Siku zote ukweli uwa unajibaini, alhamdulillah mzee wetu amelikubali hili, tumuombee na mengine aje kuyakubali, ndo dua yetu kwa wazee wetu. Allah awahifadhi in sha Allah
Mzee anaharibikia ukubwani we badala ya kumuhurumia unamtia ujinga hiyo hadithi aliyoitoa inamkosoa yeye mwenyewe ndo ujue haqi hata uipige vita vipi itadhihiri tu mama Aisha apo anasema arafa ni ile siku siku aliyotangaza imamu anayoitangaza imamu na anamwambia hivyo wakiwa madinna sio maka
'Ilmu ni pana sana na kila msomi ana maono yake, suluhisho ni kufata miandamo ya mwezi ndio dira ya kufanikisha ibada zote zinazotegea kalenda Ni bahati mbaya sana wale wanaoshawishi kufata Makkah hawajui kwamba Makkah hawatafuti wala hawategemei muandamo wa mwezi bali wanafuata kalenda ya Hijria iliyoandaliwa maksudi kuendeshea ibada za Hijjah huko Makkah Daudi Arabia . Ni mkanganyiko mkubwa ulioruhusu bid'a hii ikubalike na kuwafanya wasomi wetu washindwe kutupa njia sahihi ya kuifata Jee, tufuate hii bid'a ya kalenda tusitafute mwezi twende kinyume na hadithi ya Mtume(SAW) au, tufuate muandamo wa mwezi kumfata Mtume( SAW)..iwe Sunnah sahihiii???
@@ommarallyhamad7435Akhy usiongee mambo usio yajuwa mm ni mkoja wap kati watu waliop Gulf Countries. Ni kwel kalenda zipo ila so kwel km saudi hawaangalii mwez bali ni sumu tu tunopeana. Mfano mdog nakupa muandamo wa mwez wa ramdhan wa marahii calenda zote za nchi za gulf ziliandika nwez utaandama 29 kalini mwez haukuandama tukakamilisha 30 na ilipoanza ramadhan wakatow kalenda ramadhan itakuwa siku 30 na nwezi 29 ukaandama ndani ya saudi na tukafunguwa. Ni kwel kalend zipo ila ukiziangalia kwa umakini kila mwez hubadilika kutokana na muandamo wa mwezi na kama utakuwa mfuatiliaji kila ukionekana mwez taarifa za mambo ya dini ndo zinatolewa kauli lini zitakuwa
Hapo sheikh kanukuu hadithi ya Bi Aisha nimejifunza kitu hapo kwanza huyo Masruk kamwabia Bi Aisha sijafunga kwasababu kuna watu wanadai waliuona mwezi kumbe hawakuuona. Bi Aisha akamjibu Masruk ya kua Arafa ni siku ambayo ametangaza Imam. Mi nnachojua Imam ni Kiongozi wa dini (suala la kusema ni Imam wa Makka ni yeye mwenyewe Sheikh Dedes Katuchomekea) kwa sababu Bi Aisha hakutaja Makka wala hakutaja Mahujaji. Kama ni kweli Imam wa Makka? basi Sheikh atuambie Bi Aisha kipindi hicho alikua akiishi Madina au Makka? Kama bado alikua anaishi Madina bila shaka hapa Imam aliyekusudiwa ni Kiongozi wa dini awe Sheikh wa Mji au Sheikh wa Kijiji alimuradi ni Kiongozi. Na sio Imam wa Makka kama alivotuchomekea Sheikh Dedes kwa sababu kwa kipindi hicho Bi Aisha bado alikua akiishi Madina na Hijja inafanyika Makka hivo huyo kiongozi alikua ni wa Madina na amewatangazia Arafa kulingana na muandamo wa mwezi. Na hii inatufundisha kua kumbe Arafa inategemea mwezi sababu Kiongozi hutangaza Arafa pale tu anapothibitisha Muandamo wa mwezi iwe waliouona wamekosea au hawakukosea maadam kiongozi kathibitisha basi siku hiyo itakua Arafa. Sasa katika hiyo hadithi hakuna neno Mahujaji wala Makka issue ya Makka Sheikh Dedes katuchomekea.
