Hadhara Mburahati7.avi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025
  • Hadhara iliofanyika Msikiti ngamia Daressalam. Shekhe Muhammad bin Nassor mwenyewe alikuwepo kwa wingi Alhamdulillah.

Комментарии • 56

  • @mohamedkassim3749
    @mohamedkassim3749 11 месяцев назад +3

    Daaah hiii kitambo sana,nilikuwepo Ila nilikuwa mdogo sana,uyo shekhe Muhammad nassoro ndio amenipa jina la Mohamed ,ewe mwenyezi mungu mpumzishe mahali pemapepon shekhe wetu wa msikitin wa dhaywan

  • @mikombeomary5476
    @mikombeomary5476 5 лет назад +6

    Allah amuhifadhi sheikh wetu wa twarikal qadiriyya sheikh Mohammed bin nassoro

  • @ahmadzubeir9113
    @ahmadzubeir9113 6 лет назад +6

    Subhaanallaaah!! Dhikri halafu unasema ni ngoma za shetani!! Wallaahi kama hukupata jawabu ya hilo hapa Duniani basi kesho Akhera utalipata.

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c Год назад +1

    Alhabib Shekhe Muhammad alikua akiwapenda sana Murid wake.

  • @ahmadzubeir9113
    @ahmadzubeir9113 6 лет назад +3

    Mustafa Abdull,muda si mreefu utaona kama hiyo dhikri ni ngoma za sheitani au za Jinni. Subiria kidoogo,in shaa Allaah kwa uwezo wake Allaah,jibu yeye Allaah ndie atakayekupa.

  • @mohamedelihind4603
    @mohamedelihind4603 8 лет назад +17

    HUWANIKISKILIZA, nakufanya HII dhikr naskia roho ina hama kabisa mwill wote unasisimka

    • @mustayoo
      @mustayoo 6 лет назад

      Hizo ni ngoma za mashetani usiite dhikri.mtume hajafundisha upuuzi huo

    • @jumaharuna2995
      @jumaharuna2995 2 года назад

      Ata ww poa n walii wa alla

  • @mohamedyahya5907
    @mohamedyahya5907 6 лет назад +10

    Alhabib sheikh Muhammad Nassor R.A

  • @omariabeid2897
    @omariabeid2897 5 лет назад +2

    Mashaallah .... nasi pia mungu atupe siri zao inshaallah

  • @bonganizulu7863
    @bonganizulu7863 6 лет назад +3

    Allah sheikh uwesu huyo MPAKA RAHA.

  • @hassanasefu1706
    @hassanasefu1706 7 лет назад +8

    Hapana shaka kuwa ni walii asiye na mfano na hakika ameacha miongozo isiyo na shaka ndani yake

  • @jumamaulid3315
    @jumamaulid3315 3 года назад +1

    Muridi tusibishane na mawahabi

  • @mwinyiludete
    @mwinyiludete Год назад

    Mashallah Mashallah Mashallah

  • @AfuaHussein
    @AfuaHussein 3 месяца назад

    Ma sha Allah

  • @nungunungutv3172
    @nungunungutv3172 Год назад

    Mashaallah....kwa mnaowafahamu hawa mabwana naomba mnifahamishe....khalifa/sheikh aliyeanzisha tawwasul anaitwa nani? na makhalifa waliojipanga pembeni yake ni nani na nani?

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 Год назад +1

    Haipitwi na wakati,tamuuu

  • @SalhamaulidSuleiman
    @SalhamaulidSuleiman 9 месяцев назад

    mashaAllah

  • @HilalAlhabsi786
    @HilalAlhabsi786 8 месяцев назад

    Mashallah

  • @jumasungura7945
    @jumasungura7945 3 года назад

    Tumtegemee Allah

  • @serengetishipping2196
    @serengetishipping2196 2 года назад

    Allahumma ameen

  • @darweshk7342
    @darweshk7342 6 лет назад +3

    Vitu hivyoooo

  • @mohamedelihind4603
    @mohamedelihind4603 8 лет назад +5

    masha Allah sheikh Muhammad bin Nassor RA

    • @shafyzawamba9935
      @shafyzawamba9935 7 лет назад +1

      Alhabib Shekh Muhammad Nassor alikuwa Shekh was ukweli na Allah alimjaalia kipawa cha uongozi ndani ya Twariqa

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 года назад

    sio mafunzo ya uislamu. wala mtume Muhammad (SAW) hajatufunza. hii ni shirki

  • @aminasalum2254
    @aminasalum2254 8 лет назад +2

    Allah Akbar

    • @azizbilal1790
      @azizbilal1790 6 лет назад

      Natamani namimi ningekuwepo ktk hii dhikri iliyopigwa Mburahati siku hiyo .Wakazi wangu wote walikuwa watu wa twariqa alqadiria ninawamiss sana nikisikia dhikri kama hii,rip my mom and dad.

  • @moussaben7714
    @moussaben7714 3 года назад

    Machallah

  • @salimahmed8343
    @salimahmed8343 3 года назад

    سهل مرادنا بجاه أحمد

  • @issaajgar7868
    @issaajgar7868 6 лет назад

    Kasome ili ujue nini ushirikina

  • @mikombeomary5476
    @mikombeomary5476 5 лет назад

    Mshirikina ndo ww na kizazi chako chote

  • @dkmasengamrisho912
    @dkmasengamrisho912 6 лет назад +2

    Huyu nimtu waprponi muhamadi nasro

  • @mustayoo
    @mustayoo 6 лет назад

    Ushirikina huo.mtume muhammad (s.a.w)hajatufundisha upuuzi huo

  • @abubakarimwasumilwe7293
    @abubakarimwasumilwe7293 7 лет назад

    Upuz m2pu....

  • @HilalAlhabsi786
    @HilalAlhabsi786 8 месяцев назад

    Mashallah

  • @breneyork9653
    @breneyork9653 3 года назад

    Allah akbar