Kwanini Diamond Platnumz hataki kushika simu ya mpenzi wake?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 91

  • @anithaasajile1321
    @anithaasajile1321 9 лет назад

    nimeipenda hii,asante kwa kujuza Millard., luv ur work Mungu akufungulie mipaka zaid ya apo

  • @fatimasuleh4192
    @fatimasuleh4192 9 лет назад

    Kazi nzuri millard ayo ..Mungu akujalie kher In shaa Allah

  • @ashaherzog6427
    @ashaherzog6427 9 лет назад

    Big up Ayo ,my boo anafanya same job na anakubali kazi yako sana 👍👍👍..one love from viena

  • @bettylozie9038
    @bettylozie9038 9 лет назад +1

    Hongera sana Dangote....hapohapo kwa simu umeongea ki utu uzima kuaminiana ndo mpango mzima ........lozzie fro kenya

  • @joshualezile5099
    @joshualezile5099 9 лет назад

    Safi sana kk diamond platnum diamond platinumz piga kazi brother

  • @johndastani6266
    @johndastani6266 9 лет назад

    niaje diamond nimekubali kazi zako we noma kila sekta ya muziki umo

  • @shamimubinkhamisi8719
    @shamimubinkhamisi8719 9 лет назад

    asnt millard ayo mungu akujalie kaz yako asnt diamond naww pia ubarikiw

  • @ritamarley1958
    @ritamarley1958 9 лет назад +1

    Shukran sana +Millard Ayo

  • @mankaraphael2860
    @mankaraphael2860 9 лет назад +3

    Asante Millard..congrat to Dimond..kuhusu Swala la kushika Simu ya mpnz wako daah kaongea point😍

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  9 лет назад

      +Manka Raphael Thanks kwa kupita hapa Manka wangu, huwa naona comments zako nyingi sana kwenye post kuanzia Instagram yangu, millardayo.com na hapa YouTUBE, pokea asante yangu kubwa kiukweli

    • @mankaraphael2860
      @mankaraphael2860 9 лет назад

      +Millard Ayo Usjal Millard..Unatujuza vitu ving sana..Yaan nahis siku nisipopitia post zako sito lala..thanks Dr😍

    • @mwamininajim3031
      @mwamininajim3031 9 лет назад

      +Millard Ayo Thanks kwatupa abari.from London

    • @piusobert9533
      @piusobert9533 8 лет назад +1

      niaje

  • @nancymuhonja7073
    @nancymuhonja7073 9 лет назад

    asante sana Millard ayo kwakutuletea habari pia hongera sana diamond platnumz

  • @emmanuelmdumba6855
    @emmanuelmdumba6855 8 лет назад

    god help yah BG brada to perform in another high way.alots of appreciations to yah

  • @annacarlos7925
    @annacarlos7925 8 лет назад

    hongera sana ayo tv tunaomba habari itv tunamis

  • @musamaganga7192
    @musamaganga7192 9 лет назад

    love you diamond and your songs

  • @rashidmkwango7806
    @rashidmkwango7806 9 лет назад

    umenena kwenye kaphone hapo manake hicho ni chànzo cha ugomvi katika mapenzi big up #platnumz

  • @penelopejimmy3009
    @penelopejimmy3009 9 лет назад +1

    dimond umeongea points saanaa! keep it up

  • @hawahamisi6237
    @hawahamisi6237 9 лет назад +2

    shkurn ayo mungu akujalie katika kazi za mikon yako.

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  9 лет назад

      +Hawa hamisi Asante Hawa wangu, Amen na Mungu akujalie pia mtu wangu

    • @issangwanu441
      @issangwanu441 7 лет назад +1

      Millard Ayo niuge kweyekulupu lako

    • @issangwanu441
      @issangwanu441 7 лет назад

      0786904321

  • @cheupegmailcomHhcheupe
    @cheupegmailcomHhcheupe 9 лет назад

    hongera kaka kwa kazi zako

  • @salmaakida3485
    @salmaakida3485 7 лет назад

    yaaani kiukweli napenda intaviu za Millard ayo zinaeleweka na maswali ya uhakika hongera broooo👏

  • @salmahabdulraheem3199
    @salmahabdulraheem3199 9 лет назад

    good job millard...en keep it up Diamond.

