Diamond Platnumz-Utanipenda Behind The Scene Episode 5

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 256

  • @LyenetteRose88
    @LyenetteRose88 9 лет назад +9

    I love how zari speaks Swahili... big up Mama Tiffah.....diamond ur songs will always remain the best....Mimi nitakupenda milele na milele.

    • @zuhuraali9983
      @zuhuraali9983 9 лет назад

      it is true love zari na diamond mpaka anaongea swahili

  • @diraalex9886
    @diraalex9886 3 года назад +2

    Leo hii harmonize ni mpinzan wa diamond platnumz miaka sita iliyo pita simba alisema na harmonize aliongelea kuwa hawezi kuwa adui...diamond platnumz is so special

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 года назад

      Sawa n mpinzani ila sio mshindani maana mshindani n Rayvanny

  • @carolinaadolf6955
    @carolinaadolf6955 3 года назад +4

    Anyone here 2021🤗.. naona harmonize alikua amefifia at that time lkn saiv ajikuta ameweza pumbav

  • @pinahoscar6735
    @pinahoscar6735 4 года назад +13

    Anayesikiliza maneno ya harmonize 2020 hii na akalinganisha na uhalisia uliopo gonga like twende sawa
    Sema Zari unaongea vizuri mpaka natamani hii couple irudi😘😍♥️

  • @hassanmapenzi6188
    @hassanmapenzi6188 4 года назад +2

    Diamond kweli kaimba ukweli kumuhusu rafiki wa Jana n adui wa kesho hyo kweli harmonize. Alihapa Bali nowdeiz kavunja agano daaaaah

  • @princehenry4196
    @princehenry4196 6 лет назад +5

    diamond platnumz
    ni msanii mwenye akili na heshima sana hapa Tanzania, nampenda sana

  • @daudipmchanda8601
    @daudipmchanda8601 4 года назад +5

    Someone who really loves you doesn't have to have a reason to why he or she loves you.

  • @ezekielmanyesela3846
    @ezekielmanyesela3846 5 лет назад +44

    Wanaoisikiliza Leo August 2019 na kuona harmonize anapingana na maneno yake gonga like tumkumbushe kipande chake

  • @saumumurira6968
    @saumumurira6968 9 лет назад +13

    Ninayosema yana maana sababu hakuna anayejua kesho, anayepanga ni Rabbana ila ameificha ni confidential, ukisali omba sana mumeo nisije kuwa kichekesho maana rafiki wa jana ndiye adui mkubwa kesho....NIMEIPENDA NA NITAZIDI KUIPENDA huu wimbo ni mkali kikweli...eeeeh Nitakupenda pia wewe mwenyewe Diamond...Big up ma brother keep the same spirit & bring out hot tracks. ALL DA BEST more Love from KENYA!!!!!!

  • @aminahali9662
    @aminahali9662 4 года назад +3

    Nice words mama tee👏👏👏👏love is love it never dies ❤❤❤❤❤❤

  • @ummyluvandaluvanda3667
    @ummyluvandaluvanda3667 9 лет назад +6

    kaka unaweza.... juhudi unazotuonesha atutachoka kukusaport... ongera kazi nzurii nimependa wiff kasema I love u tandare boy not...platnumz.👏👏👏👏👏

  • @japhetrestus1609
    @japhetrestus1609 9 лет назад +2

    Nice song, which have lesson about life, love you all who make this song. Diamond your the best artist in africa.

  • @009biafra8
    @009biafra8 2 года назад

    Great Diamond 💎 umetoka mbali san watu wanajsahaurisha Mnoo. Hamokinyesi bila ww asingekuwepo hapo lkn leo hii kafumka mwil anajiona mkubwa

  • @khadijawendomwachirenje3513
    @khadijawendomwachirenje3513 8 лет назад +5

    wooooow Zari umenipa moyo na kuzidi kunifunza kumpenda nitakae mpenda kwa kila hali atakayo kuwa..love u zari

  • @alawithebestconcept231
    @alawithebestconcept231 3 года назад

    I'm sure about This is the first song of Diamond pl.... was thinking so much ... also take a lot money for maked . 🇰🇲🇰🇲 Comoros islands

  • @shirahshirahh6702
    @shirahshirahh6702 9 лет назад +3

    i love this song for sure, so touching.

