jinsi ya kukata na kushona nguo ya kutoa nchi 5 yenye mikono mirefu, off shoulder with sleeves

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 99

  • @ShukranMichael-fd8nm
    @ShukranMichael-fd8nm 6 месяцев назад +1

    ahsante sanaa nimekata nguo kama hiyo nanimefauru ahsante sana my dear

  • @BJmtegama
    @BJmtegama Месяц назад

    Nimekupenda my Mungu azidi kukupa ujuzi na abariki kazi yako

  • @IreneDidace
    @IreneDidace Год назад

    Unafundisha vizuri nimekuelewa asnte

  • @ArodiaPancras-nm5qm
    @ArodiaPancras-nm5qm 5 месяцев назад

    Unafundisha vizuri mungu akuweke Kwa ajili yetu

  • @LinahPetro
    @LinahPetro Год назад

    Inafundisha vizuriii Sana ubarikiwe dada

  • @ABDALLAHMUSA-ff5sp
    @ABDALLAHMUSA-ff5sp 3 месяца назад

    Well!! Good teacher keep it up

  • @StephanoWaindi
    @StephanoWaindi 2 месяца назад

    Asantee mungu akulinde kipenzi chet

  • @dorahsalmon9658
    @dorahsalmon9658 2 года назад +2

    Ninakubali fundi wangu nimengi nmejfunza ktoka kwako mungu akutie nguvu uzdi kutuelumisha

  • @EsterLupuja
    @EsterLupuja Год назад

    Asante sana dada unatuelimisha mengi ambayo hatukuyafahamu

  • @ADAMPESAPESA
    @ADAMPESAPESA 4 месяца назад

    Asante Kwa mafundisho mazur

  • @salehehamis4734
    @salehehamis4734 2 месяца назад

    Nakuelewa sana

  • @mariasabinus6512
    @mariasabinus6512 Год назад

    Ahsante kwa somo zuri

  • @naomimasasi2940
    @naomimasasi2940 Год назад

    Nimekuelewa vzr sana dada,barikiwa sana

  • @jescasimba2513
    @jescasimba2513 2 года назад

    Nashukuru sana my nimejaribu nimeweza

  • @MonicaMachage
    @MonicaMachage Год назад

    Mungu akubariki Kwa kipaji chako Cha ufundishaji,

  • @victoriakomb427
    @victoriakomb427 2 года назад +1

    asante nimeelewa sasa mungu akubariki

  • @SAMWELINYAIGINGA-js5ik
    @SAMWELINYAIGINGA-js5ik 6 месяцев назад +1

    Naomba urudie Mara moja kwenye hii nguo inanisumbua sana

  • @Neema-i6z
    @Neema-i6z Год назад

    Asante sana mungu akubarik

  • @paskaliamathias5859
    @paskaliamathias5859 2 года назад +1

    Asante dada nmeelewa Sana ubalikiwe

  • @AminaMajaliwa-y2w
    @AminaMajaliwa-y2w 2 месяца назад

    Ubarikiwe❤

  • @majelenkwabimahunga8763
    @majelenkwabimahunga8763 2 года назад

    Asant sana mungu akubark najifunza meng xana kwako

  • @LamsRech-xe7ui
    @LamsRech-xe7ui Год назад

    Mungu akubaliki unaelewwka vzl sanaaa

  • @orestermkiwa6994
    @orestermkiwa6994 2 года назад

    Ahsante mpenzi

  • @chancerich2213
    @chancerich2213 2 года назад +1

    Ansante dada nakupenda jamani Mungu akubariki

  • @mwajumaomari479
    @mwajumaomari479 2 года назад

    Thanks saana

  • @SalomeAlkado
    @SalomeAlkado 12 дней назад

    Mm nimebaki kwenye mkono

  • @AjueKaloli-iq5vv
    @AjueKaloli-iq5vv Год назад

    asante kwakutupa ukuz

  • @oliviakhevali7038
    @oliviakhevali7038 2 года назад +1

    Nashukuru sana dada yangu. Barikiwa sana.

