Women Matters: Njia ipi ya kuzuia Ujauzito ni bora? Daktari Bingwa wa UZAZI anazitaja + MADHARA yake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 сен 2024
  • Kwenye session hii ya Women Matters, Lillian Mwasha, Babysky na Bi. Angela Bongo wanazungumza na Daktari Bingwa wa Uzazi (Fertility), Muramzi Amri kuhusu njia za uzazi, faida na hasara zake

Комментарии • 164

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Год назад +1

    Mitandao ya kijamii ndoinatakiwa itumike hivi nifaida tupu Asanteni kwakwel ❤

  • @silverman6930
    @silverman6930 5 лет назад +13

    Genius ... very intelligent Dr I’m so impressed 🙏🏿

    • @kipolaina
      @kipolaina 5 лет назад +1

      john silver man yes in deed Anajua

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 5 лет назад +4

    Thanks group lote kwa kutuelimisha nimefaidika 👍👍👍

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 лет назад +2

    Jamani, Tanzania mnahitaji elimu toka darasa la 4; huku Europe watoto, wanafundishwa na healthcare nurse mapema.. yaani wanafundishwa soma la Afya miili Yao kuijua (Anatomy).. watoto hawazai hovyo , wakianza mapenzi wanaenda kuwaona madaktari au healthcare nurses.. hicho kitu muwafundishe vijana huko, kuwaona madaktari Mara kwa mara.

  • @lindasophia1288
    @lindasophia1288 5 лет назад +6

    Wow i love this 😍 thanks so much SNS

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 5 лет назад +4

    Ahsante WOMEN MATTERS
    Hakika nimejifunza mengi
    Babysky naomba mawasiliano ya Dr samahan kwa usumbufu my

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 5 лет назад +3

    THANKS DOCTOR UNATUPA FAIDA KUBWA.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 лет назад +5

    MashaAllah kipindi kizuri sana. Ahsanteni wote

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 5 лет назад +3

    Nime jifuza vingi njameni, Asante Sana. Courage tearm wa Maman 😍😍

  • @petersevere6272
    @petersevere6272 4 года назад +3

    Dawa ya uzazi wa mpango ni htr sana

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 4 года назад

    Docktar uko vizur sana umesoma sana tunajivunia WATANZANIA mungu akubariki

  • @winniepriyanca3853
    @winniepriyanca3853 5 лет назад +4

    Hamjampa muda wa kutosha...njia zaid ya kuzuia mimba itumik ipi ambayo iko atlist good kuliko zngine

  • @a.856
    @a.856 5 лет назад +28

    Bora muzungumze kiswahili ili watu wazid kuelewa mnachokijadili apo....sio wengi wanafaham fibroids ni nini.

  • @aminamakala7876
    @aminamakala7876 4 года назад

    Hongera kwa kipindi kizuri mpenzi. Ahsante sana kwa elimu dr. Vumilia naomba msaada wa mawasiliano ya dr. Plz.

  • @jrlamar8925
    @jrlamar8925 5 лет назад +7

    AISEE WANAWAKE WANAWAKATI MGUMU KWENYE SUALA LA MAUMBILE YAO. POLENI AISEE

  • @sarahmunani3892
    @sarahmunani3892 3 года назад +1

    Uyu doctor nimempenda bure tuu,OK kwaza mafudisho yake ni mazuri yaani anaeleweka,alafu cha mwisho doctor ako so so handsome

  • @rosekimwaga8673
    @rosekimwaga8673 5 лет назад +2

    Aisee nawapenda mnoo....Liliani uko vzr mnooo..nakupendaa...iyo sauti sasaa...