  • @sophiewanjiku3612
    @sophiewanjiku3612 9 лет назад +1

    U'l kp flying high wakuchonga heri wachoke na mapema.. A gospel artist in making bt u inspire me wth ua hard work, commitment n resilience.. Allah awe nawe milele Ba Tiffah

  • @ninabebz37
    @ninabebz37 9 лет назад +2

    Zari nakupenda sana ' u said it all mummy ,always love him and wish u all the best till death do u part .. I just love this couple's very much deep in my heart. .

  • @franciskasoga8733
    @franciskasoga8733 9 лет назад +1

    Mond kanikumbusha pind npo dar nafuatria mambo ya jeshi nilipewa masharit ya kusaidiwa after 3 years nikifanya kaz za pale ndo nisaidiwe kupelekwa jeshi endelea na moyo huo mond god bless u

  • @perisash6795
    @perisash6795 9 лет назад +2

    zari's smile is so priceless. .......

  • @MaryBinMichael
    @MaryBinMichael 9 лет назад +3

    Diamond always the best!

  • @nicholasndegwa2608
    @nicholasndegwa2608 7 лет назад +3

    I respect your hustle Diamond🙌🏼

  • @ummysangu8548
    @ummysangu8548 9 лет назад +1

    uko juu sana mdogo wngu,ushauri wngu ww piga kaz tu hao wenye hasad IPO cku watatahayari vinywa vyao.

  • @haaroonmchuma5858
    @haaroonmchuma5858 9 лет назад

    huu wimbo ni kwa wenye akili tu kujua maudhui yake, ukiuangalia na kusikiliza vizuri maneno yake yanaleta simanzi na huzuni san. very very touching song and lovely work simba..

  • @dorothyvictoria8221
    @dorothyvictoria8221 5 лет назад +3

    To be honest, i dnt hear kiswahili but love this song ti hell....woow its f**king amazing

  • @MohamedAhmed-yn1lx
    @MohamedAhmed-yn1lx 9 лет назад +1

    Most talented and creative artist ever Africa

  • @joannekanale4642
    @joannekanale4642 9 лет назад +5

    finally,had waited for this like forever

  • @godfreymassawe6506
    @godfreymassawe6506 9 лет назад +1

    Ila sijasikia umuongelee docta mwaka.pamoja di keep it up man much respect

  • @billyshillah7735
    @billyshillah7735 9 лет назад +4

    am alwayz proud of you and ur work👏👏👏👌👌

  • @dalladullah8339
    @dalladullah8339 9 лет назад

    i like zari how ulikua unaongea its from your heart kwa hivo diamond vile unatunga mashairi na hayo aliosema zari ni big point to you so dont late her down coz hajakupenda ati wewe ni star or bout money she loves you as a TANDALE BOY................

  • @saidachitechi6677
    @saidachitechi6677 9 лет назад +1

    Wow umenene bro.hiyo ndiyo ilivyo. waelekea bro.uko mbele.video and song.Dua wa leo ndiye atakia kukusaidia kesho yap.The best reason bro.

  • @dizzohmwinjilisti2549
    @dizzohmwinjilisti2549 7 лет назад

    hii nimewatch mara hamsini sasa..........hii ndo my favourite song my whole life.....reality .....

  • @stellasimon799
    @stellasimon799 9 лет назад +3

    I just love everything about this video...

  • @kupewarashid591
    @kupewarashid591 7 лет назад

    Du hii nyimbo aisee hainiishagi hamu ya kuisikiliza ,niisikilizapo naiona kama mpya vile big up sanaaaaa

  • @aguerowakujidai6509
    @aguerowakujidai6509 3 года назад +1

    From Congo Brazzaville watching now 26/9/2021

  • @amgang4079
    @amgang4079 9 лет назад +1

    nzuri sana nyimbo kali video kali uongo dhami hii ni nyimbo ni kali saaaaaaaanaaaaaaaa! much respect! peace!

