Manara jifunze kuheshimu Wenzio coz wameomba uwapishe waende na majukumu Yao pia kesema kuwa gari Yao sio kuwa Amri ila ni kukuambia pemngine Wana uharaka kuwahi kwenye majukumu Yao nje ya mpira ila wewe umekosea kuwahukumu hivyo ila sikushauri kuwa jeuri kama ulivyodai wewe unapenda Shari za Hivyo, sio sahihi acha na usirudie hili nakuambia japo Mimi Mwana yanga mwenzio
Ushindi usitufanye tukakosa hekima , nimefurahi kufunga na ushindi mzuri ila tuheshimiane na kama kauli tutoe zisizokosa Heshima maana huwezi pia kusema wape Amri wafungwa wenzio inamaana Wao ni wafungwa wewe ndio huru? Acha kauli hizo n jifunze kufikiri kwa kina kabla haujasema lolote
Mimi ni shabiki wa simba but manara safi sanaaaaaaaaaaaaa wanajiona wana nini aooo kwani
Safi sana Haji, hawa watu wa majeshi wanajikutaga special sana
Sana
Huyo askari hana lugha nzuri kea ufupi
vizuri hiiiii😁😁😁😁
Bugaaaaaaaaati 😅😅😅
Manara umekosea sana japo Mimi mwana yanga
Jeshi likishiriki ligi za kiraia.....tena sio amri. Uungwana unahtajika.
Eti mda wowote mai wetu atakuja gheto 😂😂😂
Nilichogundua yalikuwa ni mambo ya kimpira tu
HUYU MANARA ANATAKIWA SIKU MOJA ALE FIMBO KAMA MIAMBILI HIVI ILI AACHE MANENO YAKE,,,,KESHO TU ATAANZA KUOMBA MSAMAHA
Manara jifunze kuheshimu Wenzio coz wameomba uwapishe waende na majukumu Yao pia kesema kuwa gari Yao sio kuwa Amri ila ni kukuambia pemngine Wana uharaka kuwahi kwenye majukumu Yao nje ya mpira ila wewe umekosea kuwahukumu hivyo ila sikushauri kuwa jeuri kama ulivyodai wewe unapenda Shari za Hivyo, sio sahihi acha na usirudie hili nakuambia japo Mimi Mwana yanga mwenzio
Sioni kosa hapo. Kufungwa kunauma
Huyo sio askari
Izo ni dharau
Vizr Haji
Upo sw Baba.
Raha ya mpira ni makero lengo ni kuvumiliana tu
Amekosea bhana Hilo ni keshi
Ushindi usitufanye tukakosa hekima , nimefurahi kufunga na ushindi mzuri ila tuheshimiane na kama kauli tutoe zisizokosa Heshima maana huwezi pia kusema wape Amri wafungwa wenzio inamaana Wao ni wafungwa wewe ndio huru? Acha kauli hizo n jifunze kufikiri kwa kina kabla haujasema lolote
Mmeqnza haya
huyu jamaa analopoka sn
Jaman hiv magor ya mkona yanahesabiwa lig Tanzania bhana
Yanahesabiwa kama yale ya penalt tu
Mnafunga hadi magoli ya mkono
Hamna hayo magori ya penati kaka co ya mkono utoporo
😂😂😂
Timu yenu bado mbovu sana
Bora jamaa kakimbia hiyo ni nyara ya serikali hachelew kusema anataka kuchunwa ngozi
Kuna siku utapata mtoto albino sijui utamuambia nini Mungu
Ungekaa ukaona chamoto
Hana Cha kupanya zaidy ya kutumia silaha
😂😂😂😂😂