@@allydaud117Toka Dunia imeubwa Saudia haijafuata mwezi wa popote ht jirani zao Yemen, wao wanafuata mwandamo wao tu kw kuwa wameielewa hadithi ya Kurayb na ndio msisitizo wao kuwa Kila nchi ifuate mwandamo wao, Shida IPO kw mawahabi uchwara wanaolazimisha mwezi wa kimataifa Bid'a kubwa ambayo haikuwepo ktk karne bora 3 zilizopita na ht ktk zama za nyuma
Huu sasa ni ushabiki ktk dini na hautakiwi alichokisema shekh nikitu Cha dini sio chake ww unasema hata ashuke malaika hamuwezi kufuata makka akhi mche allah na hii ni dini na marejeo ni kwa allah achamaneno hayo
Hili la kusema Imam wa Makka Sheikh Dedes Katuchomekea kama ni kweli atuambie Bi Aisha alikua akiishi wapi kama ni Madina Habari za Makka alizipata vipi?
Huo ni msimamo wake alioupokea kutoka Kwa Sheikh wake mohd nassour wa kadiria na msimamo huo wanao zamani ila walikua hawajidhihirishi walikua wanajificha dedes kamuua kumfunga paka kengele
Sasa mpaka hapa bado watu watabisha? Ukweli ndio huo lazima Dunia nzima kama watu watakua Arafat jumanne basi lazima kila Kona ya Dunia waipate jumanne iwe ni kabla au baada,sasa watu walikua wanabishana bure Tu ukweli sheikh Letu Kijana wetu Ndugu yetu Ameshafafanua na mzee hapa ameweka conclusion, Allah Awalipe kila la Kheri na Awahifadhi Katika kila Shari.
arafa ina wahusu tukiangalia hizo nchi zote hakuna tulipotofautiana zaidi ya masaa 12 hii ndio siku siku inaisha magharibi hapa n kuangalia tu na sio kupishana pia yapaswa huo mwez wawe wanatupa ushahidi maana ramadhan tulikuwa tofaut wakasema mwez na shawwal tukawa sawa wakasema mwez na dhulhijja tupo tofaut kuwa muandamo hapa kuna janja janja wanatupotosha tu kwa ajili ya njaa zao zinatusumbua sisi.
Swali dogo tu kwahiyo hao waliofunga siku za nyuma wakati kulikuwa hakuna mawasiliano hawakupata harafa hivi kweli kwa wanazuoni wote waliopita hawakuliona hilo
Wajuwa sikama masufi hwa elewi haki bc tu huamua tu wenye wao kufuata matamanio ya nafsi zao kupitia clip hii allah waongoze masufi na wengine wote ambao hwapo ktk usawa ammin

Ndugu kwanza nikupe pole maana hata akili umeshindwa kutumia vizuri akili yako sijui ndo ipo kwa masufi wanaifanyia kazi na umebaki kama bendera kufata upepo wa masufi. Mama Aisha kamuuliza masruk kwani hujafunga leo mama aisha alikua akiuliza siku gani. Bila shaka ilikua Arafa. Masruki aliposema Watu wamekosea mwezi hauja onekana hiyo ni tarehe ngapi masruki aliitakidi Kwake ilikua tarehe nane kwa mahesabu yake. Na mama Aisha aliposema Arafa ni siku ambayo Ataitambua imamu kua ni siku ya Arafa ni Imamu yupi kakusudia hapo. Kwahiyo lau ungetumia akili vizuri ungeangalia kua masruki alikua anaishi wapi ndo akaja kwa mama Aisha. Na kama mama aisha Alikua anaishi Madina Maana yake mama Aisha Alifunga kufuata mwezi wa wawapi. Tayari unatatua kinacho kusumbua.
@giltaemi4017 mama Aisha alikua anaishi madina haya hili la sheikh dedes kusema Imam wa Makka limetoka wapi? Je kwenye hiyo hadithi ametajwa Imam wa makka? Au ametajwa Imam tu? Kipi ndo sijaelewa unieleweshe?
@@giltaemi4017 kaka comment yako inatakiwa ijibu huyo imama ni Imam wa makka au Imam kiongozi tu kwa jinsi ulivoielewa hiyo hadithi. Pili twajua Bi Aisha alikua Madina sasa tuambie kwani hadithi imesema Masruk alitoka wapi? Mbona wewe ndo hujaelewa?