  • @naomiernest29
    @naomiernest29 2 года назад

    Nakufatilia San dad mungu akubarki

  • @EsterMlaga
    @EsterMlaga 28 дней назад

    Asante kwa darasa zuri naomba namba yako

  • @leocardiakindole4375
    @leocardiakindole4375 2 года назад

    Asante nmeelewa

  • @ombenimwaipopo8897
    @ombenimwaipopo8897 2 года назад

    daah we mdada mungu akubariki sana,,unafundisha vzr sn mungu akubariki sn,,nimejifunza mambo mengi sn kupitia kwako,,namm saiv naitwa fundi kupitia ww mungu akutunze mumy,,🥰🥰🥰

    • @milcastylish
      @milcastylish  2 года назад +2

      Wow hongera dear,, 🥰🥰🙏🙏🙏

    • @blacklate1257
      @blacklate1257 2 года назад

      Naomba uweke namba ya tsap uniunge kwenye group

  • @winfridaanania9047
    @winfridaanania9047 2 года назад

    Asante mpenzi

  • @mamafaisary2084
    @mamafaisary2084 2 года назад

    Nimekuelewa sana ubalikiwe

  • @shukranmichael9770
    @shukranmichael9770 2 года назад

    Nimekuelewa dada asnt

  • @pendomakwaya7792
    @pendomakwaya7792 2 года назад

    Nashukul sana dada nimeelewa

  • @tausially4648
    @tausially4648 2 года назад

    Asante dada nakufatilia sana na nakupenda saaana naomba utufundishe na huo mshono wa chini dada♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @milcastylish
      @milcastylish  2 года назад +1

      Tiyar dr nimeshaweka

    • @sarahabraham1198
      @sarahabraham1198 Год назад

      Upo vizuri saaana miss millica unaerekeza vizuri yaani unaereweka Sana Mungu akupe maarifa zaidi

  • @telesiaJohn-pn5bd
    @telesiaJohn-pn5bd Год назад

    Asante kipenzi Naomba namba yako

  • @Emily-h8j8c
    @Emily-h8j8c 2 года назад

    Ubarikiwe

  • @sarahzuberi9983
    @sarahzuberi9983 2 года назад

    Unajitahidi Sana kuelekwza asante Sana

  • @PurityKarembo-vb6mh
    @PurityKarembo-vb6mh 9 месяцев назад

    Na kwa dress ya mtoto pia watoa in hi 5?

  • @wankeshango5590
    @wankeshango5590 2 года назад

    Barikiwa sana dadaangu

  • @EsterMlaga
    @EsterMlaga 28 дней назад

    Vizuri sana fundi mi naomba namba yako

  • @reginasimon1690
    @reginasimon1690 2 года назад

    Mungu akubarik sana

  • @ThamaniNeemia
    @ThamaniNeemia 4 месяца назад

    yaan mm nataman sana kujua kushona ila cjuh ni esabu ndo zinanisumbua ama ni nini yaan nikiwa naangalia naona nimeelewa ila nikitaka kupma nakuwa cwez kujua tena naanzia wap kwenye kupma😭😭nachanganyikiwa ndo nina wik 2 nimeanza kujifunza vtu vngne vyote najua ila kwenye kukata jaman daaah

  • @pendomakwaya7792
    @pendomakwaya7792 2 года назад

    Nimeelewa

  • @IssufoChicota
    @IssufoChicota Год назад

  • @deodatamagani6079
    @deodatamagani6079 2 года назад +5

    Natamani kujua kushona lakni ata cjw nifanyeje nimejifunz wiki tu na fundi akafarik nihangaikia mwenyw tu ata cjw nifanyeje dada nisaidie

    • @AgnesDavid-et3zn
      @AgnesDavid-et3zn 7 месяцев назад

      Ungetafta fundi aliyekalibu yako ujifinze

  • @praxedarutaselw4076
    @praxedarutaselw4076 5 месяцев назад

    Unafundisha vzr lkn mimi mkono wa kutoa nchi bado ni changamoto sijui kwa nini

  • @FatumaMasunga-zu3mp
    @FatumaMasunga-zu3mp Год назад +1

    Una group la wassap tujifunze zaidi

  • @verociousagnerus9793
    @verociousagnerus9793 2 года назад

    Unafundisha???

  • @winfridaanania9047
    @winfridaanania9047 2 года назад

    Naomba kuelekezwa inchi tano ya moja kwa moja,yaani ambayo haina muungo.
    Mara nyingi huwa naziona kwenye shera za maarusi

  • @pendomwahalende7013
    @pendomwahalende7013 Год назад

    Ko kama mkono wake ulikuwa inchi 12 naweka hzo hzo inch 12

  • @UkhutyShami
    @UkhutyShami Год назад

    Mamy nimeelewa na kama ni ya mtoto tunatoa inch ngap?

