FID Q; NIMEOGA MATUSI, NENO ZITO KWA DIAMOND NA KIBA

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 471

  • @jimmyjames3748
    @jimmyjames3748 7 лет назад +14

    Fid Q...utu uzima dawa,umeeleweka mkali..I saluted

  • @leathjustinian7240
    @leathjustinian7240 7 лет назад +3

    huna kosa fidq ur stronger man and u done perfect on fresh music, huenda guyz hawakupnda uimbe na mind BT hupaswi kuchagulie #more respect to yoh

  • @adv.benedictpius
    @adv.benedictpius 6 лет назад +1

    A wise artist ever happened.... Big up brother it's only wise men can understand this talk

  • @naymah3560
    @naymah3560 7 лет назад +2

    Ktk watu nawakubali wewe ni namba 1 faridi kwa maelezo hayo umeeleweka sana big up kwako

  • @burusakenesta5273
    @burusakenesta5273 4 года назад +1

    You are a decent man Fid Q..
    And that is special.,respect

  • @hamismasoud8808
    @hamismasoud8808 7 лет назад

    Number one artist in country noted

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 7 лет назад +8

    Your the best afu unahekima Sana brother. achana na wapuuzi hao wasiojua music sijui team vibaka

  • @buye5436
    @buye5436 7 лет назад +2

    well said Ngosha, keep on rep'n us

  • @dockaridk
    @dockaridk 7 лет назад

    Thank you sir you are so intelligent.

  • @simonjohn1485
    @simonjohn1485 7 лет назад

    Mwana FQ nakukubali kinoma uko vizuri unaongea point wewe ni mkali na huna hekima na busara big up

  • @osmankombe7977
    @osmankombe7977 7 лет назад +6

    Kenya we luv kiba kama kawa kama dawa

  • @nelsonyado382
    @nelsonyado382 7 лет назад

    Fid wewe ni mwana hip hop unaejielewa tena mwenye wisdom nyingi sana.

  • @joeljoseph2773
    @joeljoseph2773 7 лет назад +4

    your still the best kaka

  • @jdeoffspliny2594
    @jdeoffspliny2594 7 лет назад

    Fid we ni perfect rapper ..hivyo jali kazi na si maneno ...big up #Fresh tu ..

  • @abadymohamedy6766
    @abadymohamedy6766 7 лет назад +11

    uko sawa bifu lao sio lako we ishi na interest zako legend we2 wa hip hop big up bro...nakukubali xana..umechana m2 kapenda umemuonesha love la kumpa bit ajipendelee hisia zake hapo una kosa gan.,ndio mana kuna original version na remix sasa wa2 mnaongea nini..mwachen huyu jamaaa hamumuwez jaman.

  • @mwasangwaleagriculturalact8510
    @mwasangwaleagriculturalact8510 7 лет назад +1

    Much respect to you bro, appreciate that.

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 5 лет назад

    The interview is bloody good yani umeongea kwa busara saana hongera

  • @georgemlulu1553
    @georgemlulu1553 7 лет назад

    Safi broo umesomeka, nakuunga mkono. naomba kama itawezekana Fanya uwakutanishe hawa jamaa nafikiri wataelewana tu, kwa sababu wasanii ninyi ni kioo cha jamii sasa kama kioo kikipasuka tutajiangalia wapi? Fanyeni vitu ambavyo vinawafurahisha mashabiki na siyo marumbano na matusi acheni mambo ya makundi huyu anampenda huyu na yule anampenda huyu cyo powa mziki kazi na ni burudani kwa jamii kaka fid q big up sana napenda ngoma zako