  • @emmaashanghala8629
    @emmaashanghala8629 2 года назад

    Queen 👸 Zari the boss lady, you are talking 👄 sweetheart, you fell in love with a Tandale boy, Naseeb aka Diamond 💎 Platnumz, I really like the way you said it. This is from your bottom of your heart ♥. True love never die.Aunty Emma from Namibia 🇳🇦

  • @KeKe-vp8nl
    @KeKe-vp8nl 4 года назад

    Nanikweli kabisa wanao kutusi haunaga wakati wakuwajibu ninacho kupendeaga Kaka yangu ukiwajibu unamkwaza mungu achayey akupiganie na awakujibie kwamibalaka atakayo kubariki ubarikiw Sana

  • @alverztv6272
    @alverztv6272 3 года назад

    2021 nikiskiza Harmonize na uhalisia wa sasa naona ni kweli binadamu hafadhiliki

  • @miriamabdhala7553
    @miriamabdhala7553 4 года назад

    Nimeipenda sanna kaz nzul mond jamn pia liho inauma kutengan nawenzak hao zari pia moniz inaum kama urijua vire kua itatokea 🤔from 🇧🇮🇧🇮

  • @barakaabdallah7050
    @barakaabdallah7050 9 лет назад

    my best part is (from 0:39 to 2:22) hakika dimond umeongea ki utu uzima sana,na umeongea kibusara ya hari ya juu,na nikupe siri
    ,hilo ulilo lisema linakamata sana wanadamu wengi hasa watanzania wenye fursa mbali mbali kwa kuwasahau wengine na kesho yao.....ningeweza kuonana na wewe hakika ninge kupa pongezi ya heshima.@DIMOND

  • @alleykidofficial1114
    @alleykidofficial1114 6 лет назад +3

    mondi wimbo yenyewe ilitupendeza huku 254

  • @minayoever3657
    @minayoever3657 5 лет назад +1

    Diamond nikama aliona mapema harmonize ni sumu kwake ..Diamond tenda wema nenda zako

  • @godfreymassawe6506
    @godfreymassawe6506 9 лет назад +1

    Wataongea mengi ila dai uko juu jembe langu big up sana man with your family

  • @yessekompanyi7650
    @yessekompanyi7650 9 лет назад +1

    Dans cette chanson, je viens de tiré une grande leçon. Gérer le présent peux nous aidé à échapper ce dernier où nous serons rejeté par les amis. I'm Mr. Dieu-merci YESSE from DR.Congo

    • @amidundauka2349
      @amidundauka2349 8 лет назад

      DIAMOND KAIMBA KWA LENGO LA KUFUNDISHA SANA.ISIPOKUWA NYIMBO HIZI USIKILIZWA SANA NA VIJANA.JE NAO WATAIPENDA KWA MAUDHUI HII?

  • @jojininga1666
    @jojininga1666 5 лет назад +3

    Jamani kumbe hamonaizi msaliti

  • @saintbuzwagi3759
    @saintbuzwagi3759 9 лет назад

    Diamond mapenzi ni kama saa mbovu unweza ishi na mwanamke ukiwa masikini yaani maisha ya msoto. baada ya muda mungu akajaria maisha yananyooka mara kajumba na vigari viwili hapo mara mwanamke anazingua na kukukimbia hapo utasema kakimbia nini umasikini au utajiri

  • @SaadKirangwa
    @SaadKirangwa 9 лет назад +2

    Tiffah Dangote ❤.. Some strong message...

  • @professorscorner7394
    @professorscorner7394 6 лет назад +7

    2019
    Am hear for zari🤗🤗🤗🤗🤗

  • @marthabrown3699
    @marthabrown3699 4 года назад

    Yani diamond hii nyimbo Kama urimtabiria hamoniz ebu mkumbushe

  • @peterotieno4613
    @peterotieno4613 4 года назад +1

    Naona Tembo anapingana na maneno yake 2020

  • @lizzyknight6329
    @lizzyknight6329 9 лет назад +2

    wow! lovely song!