@@mybabyarchive2104 Tufanye hivi kaka. Tuchukulie imamu huyo ni Imamu wa madina sawa. Swali linakuja je kuna Dalili yeyote inayo tilia nguvu maneno hayo kua imamu yeyote. na je wakati mtume Anasema swaumu ya siku ya arafa inafuta madhambi ya miaka miwili ulikua wakati gani. Maana tunacho ng'ang'ani sisi ni tarehe tisa Ndo arafa je kuna ushahidi huo hata kwa bahati mbaya miongoni mwa wanazuoni alisema. Na kama hamna basi nikutumie link uangalie ushahidi wa wanachuoni wanasemaje kuhusu funga ya Arafa. tusiwe washabiki bali tuelimike kwa dalkli na sio maneno ya watu tuuuu.
Hizi siku 9 mtazipataje pasipo kuutafuta muandamo wa mweziii Makka wao wanatumia kalenda ya Hijria sijui aliiandaa Nani Kalenda hii tayari imeandaliwa Hadi miaka 20 ijayo inajulikana matendo yake yoote ya kila mwaka yaani, funga na eidi yake ya ramadhani na vivyo hivyo shughuli za hijja ikiwemo Arafa. Kwa kufuata kalenda hii daima hatutafuata hadithi ya Mtume (SAW)ya kwamba Fungeni na fungueni kwa kuuona mwezi. Kalenda hii haitoi tena mwanya wala haja ya kutafuta mwandamo wa mwezi. Kama ilikuwepo kabla ya kufaradhishwa Hijjah, Nani aliyeifuta , kwa hadithi sahihi au kwa rai za wanazuoni tuuu. Tutafuteni mwandamo ya miezi tuachane na hii calenda
Hapo sheikh kanukuu hadithi ya Bi Aisha nimejifunza kitu hapo kwanza huyo Masruk kamwabia Bi Aisha sijafunga kwasababu kuna watu wanadai waliuona mwezi kumbe hawakuuona. Bi Aisha akamjibu Masruk ya kua Arafa ni siku ambayo ametangaza Imam. Mi nnachojua Imam ni Kiongozi wa dini (suala la kusema ni Imam wa Makka ni yeye mwenyewe Sheikh Dedes Katuchomekea) kwa sababu Bi Aisha hakutaja Makka wala hakutaja Mahujaji. Kama ni kweli Imam wa Makka? basi Sheikh atuambie Bi Aisha kipindi hicho alikua akiishi Madina au Makka? Kama bado alikua anaishi Madina bila shaka hapa Imam aliyekusudiwa ni Kiongozi wa dini awe Sheikh wa Mji au Sheikh wa Kijiji alimuradi ni Kiongozi. Na sio Imam wa Makka kama alivotuchomekea Sheikh Dedes kwa sababu kwa kipindi hicho Bi Aisha bado alikua akiishi Madina na Hijja inafanyika Makka hivo huyo kiongozi alikua ni wa Madina na amewatangazia Arafa kulingana na muandamo wa mwezi. Na hii inatufundisha kua kumbe Arafa inategemea mwezi sababu Kiongozi hutangaza Arafa pale tu anapothibitisha Muandamo wa mwezi iwe waliouona wamekosea au hawakukosea maadam kiongozi kathibitisha basi siku hiyo itakua Arafa. Sasa katika hiyo hadithi hakuna neno Mahujaji wala Makka issue ya Makka Sheikh Dedes katuchomekea.
