SHETANI HUWAGA HAKAI KUZIMU NI UONGO ANAKAA ENEO TOFAUTI NA KUZIMU
HTML-код
- Опубликовано: 10 дек 2024
- #specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.
ZABURI 119:130
Kufafanusha maneno yako kwatia nuru na kumfahamisha mjinga
ZABURI 119:11
Moyoni mwangu nimeliweka neno lako nisije nikakutenda dhambi
Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo. asante sana kwa mafundisho mazuri, mimi pia nina swali hapa, swali lenyewe ni hili hapa. Mtu akifa watu huwa wanasema, Mungu ndiye aliyempenda zaidi kana kwamba Mungu ndiye aliyeuwa! Pia watu wanasema mtu hafi kablaya siku iliyopangwa na Mungu, sasa je kama Mtu hafi kabla ya siku aliyopanga Mungu, kwanini watu wanashutumu wachawi kwa vifo vya ndugu zao! na je mtu kweli anaweza kufa kabla ya siku ya kufa kwake?
Isaya 14:13-15
13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
14 Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.
15 Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.
Kuzimu si ulimwengu, mana Mungu aliumba ulimwengu mmoja, ama kwa jina la Dunia, kuzimu ni moyo nchi ama moyo wa Dunia, na ndomana hata YESU kristo ili mlazimu afe ndipo ashuke kwenye moyo wa nchi.kuzimu si ulimwengu
Jiangalie sana sana hayo unayoyasema. Usiangalie visifa sifa unazopewa. Itakugharimu mwishoni. Nakuomba tu acha mihadhara yako ya RUclips. Tafuta ufalme wa BWANA MUNGU YESU KRISTO. Nasi ujuaji usio leta UZIMA na UTUKUFU kwa BWANA MUNGU WETU. Napenda sana tufike sote mbele za BWANA WETU YESU KRISTO
Ufike mbele ya yesu ita kuwafundisha watu ..jitowe kwaajili ya watu ..co kuleta vitisho
Isaya 9:15
Mzee mwenye kuheshimiwa ndiye kichwa, na nabii afundishaye uongo ndiye mkia.
Mwalimu Leo umechemka. Hakuna Kumbe shetani. Shetani Ni sifa fulani za Kiumbe. Mungu kaumba majini na watu. Hivo majini na watu waovu Hao ndio huitwa shetani.
Mwalimu tafadhali jifunze zaidi kujua nini shetani
🎉Amina
Hakika ww ni mwalim
Uko vizur mwalim mwakilembe saf sana kama vile d n a zinaendana
Nikweli kwaniata kuisoma vizuri mwanza2=1- kumustari unasema Mungu alipotenganisha maji na majisi yaana majiyajuu nayanichi hiyosemu yakati aliita mbingu. Kwahiyo mbingu nikuanzia semu laanga kwanzia tukanyagapo mpaka yalipomaji yaangani. Shukrani kwaelimu mwalimu
Hakuna uongo huo space X hazijawahi kumliza universe yote
Kweli kabisa
Mpinga Kristo kazini
Mathayo 15:14
Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
Mtumishi nko na swali Tata.... hivi yesu ni mwana wa mungu aliyezaliwa na Mary...binadamu kamzalia malaika..ila wale malaika waliozaa na binadamu wamefungiwa pahali(majitu). Fafanua nielewe...
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
H😅
Tumsifu Yesu kristo Naomba kuuliza,,,mavazi yampasayo mwanaume ni yapi na yampasayo mwanamke ni yapi? Naomba ufafanuzi.
Ndugu jibunilahisi2 mavazi unayoyaona watu wanakuwa wamevaa msibani yanakuwasahihi siyo yanayovaliwa hukomtaan
@@zakayombuba8953Big up. 100%.
Mwalimu shetani ni kiumbe kilichomuasi mungu aidha ni majini au watu hata mtu akiz8d8sha kufuru kama firauni bila kutubu basi hufikia ushetani na hao shetani walokufuru na kulaqniwa alikuwa ni jini alikataa amri ya mungu
Petro 1 . 13 .19 yesu aliuwawa ili atulete kwa mungu. Jamani mbona mnapenda sana porojo? Mtaaacha porojo? Atulete kwa mungu 😂gqni tena na yeye ni mungu? Benson nawe Acha porojo. Shetani ni sifa sio kiumbe.
Mwl umesoma kozi gani zinazofanya uweze kuchimba ivyo vitu . Nipe siri namimi .
Hizi media zinachukua watu kuwahoji hali ya kuwa wao hawana wanachokijua hivyo hata wanashindwa hoji maswali yenye mantiki au kutengeneza hoja juu ya maelezo ya muhusika na sasa imekuwa kila mtu anapata airtime kisa tu anaweza ongea
Naomba ni hulize ivi kuzimu hiko wapi huko shetani anakaha
Mbinguni ni mbinguni.Ulimwenguni niulimwengu nipamoja nasayarizote tuzionazo ikiwemo nadunia natuzizoziona kwaumbali.hatatukitumia vipimo vyetu vyasayansi Mbingu ilikuwepo ikiwa kwa imani nimakao yaMungu hakunabinadamu mwenyekujitutumura eti yeye anaelewa na anaongea nawenye akilitu huoniudhaifu wa akili kujiaminisha kuwa hayamambo yaMungu ambayodinizote zinafundisha ni imani kwamaana amini usiamini Mungu yupo inakujaje wewe mambo yakiroho unayajuakuliko wote? wakati ni Imani? amawewehujui maanaya imani inaonyesha Nyerere siyomjinga aliyesema hata anaye amini Mti kuwa hapondiyokunaMungu wake hiyoni imaniyake huwezi ukamuitamjinga wewe huenda ndiye unamapungufu .
Hata ukikaa naye kwako Haina ubaya ubwege
Mbona yesu Alipaa mbinguni na mwili wake?
SASA NDIO ANAANZA KUWAELEWA WALE JAMAA WANAO JIITA WACHOKONOZI KUHUSU HILI SUALA LA KITU KINACHOITWA DINI NA MBINGUNI.
Aliyeweka mguu wake kwenye mchanga wa bahari ni nani? Pia .Mwl elezea pia hizo dimension(kuzimu) Elezea vizuri zaidi kuhusu anga.Mtu anawezaje kutawala anga? Tafsiri vizuri zaidi kuhusu mawimbi.
Lakin kumbuka yesu alipaa mbinguni, na mwili wake wa nyama, japo huko mbinguni Kuna viumbe wa roho, mim nafikiri hata kuzimu ni location tu kama kulivyo mbinguni.
Kuna miili ya Mbinguni na miili ya duniani. 1Wakorintho 15:40, 50.
Sasa mwalimuu mbonaa kama mashuuda wa kifrimasoni wanasema Wana shukaga kuzimu
Kuzimu Kwa mjibu wa biblia ni mahali pa wafu sio makao makuu ya Shetani.