"Nimezaa na IBRAAH/Nilikua SIMPENDI/HARMONIZE/Mimi sio KONDE GANG "Mama mtoto wa IBRAAH Afunguka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 141

  • @jumamwandai3941
    @jumamwandai3941 2 года назад +10

    *Mtangazaji ww ni wa motooo kinoma mwanangu...!!! Unaupigwa mwingi sanaaaa 🔥*

  • @samsunggalax8258
    @samsunggalax8258 2 года назад +7

    Mashallah handsome boy mtoto mzuri sana

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 2 года назад +18

    Wee unasafiri Dubai na S. Africa. Bado unadai matumizi ya mtoto!!!! Unatia aibu sana sio mwanamke material, hebu muangalie Hamisa mwanamke wa shoka.

    • @meshackmnyagwea3054
      @meshackmnyagwea3054 2 года назад

      Yaan ww ataa hueewii kwani kabla ya kukutana na IBRA si alikuwa anafanya kazi zake Dubai na sehem nyingine kwani yy ni mke wa IBRA

    • @terashangwe255
      @terashangwe255 2 года назад +1

      Mnajisahau sana umesahau kua Hamisa amewahi kwenda mpk mahakamani

  • @darkbin9578
    @darkbin9578 2 года назад +16

    Kweli huyo malaika wanafanana na Ibraah,,,kwanza macho😅😅😅kama unakubaliana na mimi nipe like👌

  • @dechamatatala3101
    @dechamatatala3101 2 года назад +5

    Mtoto amefanana na ibrah aisee😂😂

  • @annabadru2352
    @annabadru2352 2 года назад +4

    Daaaaaa dada mzuri huyuuu Hongera unaongea vzr sn

  • @juma_xo
    @juma_xo 2 года назад +10

    She so cute 😍😍😍

  • @leonardsamwel7653
    @leonardsamwel7653 2 года назад +1

    NAMPA PONGEZI KONDE BOY NA VANNY KWAKUUNGANA BIG UP TO All

  • @justinog3105
    @justinog3105 2 года назад +9

    Aongee ukweli maana Ibraah ikishakubali mtoto najua vipolo vitapashwa liweliwalo

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 2 года назад +5

    Huyu dada ni mkweli mashallah

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 2 года назад +8

    ila dada mzuri mashaallah

  • @nurdinshehoza4854
    @nurdinshehoza4854 2 года назад +5

    Friends with benefits,,, hiii kaul ni tata san. Manzi ako akitamk hvyo tyu jua ni jau

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 2 года назад +2

    Ila wadada ninyi jaribini pia kujiheshimu.... na kujitegesha ni shida, haya jitegesheni tu ... miaka inapita kuna siku ntajua sura zinagima... zikigoma utajua brandi yako itafika mwisho ndio mtajua , hamjui.... mwanamke anaongea kama cherehani.... umalaya kazi kweli ila kuna siku wakichoka tutakumbushana.... na wewe Ibra tafuta mahali sahihi... msizae hovyo.

  • @samwelimtegandi1119
    @samwelimtegandi1119 2 года назад

    Mko fresh wanayutube

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 2 года назад +24

    Sasa kama una mahusiano ilikuaje Ibra akawa baba mtoto wako wakati unasema uko na mahusiano ? .DNA faster ndo tujuwe mbivu na mbichi .

    • @sakinaamani1486
      @sakinaamani1486 2 года назад

      Jibu mtto ibra mtupu dn a ya nn na amebadilika sabbu ya huyu odemba ana muigopa ndo atamuharibu huyu mtto ibra

    • @elybrayden453
      @elybrayden453 2 года назад

      Kwer

  • @merinakassembe4251
    @merinakassembe4251 Год назад

    Hatawewe upswing na hamonize piakajiuza Dubai south halafu anadanganya ya. Lbra

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 2 года назад

    like father like son

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 2 года назад +7

    yaan kiukweli wanawake pisi kali aliewanyima akili vichwani mwenu ndo yule yule aliewanyima handsome boys pesa kiukweli huwezi kua na akili timamu ukaja kumuanika mitandaoni baba mtoto wako kwa kufaidisha walimwengu😂