  • @soamesphares
    @soamesphares 5 лет назад +20

    Mnahitaji maandalizi kwa kweli; huyu Doctor hamjamtendea haki maana ana elimu ya kutosha lakini mpangilio wenu mmeruka ruka mada sana. Ni vizuri mngekuwa na mada moja kwa kipindi kimoja. Otherwise mnajitahidi sana na Watanzania wanahitaji huduma yenu. Kila la kheri

    • @boniphaceorest9088
      @boniphaceorest9088 5 лет назад +4

      Mtaalamu ana madini ya kutosha ila hao wadada miyeyusho

    • @paschazialusana1287
      @paschazialusana1287 4 года назад +1

      Wanamkatisha sana huyu docta ama mawazo na elimu nzuri, ila wanamkatishakatisha sana, wanarukia mada nyingine docta bado anaelezea kitanzi, shida wanaongea sana. Tunashida kujifunza

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 5 лет назад +3

    Dr, wa ukweli yuko vzr tunamshukuru kwa ushauri.

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 5 лет назад +4

    Niatari akuna kizuri hadi woga 😌😌😌😌😌 ila nawafatiliya sn from UK in Newcastle

  • @victorpoemarotawcb7075
    @victorpoemarotawcb7075 5 лет назад +4

    doctor no kuficha weka wazi baba nakufata hapa congo kinshasa weka wazi kbe

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 5 лет назад +5

    Jamani kuzakwamupango nakutaza kwamupango nasikiya vyote vinatisha docta twambilishe ukweli 💤wanawake wafanyeje

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 5 лет назад +2

    Thanks. Nimejifunza mengi

  • @faaali244
    @faaali244 5 лет назад +2

    Asante docta

  • @deboramlay
    @deboramlay 5 лет назад +1

    That’s so much work vidonge kila siku 🙌🏾

    • @limodone4940
      @limodone4940 5 лет назад

      Mambo nipo UK naweza tukafamiana

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 11 месяцев назад

    Wow l 💕 this thanks 🙏🏾 so much for help 😄 l will happy 😊😁😁

  • @salmaruth3465
    @salmaruth3465 5 лет назад

    Thanks doc for your advice matters

  • @aishaamohamed453
    @aishaamohamed453 5 лет назад +2

    Shukuran sana kwa elimu hii ila tuwekeeni maswali muwe mwayakusanya nitauliza mutaita Dr anatujbu 🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦

  • @janethkabigi7895
    @janethkabigi7895 5 лет назад +1

    nimejifunza mengi sana

  • @cherilydavid3066
    @cherilydavid3066 5 лет назад +3

    Hello Dr ungetuelimisha pia aina za cervical na pros and cos zake.

  • @husnazehen691
    @husnazehen691 9 часов назад

    Yaani ndio nimetoka kuweka lupu halafu nakutana na hii video jmn mbona naogopa

  • @user-td8xs6uj1c
    @user-td8xs6uj1c 5 месяцев назад

    Dah Hadi nimeogopa kutumia uzaz wampango jamani MUNGU anisaidie kujua kakalenda😮😮

  • @mmumambondo
    @mmumambondo 6 месяцев назад

    Niko ku sikiya
    1:52 ,♥️

  • @kibabemuhidine8527
    @kibabemuhidine8527 5 лет назад +2

    Dah! Dr. Uko fit

  • @dainessgeorge4826
    @dainessgeorge4826 5 лет назад

    Nimejifunza mengi thanks doctor na waandaaji wa kipindi piah

  • @zawadianagabriel9768
    @zawadianagabriel9768 5 лет назад +3

    Tuambieni jamani jinsi ya kupata mtoto wa kiume

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 лет назад +1

    Oooh thank you doctor...what a nice program...kudos bby hiki kipindi kina mafundisho haswa wa mama😍😍😘😘😘😗😗😗

  • @PeterLimoi
    @PeterLimoi 18 дней назад

    Asante naomba namba ya dokta

  • @iddysaidy2506
    @iddysaidy2506 5 лет назад +4

    sitaki utani na mwili wangu na hayo madawa ya uzazi wa mpango

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 3 года назад

      @ idd saidy nawe wabeba mimbaa😃😃😃

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 лет назад +2

    Hili nalo lilinipita, ila nahitaji sana hii Mada ya uzazi wa mpango.

  • @felistermaximillian2793
    @felistermaximillian2793 4 года назад

    Dr Mimi Nina watoto 3 na nilijifungua kwa operation wote, Dr wangu akasema kubeba mimba ya nne ni hatari kwa afya yangu hivyo nikafunga kizazi BTL, nikiwa na miaka 32, watu wengi wanaaema ntapata matatizo eti mayai yatanisumbua yaani Hadi naogopa nifanyeje?

