HARMONIZE Alivyowakabidhi MAGARI IBRAAH na COUNTRY BOY mbele ya KILLY na CHEED/ IBRAAH Apiga MAGOTI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 сен 2020
  • ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram rickmediatz...
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #HARMONIZE #IBRAAH #COUNTRYBOY
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 481

  • @mwalimunyerere
    @mwalimunyerere 3 года назад +37

    Only future billionaires can like this comment!

  • @fredrickallan5437
    @fredrickallan5437 Год назад +1

    Safi sana konde boy endelea na moyo huo na mungu pamoja naww utazidi kusimama imara katika lebo yako na majukukumu yako.

  • @shushu8105
    @shushu8105 3 года назад +1

    Ongera sana ibra napia ongera sana kwa jeshi mungu azidi kukupa maisha maref uzid kusaidiya wangine

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 3 года назад +7

    Masha Allah harmonize God blesse you more l'm happy for you bro 😘😘😘🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯🙏🙏🙏

  • @mwanaidjuma804
    @mwanaidjuma804 3 года назад +21

    Dah kwl maisha ayana mwenyewe 🙏konde Allah azid kukupa lidhk na moyo uo uo kha ww ni Wa kipekee

  • @kellyyobaibe4027
    @kellyyobaibe4027 3 года назад +6

    Lakini asante mungu kumleta jeshi hivi nani angewashika mkono hawa dogo konde live long bro

  • @obirinaom9611
    @obirinaom9611 3 года назад +9

    🔥🔥🔥I love the humility of tiz chinga boy ibrah

  • @lucienlucienjean8833
    @lucienlucienjean8833 3 года назад +16

    Hongera sana chinga boy 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 года назад +14

    Mungu aweke mkono ktkt safari yenu,Inshallah 🤲🙏

    • @khalfaniyesu8912
      @khalfaniyesu8912 3 года назад +1

      Cha mana wanachokifanya nn, mpaka huseme insha,Allah. Halafu mnajiita waislamu, hatari.

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 3 года назад

      @@khalfaniyesu8912 sawa 🙏🙏

    • @beautiyahaya8933
      @beautiyahaya8933 3 года назад

      Mungu awazidishi nenma muendelee vizuri inshaallah

  • @jayz8720
    @jayz8720 3 года назад +27

    What I like about Ibraa, he handles interviews with maturity and articulates issues with sober mind.

    • @simondogtrainer7498
      @simondogtrainer7498 3 года назад +2

      I agree bro he is very smart and humble artist and he know how to handle the media

    • @kevinmoses9170
      @kevinmoses9170 3 года назад +1

      I totally second that bro

  • @maliqdapainkiller8203
    @maliqdapainkiller8203 3 года назад +20

    Ibraaah kasema "Boss ukienda kwenye kampeni, naenda na hili"

  • @gengeburudani2569
    @gengeburudani2569 3 года назад +30

    Respect konde boy i'm really like your spirits kweli wasiokupenda kazi wanayo

  • @marthabura2266
    @marthabura2266 3 года назад +7

    Konde boy mungu azidi kukubariki nakukuinua Zaid Hadi ushangaze dunia unamoyo wa kuwasaidia . Hicho ulivyofanya mungu anaenda kukubariki mpaka utashangaa .

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 3 года назад +27

    Hongera sana.Wote mmushukuru Diamond ,maana nyie ni wajukuu wa mondi aliemzaa harmo kimziki

  • @hamidadada6047
    @hamidadada6047 3 года назад +2

    Hongera sana konde kuwa na moyo huohuo Mungu akuhifadhi from kenya

  • @gracemamuu5937
    @gracemamuu5937 3 года назад +34

    Kuna tofauti ya kutoa kutoka moyoni na kutoa kwasababu ya show off au kiki au ukiwa na sababu flani itakayo kufaidisha wewe zaidi ....all in all congrats to ibra and the other guy

    • @peterelisha1828
      @peterelisha1828 3 года назад +3

      Wivu huo

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 3 года назад +1

      @@peterelisha1828 mie mwenyew sijamuelewa alicho maana nisha huyo aliye sema kiki au show of