  • @vumiliakilosa4548
    @vumiliakilosa4548 2 года назад +1

    Ila wanafanana na ibrah

  • @kelvinkonde5526
    @kelvinkonde5526 3 месяца назад

    1:26 konde music wadwad😂😂😂

  • @christian6191
    @christian6191 2 года назад

    Uyu binti ni mrembo Sana aje Congo tuta mjali sisi

  • @raphaelbybintyga5471
    @raphaelbybintyga5471 2 года назад

    Cool sana

  • @rutumoahmedy8858
    @rutumoahmedy8858 2 года назад

    Sio support ni sckot

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 года назад +1

    Mpaka huruma anavojieleza mimi sudisubutu hata niwe na shida

  • @bensonfrancis5599
    @bensonfrancis5599 2 года назад +2

    Mtoto anafanana na ibra

  • @sumuyao4445
    @sumuyao4445 2 года назад +5

    Eti kupasha kiporo 😂

  • @chachadalton3985
    @chachadalton3985 2 года назад

    Ibra akubari mwana wake bwana

  • @esthermutabuzi4582
    @esthermutabuzi4582 2 года назад +11

    The baby looks like Ibraah so what's the problem...alee mtoto wake 😕

  • @فاطمةجوهر-ر8ش
    @فاطمةجوهر-ر8ش 2 года назад

    Wa bongo munapenda kuzalisha nawanaume wengi sasa ww ulikua nawanaume wawili utajuwaje niya ibrah

  • @pauljr9956
    @pauljr9956 2 года назад

    She is beautiful

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 2 года назад

    Madanga nayo yana wanasheria...wansmziki wa kibongo punguzeni tamaaa zenu.... mnapoharibu ni hapo tu... tafuteni wanawake ambao watawasupport kwenye kazi zenu... mtaaharibu brand zenu kwa kuhangaika na nyapu . Nawahakikishia kama hamtakaa vyema kwenye siala la mahusiano.. mtafeli.. trust me .

    • @gabrielmdem4271
      @gabrielmdem4271 Год назад

      Ivii huyu ni danga ety dubai dubai mara sauthi afrika maskini anaonekanaaa Kwa machooo

  • @hamisisaidi4357
    @hamisisaidi4357 2 года назад

    Dada yuko vizuri hana shobo

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 года назад

    Unasafiri sana

  • @ahmedtaribo6352
    @ahmedtaribo6352 2 года назад

    Aisee ni karembo

  • @janemhango5884
    @janemhango5884 2 года назад +3

    Kiki na miriam

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 2 года назад +2

    Hatari

  • @taharamohd2515
    @taharamohd2515 2 года назад +3

    Uyu mtoto Ni wa ibrah

  • @juliusmlawa4036
    @juliusmlawa4036 2 года назад +1

    Nimekupenda bure

  • @Kenzobeatz2019
    @Kenzobeatz2019 2 года назад +3

    Cheeee tamaaa izooooo

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 года назад +7

    Huyu Dada anaenda Dubai China before sauthafrika Unajuaje lbra kabambikiwa Ni better lbra nenda wewe na girl friend Miriam nahuyu dada mkacheki DNA akiwa wako mtunze

    • @joleal7941
      @joleal7941 2 года назад

      Mutoto kafanana chinga wapim nini ten

  • @masikaiselte9876
    @masikaiselte9876 2 года назад

    Bien

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 года назад

    Umejidhalilisha ungetafuta njia bora ya kumpata Dubai unadai tu maziwa

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 2 года назад +1

    Mtoto ni ibra mtupu

  • @merinankullua5874
    @merinankullua5874 2 года назад

    Sasa kama ulikuwa humpendi kwa nini ulizaa naye ,Du ,

  • @YahayaYahayamusa-w6w
    @YahayaYahayamusa-w6w 10 месяцев назад

    Sorry broo harmonize anachia sangap nyimbo Mpya

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 2 года назад

    Hichi ibra chenyewe kishapenda mapenzi ya dda zake kibaya cna kima penzi

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 2 года назад +1

    aisee mbona huyu dada sasahivi kawa mbaya daah kweli kuzaaa kume mmaliza hana tena cha PISIKALI