  • @DennyMathematic
    @DennyMathematic 6 лет назад

    Fid upo real Man 😁😁😁 nakuelewa sana aisee

  • @kolokokoloko1955
    @kolokokoloko1955 7 лет назад

    Safi sana fid q... tumekuelewa vzr fid uko vzr sana mkali wa hip hop nchini

  • @mariammursal2905
    @mariammursal2905 7 лет назад

    fid Q umefanya vizuri kaka, Fresh mbona Kali 🔥🔥🔥

  • @chrisbee7876
    @chrisbee7876 7 лет назад +2

    usijari fid wewe ndio king of hip hop kila mtu anamaamuzi yake wewe fanya ngoma

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 7 лет назад

    The genius rapper ... Asiyeelewa ataelewa mbele kwa mbele

  • @kizablack7667
    @kizablack7667 7 лет назад

    Nyimbo nzuri sana Mtu wangu wanguvu diamond platnumz yuko fresh sana

  • @evancebarnabas9477
    @evancebarnabas9477 7 лет назад +1

    Lakini fresh tu kaka heshima kwako MZEE BABA mhenga

  • @genuinemassawe4442
    @genuinemassawe4442 7 лет назад +5

    safii mgumu uneongeaa point mzee

  • @lylyshadianzoyihaya3433
    @lylyshadianzoyihaya3433 7 лет назад

    Yaani unaweza kuuwa mtu wakikuuliza fresh daar sio fresh😂😂😂

  • @reginajohn5196
    @reginajohn5196 7 лет назад

    salute San kamkubwa ngoma kal remex Kali wasiojua kaz ndo midomo milefu mond kaz ju ya kaz anaatar

  • @albanbros7210
    @albanbros7210 7 лет назад

    We jamaa upo smart sana.

  • @furahaplatnumz_jr1693
    @furahaplatnumz_jr1693 7 лет назад +3

    me nawauliza teamkiba sikuízi kiba ni mwanamke sababu ya kuwekwa cindelera kwenye freshrimex kibajike salut na mashabiki zako #tumekusomaaa

  • @ramadhanisaid7447
    @ramadhanisaid7447 7 лет назад

    Weeee Ngosha
    umezngumza Vzriii
    #Fresh

  • @3dmasterplatnumz773
    @3dmasterplatnumz773 7 лет назад +5

    Fid q umetisha

  • @jamalkita5666
    @jamalkita5666 7 лет назад +1

    #fresh

  • @mabroukabeid148
    @mabroukabeid148 6 лет назад

    Kila mtu na maisha yake fid unakubalika sana

  • @lusajoyuda6145
    @lusajoyuda6145 7 лет назад

    Mzee fiq, tunakuheshimu sana hila diamond amezingua sana

  • @b9media144
    @b9media144 7 лет назад

    Fid Empire!
    Kumpata adui unayemmudu Ni bora umuombee dua/
    Kwayule Mungu unayemuabudu ili aendelee kukuumbua/
    Kwa kupitia yeye yapo baadhi ya mambo mengi utayajua/
    Nahuo ndio ukweli ambao hats we mwenyewe hukuutambua/
    {Believe in Fiq}

  • @hamisimsalapai7785
    @hamisimsalapai7785 7 лет назад

    uko sahihi fid..umejieleza vizuri

  • @itikaedson9681
    @itikaedson9681 7 лет назад

    Ila binadamu tunapenda kuhukumu sana kama mtu muelewa nahis atakuwa amemuelewa fid ameongea kistaarsbu sana big u bro

  • @hamisihasani4805
    @hamisihasani4805 6 лет назад

    We ndo mwanaume achana na watoto wa kike hao...continue

  • @omydirector1494
    @omydirector1494 7 лет назад +7

    mimi ni team kiba ila FID acho hongea kiko sahihi kibisa

  • @festontandu1747
    @festontandu1747 7 лет назад +36

    Fid ww ni genius unajielewa wanaokutukana hawajui battle ni nini ngoma IPO poa mbona # fresh tu