weye dedes Tunakujua hujasoma.hujasoma..kwa hivo bora ukae kimya usijitukanishe...taaluma zako ni za uchumi...tunakujuw vizuuri....Ushehe umeuanza juzi

Alichokisema huyu shekh ndicho sahihi na hii inatulazim sisi kusoma vitabu maana haya mambo ya kufunga siku ya araf yako wazi ktk vitabu shida yetu ni kutosoma tu vitabu twasubiri kusomeawa kama wakristo makanisani
Niko bujumbura sheik dede kwahilo tu nimekupenda alla akulinnde shukran
Hijja imeteuliwa sehemu moja, Swaumu haikuteuliwa sehemu unatakiwa waislaam Dunia nzima tufunge
Mashalaaaa😂😂 ukweli ukubalike na allah atie nguvu ...hapa ndipo waislamu huwa wamoja...anakataa kuhusu ramadhani atakubali tu inshallah ipo siku
Asante kwa mafundisho muhimu
SHEIKH UMETEREZA HAPO TENA SANA
Allaah atuongoze zaidi
Allah atuongoze na sisi yarab
Siku zote ukweli uwa unajibaini, alhamdulillah mzee wetu amelikubali hili, tumuombee na mengine aje kuyakubali, ndo dua yetu kwa wazee wetu. Allah awahifadhi in sha Allah
Dua nzuri, mashaallah, tuwaonbee wajaaliwe kuingia kwenye Sunnah iliyo safi na ufahamu Bora was wema waliotangulia
Alhamdulillah. Wataona haqi pole pole
InshaAllah Shukran kwa ujumbe
Ashapewa pesa na waarabu ashanunuliwa kama wenzake, mche Allah
Sheikh dedes mfundishe mbaraka aweso naye afahamu in shaa Allah
Mzee anaharibikia ukubwani we badala ya kumuhurumia unamtia ujinga hiyo hadithi aliyoitoa inamkosoa yeye mwenyewe ndo ujue haqi hata uipige vita vipi itadhihiri tu mama Aisha apo anasema arafa ni ile siku siku aliyotangaza imamu anayoitangaza imamu na anamwambia hivyo wakiwa madinna sio maka
Mwambie atoe hoja kama mbaraka awes anavo sema na hukutajia na ushahidi
Mashaallah jazakallah haki husemwa
Naam... Masha Allah... Allah atuongoze njia ya haki na kuufwata
Taraaatib watafahamu tuu In shaa Allah moja baada moja
'Ilmu ni pana sana na kila msomi ana maono yake, suluhisho ni kufata miandamo ya mwezi ndio dira ya kufanikisha ibada zote zinazotegea kalenda
Ni bahati mbaya sana wale wanaoshawishi kufata Makkah hawajui kwamba Makkah hawatafuti wala hawategemei muandamo wa mwezi bali wanafuata kalenda ya Hijria iliyoandaliwa maksudi kuendeshea ibada za Hijjah huko Makkah Daudi Arabia .
Ni mkanganyiko mkubwa ulioruhusu bid'a hii ikubalike na kuwafanya wasomi wetu washindwe kutupa njia sahihi ya kuifata
Jee, tufuate hii bid'a ya kalenda tusitafute mwezi twende kinyume na hadithi ya Mtume(SAW) au, tufuate muandamo wa mwezi kumfata Mtume( SAW)..iwe Sunnah sahihiii???
@@ommarallyhamad7435Akhy usiongee mambo usio yajuwa mm ni mkoja wap kati watu waliop Gulf Countries. Ni kwel kalenda zipo ila so kwel km saudi hawaangalii mwez bali ni sumu tu tunopeana. Mfano mdog nakupa muandamo wa mwez wa ramdhan wa marahii calenda zote za nchi za gulf ziliandika nwez utaandama 29 kalini mwez haukuandama tukakamilisha 30 na ilipoanza ramadhan wakatow kalenda ramadhan itakuwa siku 30 na nwezi 29 ukaandama ndani ya saudi na tukafunguwa. Ni kwel kalend zipo ila ukiziangalia kwa umakini kila mwez hubadilika kutokana na muandamo wa mwezi na kama utakuwa mfuatiliaji kila ukionekana mwez taarifa za mambo ya dini ndo zinatolewa kauli lini zitakuwa
Hapo sheikh kanukuu hadithi ya Bi Aisha nimejifunza kitu hapo kwanza huyo Masruk kamwabia Bi Aisha sijafunga kwasababu kuna watu wanadai waliuona mwezi kumbe hawakuuona. Bi Aisha akamjibu Masruk ya kua Arafa ni siku ambayo ametangaza Imam. Mi nnachojua Imam ni Kiongozi wa dini (suala la kusema ni Imam wa Makka ni yeye mwenyewe Sheikh Dedes Katuchomekea) kwa sababu Bi Aisha hakutaja Makka wala hakutaja Mahujaji. Kama ni kweli Imam wa Makka? basi Sheikh atuambie Bi Aisha kipindi hicho alikua akiishi Madina au Makka? Kama bado alikua anaishi Madina bila shaka hapa Imam aliyekusudiwa ni Kiongozi wa dini awe Sheikh wa Mji au Sheikh wa Kijiji alimuradi ni Kiongozi. Na sio Imam wa Makka kama alivotuchomekea Sheikh Dedes kwa sababu kwa kipindi hicho Bi Aisha bado alikua akiishi Madina na Hijja inafanyika Makka hivo huyo kiongozi alikua ni wa Madina na amewatangazia Arafa kulingana na muandamo wa mwezi. Na hii inatufundisha kua kumbe Arafa inategemea mwezi sababu Kiongozi hutangaza Arafa pale tu anapothibitisha Muandamo wa mwezi iwe waliouona wamekosea au hawakukosea maadam kiongozi kathibitisha basi siku hiyo itakua Arafa.
