Harmonize - Nishachoka (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 окт 2017
  • Available In All Digital Platforms
    Subscribe for more official content from Harmonize: / harmonize255
    Follow Harmonize
    Instagram: / harmonize_tz
    Twitter: / harmonize_tz
    Facebook: / harmonize255
    TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/
    Listen to Harmonize
    RUclips: / harmonize255
    Audiomack: audiomack.com/harmonize
    Apple Music : / harmonize
    Spotify : open.spotify.com/artist/1eCae...
    The official RUclips channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: Harmonizemanagement@gmail.com
    Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762
    #Harmonize #Nishachoka #Kondegang
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 3,2 тыс.

  • @kwilasajunior5367
    @kwilasajunior5367 4 месяца назад +109

    2024 like kma umekuja KUCHEK Tena hii ngoma

  • @fredrickomondi3425
    @fredrickomondi3425 6 лет назад +790

    Kama umemkumbuka demu wako fulani ambaye alikusumbuaga ukachoka na kuachana na yeye unaposkia huu wimbo bonyeza like twende sote.

  • @salmabilal8434
    @salmabilal8434 4 месяца назад +60

    2024 bado naskiliza nyimbo yangu pendwa ❤😂😂

    • @user-go8ku4sq6k
      @user-go8ku4sq6k 4 месяца назад

      Tupo pamoja dada hii nyimbo naipenda sana😂😂

  • @WilliamMbuli
    @WilliamMbuli Месяц назад +13

    Bado 2024 na bado huu wimbo uko mpya kabisa nipee kiss tukipita

  • @lovediary3156
    @lovediary3156 Месяц назад +10

    2024 and the song never fades …..let’s register with likes 🎉😍

  • @Mbarack-bn5fr
    @Mbarack-bn5fr 3 месяца назад +12

    I can't get tired of watching/ listening to this song. Harmonize apewe maua yake buana, it's now 2024

  • @user-oh5iu6jx2j
    @user-oh5iu6jx2j 2 дня назад +1

    Wangapi wanaskiliza 2024 baada ya kuchoshwa na mapenziiiiii

  • @ChristineKiraison
    @ChristineKiraison 19 дней назад +10

    kaa unasikiliza hii wimbo 2024 Ukiwa umeachwa piga like😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭........

    • @marykamando6422
      @marykamando6422 17 дней назад

      Sijaachwa listening this while in the conclusion of my decision namuacha wallai I can't anymore

  • @felixamollo5926
    @felixamollo5926 Год назад +86

    its 2023 and I still can't get enough of his old songs Reminiscing indeed +254💯

    • @billclinton4590
      @billclinton4590 11 месяцев назад

      How do you expect em' tanzanians to understand you though

  • @mutukumichael9337
    @mutukumichael9337 7 месяцев назад +6

    It's Kenyans only who come back to remind themselves about a certain song ....😅😢

  • @Didieuoxy
    @Didieuoxy 3 дня назад +2

    Kwenye nyimbo zake kwangu mimi ni nyimbo ❤ yangu nzuri sana👍

  • @mathiasmichael6649
    @mathiasmichael6649 4 года назад +158

    Wangap waisikiliza 2020 gonga like

  • @Ivyn9
    @Ivyn9 4 года назад +235

    2020 anyone....😍

  • @emeldamwansa2570
    @emeldamwansa2570 2 года назад +135

    This song brings both good and bad memories especially when your partner doesn't understand you no matter what it hurts so but harmonize 's song conforts me

  • @user-ig5by6mq9u
    @user-ig5by6mq9u Год назад +30

    this song always remind me nikiambiwa nitoke kwake ashapata mke niende na mtoi wangu kiwete ..hii song ningeskia then hasira itoke ..but nobody can predict tomorrow now life is good with me nilichoka nikatoka 4years ago

  • @nakibuukalukia4404
    @nakibuukalukia4404 Год назад +41

    I can't explain my love for Harmonize 🙌

  • @kedmonoscar4905
    @kedmonoscar4905 6 лет назад +66

    Kama umeikubali ngomaa hii usipite bila kulike nione kama nawewe umeipenda kama mimi

  • @pheneasmuthamia8624
    @pheneasmuthamia8624 4 года назад +151

    Wangapi tunaskiza 2020 gonga like

  • @stephineatieno776
    @stephineatieno776 Год назад +52

    I wish this guy could still produce great songs like this one.

