,I wanna see him grow
Inshallah sana
This is grown up