Sasa katika hiyo hadithi hakuna neno Mahujaji wala Makka issue ya Makka Sheikh Dedes katuchomekea.
Wewe ambaye hujuwi hukumu
za lugha ya kiarabu utaona ni sawa anacho sema!
@@allydaud117Toka Dunia imeubwa Saudia haijafuata mwezi wa popote ht jirani zao Yemen, wao wanafuata mwandamo wao tu kw kuwa wameielewa hadithi ya Kurayb na ndio msisitizo wao kuwa Kila nchi ifuate mwandamo wao, Shida IPO kw mawahabi uchwara wanaolazimisha mwezi wa kimataifa Bid'a kubwa ambayo haikuwepo ktk karne bora 3 zilizopita na ht ktk zama za nyuma
Kwa iyo mwalimu wangu ikitikezea dharura hijja isifanyike itakuwa watu hawafung arafa nakama wanafunga watufungaje na hijja haipo tunaomba majibu Isha allah
Ndio haijatokea eti
Ikitokea DHARULA,
katika uislamu dharura huwa ina hukumu zake.
Hapo hatuzungumzii DHARURA
@@مبغضالبدع-ع9ص 2019,2020,2021, hakukuwa na hijja je hatukufunga Arafa? Au ulikuwa hujazaliwa?
Allah akuongoze
SAID I.ALI(AJAY) ALLAH AZIDI KUKUPA HIDAYA YA KUWEZA KUTAMBUA HAKI AMEEN
Sheikh Allh amjazi kheri ameiyona haki
Huyu sheikh haña Elimu haiwezekani Dunia nzima ikàfunga siku moja
Mtazamo wako
Hii ni
وشهد شاهد من اهلها....
Allah atuongoze sote..........Faridi amtafute Dedes Sasa ampe ile hoja yake ya mipaka ya kiisiasa
وجاء الحق وزهق الباطل، إن الباطل كان زهوقا
Tunaomba atutajie masheikh wa watangulizi wa Zanzibar wenye msimamo huo kama kweli kasema Kwa hao masheikh
Daah kwel kila mmoja anamaon yake chamsingi ni kushikamana na sunnah na quruan
Maashaallah. Idi jumaatano lnshaallah
Msomi mwenye hikma ndivo anavotakikaniwa awe hvi…ikiwa ni haki basi asimame na haki na ikiwa ni baatwil afaa pia aipinge na iwe funzo kwa kila mtu
Sh mku wa Saudia alisema kwa sauti kwamba kila nchi wafate muandamo wanchi yao
Sheikh dedes mimi nakuuliza wale kwao usiku wafunge lini
Ushajibiwa hio clip isikilize vizuri
Shekh dedes hajui alisemalo na wala hana elimu nalo
Swadakta na hiyo ndio haki.
Yusuf Diwani yupo
Alhamdulillahi anayeukubali ukweli akaudhihirisha hastaili lawama wala bughuza.
Kweli kabisa sheikh
Abuu hatimy namuona hapo 😂😂😂😂aalikwe meza kuu ya Niqashi Tanga. Tumchangie nauli awe msikilizaji tu
Tatizo lilianzia Hapa tulipoambiwa tufate Qur'an na Sunna kuna watu wakaelewa kwamba tufate Qur'an na Saudia
Akuna ibada YAKUANGALIA watu ibada zote Zina fuata mwezi na nyua
Sheikh farid nae kasemaje????
Umechelewa saana shekhe hakuna utaratibu wa kufuata makka hata ashuke malaika kusema hvyo bdo haiwezekani....dunia haiendi pamoja,makinika utakufa kibudu
Huu sasa ni ushabiki ktk dini na hautakiwi alichokisema shekh nikitu Cha dini sio chake ww unasema hata ashuke malaika hamuwezi kufuata makka akhi mche allah na hii ni dini na marejeo ni kwa allah achamaneno hayo
Hili la kusema Imam wa Makka Sheikh Dedes Katuchomekea kama ni kweli atuambie Bi Aisha alikua akiishi wapi kama ni Madina Habari za Makka alizipata vipi?