  • @christnsentwesige3541
    @christnsentwesige3541 9 лет назад

    millard uko juu kaka yangu...yaan unaniinspire

  • @lordmafya
    @lordmafya 9 лет назад

    woow 😍😍😍 baba tiffa karibu zambia ukuje Norway tunakupenda

  • @youngson472
    @youngson472 8 лет назад

    Big up brother SIMBA nauwongozi mzima wa WCB

  • @estherkaruga4457
    @estherkaruga4457 9 лет назад

    Thanks millard. ..good job

  • @wachiyebrian3904
    @wachiyebrian3904 9 лет назад

    Just to tell ayoo tv to improve like Kenya's channel.

  • @godfreymwanisawa2375
    @godfreymwanisawa2375 9 лет назад

    Good job mirrad,I like it

  • @aishawanita5420
    @aishawanita5420 9 лет назад

    big up brother kaza but songa mbele majungu tupa kule nakukubali sana diamond

  • @Supremeautoupgrades
    @Supremeautoupgrades 8 лет назад +1

    ONE WORD "GENIUS"

  • @shylahnekesa6376
    @shylahnekesa6376 8 лет назад

    Congrats Milard kip it up

  • @zulzeranda9189
    @zulzeranda9189 9 лет назад

    nyc one chibu..
    unajibu maswal kiutu uzima

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 8 лет назад

    Ako humble God bless you

  • @yasminy6307
    @yasminy6307 9 лет назад

    There is something good about you millard,I do support u n watch ur videos always but nataka kuwaambiya Tanzanian radios luck creativity. I don't mean In a bad way.....I wish mngekuwa mko juu kama kenya.... Like good shows for youth kama kiss 100..... Pull up ur socks guys......am a born tanzanian raised in kenya so don't judge me.....I hope u do different n uwe na maendeleo Cz uko juu tu sana....

  • @victoriangonyan11
    @victoriangonyan11 8 лет назад

    god bless u ayo

  • @riscaoscar521
    @riscaoscar521 8 лет назад

    Fanya kazi D acha walonge midomo kawapa mungu

  • @mczundaoriginal2491
    @mczundaoriginal2491 8 лет назад +1

    simu hazifai ila kwa watu waelewa huwa hawafatilii simu,hongera diamond kwa hilo mtafika mbali katika mapenzi yenu,maana kuna wengine huwa wanaamua kuwachonganisha watu kupitia simu

  • @shemasshemac5472
    @shemasshemac5472 8 лет назад

    Ayo huwa namkuɓali xn upo juu my ɓrother

  • @mashmashabumashmash1207
    @mashmashabumashmash1207 8 лет назад

    am ibra from oman pls come to oman get us ur contact we lov u

  • @expertolympio7856
    @expertolympio7856 8 лет назад

    safi sana kwa hii

  • @khashimfadhilly6649
    @khashimfadhilly6649 9 лет назад

    nice job mr millad yan unafanya poa sana

  • @salmasalma6348
    @salmasalma6348 9 лет назад +1

    nice job@millad ayo

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  9 лет назад

      +Salma Salma Asante sana Salma wangu kwa kupita hapa na kuniachia comment yako mtu wangu.

  • @johnmtui7109
    @johnmtui7109 8 лет назад

    Upo vizuri

  • @johnadure8720
    @johnadure8720 9 лет назад

    natamani sana kuwa kaa kaka diamond,nitampata wapi mkubwa fela,babu tale wanisaidie....??

