Jinsi ya kupima na kukata offshoulder.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @nyangetamusibha8991
    @nyangetamusibha8991 4 месяца назад +1

    🎉❤Asante sana kipenzi

  • @HappyElias-s8k
    @HappyElias-s8k 8 месяцев назад

    Hongera san unafundisha vzur

  • @evalinenelson3251
    @evalinenelson3251 2 года назад

    Ahsante mamy nakuelewa

  • @MathaIsaya-td9mu
    @MathaIsaya-td9mu Год назад

    Asante sana fundi

  • @agnessmrisho5038
    @agnessmrisho5038 2 года назад +2

    Samaan naitwa a gnss me ninaswal kswan hiii nguo Sina shingo agness kutoka dare es salam

  • @salomeshila3671
    @salomeshila3671 2 года назад

    Ahsante sana nimekuelewa

  • @davidymabifu2888
    @davidymabifu2888 3 года назад +2

    Oooh!!! Thanks dadaaa

  • @mamaislah-v5w
    @mamaislah-v5w 2 года назад

    Kaz nzury

  • @Elika-bd4jv
    @Elika-bd4jv 8 месяцев назад

    Dada unafundisha vzur sana ubalikiwe sn

  • @evetamakoi9856
    @evetamakoi9856 3 года назад

    Asante dear nmekuelewa

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 3 года назад

    Asante Sana July

  • @gloryorio9226
    @gloryorio9226 Год назад

    Off shoulder haina shingo??

  • @MathayoMajula
    @MathayoMajula 6 месяцев назад

    Ongela dad❤

  • @meviskapange3485
    @meviskapange3485 2 года назад

    hello naomba nielekeze jinsi ya kukata prinss days please Nina nguo ya halusi kesho

  • @TeddyJohny-g3o
    @TeddyJohny-g3o 27 дней назад

    hello shingo ya offshoder unakataje

  • @FatumaAthumani-mc4lf
    @FatumaAthumani-mc4lf 11 месяцев назад

    Shukrani

  • @evelynerobertmaduwilu7991
    @evelynerobertmaduwilu7991 3 года назад

    Nmeelewa asant dada

  • @azizdagesh5423
    @azizdagesh5423 3 года назад

    Asante umeelekeza vizuri ila sauti ipo chini mamy

  • @HasaniHatibu-g6z
    @HasaniHatibu-g6z Год назад

    Naomba unifundishe kushona

  • @GladyxGlady-dj1jc
    @GladyxGlady-dj1jc Год назад

    ❤naomba namba yko ya watsup niwe mwanafunz wko

  • @harimaruben8545
    @harimaruben8545 2 года назад

    Sasa fundi hujatuonyesha ulivyokata belti jamani

  • @Elika-bd4jv
    @Elika-bd4jv 8 месяцев назад

    1:47

  • @lilianlaurance8105
    @lilianlaurance8105 2 года назад

    Naomba unielekeze kanuni yamtu mnene

  • @VailethNkwela
    @VailethNkwela 10 месяцев назад

    Kwanini unatoa nchi nne nje?

  • @JenifaJairo
    @JenifaJairo 7 месяцев назад

    Mimi Nina swali mkato huu aupimi bega

  • @JoyceMpepo-eq4du
    @JoyceMpepo-eq4du Год назад

    Dada naomba mshono wa mtoto wa ofshoder

  • @hamadimnyungu
    @hamadimnyungu 6 месяцев назад

    Uko wp kwanza naweza nikawa mwanafunzi wako unaeleweka sana

  • @Mercy-k9u
    @Mercy-k9u 15 дней назад

    Nataka kujua jinsi ya kuweka bega baada ya kumaliza kukata haf

  • @juliethyebeka3610
    @juliethyebeka3610 3 года назад

    Nimeelewa

  • @venansiakiteve8964
    @venansiakiteve8964 2 года назад

    Dada nimekuelewa lakin the way ulivyokaaa na ulivyoweka kitambaa inatatanisha kidgo kwa sie tusiojua ufund vizur na hapo kwenye kupika bega umeacha nch nne na kuongez inc nne je kwa juu ili uweke mstar ukaw sawa umepima nch ngap kwa sababu kitambaa kingine kinakuwa ni kikubwa ina maana huo mstar tuunjooshw mbaka mwisho au

  • @monicaamos411
    @monicaamos411 3 года назад +1

    Nimeelewa Sana Ila mbona hujamalizia alafu cjaelewa kidogo jinsi ya kupima hiyo belti umeipataje 39?

    • @wanzitadeogratias497
      @wanzitadeogratias497 2 года назад

      Samahani naweza kukujibu swali lako unachukua tape unapima mzunguko wote wa bega unapata 38 ameongeza na inchi 1 ya kushonea imekuwa 39

  • @zulfarajabu9274
    @zulfarajabu9274 3 года назад

    Je dizaini hii inakweje

  • @zulfarajabu9274
    @zulfarajabu9274 3 года назад

    Je shingo

  • @mwanahijahozza6647
    @mwanahijahozza6647 3 года назад

    Dear huna group