Hotuba ya Rais Samia baada ya kupokea taarifa ya Tume ya Haki Jinai, Agusia adhabu ya Hukumu ya Kifo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @rehemajuma2202
    @rehemajuma2202 Год назад

    Mh Rais uwanja wa ndege musoma walifanya tathmini Toka 2017,ili tupishe upanuzi uwanja wa ndege,wakazuia kuendeleza au kufanya chochote ikiwemo ukarabati was nyumba, baadhi wakalipwa 2021,ghafla 2022 January mwishoni wakafuta valuation namba kwa lazima kwa mtutu was bunduki wakisema ni amri imetolewa iwe hivyo lkn swala LA upanuzi uwanja lipo palex2,2022 decemba hadi Feb 2023 mchakato wa valuation ukafanyika wananchi wakaoneshwa na kiasi cha malipo ghafla Jana kikao kimekaa na kusema nyumba zimechakaa sn kwahiyo wanapunguza kiasi cha fedha kila.MTU kakatwa hela milioni ta no,Mara.sits.Mara.mbili ya an I hatuelewi kasoro familia NNE tu hatujui kwanini tusaidie ingilia Kati jambo hili sip kitu kizuri watu Hulu tumeumizwa na ma is ha yamepanda walituzuia haha kufanya ukarabati serikari yenyewe halafu Leo wanatudhurumu tens DTI Kat oka.MTU Dodoma ndo kasema Bela ipungue sio walosema tunalipwa.mwanzo jamani tusaidie sijui Kama kina ukweli wa jambo hili linavyobadilishwa mwishonix2 tu tusaidie lichunguzwe tunaomba