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 3 года назад +1

      @@peterelisha1828 hujamuelewa wenda yani nusu anamkubali sasa sijui anamsema diamond au harmonize hapo ndiyo tumuulize

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 3 года назад +1

      Unamaanisha harmonize katoa kiki au show off au tumekuunga bila kujua unacho maanisha

    • @bellaharrietakinyiofficial
      @bellaharrietakinyiofficial 3 года назад

      😂😂😂za mondo ni za moyoni za wengine ni kiki 😂😂😂😂Binadamu jamani

  • @aishaali3693
    @aishaali3693 2 года назад +1

    Woow big brother mungu akuzidishie🙏🙏🙏

  • @evodiuswestone7831
    @evodiuswestone7831 3 года назад +7

    One love kwa Konde boy, maneno ya kejeli yanageuka kuwa baraka kwako kwa hyo shukuru wanapokukejeli wanakubariki

  • @rehemamutambo3174
    @rehemamutambo3174 3 года назад +15

    Woow!!!! Big brother

  • @jumamalungi9288
    @jumamalungi9288 3 года назад +6

    Nakubal jeshi 🐘 🐘🔥 🔥

  • @ramlathymicky6218
    @ramlathymicky6218 3 года назад +37

    Kondee wataka nilza jamnii 😪😪....Aisee sitokuacha 😍😍

  • @mashakashobo979
    @mashakashobo979 3 года назад +32

    Konde njoo kahama,,unapendwa sanaaaaa

  • @mashoplacky5582
    @mashoplacky5582 Год назад

    Amazing Good Heart MUNGU AMubariki

  • @pastorydaudi1388
    @pastorydaudi1388 3 года назад +17

    Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥☁️☁️☁️🔥

  • @nadianadiya447
    @nadianadiya447 3 года назад +1

    🥰🥰🥰🥰🥰 thank you harmonize umefanya kitu kizuli saana

  • @MctMct-tt4rq
    @MctMct-tt4rq 3 года назад +29

    YANI IBRAH ANAFURAHA UNAMUHIS KABISA MUNGU AZIDI KUMBARIKI IBRAH NA MPENDA HUYU DOGO MPOLE MSTARABU NA ANAIZAMU KUNYE KUONGEA HAPAYUKI OVYOO

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 года назад

      Unachosema nikweli yote isemayo anayo Mimi mwenyewe nampenda Sana Dogo alafu Hana majivuno wote sisi masikini kugawana riziki kawaida.

    • @MctMct-tt4rq
      @MctMct-tt4rq 3 года назад

      @@julihanjosephyjs6361 👍

    • @zenamadhan2517
      @zenamadhan2517 3 года назад

      Mungu aamkuze cz kiba atawatukana wote kisa n ibrah kutwaa king

    • @MctMct-tt4rq
      @MctMct-tt4rq 3 года назад

      @@zenamadhan2517 KUMBE NDO AKASEMA KING NI MOJA TU HAKUNA MWENGINE MPAKA AFE NILIKUWA SIJAJUWA KINACHOENDELEA HANA MPYA NAE KIBA UMRI UMEENDA ATULIZE MSHONO AACHIE WENGINE NAONA KWENYE INTYVUU YA CLOUD POVU LIMEMTOKA

    • @shazinafarida2913
      @shazinafarida2913 3 года назад

      Ibrah nakupendagaaaa

  • @happygidion5937
    @happygidion5937 3 года назад +30

    Hongera sana ,sana kazaneni jaman pongez kwa conde boy

  • @nurdeenmbalagane8864
    @nurdeenmbalagane8864 3 года назад +4

    Duh Mambo gani ya kulazimishana kulia hayo. Huo ni Umama wa kupitiliza Kulia siyo heshima Heshima ipo moyoni