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 2 года назад

      Kweli kuzaa shuhuli ila bado kazir

  • @igweemrisho1158
    @igweemrisho1158 2 года назад +2

    Hatar

  • @sumuyao4445
    @sumuyao4445 2 года назад +3

    Wakubali wakatae habari ndohio

  • @salmatwalib145
    @salmatwalib145 2 года назад +12

    No professionalism in your work at all. Maswali ya kisenge tu🙄

  • @barakasondeka5414
    @barakasondeka5414 2 года назад

    sawa

  • @yasintajames2214
    @yasintajames2214 2 года назад

    Anatumia jina lipi instre

  • @gradnessmark4786
    @gradnessmark4786 Год назад

    Mtot kafanana na Ibra jmn daaah kazur🥰🥰

  • @saidiabdallahhamadi9400
    @saidiabdallahhamadi9400 2 года назад

    Kweli dada

  • @emmanuelsoka6219
    @emmanuelsoka6219 2 года назад +1

    Ila hayo macho ya ibrah kabisa

  • @eagleabas6207
    @eagleabas6207 2 года назад +1

    mtoto anamfanana ibraah🙄🙄🙄🙄

  • @abasisharo5562
    @abasisharo5562 2 года назад

    Ww muongo sana unasema ulimuacha alafu mtoto unasema wakwake

  • @joleal7941
    @joleal7941 2 года назад

    Uyo mutto ana fanana na chinga hakun ubushi hapo

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 года назад

    Kwani vipi mbona mnatuchanganya ibrah anawatoto wangapi sasa

  • @marthaseme2811
    @marthaseme2811 2 года назад

    Ig unatumia jina gan saaaa

  • @naprahbuggatty7732
    @naprahbuggatty7732 2 года назад

    Kwa sura iyo ibra pole yake kukataa anajiza lilisha

  • @geoffreyjonasgombe9601
    @geoffreyjonasgombe9601 2 года назад

    Wadada ndo mlivyo mkiona mtu kainuka basi mapendekezo mengi sana fanya kazi

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 года назад

    Hata yeye anapesa

  • @scoutsmaybe4708
    @scoutsmaybe4708 2 года назад

    Mtot mdogo lkn tayar unamausiano mengine😂

  • @modestersalmon7764
    @modestersalmon7764 2 года назад

    Huyu mtoto anamfanana Ibra kiukweli ni wake

  • @fidelix4873
    @fidelix4873 2 года назад +1

    Watakuwa wanakatana kwenye mshahara uko uko 😂😂😂

  • @selemanijulius881
    @selemanijulius881 2 года назад

    Acheni umalaya kazi yanu kujipendekeza tuu

  • @tanzanialivenews509
    @tanzanialivenews509 2 года назад

    Ibraah ww kapime DNA kwanza

  • @christophergeorge5490
    @christophergeorge5490 2 года назад

    Huyu Dem anacheza 4:4:2 hapo baba wa mtoto ni ibra ila ana mahusiano zaidi ya 3 kitaumana

  • @musashauli3439
    @musashauli3439 2 года назад +1

    UKIPATA HELA MADEMU WAZURI WATAKUFATA TYU😃😃😃

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 2 года назад +7

    Haka kaibraah anaonekana yuko vzr kitandani

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 года назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂Kusini kwetu mambo ya sita kwa 6 tupo vzr

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 года назад +1

    Huyu Dada vipi kwani sasa kinachokufanya ulalamike kuhusu mtoto ni nini na upo na mwanaume mwingine nyie wabongo mnanini acheni ujinga bhana

  • @faridadumasalhathoseni
    @faridadumasalhathoseni 2 года назад

    Kiukweli wewe dada nimekupenda mno

  • @salamaseif4183
    @salamaseif4183 2 года назад +6

    Uyu dada ni mkweli Hugo mtoto ni wako

  • @123kerim23
    @123kerim23 2 года назад +6

    Nachoweza kumshaur dogo ibra atake dna kam boss wake anavyoshaur kam haamin janja ni wake maan wanawake sasa hiv wako after money ukizubaa kidgo wanakufanya kapuk..