  • @RahmaSalum-k3q
    @RahmaSalum-k3q Год назад +1

    Me nimekuelew sana ubarikiwe je huna group la wasp jamn ukaniunga

  • @AGNESSNSABI
    @AGNESSNSABI Год назад

    Naomba unifundishekukata kitakizo

  • @happynessamos1825
    @happynessamos1825 6 месяцев назад

    Dada naomba namba yako please

  • @EsterJames-i1w
    @EsterJames-i1w 3 месяца назад

    Samahani Dada naomba urudie Tena bado kidog sjaelewa

  • @elesiatabia2230
    @elesiatabia2230 Год назад

    Nifundisheni, na! @ Ya kuweka hicho Cha kufunga kiono hicho pambe naomba

  • @Sauda-fo7ki
    @Sauda-fo7ki 3 месяца назад

    Nauliza kiishona pale kwenye zipu Huwa panatuna

  • @mwajabumkenda4829
    @mwajabumkenda4829 4 месяца назад

    Samaani mimi nikikata naona shingo inakuwa kubwa nifanyaje

  • @JoshuaLyanga-my4rx
    @JoshuaLyanga-my4rx Год назад

    Dada huo mkono tunaukateje

  • @mamaglorymamaglory900
    @mamaglorymamaglory900 Год назад

    Samahani naomba unielekeze hapo kwenye bega nikitaka kuweka lastiki nakwenye upana wa mkono napo niweke lastiki

  • @ImmanuelMpomele
    @ImmanuelMpomele 2 месяца назад

    Asante dada kwa mafundisho mazuri,

  • @bishopstephanosaid9205
    @bishopstephanosaid9205 6 месяцев назад

    Raise ndo nimeelewa Kafka walimu unajua kufundisha

  • @mwajumamajawa9331
    @mwajumamajawa9331 2 года назад

    Mimi huo mkono unanisumbua sana kwani hauna group la watsap uniunge

  • @sophiasilio2022
    @sophiasilio2022 2 года назад

    Jamn mm nimebaki kwenye kukata mkono

  • @lucybungulu4421
    @lucybungulu4421 2 года назад

    Nashukulu kwa mafundisho yenu

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 2 года назад

    Naomba unielekeze formula ya kuksta solo. Huwa unatumia 6.25,sielew

  • @GregoryJovity
    @GregoryJovity Месяц назад

    fungua group kipenzi

  • @salmarevocatus2912
    @salmarevocatus2912 2 года назад

    Nimeelewa my dear ila Nina swali kwa mtu mnene unatoa ngapi

  • @GregoryJovity
    @GregoryJovity Месяц назад

    fungua group na kama lipo bac tuelekeze namna ya kujiunga

  • @Mwajumasaidi-o4k
    @Mwajumasaidi-o4k 6 месяцев назад

    niunge whatsap

  • @marrymwashinga1942
    @marrymwashinga1942 2 года назад

    💓👍

  • @elizasalige8952
    @elizasalige8952 2 года назад +1

    Habari, nimependa unavo fundisha unapatkana wapi? ningeomba mawasiliano yako tafadhali.

  • @giftfredy5277
    @giftfredy5277 2 года назад

    Dada unaongea haraka ongea taratibu

    • @milcastylish
      @milcastylish  2 года назад

      Ouky ntafanyia kazi

    • @hadijaramadhan7095
      @hadijaramadhan7095 Год назад

      @@milcastylish hbr dada Asante kwa darasa km una group la whatsaaap naomba uniunge mpendwa

  • @EsterMlaga
    @EsterMlaga 28 дней назад +1

    Asante kwa darasa zuri naomba namba yako

  • @floramanyilizu4223
    @floramanyilizu4223 2 года назад

    Ubarikiwe

  • @GregoryJovity
    @GregoryJovity Месяц назад

    fungua group na kama lipo bac tuelekeze namna ya kujiunga

  • @deodatamagani6079
    @deodatamagani6079 2 года назад

    Natamani kujua kushona lakni ata cjw nifanyeje nimejifunz wiki tu na fundi akafarik nihangaikia mwenyw tu ata cjw nifanyeje dada nisaidie