    • @davidnjagi742
      @davidnjagi742 Год назад +2

      Have you listened to "Nitaubeba by Hamonise"?

    • @phyllismike
      @phyllismike Год назад +2

      He is still a beast. Though some can't get to this level.

    • @hatibumohamedi1593
      @hatibumohamedi1593 Год назад

      @@davidnjagi742 au wote

    • @denismigayi8513
      @denismigayi8513 6 месяцев назад

      He is growing musically and targeting greater markets.....guy is astute excellent writer....
      His song Dear x is two minutes but laden with message

  • @emanuelsilemu1007
    @emanuelsilemu1007 4 года назад +207

    2020 tunagonga like hapa......I'm fully appreciating u konde

  • @paulke6321
    @paulke6321 6 лет назад +360

    Kama wafikiria umechoka na story za EX wako..piga like hapa..big up harmonise

  • @saoamy7168
    @saoamy7168 6 лет назад +133

    😉😉Kama unamkumbali harmonize like twende sawa.... 🔥🔥🔥🔥wcbforlife

    • @azizahussein5840
      @azizahussein5840 6 лет назад +1

      sao amy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔫🔫🇫🇷🇫🇷🇫🇷

  • @dornita6660
    @dornita6660 3 года назад +111

    Waliorud kuuckiliza huu wimbo baada ya harmonize kusema ukwel gonga like hapa

  • @briantindi1504
    @briantindi1504 Год назад +2

    Nilichoma na life..na sio juu ya mapenzi
    Mimi Niko na mambo yangu

  • @jonniekiriru3891
    @jonniekiriru3891 6 лет назад +35

    wenger out!!! team+254 here😇😂😂😂

  • @wiseman7456
    @wiseman7456 4 года назад +162

    whoelse thinks this jam is harmonize best song🔥 🔥🔥2020 🇰🇪🇰🇪

  • @dennismiruka7011
    @dennismiruka7011 2 года назад +2

    Huu wimbo unagusa vijana wengi nikiwa mmoja wao

  • @bigjoyjdn8067
    @bigjoyjdn8067 Год назад +1

    huu wimbo sijatosheka kuusikia

  • @mwendevibes
    @mwendevibes 3 года назад +104

    This song makes more sense now after jipoze concert. Like tukisonga

  • @nancywambura6902
    @nancywambura6902 2 года назад +68

    Reminds me of the times my relationship was going south in year 2019,,, I just thanks God for the far. I overcame and I become stronger
    Big up Harmonize♥️

    • @daveeliud6489
      @daveeliud6489 Год назад

      Me too manze

    • @nancywambura6902
      @nancywambura6902 Год назад

      @@daveeliud6489 ni life jooh

    • @marywanjiku55
      @marywanjiku55 Год назад

      Its me now my situation .God give me strength to overcome

    • @nancywambura6902
      @nancywambura6902 Год назад +1

      @@marywanjiku55 everything will be okay,, you'll overcome and eventually be happy again♥️

    • @richardkangi8141
      @richardkangi8141 9 месяцев назад

      Atleast I have never moved on

  • @berylnelima6078
    @berylnelima6078 3 года назад +157

    its 2021 and I still can't get enough of his old songs Reminiscing indeed

  • @balqisnjuki
    @balqisnjuki 4 года назад +203

    Who is here in 2020 ..... gonga like hapa

  • @mukhebiaineah3873
    @mukhebiaineah3873 Год назад +17

    Dec 2022 still listening 😢😢😢😢

  • @ommy_king
    @ommy_king 6 лет назад +85

    Hii nyimbo kali sana🔥🔥🔥

  • @hajjiowmohamed272
    @hajjiowmohamed272 Год назад +6

    It's 2023 ❤still 📌 with this song 🥰 msichoke na like let's go my boys...wale wamechoka na hii maïshã 😢Konde boy for every...