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 лет назад +1

    nimejifunz mengi san, hasanten kwa kipindi hiki

  • @fredricknkole5481
    @fredricknkole5481 5 лет назад

    Samahani sana ndugu sms kwamimi binafsi sijakubaliana na hili sali ijapo kuwa hii ni channel naokubari jamani tukubali ma bilionea walishaa tuuza hawataki tuendelee kujaa. Samahani kwa gazeti ila 😍🧢🧢

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 5 лет назад +5

    mwamuhoji dr bila maji 🙄 nikosa la jinai inabidi mule faini kubwa la Basata 😊 Lipwe fidia ya maji 🤝 Dr nakuunga mkono wanakuhoji maswali mazito alafu wao hawana majibu kuwaelezea mpaka kuelewa ningum sana 🤪

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 5 лет назад +2

    *#TheBestOfSNS*
    Big up

  • @binashunu463
    @binashunu463 4 года назад

    Sasa mbona hamjaongelea suala zima la mzunguko kwa wanawake, kuhusu 28 day ?

  • @faeshanoor4129
    @faeshanoor4129 3 года назад

    Bila ya kusahau tatizo la (ectopic pregnancy) mimba zinazotungwa nnje ya fuko la uzazi.

  • @sashababy1321
    @sashababy1321 5 лет назад +1

    Tunaomba mumlete uyu doctar tena@woman matters

    • @marthapeter205
      @marthapeter205 5 лет назад +1

      jamani nashida na mtoto jamani na mzungu
      ko wangu unavurugika kira mwezi sasa miezi3

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 лет назад

    Hapo penye maumivu ni bora hata uende hospitali kwa uchunguzi zaidi mana STD, fibroids, PID, mimba ikitunga nje, vaginal infections, menopause yote hayo pia yanasababisha ujisikie maumivu unapofanya tendo au hata baada ya tendo la ndoa.

  • @ashorass4431
    @ashorass4431 5 лет назад

    Kupitia kipindi hiki nimejifunza mengi, asanteni sana wana sns na dr

  • @evancekaganda1250
    @evancekaganda1250 3 месяца назад

    Lily Maada ni nzuri ila umeibania muda saana umetaka ku cover vitu vingi kwa muda mchache, nimegundua ungekuwa na maada nyingi.
    Eg.Njia za kuzuia Mimba , njia za kupata ujauzito, uvimbe tumboni etc
    Tuingezee muda, please

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 лет назад +2

    Just following hatari 🔥🔥🔥💯

  • @jackmacha6057
    @jackmacha6057 2 года назад

    Hii midada inaongea sana Dr akiwa kwenye ponti wanamtoa

  • @bichaujuma8065
    @bichaujuma8065 5 лет назад +2

    Dr yupo tatizo lipo kwa wauliza maswali mngepanga nn mada ya kuongea kwa cku hadi tungezidi kuelewa lkn kwa mpango huu tunafika hatujui kipi tuache

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 года назад

    Nice

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Год назад

    Mnapo angauka kukusadia kutupa elimu huku nje kazi yao kutumia dawa ili kutupa magonjwa na kupunguza kuzazi tusizaliane wapate hela

  • @bichaujuma8065
    @bichaujuma8065 5 лет назад +1

    Lkn nilikuwa na hamu sn kusikia vp mtu anapata mtt wa jinsi anayoitaka jamani twaomba ilo

  • @selinamatiko-iq6ww
    @selinamatiko-iq6ww 4 месяца назад

    naomba namba ya dokita

  • @agnesymkimbilile5395
    @agnesymkimbilile5395 4 года назад

    Minaomba ushauli doctor amenipma nkaamua kutumia sindano sasa nilipofka sikuya saba toka nichome sindano nabridi mfururizo je nawezaje kuiharib sindano nirud haliya kawaida maana nabridi bila kupymzka

  • @nabutv6524
    @nabutv6524 5 лет назад +2

    Jamani naomba mnielekeze huyo doctor anapatikana hospital gani?