Shekhe musijitolee fatwa tu hii ni nafasi ya watu maalum
Huo ni msimamo wake alioupokea kutoka Kwa Sheikh wake mohd nassour wa kadiria na msimamo huo wanao zamani ila walikua hawajidhihirishi walikua wanajificha dedes kamuua kumfunga paka kengele
Sasa mpaka hapa bado watu watabisha? Ukweli ndio huo lazima Dunia nzima kama watu watakua Arafat jumanne basi lazima kila Kona ya Dunia waipate jumanne iwe ni kabla au baada,sasa watu walikua wanabishana bure Tu ukweli sheikh Letu Kijana wetu Ndugu yetu Ameshafafanua na mzee hapa ameweka conclusion, Allah Awalipe kila la Kheri na Awahifadhi Katika kila Shari.
.mbaruku awesu ! Njoon huku kuna ujumbe wenu! Hamuchelew kusema kua audio ime editiwa au mzee kazeekaa
Ww ndio ume editing jahil
Hamumuezi Mbarak uwes Wacha kujihadaa.😅😅
Sawa
Je watu wa Amerika,Australia na Japani wao funga hii ya Arafa haiwahusu?
arafa ina wahusu tukiangalia hizo nchi zote hakuna tulipotofautiana zaidi ya masaa 12 hii ndio siku siku inaisha magharibi hapa n kuangalia tu na sio kupishana pia yapaswa huo mwez wawe wanatupa ushahidi maana ramadhan tulikuwa tofaut wakasema mwez na shawwal tukawa sawa wakasema mwez na dhulhijja tupo tofaut kuwa muandamo hapa kuna janja janja wanatupotosha tu kwa ajili ya njaa zao zinatusumbua sisi.
Swali dogo tu kwahiyo hao waliofunga siku za nyuma wakati kulikuwa hakuna mawasiliano hawakupata harafa hivi kweli kwa wanazuoni wote waliopita hawakuliona hilo
Wajuwa sikama masufi hwa elewi haki bc tu huamua tu wenye wao kufuata matamanio ya nafsi zao kupitia clip hii allah waongoze masufi na wengine wote ambao hwapo ktk usawa ammin
Tatizo lilianzia Hapa tulipoambiwa tufate Qur'an na Sunna kuna watu wakaelewa kwamba tufate Qur'an na Saudia
Acha ujinga
Rudi darasani tene katwali kwenye hili
Hapo sheikh kanukuu hadithi ya Bi Aisha nimejifunza kitu hapo kwanza huyo Masruk kamwabia Bi Aisha sijafunga kwasababu kuna watu wanadai waliuona mwezi kumbe hawakuuona. Bi Aisha akamjibu Masruk ya kua Arafa ni siku ambayo ametangaza Imam. Mi nnachojua Imam ni Kiongozi wa dini (suala la kusema ni Imam wa Makka ni yeye mwenyewe Sheikh Dedes Katuchomekea) kwa sababu Bi Aisha hakutaja Makka wala hakutaja Mahujaji. Kama ni kweli Imam wa Makka? basi Sheikh atuambie Bi Aisha kipindi hicho alikua akiishi Madina au Makka? Kama bado alikua anaishi Madina bila shaka hapa Imam aliyekusudiwa ni Kiongozi wa dini awe Sheikh wa Mji au Sheikh wa Kijiji alimuradi ni Kiongozi. Na sio Imam wa Makka kama alivotuchomekea Sheikh Dedes kwa sababu kwa kipindi hicho Bi Aisha bado alikua akiishi Madina na Hijja inafanyika Makka hivo huyo kiongozi alikua ni wa Madina na amewatangazia Arafa kulingana na muandamo wa mwezi. Na hii inatufundisha kua kumbe Arafa inategemea mwezi sababu Kiongozi hutangaza Arafa pale tu anapothibitisha Muandamo wa mwezi iwe waliouona wamekosea au hawakukosea maadam kiongozi kathibitisha basi siku hiyo itakua Arafa.
Sasa katika hiyo hadithi hakuna neno Mahujaji wala Makka issue ya Makka Sheikh Dedes katuchomekea.