  • @balqeesmackysah7367
    @balqeesmackysah7367 9 лет назад +2

    Hongera sana bro..kazi nzuri wallah,yaani dah!words are so touching

  • @vivianjoely8527
    @vivianjoely8527 8 лет назад +2

    uhhhhhh love tha video zari&diamond much lov

  • @mimmurugi5781
    @mimmurugi5781 9 лет назад +1

    DA song iz mwaaaa keep DA fire burning wasaaaaaaafi

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 2 года назад

    Diamond alisema rafiki wa Leo ndo adui wakesho n kweli kbs au unasemaj harmonize

  • @carolinacherie3445
    @carolinacherie3445 9 лет назад +1

    Nimeipenda sana video hii na ina mafunzo pia...pendani hadi maadui waone haya,,,Katonda asobola Chituf.

  • @rebeccasarange2729
    @rebeccasarange2729 8 лет назад +2

    I guese I had a crash on u hapo kitambo bt now nooo.A crash with ua music😂 that's funny.love u,love ua swt Zari, tiffa n the rest n more of ua music keep it up n may u leave longer SIMBAaaaaaa

  • @emaxiliannyalob716
    @emaxiliannyalob716 7 лет назад +1

    I like that the way unavopambana Mzee baba Chibu Diamond platinumz

  • @mansourrukaka3061
    @mansourrukaka3061 4 года назад +6

    Hatimae harmonize kasahau maneno yake kamuUNFOLLOW bahat kisa tu kaambiwa amuombe mond msamaha

  • @wardabby8147
    @wardabby8147 9 лет назад +1

    that's good zari and diamond mumefanya kazi nzuri

  • @ramadhanibhinamu5724
    @ramadhanibhinamu5724 9 лет назад +2

    diamond platnumz is our national icon like a Jackie chain in china

  • @josephmuhia3875
    @josephmuhia3875 9 лет назад +2

    Young Man with a double edged sword between his ears#challenged video na ngoma moto kama pasi ya makaa

  • @ludimilamariafernandesdaco5637
    @ludimilamariafernandesdaco5637 8 лет назад +1

    Eu náo percebo nada quando canta mas a tua música mi deixa uma semsaçao muito boá😍😘😘❤️🎧🎼🎼🎤

  • @adamsphonestz
    @adamsphonestz 9 лет назад +1

    Aiseee nakosa cha kuongea.much respect bro!

  • @0siyojuliet537
    @0siyojuliet537 9 лет назад +1

    hii song mambo biad nakubali@SIMBAAAAAAA

  • @omarshaban3271
    @omarshaban3271 9 лет назад +1

    hongera sana diamond kwa kazi nzuri

  • @nietiwemashaphy2184
    @nietiwemashaphy2184 9 лет назад +2

    U r intelligent Zari, I loved u tho even before u met D

  • @felisterdavid7165
    @felisterdavid7165 8 лет назад +1

    i love ua word Zari be blessed alwys

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 4 года назад

    Wangapi tumeskia maneno ya hamo kweli D alisema rafiki waleo ndo aduwi wakesho

  • @pritymoraakirera5066
    @pritymoraakirera5066 6 лет назад +1

    Love you diamond platnumz.

  • @cgggfgghsxzfghg
    @cgggfgghsxzfghg 9 лет назад +2

    aki God blessed with a wonderful wife zari

  • @billyshillah7735
    @billyshillah7735 9 лет назад +1

    zari diamond iz urz forever💙💋💋💞👌😍😘💏👪👪

  • @sumailadamo9600
    @sumailadamo9600 2 года назад

    Na verdade esse vídeo me fez chorar... mais é a realidade...sera que o amanhã sera melhor que hoje... os nossos amigos vao nos ajudar... boa música, boa mensagem e de boa lição... muito obrigado SIMBA

  • @ebptysamkhalifa1336
    @ebptysamkhalifa1336 9 лет назад

    so emotional diomond

  • @barakazakalia1830
    @barakazakalia1830 6 лет назад +1

    nigh congratulations at wcb under president Mr diamond platnumz

  • @kinlarknafasi
    @kinlarknafasi 9 лет назад +3

    kazi yako naikubali tena sana.