    • @andysam6921
      @andysam6921 5 лет назад

      Hawajibu,hata,mimi,namtafuta,huyu,dr

  • @hawahussein3751
    @hawahussein3751 5 лет назад

    I love the page

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 5 лет назад

    Dcrt uko vizuri b blsd.babysky anataka kucheka tu😁😁

  • @DrSanai
    @DrSanai 5 лет назад +8

    Hongera dakitari, ila kwenye family planning, shule umetoa ndogo sana.
    Uzazi wa mpango umegawanyika sehemu mbili
    -njia za asili na njia za kisasa.
    Njia za asili - mama kunyonyesha, njia ya kalenda, mwanaume kumwaga nje mbegu zake....
    Pia kuna njia za kisasa (medical)ambazo pia zimegawanyika.
    -ziko za mda mfupi, muda mrefu na njia za maisha
    Za muda mfupi ni kama vidonge, condom, sindano
    Na za muda mrefu kuna njiti za miaka miwili hadi mitano pia kuna kitanzi hadi miaka 10.
    Pia kuna njia ya maisha ambayo ni kufunga kabisa kizazi.
    Njia zote zina madhara/maudhi yake.
    Kwa ushauri fika kituo cha afya karibu nawe

    • @kettyym9859
      @kettyym9859 Год назад

      Kama mtu amejifungua Cs na anataka kuzaàa baada ya mwaka mmoja na miezi sita atumie njia gani nzuri angalau

  • @rebekamwa4401
    @rebekamwa4401 5 лет назад +6

    hamjui kuhoji,,,,hajamalza fp methods mmeruka kwny fibroids
    whats the helll jipangen

  • @solangebaguhe5330
    @solangebaguhe5330 5 лет назад +1

    👌👌👌👌

  • @nasmahatibu9584
    @nasmahatibu9584 5 лет назад

    Jaman hiki kipindi nmekipenda

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 года назад

    Inakuwaje jaman mtu kupata mapacha ,niambieni ninahamu sana ya mapacha ,kama vipi doctor atoe contact tujifunze

  • @binashunu463
    @binashunu463 4 года назад

    Hapo kwenye kupandikiza ndio vipi, ili kupata mapacha

  • @juliethmakaya5841
    @juliethmakaya5841 5 лет назад +1

    Jamn napataj namba ya uyo docter

  • @faidavictoria
    @faidavictoria Год назад +2

    Jamani Babysky alienda wapi ?

  • @najmarushda4390
    @najmarushda4390 5 лет назад +1

    Duuu wapendwa hamjatundendea haki mmemkatisha dokt kujibu kuhusu maswali ya uzazi wa mpango duuu

  • @merianhalibunyoha2629
    @merianhalibunyoha2629 5 лет назад +2

    Wauliza maswali ni ziro hawajui kupangilia kabisaa

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 5 лет назад +1

    Mubarikiwe kwa kweli hii elimu tosha

  • @umifauz384
    @umifauz384 5 лет назад

    asante dr, tumekuelewa saana

  • @kacheali4777
    @kacheali4777 5 лет назад

    Thanx to all....

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 5 лет назад +2

    huyu doctor inabidi aletwe tena

  • @aishakatigili8153
    @aishakatigili8153 5 лет назад

    Nzur Allah akujalie doctor

  • @ZawadGift-fq6ln
    @ZawadGift-fq6ln 5 месяцев назад

    nina shida na uyu dr jamani

  • @user-ix3qg1on8j
    @user-ix3qg1on8j 4 месяца назад

    Mbona namalizaga mb zangu kipuuzi tu kumbe kuna mambo maziri hivi

  • @arafaomari1832
    @arafaomari1832 5 лет назад +1

    ASANTE DOCTAR KWA KIPINDI KIZURI

  • @ntulimwambambale7565
    @ntulimwambambale7565 5 лет назад +1

    Jaman dokta nampataje huyu wengine tunashida

  • @rukiyahussan4190
    @rukiyahussan4190 5 лет назад

    Doctor asant sana nimepata kujua

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 5 лет назад +2

    kwa hiyo basi wale wanaoganda ndani ya uke sio uchawi ni contraction ya muscles ndio sababu