Ndugu kwanza nikupe pole maana hata akili umeshindwa kutumia vizuri akili yako sijui ndo ipo kwa masufi wanaifanyia kazi na umebaki kama bendera kufata upepo wa masufi.
Mama Aisha kamuuliza masruk kwani hujafunga leo mama aisha alikua akiuliza siku gani.
Bila shaka ilikua Arafa.
Masruki aliposema Watu wamekosea mwezi hauja onekana hiyo ni tarehe ngapi masruki aliitakidi Kwake ilikua tarehe nane kwa mahesabu yake.
Na mama Aisha aliposema Arafa ni siku ambayo Ataitambua imamu kua ni siku ya Arafa ni Imamu yupi kakusudia hapo.
Kwahiyo lau ungetumia akili vizuri ungeangalia kua masruki alikua anaishi wapi ndo akaja kwa mama Aisha.
Na kama mama aisha Alikua anaishi Madina Maana yake mama Aisha Alifunga kufuata mwezi wa wawapi.
Tayari unatatua kinacho kusumbua.
@giltaemi4017 mama Aisha alikua anaishi madina haya hili la sheikh dedes kusema Imam wa Makka limetoka wapi? Je kwenye hiyo hadithi ametajwa Imam wa makka? Au ametajwa Imam tu? Kipi ndo sijaelewa unieleweshe?
@@mybabyarchive2104
Soma vema Comment yangu.
Shida hapo sio dedes shida ni kua mazingira ya sms ushayaelewa.............??????
@@giltaemi4017 kaka comment yako inatakiwa ijibu huyo imama ni Imam wa makka au Imam kiongozi tu kwa jinsi ulivoielewa hiyo hadithi. Pili twajua Bi Aisha alikua Madina sasa tuambie kwani hadithi imesema Masruk alitoka wapi? Mbona wewe ndo hujaelewa?
@@mybabyarchive2104
Tufanye hivi kaka.
Tuchukulie imamu huyo ni Imamu wa madina sawa.
Swali linakuja je kuna Dalili yeyote inayo tilia nguvu maneno hayo kua imamu yeyote.
na je wakati mtume Anasema swaumu ya siku ya arafa inafuta madhambi ya miaka miwili ulikua wakati gani. Maana tunacho ng'ang'ani sisi ni tarehe tisa Ndo arafa je kuna ushahidi huo hata kwa bahati mbaya miongoni mwa wanazuoni alisema.
Na kama hamna basi nikutumie link uangalie ushahidi wa wanachuoni wanasemaje kuhusu funga ya Arafa. tusiwe washabiki bali tuelimike kwa dalkli na sio maneno ya watu tuuuu.
Hizi siku 9 mtazipataje pasipo kuutafuta muandamo wa mweziii
Makka wao wanatumia kalenda ya Hijria sijui aliiandaa Nani
Kalenda hii tayari imeandaliwa Hadi miaka 20 ijayo inajulikana matendo yake yoote ya kila mwaka yaani, funga na eidi yake ya ramadhani na vivyo hivyo shughuli za hijja ikiwemo Arafa.
Kwa kufuata kalenda hii daima hatutafuata hadithi ya Mtume (SAW)ya kwamba Fungeni na fungueni kwa kuuona mwezi.
Kalenda hii haitoi tena mwanya wala haja ya kutafuta mwandamo wa mwezi.
Kama ilikuwepo kabla ya kufaradhishwa Hijjah, Nani aliyeifuta , kwa hadithi sahihi au kwa rai za wanazuoni tuuu.
Tutafuteni mwandamo ya miezi tuachane na hii calenda
Kalenda ipo na mwezi wanatizama na ikitokea tofauti wanabadilisha huu ndio ukweli na mm nimeshuhudia mwenyewe.