  • @Betty_wa_uncle_P
    @Betty_wa_uncle_P 3 года назад +14

    Konde boy always on top...am just a beginner, nipeni likes nifeel poa pia..🙏

  • @onlinecashtv7037
    @onlinecashtv7037 6 лет назад +52

    Oyyaaaaaaaaaaaa..... Team WCB.... Tunaitoa wenyewe shulala katika Trending....hahaha wapi Konde boi #HarmonizE

  • @felixfeh6220
    @felixfeh6220 6 лет назад +143

    Wale wote wanasema X wao wakome kuwafuata manake #ushachoka Kama konde boy @harmonize mngonge like hapa.... twende kazi

  • @pacchoamasitv
    @pacchoamasitv 3 года назад +11

    2021 mwezi wa 6 huuu Bado naguswa na hii NGOMA Like za KONDE music worldwide 🔥🌟

  • @muthoni_mwenje5822
    @muthoni_mwenje5822 3 года назад +2

    Who is here May,2021🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    I loovee Harmonize songs

  • @alvinmubiai6319
    @alvinmubiai6319 6 лет назад +6

    Najuwa umechok harmonize ila piga moyo konde dogo
    Kazi nzuri sana najuwa aupendi mashindano na mtu
    Asijipe moyo yakwa unamfikiriaaaaa!!!!!

  • @kingmwinyi2825
    @kingmwinyi2825 6 лет назад +45

    WCB sio watu waspot spot

  • @hadija9488
    @hadija9488 Год назад +2

    Gai I wish too much for hamoniz aki he is the best hata wimbo ya Zuwena hiiiii ndio moto 🔥💯🔥💯🔥💯🔥💯

  • @gemadamusic8056
    @gemadamusic8056 14 дней назад

    Aki hii ngoma, ni Mungu tu anajua ni watu wangapi wamepitia apa. Hongera Harmonize. U never seaze to amaze me brother

  • @abdikadiradan1433
    @abdikadiradan1433 6 лет назад +240

    254 Mpo ???? I have the register hapa ndaani ... Meanwhile peace # nawpenda wakenya wenzangu

  • @mcoyoojakasipul
    @mcoyoojakasipul 6 лет назад +8

    ,,,,,,,chenye marefu na mapana huaga hakikosi mwisho, uamuzi wa dhati ulishachukua hongera sana sasa maisha yaendelee kaka, ujumbe upo, kazi nzuri 😘😘😘😘

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 3 года назад +2

    Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏🙏❤️❤️

  • @denishjaokodjo2235
    @denishjaokodjo2235 Год назад +9

    The best of Harmonize songs I like the song

  • @annmwangi4694
    @annmwangi4694 Год назад +7

    Talent nayo

  • @enockkashaga5139
    @enockkashaga5139 6 лет назад +125

    Woyoooooooo...ngoma kaliii kichupa kikaliiii... Like hapa Kama umeikubaliiii

  • @tabusaidmayuhana7209
    @tabusaidmayuhana7209 3 года назад +1

    Wimbo huu unanikuna saana, halafu sijui kwanini kila ninapousikilizaga Machozi huwa yananitoka tu yenyewe tuu!!!

  • @stevenfrank363
    @stevenfrank363 3 года назад +3

    Nipo hapa Kipindi Cha Uchaguzi Tanzania...Naupenda huu Wimbo♥️♥️♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @wanjikumburu602
    @wanjikumburu602 6 лет назад +9

    Kenya in here!!,Love this😍😍😍

  • @shunyalshuibi6485
    @shunyalshuibi6485 6 лет назад +12

    video tamuuu wallah inanishawish nkanywe pepsi kwny kiwanda chA cocA

  • @kennedymaithya4399
    @kennedymaithya4399 29 дней назад

    Konde at hia best..jamani nyimbo za hii aina zenye hisia za kweli zko wapi sikuizi😢

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 10 месяцев назад +1

    Kabisa hinyohinyo jichunge kabisa usimrudie kabisa huyo Mahaba please👌👌👌👌🙌🙌🙌🙌👍👍👍🐘🐘🐘🐘🐘👍🔥🔥🔥🙌

  • @abrayanmakondeRC
    @abrayanmakondeRC 6 лет назад +30

    Kenya ,🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuko hapa,kaka kazi nzuri 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇪 mko mbele...na Harmonize

    • @mfinangaali1911
      @mfinangaali1911 6 лет назад

      abrayan makonde ametoa madude mawili, the other one with Koredo bello and they are all fireeeeeeee!!!!!