  • @leahcee6145
    @leahcee6145 9 лет назад +1

    That's was nice, i love the way zari said about you😊😊

  • @saumumurira6968
    @saumumurira6968 9 лет назад +5

    Its so emotional...vry cool & i love it

    • @SFBGROUPE
      @SFBGROUPE 9 лет назад +1

      +saumu murira I am French I do not understand Swahili and am a fan of platnumz I want you to translate my paroll stpl

    • @MajorBridge_Africa
      @MajorBridge_Africa 9 лет назад

      +Sayfouddine Elkassim give me your phone number

    • @SFBGROUPE
      @SFBGROUPE 9 лет назад

      im from frensh

    • @MajorBridge_Africa
      @MajorBridge_Africa 9 лет назад

      Sayfouddine Elkassim Even if My No is +255 714 615 559

    • @SFBGROUPE
      @SFBGROUPE 9 лет назад

      si je t'appelle sa va me couter tres chere passe moi ton adresse mail ou ton facebook

  • @Gody360
    @Gody360 2 года назад +1

    Yametimia ulio yasema baadh.

  • @azizinguzo9200
    @azizinguzo9200 6 лет назад +1

    Hapo sawa kumbuka na akhera yukowapi kesho

  • @jamalifarid30
    @jamalifarid30 9 лет назад +1

    Endeleea kuwa na juhudi bro simbaaaa na harmonize

  • @babyshaa9214
    @babyshaa9214 4 года назад +1

    Leo September 2 2020

  • @rishedmusomi2238
    @rishedmusomi2238 9 лет назад +1

    Nice God be with u brother

  • @gnationcakes
    @gnationcakes 9 лет назад +1

    I like this video u did it ryt

  • @bilalwakora1524
    @bilalwakora1524 9 лет назад +1

    nakubali platnumz hawawez mwana

  • @samsonmatwiga6098
    @samsonmatwiga6098 4 года назад

    Like kama zote 2021 kama umeskiliza

  • @haaroonmchuma5858
    @haaroonmchuma5858 9 лет назад

    lovely song

  • @MeshWallen
    @MeshWallen 4 года назад

    hivi leo 2020 nani alijua harmonize ataanza kupingana na mkubwa wake

  • @kaeselionvidoti947
    @kaeselionvidoti947 9 лет назад +10

    love is love u dnt need a reason to love someone - ZariBossLady aka Mama Tiffa i like that

  • @henrymoshi5109
    @henrymoshi5109 5 лет назад +12

    Like kama una
    amini diamond kapost hii clip kumkumbusha maneno yk harmonize

    • @marcelinusjarvis1376
      @marcelinusjarvis1376 4 года назад

      Henry Moshi huyu jamaa alijitabiria mengi asee, prophecy has been fulfilled

  • @williammweta5539
    @williammweta5539 3 года назад +1

    Harmonize

  • @Gody360
    @Gody360 2 года назад +1

    MaKn 🎯

  • @adilganzel780
    @adilganzel780 9 лет назад +6

    1st view 1st like.. 😃😃😃

  • @ayieshre9338
    @ayieshre9338 9 лет назад +1

    zari👌 you are a woman and a half. thumps up

  • @sabinagreen5414
    @sabinagreen5414 8 лет назад

    NICE WORD MAMA TEE.AM INSPIRED

  • @mashmashabumashmash1207
    @mashmashabumashmash1207 8 лет назад +1

    big up bro am from oman i do love ur couples u n zarina

  • @tukykobennie260
    @tukykobennie260 9 лет назад +1

    Your great my Bro

  • @goldenboytiger799
    @goldenboytiger799 Год назад

    Iyo part ya harmonize 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @catherinenjambi7782
    @catherinenjambi7782 9 лет назад +1

    Job wel done Baba Tiffah