    • @zainabuahmad9038
      @zainabuahmad9038 7 лет назад

      yeah fresh

    • @lugagajohn3212
      @lugagajohn3212 7 лет назад +4

      Pole sana kaka

    • @happiliciousdiva9767
      @happiliciousdiva9767 7 лет назад +2

      Zainabu Ahmad 😍😍😍😍

    • @bakarimussa2904
      @bakarimussa2904 7 лет назад +3

      Alikiba msenge kwan yeye anaitwa sindelela? Kutaja jina sio ishu

    • @frankkichanja9558
      @frankkichanja9558 7 лет назад +4

      Festo Ntandu jamaa yuko positive kinoma
      sjaona msanii mwenye akili kama qubanda
      yani hata akihojiwa unaenjoi kumskliza

  • @johnpapaking1497
    @johnpapaking1497 7 лет назад

    Fid Mungu azidi kukujalia Katika kazi yako na pia nakuelewa sana brother

  • @filbertmicheto5215
    @filbertmicheto5215 7 лет назад

    thank you Fid Q

  • @williammambo3275
    @williammambo3275 7 лет назад

    Full respect man.....@ Fid

  • @abdulrahimmsonge5480
    @abdulrahimmsonge5480 7 лет назад

    RESPECT BRO FARID

  • @nchambinzugwa9367
    @nchambinzugwa9367 7 лет назад +1

    Pole kama kweli hukujua, sku nyingine uwe makini

  • @happymassawe1064
    @happymassawe1064 7 лет назад

    pole bro ni changamoto za maisha

  • @ayubukassim7995
    @ayubukassim7995 7 лет назад

    That is the True brother wasikuumize kichwa bhna Hyo ni hip hop bhna unajua kama ulivyosema fid kila mtu na uelewa wake yy huenda akawa kamaanisha hv wao wakamaanisha hiv, so kama wanaona kama wamekwazika na ile verse ni bora wangeingia studio na wao wakajibu kama wasanii nasio vijembe vijembe kama khadija kopa bhna, hapa ni FRESH CHANA MAKAVU FRESH TU

  • @matthewwachealsea5818
    @matthewwachealsea5818 7 лет назад

    FDQ Mii nakukubali Sana mwana Ila Wahenga walisema Wagombanao ndio wapatanao. One day FRESHI Usikate tamaa kuwapatanisha hawa. #Freshi

  • @beckajurniour6796
    @beckajurniour6796 7 лет назад +1

    Daaah pole Fid ile team inamatusi mapya mapya ila Fresh

  • @wamburamhenga3462
    @wamburamhenga3462 7 лет назад

    Unafikiri vizuri bro!!! Maturity sana

    • @rosemarykaroli6703
      @rosemarykaroli6703 7 лет назад

      kwakwer poren sana duh yan kumbe na wanaume hayo mambo ya kichuk mbn mwajiludisha nyuma

  • @beatricehenry7101
    @beatricehenry7101 7 лет назад

    Q, kila leo wtz wanahukumu hawana hofu ya Mungu kaa kwenye haki ujali

  • @geofreymsigwa7339
    @geofreymsigwa7339 7 лет назад

    fd -Q...unajitambua sana mchiz

  • @abdullay3166
    @abdullay3166 7 лет назад +1

    wekeni vitu sawa kiba alijibu na hikma diamond akaona haitoshi akaenda kuyakoroga tena sasa nini munalaumiana muachieni ayanywe mwenyewe askilizie ukali wake unakunja sura ww ya nini acheni ujinginga we sikiliza umeipenda like usipo penda unlike

  • @fatmafatom1175
    @fatmafatom1175 7 лет назад

    Umeniboa kishenzi unamshikilikisha muhimba tarabu👌👌👌👌👌👌👌👌

  • @iddyshabani5942
    @iddyshabani5942 7 лет назад

    uijui Cinderella eeh ngosha nakukubali Sana
    ila ngoj nikukande fala kwel acha uongo 😬😬😬😬😬

  • @mtotowaraila5397
    @mtotowaraila5397 7 лет назад

    Hesabu ya darasa la saba ukimpa mwanafunzi wa darasa la kwanza ataweza ndo hao mahasidi thinking capacity xao ziko down tu saana

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 7 лет назад

    umeongea vzr sana brother

  • @emmanuelmunanka6137
    @emmanuelmunanka6137 7 лет назад

    kwan ugomv wa nn si kiba afany remix pia😁😁...