    • @abrayanmakondeRC
      @abrayanmakondeRC 6 лет назад

      KABISAAAAA @Mfinanga Ali

    • @abrayanmakondeRC
      @abrayanmakondeRC 6 лет назад

      USISAHAU KUCHEKI LYRIC VIDEO BASI

  • @prosperjohaness2089
    @prosperjohaness2089 3 года назад +189

    tuliorudi baada ya harmonize kutoboa siri katika show yake ya jipoze concert ya yeye na wolper kuachana tujuane sababu ndio nyimbo aliyomuimbia yeye

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 года назад +1

    Sijui waanzaje kukosea my kaka honger

  • @salwasalim8735
    @salwasalim8735 2 года назад +1

    Liwalo naliwe nishachoka sana Tena sana judgement day

  • @SOUTHERN_BUSES
    @SOUTHERN_BUSES 6 лет назад +7

    Tisha sana

  • @stellanthambi4074
    @stellanthambi4074 4 года назад +121

    Usijipe moyo labda nakufikiria...Kenyans watching this in 2020 show some love 💖

  • @frankmichaeljackson
    @frankmichaeljackson Год назад +1

    Duh kweli mwanangu moto umeuanzia mbali sana ila Kwa hii Ngoma inauhalisia mkubwa honers Kwa kazi nzuri kaka

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 2 месяца назад +1

    Bro napenda hiinyimbo .konde Waimba vizuri sana

  • @jowinlepapa8068
    @jowinlepapa8068 6 лет назад +28

    Touching and motivational song....well done....

  • @dismasmalya9008
    @dismasmalya9008 6 лет назад +9

    Huyu video vixen kapatia kuigiza hii nyimbo sana.

  • @eddyrashid3329
    @eddyrashid3329 5 месяцев назад +1

    Nimeipenda sana hii nyimbo hasa pale ilipoanza....Leo ni tarehe 15/12/2023 sasa hivi ni saa 9 usiku naangalia hii nyimbo

  • @maujanjasaplayer8081
    @maujanjasaplayer8081 6 лет назад +14

    ngoma kali kideo nakiona kikali

  • @Osagyefo1k
    @Osagyefo1k 6 лет назад +52

    i think half of my family should come from Tanzania.The love for Tanzanian music is deep. shout out from Ghana

    • @echt1226
      @echt1226 4 года назад

      Wow, you make me more proud being a Tanzanian

    • @jackjao7476
      @jackjao7476 4 года назад

      Harmonize bedroom

  • @brolinashiro2744
    @brolinashiro2744 5 месяцев назад +1

    Harmonize ni Mkali ❤❤

  • @geditgene1914
    @geditgene1914 Год назад +1

    Napenda song zako sn mungu hatakusaidia ufanikiwe sn u have long way to go

  • @bisharali229
    @bisharali229 3 года назад +4

    I am from Ethiopia adis ababa i love this song nashukuru mungu na jua swahili i was in Nairobi Kenya 6 gonga like kama 2021

  • @shunyalshuibi6485
    @shunyalshuibi6485 6 лет назад +4

    mweny sura ya choyo ukome kunifatiliAaaa

  • @mwalimu_lameck
    @mwalimu_lameck 10 месяцев назад +1

    Siku zote wimbo mzuri utabaki kunawiri 2023

  • @abellyleonard1551
    @abellyleonard1551 Год назад +1

    harm number one so kwa magoma haya kam yanatoka leo

  • @ferdinandmarcus218
    @ferdinandmarcus218 6 лет назад +9

    Team free wifi.. ngoma imevuka border.. shabiki sugu from nairobi kenya

  • @ENTERTAININGGAMECHANNEL
    @ENTERTAININGGAMECHANNEL 4 года назад +59

    Wow😍😍😍Superb😍😍😍Fantastic 😍😍😍

  • @happysunamie-jf5kf
    @happysunamie-jf5kf Год назад +2

    2023 Bado naangalia kaz nzuri ya harmonize

  • @OnnesmoDukho
    @OnnesmoDukho 7 дней назад +2

    Jamanii hataa mm nime wahi achwaa na Helena jovin 😢😢😢nampendaa sanaa na bado na mpendaa sanaa popote alipo mwambiyenii onesm ana kupenda sanaaa yupo chuo morogoro mwaka wa mwishoo je nita sameshewaa

  • @victorkhamisi5513
    @victorkhamisi5513 5 лет назад +144

    when I remember my ex n how she messed up my life I just watch this song ,thanks harmo, you've talked for boy child

  • @samirakeinan5869
    @samirakeinan5869 6 лет назад +57

    Am not swahili music fun but your music got an inner phrase with meaning #May you keep growing.... 💙🌹

  • @amidajackson1413
    @amidajackson1413 3 месяца назад

    Am here again listening to this beautiful unique song #2024 all the way from Uk 🇬🇧🔥🔥🔥🔥😅

  • @EvanceIrambi-sd7gs
    @EvanceIrambi-sd7gs Месяц назад +1

    Huu wimbo unanigusaga sana😢

  • @aleodzil
    @aleodzil 6 лет назад +336

    Kenyans for Harmonize likes here.