  • @felistermaximillian2793
    @felistermaximillian2793 4 года назад

    Naomba namba ya Dr plz

  • @queentz8314
    @queentz8314 5 лет назад +7

    Ndiyo maana me situmii chochote zaidi ya kondom Thank you Lord hayo madawa huwa nayaogopa tangia nikute ocean road utitiri wa wa wamama wenye kansa ya kizazi nikiwa 20's nikamuuliza Dr why na inatokana na nini? Moja wapo aliniambia ni dawa za kuzuuiya mimbaaa 😨😨😨😨😨

    • @blessingbagio4857
      @blessingbagio4857 5 лет назад +1

      Hata condom zna madhara. Mie pia situmii chochote zaidi ya kukwepa majukum lol

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 лет назад

      Kaz

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 лет назад +2

      @@blessingbagio4857, ni kweli

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 лет назад

      Calender (natural planning) peke yake ndio njia salama kila doctor na kila midwife muaminifu atakwambia hio.

    • @platnumtanya2880
      @platnumtanya2880 5 лет назад +1

      Queen Tz mmh kumbe ni hatari sana??mmh hua natumia p2 nayo ni mbaya??

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 5 лет назад

    Asante Doctor unapatikana wapi maana wengine wako na shida ya watoto pls tuwekeeni namba🙏🙏

  • @kettyym9859
    @kettyym9859 Год назад

    Lilian una haraka tuliaa

  • @dorakaloli7283
    @dorakaloli7283 Год назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 лет назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤🤔🤔🤔

  • @ahmedalghailani503
    @ahmedalghailani503 5 лет назад

    ivi wale wanawake Ambao wanakaa mda mlefu bila kuwa na mausiano nini Athara zake,unakuta mtu anakaa ata miaka 4 adi 5, alafu ikifikia atua ya kujisikia kufanya ilo tendo anajifanyia yeye mwenyewe.Je,kuna madhara gani?

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 лет назад +2

    Kikukweli sisi wanawake ndo tunaotumia ila njia za uzazi zote ni mbaya huo ndo ukweli zintupa shida sana tena sna mr damu za mr kwa mar maji maji harufu uvimbe uchafu mhhh nimetumia nikakoma

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 5 лет назад

      Si mzae tuu jamanii!!

    • @faidhangaga4757
      @faidhangaga4757 5 лет назад

      Fatma Zullu utazaa kila siku???afu utaleaje.....too much is harmful hata watoto wengi nao ni kero sio sifa tena

  • @beatricejoseph3537
    @beatricejoseph3537 5 лет назад +1

    Huyu dakttar kama anafanana na yule doctor mwingine

  • @naymahh3504
    @naymahh3504 5 лет назад

    Asnte jmn nimepata funzo

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 лет назад

    Dr nimejifunza vingi kama ingewezekana nikapata no ya Dr jmn

  • @raymondndaizele8801
    @raymondndaizele8801 5 лет назад

    Babysky hii mada kama kajaa woga vitu hivi vinatishaaa asee.

    • @rahmarahma920
      @rahmarahma920 4 года назад

      mwanamke anakoma siku Akiwa na miaka mingapi

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 5 лет назад

    Doctor yote hayo unayo yaelezea yani ni mimi kabsa Nina miaka 26 lakini dam hsitoki nyingi napia inapitaga hata miez 3 nlivyo skiliza nimekosa amani Yamoyo kwakweli 😭😭😭

  • @emuthree
    @emuthree 5 лет назад +2

    Kuna swali hapo...mlitafutie jibu mkimleta huyo docta...je na hao wanawake ambao hawasikii raha kabisa kwenye tendo la ndoa. ...kabisa, tokea wazaliwe, sababu ni nini?

  • @raheldaudi538
    @raheldaudi538 5 лет назад +1

    pangilieni maswali yenu wauliza maswali

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 5 лет назад +2

    Yeah nilisikia ukikojoa right away na kunywa maji ya baridi eti hutapata mimba🤔🤗

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 лет назад

    Thank you Dr nime kuelewa sana upande wa vibrad