Maashallah
Muogope allaah sw kwan wew mtanzania hutumiii kalenda mbona tuziona za mwaka mzima misjttn
Hapo sheikh kanukuu hadithi ya Bi Aisha nimejifunza kitu hapo kwanza huyo Masruk kamwabia Bi Aisha sijafunga kwasababu kuna watu wanadai waliuona mwezi kumbe hawakuuona. Bi Aisha akamjibu Masruk ya kua Arafa ni siku ambayo ametangaza Imam. Mi nnachojua Imam ni Kiongozi wa dini (suala la kusema ni Imam wa Makka ni yeye mwenyewe Sheikh Dedes Katuchomekea) kwa sababu Bi Aisha hakutaja Makka wala hakutaja Mahujaji. Kama ni kweli Imam wa Makka? basi Sheikh atuambie Bi Aisha kipindi hicho alikua akiishi Madina au Makka? Kama bado alikua anaishi Madina bila shaka hapa Imam aliyekusudiwa ni Kiongozi wa dini awe Sheikh wa Mji au Sheikh wa Kijiji alimuradi ni Kiongozi. Na sio Imam wa Makka kama alivotuchomekea Sheikh Dedes kwa sababu kwa kipindi hicho Bi Aisha bado alikua akiishi Madina na Hijja inafanyika Makka hivo huyo kiongozi alikua ni wa Madina na amewatangazia Arafa kulingana na muandamo wa mwezi. Na hii inatufundisha kua kumbe Arafa inategemea mwezi sababu Kiongozi hutangaza Arafa pale tu anapothibitisha Muandamo wa mwezi iwe waliouona wamekosea au hawakukosea maadam kiongozi kathibitisha basi siku hiyo itakua Arafa.
Sasa katika hiyo hadithi hakuna neno Mahujaji wala Makka issue ya Makka Sheikh Dedes katuchomekea.
@@mybabyarchive2104 rejea kumsikiliza tena sheikh dedes hujamfahamu.
weye dedes Tunakujua hujasoma.hujasoma..kwa hivo bora ukae kimya usijitukanishe...taaluma zako ni za uchumi...tunakujuw vizuuri....Ushehe umeuanza juzi
Usiwalaumu ndivyo walivyofundishwa
Sioni comment naona leo🤣🤣🤣🤣
Comment hii hapa chini
Hapo sheikh kanukuu hadithi ya Bi Aisha nimejifunza kitu hapo kwanza huyo Masruk kamwabia Bi Aisha sijafunga kwasababu kuna watu wanadai waliuona mwezi kumbe hawakuuona. Bi Aisha akamjibu Masruk ya kua Arafa ni siku ambayo ametangaza Imam. Mi nnachojua Imam ni Kiongozi wa dini (suala la kusema ni Imam wa Makka ni yeye mwenyewe Sheikh Dedes Katuchomekea) kwa sababu Bi Aisha hakutaja Makka wala hakutaja Mahujaji. Kama ni kweli Imam wa Makka? basi Sheikh atuambie Bi Aisha kipindi hicho alikua akiishi Madina au Makka? Kama bado alikua anaishi Madina bila shaka hapa Imam aliyekusudiwa ni Kiongozi wa dini awe Sheikh wa Mji au Sheikh wa Kijiji alimuradi ni Kiongozi. Na sio Imam wa Makka kama alivotuchomekea Sheikh Dedes kwa sababu kwa kipindi hicho Bi Aisha bado alikua akiishi Madina na Hijja inafanyika Makka hivo huyo kiongozi alikua ni wa Madina na amewatangazia Arafa kulingana na muandamo wa mwezi. Na hii inatufundisha kua kumbe Arafa inategemea mwezi sababu Kiongozi hutangaza Arafa pale tu anapothibitisha Muandamo wa mwezi iwe waliouona wamekosea au hawakukosea maadam kiongozi kathibitisha basi siku hiyo itakua Arafa.
Sasa katika hiyo hadithi hakuna neno Mahujaji wala Makka issue ya Makka Sheikh Dedes katuchomekea.
Allah atuonyeshe hakki tuifuate,naatuonyeshe batili tuiepuke ruclips.net/video/-FGBJ3gRbuk/видео.html
Masikini mzee anaharibikia ukubwani
Alichokisema huyu shekh ndicho sahihi na hii inatulazim sisi kusoma vitabu maana haya mambo ya kufunga siku ya araf yako wazi ktk vitabu shida yetu ni kutosoma tu vitabu twasubiri kusomeawa kama wakristo makanisani
Shehe umejitahidi sana. Na hivyo ndivyo ulivyo elewa.
Lakini hadithi uliyoitoa haiendani na Arafa liuguf!
Huyu shekhe sio wa kitwarika ni propaganda tuu...!!!!
Hahhaha.mzee dedes..nakumbuka mnaqasha wako na abulfadhli