  • @amisisteven8339
    @amisisteven8339 6 лет назад +4

    Ooh for that you lit brother ... Bcuz happened in My own Life love..😥😥 "usijipe moyo kwamba nakufikiriaa ila nataka iwe fimbo" NISHACHOKA😜

  • @astronewsupdates4906
    @astronewsupdates4906 3 месяца назад +2

    It's 2024 naisikiliza hii nyimbo

  • @bintimkitosi6187
    @bintimkitosi6187 Месяц назад

    Vitamin music - meneja wake alisema❤❤❤🎉🎉🎉🎉. Permanent classic

  • @ashleyhartford6048
    @ashleyhartford6048 5 лет назад +58

    I'm from Manhattan new York and I love this song thank God I speak Swahili because I was in Tanzania for 8years.
    I like him 10× batter then diamond platnumz with he's big ass teeths.

    • @kevinmacharia5113
      @kevinmacharia5113 5 лет назад +3

      Sure we in same page

    • @kaboyiimmaculate3554
      @kaboyiimmaculate3554 4 года назад +3

      Thx to love him,me am more than loving him from Rwanda kigali

    • @miriamkafwila98
      @miriamkafwila98 4 года назад +5

      Same like me i like Harmonize more than Diamond

    • @samirathlema9868
      @samirathlema9868 3 года назад

      Hello

    • @joebaba5663
      @joebaba5663 3 года назад

      Was wondering if you can translate the lyrics for me I domt speak Swahili and from west Africa.

  • @tiffanywambui9586
    @tiffanywambui9586 6 лет назад +206

    Kenyans representing Mark the register ✋

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 9 месяцев назад

    Bro waniliza nahuu wimbo kweli kilicho namwanzo halikosi mwisho nakubali umepanga mashairi vizuri sana hata hivo ukichokeswa na mtu nivyema kabisa kumuacha.

  • @Beauty_Icon-1
    @Beauty_Icon-1 Год назад

    2023 here listening this
    In marriage... honestly nishatoka 💔
    Sio kama siwezi aliye zaidi ya wewe

  • @echt1226
    @echt1226 4 года назад +11

    15.02.2020 listening to it...
    Sikuwahi usikia huu wimbo, nimesikia leo redioni nikautafuta hapa.
    Nimechoka over na leo nimemtumia huu wimbo, akome kunifuatilia.
    Alichoimba Harmonize ndicho nilichokuwa nikifanyiwa kama amesummarize maisha yangu, sasa hivi anataka kurudi kwangu, kwendraaaa..... Kanyaga kubwa kubwa , niache niwalee wanangu kwa AMANI. Aliona anasa ndio mpango mzima , wacha aone mchezea pema kumbe pabaya panamuita.

  • @jumamichael4083
    @jumamichael4083 6 лет назад +9

    Kwetu raha full suprise za ngoma na bonus track.

  • @pamphileirankunda9153
    @pamphileirankunda9153 11 месяцев назад +1

    Nishachoka nama demu sitaki tena mapenzi

  • @lenny_DMA
    @lenny_DMA Год назад +1

    Nimekuja tena leo🥰🙌🔥🔥🔥

  • @mollymelisa2944
    @mollymelisa2944 6 лет назад +10

    Simbaaaa chunga... harmoooo yuaja kwa kasi sanaaa😂😂😂😂

  • @nehemiekati6509
    @nehemiekati6509 Год назад +12

    Ça fait toute la différence. Ce mec a toujours fait des bonnes musiques,faisant de Tanzanie un pays de stars. Merci mec.

  • @quoidn9558
    @quoidn9558 2 года назад

    Ohhh siwezi … mwimbo mzuri … Congo drc likes you

  • @fabricemugheni2950
    @fabricemugheni2950 4 года назад +181

    Wangapi wanasikiliza 2019 gonga like ya nguvu

  • @Thegr8burarito
    @Thegr8burarito 6 лет назад +48

    Harmolove naona walper kamuingia akilini.... Twende likes sawa sawaaa..