Naam MWALIMU Sheikh Alhad ameifanya kwa ukubwa sana kazi ya dini na katika kuthibitisha hilo mimi nimebahatika kuhudhuria darsa zake kadhaa alizokua anakuja kufundisha Morogoro, Mwenyezi Mungu ajaarie makazi yaliyo bora peponi AMIIN
Nathibitisha yote aliyasema Shk. Adam Ahmed Abdalla ni ya kweli. Nami nampa pole kwa kuondokewa na Nduguye Shk. Alhadi Omar Kawambwa, Mungu amlaze mahala pema peponi. Ni pole kwetu sote na ni msiba mkubwa. Wakati walipokuwa Aljamiatul Islamia hapo lumumba st. Tulikuwa sote ikiwa ni kati ya mwaka 1955 hadi takriban 1958
History nzuri
أللهم اغفر لهم وارحمهم برحمتك يا أرحم الراحمين
Allahummaghfirlahu warhamhu
Masha allah mungu atakulipaa heri skh ada
Allahumafhfirlahu
Allah ampe jannat firdous unle alhad ameen yaarab
Allahumma AMIIN
Naam MWALIMU Sheikh Alhad ameifanya kwa ukubwa sana kazi ya dini na katika kuthibitisha hilo mimi nimebahatika kuhudhuria darsa zake kadhaa alizokua anakuja kufundisha Morogoro, Mwenyezi Mungu ajaarie makazi yaliyo bora peponi AMIIN
Allahumma AMIIN , Yaa Rabii Kuna Haja ya Kumuenzi kwa VITENDO sheikh
Aaamin
Allahumma Aamin
Allah ampe makazi mema ya pepon nasi atujaalie mwisho mwema kwa huruma yake
Allahumma Amiin
ماشاء الله
Nathibitisha yote aliyasema Shk. Adam Ahmed Abdalla ni ya kweli. Nami nampa pole kwa kuondokewa na Nduguye Shk. Alhadi Omar Kawambwa, Mungu amlaze mahala pema peponi.
Ni pole kwetu sote na ni msiba mkubwa.
Wakati walipokuwa Aljamiatul Islamia hapo lumumba st. Tulikuwa sote ikiwa ni kati ya mwaka 1955 hadi takriban 1958
😭😭😭
Shukran kaka kwa ripoti
Ila tunakishauri kitaalamu unapokua mbele ya kamera icheki ile kamera ili kuzungumza na watazamaji baarakallaah fiika
Shukran saed
Tunaomba na historia ya sheikh Hassan bin Ameir
InshaAllah
Mbn umetupunja habeeeb
ALHABIB Part 2 Inakuja InshaAllah
@@alameentvTz In Shaa Allah...Tunasubiria Part 2 Al Habib
Maashallaah
Habib Zinakuja Zote Dua zenu Mambo yazidi kuwa mepesi
Kafundisha pia msasani chuo cha kibuyuni kule karibu na bahari miaka 1980 kama hivyo