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 года назад +10

    pamoja bro 🤝🤝🇰🇪🇰🇪

  • @ELISSKGTV
    @ELISSKGTV 3 года назад +54

    Woow, makofii ya konde gang

  • @amlimamouris..a9411
    @amlimamouris..a9411 3 года назад +17

    Katriwiiiiizeeeeeeeeeeeeeeeee
    KONDE GANG for EVERY BODY

  • @Frd646
    @Frd646 3 года назад +1

    Harmonize anaroha Safi kbs jamani namtakia long life

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 года назад +1

    Mungu akubarik kwa moyo wa upendo my brother

  • @jamalijimmy1447
    @jamalijimmy1447 3 года назад

    Captain mjeshi konde boy..mwenyezi mungu akujalie moyo wa imani .hao akina ibra bado wadogo xana zidi kuwaongoza vizuri na mwenyezi mungu atakulipa mbele ya haki.......
    jimmy hapa conde la mkunya newala

  • @tattukhonde9933
    @tattukhonde9933 3 года назад +8

    Big up konde💪💪

  • @neeysahbenson3467
    @neeysahbenson3467 3 года назад +18

    Can’t wait for their collaboration🥰😍

  • @ambrosemillanzi2208
    @ambrosemillanzi2208 3 года назад +35

    Huyu Konde boy baraa IBRA Now anamiliki Ndinga

    • @peterkorogwe3280
      @peterkorogwe3280 3 года назад +1

      Konde nom

    • @peterkorogwe3280
      @peterkorogwe3280 3 года назад +2

      Noma sanaaaaaaa

    • @tanzijida5621
      @tanzijida5621 3 года назад +3

      Ongera sana konde boy nawapenda wote pamoja na wageni wetu, usijari maneno yao eti ooo imeiga kwa mondi achana nao midomo Mali yao,inasemwa mimba aijulikani kama atazaliwa MTU au panya, baba pambana tena pambana uwaonyeshe Mungu awajaalie kila la kheri, piga kelele kwa konde boy pamoja Chinga boy pamoja na timu nzima ,weweeeeeeeeeeeeee kazi njema nawapenda woteeeeee

    • @ramadhanyusuph7633
      @ramadhanyusuph7633 3 года назад +1

      Noma sana

    • @ramadhanyusuph7633
      @ramadhanyusuph7633 3 года назад

      TEMBO MJESHIII SALUTI SANA

  • @juliamuthoni7534
    @juliamuthoni7534 3 года назад +11

    So emotional ibraah-tz umeniliza

  • @neeysahbenson3467
    @neeysahbenson3467 3 года назад +6

    Nimelia kwaajili ya Ibraah 🥺😭 god bless you konde

    • @edmundndomba8178
      @edmundndomba8178 3 года назад

      Safi kijana mwenzangu huo ndio uungwana kusaidia vijana wenzako mungu atakujalia kwa hayo unayofanya

  • @hadija846
    @hadija846 3 года назад +9

    IBRA nakapenda Yaani kapole sana🙏🏼
    Kombe wangu Pamoja sana wakati wote na salamu kwa wifi yangu Sarah💞😍🙏🏼👍

    • @hadija846
      @hadija846 3 года назад

      Asante sana wapendwa Pamoja sana kwa Harmonize na mwanawe IBRA🙏🏼😍

  • @elmonndunya4861
    @elmonndunya4861 3 года назад +3

    amazing and loving it

  • @hellenkanyambu2280
    @hellenkanyambu2280 3 года назад +4

    Happy 4 ibraah

  • @officialminamsouth1923
    @officialminamsouth1923 3 года назад +14

    ❤️ hongera sana ibraah

  • @Sports_zone5
    @Sports_zone5 3 года назад

    Inapendezaa broo waunge mkono GOD bless you (kondeboy)

  • @billydagga8266
    @billydagga8266 3 года назад +2

    Safi bro mm kwanza Tim kiba ila napenda ushindani umetisha wafanye vijana wafike mbali xana