  • @jimmyjr427
    @jimmyjr427 7 лет назад +6

    Fid Q unatumia busara sana ila mond kazingua japo fresh inesound poa sana..... Education is more important to all of dem #kiba&mond

    • @danieljoel1394
      @danieljoel1394 7 лет назад

      jimmy Jr nice comments bro big up......education is most important....

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 7 лет назад

    Pole sana brother FD Q nakuelewa sana kaka umeeleweka pia wasio elewa mbonvu akili zao

  • @mosesjohn1067
    @mosesjohn1067 7 лет назад

    bro amesharekwa na wcb hakuna namna na sishangai

  • @RamadhanJuma-k7h
    @RamadhanJuma-k7h 5 месяцев назад

    Nakubali fid q

  • @kevinmwansasu9718
    @kevinmwansasu9718 7 лет назад +1

    mi nawapenda hawa wasanii ila kilichoniuma kuna mmoja kila siku anaanzisha ugomvi baadae anajifanya innocent..nahisi ana uswahili au ulimbukeni wa maisha

  • @petermgosi2111
    @petermgosi2111 7 лет назад

    kaka tunakuelewa sana kwanza unabusala kinoma bigup ngosha

  • @michaelkapiga2634
    @michaelkapiga2634 7 лет назад

    kabla cjaona hii interview nliwaza meng juu ya mzee Ngosha how comes mzee ikawa hiv kumbe ulifichiwa white mzee noway respect sana en then wasamehe bure Mr.kubana

  • @bakarininga6052
    @bakarininga6052 7 лет назад +1

    fid unajua among of the artist napenda kusikiliza anachoongea we huwa namba moja,, cz najifunza vingi kupitia wewe bt unaposema hujui bongo flavor na unawajua kiba na mondi unakosea pia unaposema uliskia sinderela bt hukutegemea kufikia huko na pia ulitegemea remix nyingine toka kw kiba ya fresh 😂😂means ulielewa alichoimba mondi pia nahisi ile dis isingefika huku km mondi hakuchana tena mistari mingine kuwadiss kiba na dimpoz hekma huwa ni kitu cha bure lakini ndo ivo sina tim lakini unaona mwenyew aliyezingua adi kufikia wazaz kuingizwa huko,, mungu awabariki haya mambo yaishe

  • @deusnyanzala3490
    @deusnyanzala3490 7 лет назад

    Ngosha umeliamsha nisawa nakuchanganya zege kitu kimeelewka wazi Dagh mond kazngua kiukweli afanye kazi mzee

  • @hashimkaiza7250
    @hashimkaiza7250 7 лет назад +1

    mnafiki tu unalolote nilikuwa nakukubali sanaaa ila umezingua

  • @mfaumenachuli429
    @mfaumenachuli429 7 лет назад

    Genius

  • @kisakorockety5597
    @kisakorockety5597 7 лет назад

    aaaaahhhh!!! mbona fresh

  • @stelasasala5972
    @stelasasala5972 7 лет назад +13

    Kosa la Fid Q ni lipi? wao ugomvi wao uclete image mbovu kwa Fid. Huna kosa sasa piga kazi achana na wasiojitambua.

