UJENZI WA TUTA KUU - BWAWA LA KUFUA UMEME LA JULIUS NYERERE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии •

  • @tonitonito90
    @tonitonito90 3 года назад +13

    Jpm alikuwa ni mbeba maono ya nchi Tanzania sasa ametuachia alama kubwa sana kwenye historia ya Nchi hii

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 3 года назад +12

    Kwa kweli!!!!!
    Kama ndoto!!!!!
    Ama!!!!
    Duuuh!!!!!
    RIP JPM!!!!!

  • @jamesjulius5057
    @jamesjulius5057 3 года назад +13

    R.I.P JPM

  • @ericadelard4730
    @ericadelard4730 3 года назад +11

    Mzuri ile fanyeni video za dakika 10 pliz tunataka kujua mengi

  • @eazyentertainment5570
    @eazyentertainment5570 3 года назад +7

    Tanesco mnafeli sana toeni update ya mradi kwa ukubwa kama alivyokua anatoa mwanantala kwenye SGR sio simulizi ya ramani ya mradi, semeni nini kinaendelea mradi umefika wapi,

  • @laeutusmwombeki6057
    @laeutusmwombeki6057 3 года назад +2

    Namiss issue kama hz tulizoea kuona mara SGR, mara miradi mikubwa mikubwa ila sasa Dah..so sad yan..

  • @tarikkassim8207
    @tarikkassim8207 2 года назад

    Hongera Tz

  • @mihambokayj5854
    @mihambokayj5854 3 года назад +1

    Kazi ya JpM

  • @FabianMbughi-qb8jw
    @FabianMbughi-qb8jw Год назад

    Mungu akupumuzi shesalama

  • @Abounaumaan224
    @Abounaumaan224 3 года назад +2

    Unene wa Ukuta ni mita 100 kwa chini... soma hiyo Injinia...🤣🇹🇿🤣

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 3 года назад

    Hapo ndio tunajua ya kua taarifanya waziri makamba ilikua fikisi tu na kuipaka tanesco matope

  • @bomonda2622
    @bomonda2622 3 года назад

    Samia suluhu hasssan

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 3 года назад +1

    Huu mradi Siyo poa no Mkubwa Sana

  • @saifaljahwai1880
    @saifaljahwai1880 3 года назад +3

    Mukimaliza wapeni wazanzibari angalau mitumba ya mageneretos waepukane na vibatali

    • @kshdbzjnxksksw6567
      @kshdbzjnxksksw6567 3 года назад

      Wampe baba ako namama ako mshenzi wewe

    • @beaugosseadam6831
      @beaugosseadam6831 3 года назад +1

      Saif usijali hata huko Znbr umeme utafika. Kama una kumbukumbu nzuri Hayati JPM aliwai kufuta deni la umeme Tanesco ilikua ikiidai Serikali ya mapinduzi/Shirika, sikumbuki vizuri ni Bilioni ngapi?

    • @jambo3751
      @jambo3751 3 года назад

      Watuachie tuchimbe mafuta na gesi wasilazimishe kusema mafuta na gesi ni katika mambo ya muungano.

    • @kshdbzjnxksksw6567
      @kshdbzjnxksksw6567 3 года назад

      @@jambo3751 nashangaa mbona madini hawasemi muungano

  • @emanuelkenethkanyela9137
    @emanuelkenethkanyela9137 2 года назад

    Tunashukulu mwenyezi MUNGU kwa kutuletea JPM

  • @aliyussuf2332
    @aliyussuf2332 3 года назад

    Wewe seif aljahwai

  • @aliyussuf2332
    @aliyussuf2332 3 года назад

    Wewe

  • @aliyussuf2332
    @aliyussuf2332 3 года назад

    Wewe seif aljahwai wacha dharau zako kwa Wazanzlbari Nani wanatumia vibatari mpumbavu wewe

  • @aliyussuf2332
    @aliyussuf2332 3 года назад

    Wewe seif aljahwai