  • @margaretthe7932
    @margaretthe7932 2 года назад +1

    God bless you, my brother 🙏

  • @samjoseph6032
    @samjoseph6032 3 года назад +6

    Konde unamoyo Wa utuu nakuombea uzid fanikiwa ili mzikiwetu ukue zaid asante

  • @lucasmollel2522
    @lucasmollel2522 3 года назад +16

    You did something amazing bro

  • @kane_tzkaneboy3877
    @kane_tzkaneboy3877 3 года назад +10

    Daah mbona utamu jaman

  • @janetwawira5673
    @janetwawira5673 3 года назад +14

    Ibraah miaka 20 na anamiliki gari tayari

  • @paulandrew3048
    @paulandrew3048 3 года назад

    Nice saying bro hongera sana

  • @leonard3821
    @leonard3821 3 года назад

    That's so nice and brilliant✌

  • @razzo1287
    @razzo1287 3 года назад +5

    Y prince RUclips Brand music for life

  • @angesnasimiyu94
    @angesnasimiyu94 2 года назад

    Umbarikiwe Sasa na mungu

  • @dancankamili1234
    @dancankamili1234 3 года назад

    Hongera sana harmonize mola akujalie uzidi kutamba

  • @zainaandriae1896
    @zainaandriae1896 2 года назад

    Naomba Mungu msikosane please tena🙏

  • @irenemsumba6776
    @irenemsumba6776 3 года назад

    Konde mungu akuongezee najua utafika mbali

  • @fatihiarajabu380
    @fatihiarajabu380 3 года назад +1

    Kiukweli konde boy ni mtu mwema mungu amubaraki sana

  • @dinnahdan3598
    @dinnahdan3598 3 года назад +5

    Much congrants harmonize nyieeee mnaocoment ujinga mkalalee😂😂😂

    • @mozeouko2489
      @mozeouko2489 3 года назад

      kila m2 anawazo lake ucforce kufanan cha msing heshim wazo la mwenzak

  • @kayembesaidi9949
    @kayembesaidi9949 3 года назад +5

    Good music

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 3 года назад +1

    Upendo ndiyo silaha wadogo zangu kazeni mwendo mvune vitu vitamu naamin palipo wawili au watatu Mungu anasikiliza maombi yenu ❤🔥🤲

  • @rajabsalum618
    @rajabsalum618 3 года назад +7

    Good bless me and konde geng🔥🔥🔥

  • @joycefilbert5676
    @joycefilbert5676 3 года назад +7

    Baraaah

  • @velocitykerubo3328
    @velocitykerubo3328 2 года назад

    Woooow 👏👏👏 congratulations konde boy

  • @aishadinya408
    @aishadinya408 3 года назад

    Konde boy Mungu akuongeze zaidi kwa moyo mzuri ulio nao

  • @judiththobias3234
    @judiththobias3234 3 года назад +11

    Sifaaaaa mbayaaaa sanaaaa

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 3 года назад +5

      Wivu utakuuwa

    • @patrickjackson1857
      @patrickjackson1857 3 года назад +3

      Wivu huo

    • @judiththobias3234
      @judiththobias3234 3 года назад

      Noooo ipo day utakumbuka usemi wangu

    • @ashirafumohamedi1375
      @ashirafumohamedi1375 3 года назад +2

      @@judiththobias3234 mungu akusamehe acha roho mbaya pengine ww una ata boda ili upate acha wivu kinacho kuhuma wamepata kukuzidi

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 3 года назад

      Si anaekeza hpo nd mana itamlipa chid na kill kuimb wanajua

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 3 года назад

    Hongera sana jeshii

  • @WatnesKazadi-bm2ml
    @WatnesKazadi-bm2ml Год назад

    Respect konde geng one yes

  • @saidibaruwani5602
    @saidibaruwani5602 2 года назад +1

    Sema ibraa unazinguwa ukajuwa zawad ya ubwabwa na marage

  • @dotomohd9156
    @dotomohd9156 3 года назад

    Barikiwa sana konde boy aiiiii. Amah

  • @asaaomar4315
    @asaaomar4315 3 года назад

    Hongera ibra nakupenda

  • @ndayiragijedesire9036
    @ndayiragijedesire9036 3 года назад

    Jeshii mozambique tiamo por ter bom coraçao de adjuodar

  • @ommiyyunnus3364
    @ommiyyunnus3364 2 года назад

    mungu mjalie konde boy

  • @mullahkaposo6663
    @mullahkaposo6663 3 года назад +16

    Hata SIMBA uko aliko akiona izi video za KONDE bila shaka anasema " Huyu kijana ana mbwembwe mno".😀