  • @johncosta2181
    @johncosta2181 7 лет назад

    sawa mzee

  • @Msetotz
    @Msetotz 7 лет назад +6

    Nayaona maumivu ndani ya fid kama una ubongo wa panzi huwez kuelewa

  • @sullemmpemba7196
    @sullemmpemba7196 7 лет назад

    kaka Fareed uko kwenye mstari sana na kazi yako imekubalika , hile ni ngoma tuu wakiochukulia bifu wao tuu ila ujumbe umefika nao waingie studio wafanye kazi

  • @joramlondomanyika6612
    @joramlondomanyika6612 7 лет назад

    Upo sawa Fid Q hip hop ni batle...

  • @chrismgaka6029
    @chrismgaka6029 7 лет назад

    Akuna team wala ushabiki bora mziki mzuri

  • @samakimwenyekiundaniyamaji8885
    @samakimwenyekiundaniyamaji8885 7 лет назад

    So much for the rivalry! Diamond and Alikiba share private jet for fighti from Ney York 2 London hours after almost coming 2 blows.

  • @tatunaally1510
    @tatunaally1510 7 лет назад +3

    Alichokifanya mond sio kibaya ila watu ndio tumechukulia mambo tofauti bwana

  • @chachalucas4390
    @chachalucas4390 7 лет назад +1

    upo sawa,team kiba tunawajua ni viazii

  • @midasmageto4067
    @midasmageto4067 7 лет назад

    c'mon Fid, u knew. +254 teamkiba

  • @josephgatunzi1670
    @josephgatunzi1670 7 лет назад

    Hiyo ndio Hip hop! tuirudie Amkashida nakupata shida na hakuna pakujishiza! au Madawa ibirisi yatakufisi akiri mpaka mwiri! fanyia kazi hiyo Sangara Mkubwa Ziwani👊

  • @MegaMKOKO
    @MegaMKOKO 7 лет назад

    Thats the culture

  • @naifathassan2607
    @naifathassan2607 7 лет назад

    Ushauri mzuri sn broda

  • @mbeyamovie6906
    @mbeyamovie6906 7 лет назад +6

    Jenga Tanzania moja achen bifu za kizembe

  • @peter1018ful
    @peter1018ful 7 лет назад

    fresh

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 7 лет назад

    ntafurah sana siku moja ukichukua uamuz wa Kuwa mediator

  • @erickdioniz1330
    @erickdioniz1330 6 лет назад

    Legend

  • @Alpha-Tv09
    @Alpha-Tv09 7 лет назад

    DESPACTO... Like kama unaijua hiyo mziki

  • @hassanjoseph9869
    @hassanjoseph9869 7 лет назад

    pole sana kaka lakin hujakosea of course hata D hajataja jina LA kib

  • @annahmichael1097
    @annahmichael1097 7 лет назад

    pole

  • @fastfacts1967
    @fastfacts1967 7 лет назад +1

    Umeeleweka kaka

  • @b9media144
    @b9media144 7 лет назад

    Fid Q Empire!
    Believe that!!

  • @sebastiankombe4550
    @sebastiankombe4550 7 лет назад +1

    Brother. unambeba sana hyo JAMAA tumekuckia toka zaman jaribu kumkaushia bac.

  • @janemakundi5095
    @janemakundi5095 7 лет назад +1

    kiba diamond wote wanafanya vyema tussuport kazi zao sio kuweka maneno ya vijembe haipendezi ...Napenda kazi zao

  • @MegaMKOKO
    @MegaMKOKO 7 лет назад

    Its normal to have a subliminal shot in hiphop verses. grow ups should act like grown ups.

  • @omarymussa3491
    @omarymussa3491 7 лет назад +1

    wachache tukikuelewa nayo fresh

  • @massufrank75
    @massufrank75 7 лет назад

    pole sn mzee fidi iyo nineemakwako na wanaokutukana ni vyula awakuzuwii mzemzima kufanyayako

  • @archkeels3753
    @archkeels3753 7 лет назад

    Dahhhhh aseee pole

  • @alishomar7549
    @alishomar7549 7 лет назад +11

    Fid Q ...ww usjali ...maua hunyauka...story huisha...kumbukumbu husaulika...