Dr Issaya Lupogo Ft Janeth Mollel Wazazi_{Official video}

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 28

  • @esterlupogo
    @esterlupogo 7 месяцев назад +1

    Sauti nzuri , dada sauti yake itatusaidia kurudisha familia maana imebeba Jambo zito😂 Mungu awabariki sana

  • @MiriamMakenge
    @MiriamMakenge 3 месяца назад +1

    Hongera Dr Issaya Lupogo kwa kazi nzuri

  • @Emmanuel_Singu
    @Emmanuel_Singu 7 месяцев назад +1

    Hongereni sana Dkt. Lupogo na Janeth. Wimbo mzuri sana na una ujumbe mzuri na muhimu sana!🙏🙏🙏

    • @LupogoPhD
      @LupogoPhD 7 месяцев назад +1

      Shukrani sana Emmanuel

  • @simonlupogo3407
    @simonlupogo3407 7 месяцев назад +1

    What a song?

  • @esterlupogo
    @esterlupogo 7 месяцев назад +1

    Jambo mtambuka wazazi wengi hatujui jinsi watoto wetu wanavyoumia Kwa matengano , Mungu atupe kukubaliana

  • @stanslaussementa2940
    @stanslaussementa2940 7 месяцев назад +1

    🔥💥

  • @bahatimassare1825
    @bahatimassare1825 7 месяцев назад +1

    big up

  • @vickymwakinyuke7069
    @vickymwakinyuke7069 7 месяцев назад +1

    Wooow wow 🙏mbarikiwe sana, hakika sir lupogo hujawahi kosea, vivyo hivyo kwa dadaa janeth 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @khadijamziya1234
    @khadijamziya1234 7 месяцев назад +1

    👊👊👊

  • @esterlupogo
    @esterlupogo 7 месяцев назад +1

    Hongera sana kaka yangu umetufikishia ujumbe wenye maelekezo 🙏🙏ubarikiwe mnooo

    • @LupogoPhD
      @LupogoPhD 7 месяцев назад

      Asante Ester

  • @anoldkamugisha1832
    @anoldkamugisha1832 7 месяцев назад +1

    Wimbo mzuri wenye tafakuri pana kutokana na utengano wa familia unaokithiri katika jamii ya leo.

  • @martinhubertikuramutse8992
    @martinhubertikuramutse8992 7 месяцев назад +1

    Wimbo huu unahusiana na maisha halisi ya jamie.

    • @LupogoPhD
      @LupogoPhD 7 месяцев назад

      Kweli kabisa

  • @eliasluwela7823
    @eliasluwela7823 7 месяцев назад +1

    Wow amazing song with very important messages to our society congrats Dr,Madam Mollel, Msomi huru studio together with Mr.CEO Siwingwa.

    • @LupogoPhD
      @LupogoPhD 7 месяцев назад

      Thanks Mwalimu Elias

  • @AmosiSimon-gg7nf
    @AmosiSimon-gg7nf 7 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉

  • @ODILOKomba-l1u
    @ODILOKomba-l1u 2 месяца назад +1

    Uko vizuli Mzee pambana mkuu kipaji unacho

  • @ZakaMagonka
    @ZakaMagonka 7 месяцев назад

    Much congratulations.... Na hii ndo maana halisi ya msanii💪💪💪

  • @JohnJohn-mn8fh
    @JohnJohn-mn8fh 7 месяцев назад

    What a lovely song! I thank you for such a message.

  • @ShaharaMohamedi
    @ShaharaMohamedi 7 месяцев назад

    Congratulation 🎉

  • @chimolamchembe-vl9wz
    @chimolamchembe-vl9wz 7 месяцев назад

    👏👏👏