  • @NasmaMohammed-g3l
    @NasmaMohammed-g3l 8 месяцев назад

    😢😢❤❤❤❤❤ld❤

  • @stevenkapugi4209
    @stevenkapugi4209 2 года назад +2

    Ahahahah uongo huo hizo ni kiki tu

  • @sabinashabani1165
    @sabinashabani1165 2 года назад

    Huyu nikicheche

  • @hossenmuhaji9471
    @hossenmuhaji9471 2 года назад +1

    Nikimuangalia mtoto ,ibra au chinga jua damu nzito kuliko maji

  • @sammymwita4487
    @sammymwita4487 2 года назад

    Wazii

  • @swagamaman2682
    @swagamaman2682 2 года назад

    Wamefanana na baba

  • @dynessminja9284
    @dynessminja9284 2 года назад +4

    Sasa hapo si utakuwa ushachanganya damu sana hizo miezi karibu 7😂😂😂 maana wewe unasema baada ya kwenda south ndo ulijiona hukuwa sawa na ibraah mkapigana block, afu unatoa siri za watu😂😂😂

  • @cyrusasila9259
    @cyrusasila9259 2 года назад

    🐘🐘

  • @upendoelia-b7x
    @upendoelia-b7x 3 месяца назад

    Kama mtoto ni wake mtafute muongee kunahaja gan yakuyasambaza mtandaon hiyo sio akili haujengi bali unabomoa kuwa na akilii

  • @john-wesleymutaba6137
    @john-wesleymutaba6137 2 года назад

    Good

  • @mwafrikaissa491
    @mwafrikaissa491 2 года назад

    Guud

    • @marthaseme2811
      @marthaseme2811 2 года назад

      Alaaaah kumbe friend for benefit Sasa unalalamika nn jmn😃

    • @shafiishafii4630
      @shafiishafii4630 2 года назад

      Kwamimi ninaye mjua ibra mtoto wa mwachani,huyo mtt ni wa ibra

  • @hassanomari3157
    @hassanomari3157 2 года назад +3

    Huyu Malaya tunamjua hana lolote anatafuta kiki

    • @simbawateranga7020
      @simbawateranga7020 2 года назад

      Ukiangalia picha zake insta aibu afu ukilipa 20,000 linakupa picha lipo uchi malaya mbwaa😁😁

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 2 года назад

      Oya, anaitwa nani insta?

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 2 года назад

      @@simbawateranga7020 anatumia jina gani

    • @marthaseme2811
      @marthaseme2811 2 года назад

      Anatumia jina gani mweee

    • @poppajrzimbwe1906
      @poppajrzimbwe1906 2 года назад

      @@rich.kizza10 clynarsugar

  • @ndyetafilimoni7819
    @ndyetafilimoni7819 2 года назад

    Vp

  • @selemanijulius881
    @selemanijulius881 2 года назад

    Nyinyi mnasema mzuli mzuli gani malaya tuu huyo

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 года назад

      Mwanamke akiwa mweupe watu ndio husemaga mzuri. Wasenge

  • @mxaficlassicke
    @mxaficlassicke 2 года назад +2

    Wabongo nyie 😂 bna ukane damu sio utu jamen 🤦‍♂️

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 2 года назад

    Nika rembo ibra achukue

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 2 года назад

    Hebu lea mwanao bwana wewe. Endelea na biashara yako Dubai utapata stresses bure wanaume hao nenda Dunai kadange umsomeshe mwanao hiyo ndio biashara. Wacha kujidhalilisha. Kuna siku utakaa na utakuta haya unayoyafanya yanakujutisha Bora ungenyamaza. Mwanamme akikuonyesha dharau maana yake amekufikiria vibaya labda mtoto anababa wengi.

  • @فاطمةجوهر-ر8ش
    @فاطمةجوهر-ر8ش 2 года назад

    Ulichepuka namwana ume mwangine hivi

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 2 года назад

    Huyu mwanamke nimalaya mbwaa.. Yaan kama unahela kuanzia 50,000 unajilia tu kwa moaomfahamu ambae hajamkwich niwakuhesabu mond kala yaan

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 2 года назад

    UNBROKE... OKAY MAMA UNBROKE 😂😂🤡🤡

  • @richlymo
    @richlymo 2 года назад

    Ibraa liwalo na liwe atujalachamtu

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 2 года назад

    mnakulana nyie😝😝

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 2 года назад

    Anasema hua anasafiri muulize hua unafata nin

  • @002RYE
    @002RYE 2 года назад

    😀😀😀

  • @ramalukua9525
    @ramalukua9525 2 года назад

    Dogo anayumba