    • @hassanihanzel
      @hassanihanzel 3 года назад +1

      Kiukweli🤣🤣🤣

    • @nebosalatiely1435
      @nebosalatiely1435 3 года назад

      😂🖐️sanaaa

    • @nebosalatiely1435
      @nebosalatiely1435 3 года назад +1

      anashindana kwa nguvu

    • @janethgood9213
      @janethgood9213 3 года назад

      Hayo mawazo yetu wabongo ila mzazi mzuri ni yule anaezaa mtoto na kumlea vizuri na kumfundisha vzr na baadae ayaendeleze hivyo hata konde boy anayaendeleza Yale mema aliyofundishwa na daimond kwaiyo Kama mbwembwe alizianzisha bond konde anamalizia

  • @fezzyfelix1208
    @fezzyfelix1208 3 года назад

    Kazi nzuriii

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 3 года назад +1

    So much love

  • @sabrinajackson6225
    @sabrinajackson6225 3 года назад

    Big up sana ila towa kwa moyo siyo kushindana na baba yako

  • @user-gd1bs3mr2g
    @user-gd1bs3mr2g 11 месяцев назад

    Umetisha mwamba

  • @halloummasuod3722
    @halloummasuod3722 3 года назад +9

    🔥🔥🔥🔥👏

  • @ellychales5156
    @ellychales5156 3 года назад +1

    Mtachonga sana huyo ndio jeshi hakuna ubishi

  • @princesstatiana1016
    @princesstatiana1016 3 года назад +4

    Congratulations

  • @abdallahismail6898
    @abdallahismail6898 3 года назад

    Safi sana inapendeza

  • @salimubilaly3909
    @salimubilaly3909 3 года назад

    Nakukubali sana tembo

  • @zawadimasula6253
    @zawadimasula6253 2 года назад

    Hongera

  • @Rhama-ey1ky
    @Rhama-ey1ky 2 года назад

    Big up kwenu

  • @joelntiranyibagira7960
    @joelntiranyibagira7960 2 года назад

    Kondeboyi Mungu amubarikisana

  • @baqaryamry3415
    @baqaryamry3415 3 года назад

    Big up broo

  • @manawaapolinali1015
    @manawaapolinali1015 3 года назад

    Nakubali sana

  • @charlesnduwamungu3869
    @charlesnduwamungu3869 3 года назад

    Respect full kond gang

  • @kelvinbazir5454
    @kelvinbazir5454 3 года назад

    Nakubali wazee wakaziiii

  • @vinesofyore5735
    @vinesofyore5735 3 года назад +1

    These young boys are being ushered into the world of occultism I pity them.

  • @mwinyikivilagwa6968
    @mwinyikivilagwa6968 3 года назад +1

    Gud never gv up

  • @teddylameck21
    @teddylameck21 2 года назад

    Uyu kaka pic kal yani Konde boy amejishikia zake kajui tu ungemkuta Daimond hapo angekuwa anavuta mishisha kuwapulizia watu dah😀😀😀😆

  • @dennisambuche780
    @dennisambuche780 3 года назад

    Good work

  • @ngonwizzy9658
    @ngonwizzy9658 3 года назад

    Jeshiiiiiiii nomaaaaa

  • @rajabuhassan4678
    @rajabuhassan4678 3 года назад +1

    Et wanasema konde boy anamisifa mi napenda jins anavyonesha kuwajal watu wake big mzee fanya yko acha waongeee

  • @litta9538
    @litta9538 2 года назад

    💥💥💥💓Ibraah 😍

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 3 года назад

    Pamoja sana

  • @safariadrien5348
    @safariadrien5348 3 года назад +2

    Sasa Uyo country boy yaani miaka yote iyi Hana usafiri

  • @khadijismal6309
    @khadijismal6309 3 года назад +1

    Boss 🙏