  • @riscaoscar521
    @riscaoscar521 8 лет назад

    kweli kabisa D

  • @monthermonther9232
    @monthermonther9232 9 лет назад

    hi millard ayo napenda habari zako unatujulisha mengi

  • @moudyramacare7256
    @moudyramacare7256 9 лет назад

    good job Millard, bado wema

  • @johnmtui7109
    @johnmtui7109 8 лет назад

    unafanya vizuri sana

  • @florencemzungu7319
    @florencemzungu7319 9 лет назад

    big up bro

  • @meckitidischilambo1385
    @meckitidischilambo1385 9 лет назад

    Big up Millard but I need as sponsar

  • @stellagodfrey1259
    @stellagodfrey1259 9 лет назад

    pamoja sana kaka

  • @mankaraphael2860
    @mankaraphael2860 9 лет назад +1

    Tunaisubiri project tu..ya yeye Na B-junior

  • @valarychebet3764
    @valarychebet3764 9 лет назад

    awesome

  • @victorpaul7715
    @victorpaul7715 9 лет назад

    good job homeboy

  • @ayoubgasper1077
    @ayoubgasper1077 9 лет назад

    pamoja xana broo

  • @lavendalalo3424
    @lavendalalo3424 8 лет назад

    napenda macho

  • @jamesmwangi3816
    @jamesmwangi3816 9 лет назад

    juu Sana dubai

  • @barakapaul8736
    @barakapaul8736 9 лет назад +1

    komaa diamond uzidi kututangaza kidunia

  • @eunicedavid8533
    @eunicedavid8533 9 лет назад

    nice

  • @swabrinamumtaz1997
    @swabrinamumtaz1997 9 лет назад

    Hi

  • @janetmdzomba7981
    @janetmdzomba7981 8 лет назад +1

    support unayo simba mola uku Jamie mema

  • @reinelove6734
    @reinelove6734 8 лет назад

    zari astairi n'a diamond

  • @Naim606
    @Naim606 9 лет назад

    Tecno

  • @moseraphael9245
    @moseraphael9245 8 лет назад

    haya kaka uko powa

  • @tunuallen.4350
    @tunuallen.4350 9 лет назад

    diamond bado ni big deal katika mitandao, nlivyomuona tu nika 'click'

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 9 лет назад

    jitahid kuachia intarv....part zote hii tokea kwenye party ya rom / watujulisha vitu ila wachelewa kuzitoa kitu lamda wengine washatoa matukio tushaona thn ww ndo watoa 😉

  • @gideonkabuko
    @gideonkabuko 9 лет назад +1

    gud

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  9 лет назад

      +gideonkabuko 43671994 Thanks for watching Gideon.

  • @lazaromwankusye8955
    @lazaromwankusye8955 9 лет назад

    Diamond anajitambua ho

  • @saadlukanda431
    @saadlukanda431 8 лет назад

    naice

  • @collinmbabazi1111
    @collinmbabazi1111 9 лет назад

    am looking forward for a collabo with chameleon

  • @joshualezile5099
    @joshualezile5099 9 лет назад

    Kaka ***** nmejaribu kufungua ile story ya fix za baba levo ile ya bafu la diamond cjaona video nilitaman sana kuckia mh diwan anasemaje!!!

  • @moudymussa7646
    @moudymussa7646 7 лет назад

    ni maamuzi tu sio kusema kwa nn?

  • @mickeyladyilikeyourvoice7851
    @mickeyladyilikeyourvoice7851 9 лет назад

    nasib kwanini wapendaga kujilamba midomo

  • @VonsoAlmeida17
    @VonsoAlmeida17 9 лет назад

    mbona sijasikia aliposema kuhusu simu!?

  • @hasani565
    @hasani565 9 лет назад

    wengine wanapata mashavu bila kutabiika mfano watangazaji.

  • @makamoses321
    @makamoses321 8 лет назад

    aaaaahahahahaahhahah !!!! ebna kaka me nakukubali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!! mpaka keloooo sema nn waaambie watoto wadogo waaache ku dic wafanye yaooo !!!

  • @jdndnjdhdbdhj9567
    @jdndnjdhdbdhj9567 8 лет назад

    DIAMOND ,there things u can't avoid when ur in love with someone i bet one time u will look in her phone

  • @phoebengala1540
    @phoebengala1540 9 лет назад

    I was concentrating on how u were licking ur lower lip more than wat ur saying.....
    my bad

  • @qassimmbaya7911
    @qassimmbaya7911 9 лет назад

    nina jambo la mcng sana la kukuambia ayo ktk hii kaz yako...ukiwa unamhoji mtanzania hakikisha huongei english daah itakua poa sana ndugu ni mtazamo tu usijenge chuki

  • @collinmbabazi1111
    @collinmbabazi1111 9 лет назад

    nitategemeyea collabo yako na chameleone.lazima

  • @nancymuhonja7073
    @nancymuhonja7073 9 лет назад

    asante sana Millard ayo kwakutuletea habari pia hongera sana diamond platnumz

    • @selector728
      @selector728 8 лет назад

      Nancy muhonja mambo vp dadà

  • @agnesamon6722
    @agnesamon6722 9 лет назад

    nice