Kuna namna nakosa maneno mazuri ya kuwashukuru. Asanteni Sana kwa kuiskiliza na kuendelea kuiskiliza wimbo huu Mungu awabariki. Kwa kila atakaye kiru uwaza wa Mungu akaone kwa macho pia. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😌😌😌😌😌
Hongera sana waimbaji wakubwa wa mbeleni hakika wimbo wenu ni wa faraja kubwa sana na ni wimbo ambao hauna mwisho maana kila muda tunapita kwenye matatizo lakini yeye Yesu anatusaidiakwa neema yake. Umetisha sana wakati wa kuondoka. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Hakika anayaweza yote yasiyowezekana kwa nguvu za kibinadamu. Nimeickiliza nyimbo hii vzr nahc kubarikiwa kiukweli Mungu awabariki sana. Keep pushing🔥🔥🔥🔥🔥 #anaweza
Hakika Mungu anaweza,,,,,Big up sana my Jane always am happy for you kipenz ,,,,,great song mama,,,, Kama awezavyo Mungu daima akuwezeshe zaid yaan ndo tumeanza👏👏❣Nakupenda.
Kuimba kwake kunatufurahisha sana
Amina,Yesu ni mzima
Mungu hakika anaweza,..tulirudia rudia huu wimbo mara tano na zaidi tujuane hapa,,gonga likely
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kijana
good song 👍 hakika wimbo mzuri Mimi nipo Zambia nasikiza kwa umakini nimegundu song zuri respect choir
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mwenyezi Mungu awazidishie viwango na viwango,Amen❤
AMEN AMEN
🔥🔥🔥wawezaaa🙏
Mungu akubariki sana kwa ujumbe mzur nimebarikiwa sanaaaaa Mungu akuzidishie ili tuzidi kubarikiwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Sina mashaka waweza ndugu yangu
Acha Mwenyezi Mungu akubariki wimbo yako iendelee zaïdi
Amen .nyimbo nzuri
Utukufu kwa MUNGU
Alichokianzisha bwana atamaliza mungu azid kukufanya upy
Mungu akuinuee viwango vingine zaidiii sisy Jane❤
Kuna namna nakosa maneno mazuri ya kuwashukuru.
Asanteni Sana kwa kuiskiliza na kuendelea kuiskiliza wimbo huu Mungu awabariki.
Kwa kila atakaye kiru uwaza wa Mungu akaone kwa macho pia.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😌😌😌😌😌
Aiseeee MUNGU anawezaaa bhnaa
Dada KAZI nzuri nitafte tufanye collaboration
Mungu akuinue zaidi Dada Janeth
Amen Amen Minister 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amina ubarikiwe watoto wa bwanaa
Decoo Rachel🥰hongereni sna na Mungu awabariki mkaitende kazi ya bwana vyema zaid kwa viwango vingine kbisaa🥰🙏
Amen kwa niaba🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amen barikiwa na Bwana
Barikiwa sana.....sister from another mother.....
Nimeirudia kama mara tano iv kuisikia kipande cha janett hakika Mungu awabariki sana mmefanya vzr sana mbarikiwe sana
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
🎉🎉🎉🎉nice song I like it more🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳 waweza Yesu Sina Mashaka nawe wewe waweeza 💃💃💃, 🙏🙏🙏, Barikiwa kwa huduma nzuri Mama.
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wonderful song, God's daughter tunzwa daimaa na ukue zaidi samaaaa
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
dada janeth ue have done a great thing,, congratulations for dat dada hakika wimbo una bariki MUNGU ainue huduma yako,, honger dada
Amen mama🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Aminaaa
Safi sna ❤
Hongela sana nyimbo nzurie
Mungu akuinue viwango vikubwa zaidi dada angu, HAKIKA kazi yako ni njema sana.
Amen big chair 😌😌😌😌😌😌😌
Mungu azidi kukuongoza dada Janeth safari hii haujaanzisha wewe bali MUNGU ndo kaianzisha na ndio atakae imaliza 🙏🙏
Hakika🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Congratulations mom,we deliver the message,Mungu kweli anawezaa
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
I like this song 👌.. Go bless you
Another's level so amazing
Bwana awainue kila kukicha katika huduma Yenu wimbo mzuri binafsi nimebarikiwa.
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 nisaidie ku share mtu wa Mungu 😌😌😌
Hongern xana ,,,,Mungu awatumie Zaid nakuwapandixha viwango vya juu gud song
Amen
Ameeeeeeen mmenibariki sana, Mungu azidi kuwatumia katika kazi yake 🙏🙏
Amen Amen😌😌😌😌
Mungu akuinue zaidi dada yangu, am so happy for you moree blessings
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
This is an incredible song, Well done Miss Janeth.Mungu aendelee kukuinua zaidi.
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kazi nzuri mliyoifanya Bwana awabariki sana🙏🙏
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Unajua alafu unajua tenah ubarikiwe sana Janeth nkisikiaga ukiimba nabarikiwa sana
Barikiwa sanaaaa
Utukufuuuu kwa mungu daima Binti sayuniiii nakuona mbaliiii sanaaa
Amen Amen 🙏😌
Amazing dadaangu......hatunamashaka nae kabisa😁 anamambo take flani very amazing...moja ikiwa ni kukufikisha hapa....Mungu akuinue sana
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Anaweza yesu kbs
Nice song janeth mungu akufikishe viwango vya juu
AMEN AMEN 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wimbo mzuri sanaaa
Jamaniii hongeraaaa sana dada yanguuu....hatua nzuriii na MUNGU awafungulue NJIA mfike mbaliiii🙏🙏👏
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wimbo unaleta Mpaka hamu ya Kula😀....Mungu azidi Kukupandisha viwango Janeth & Rachel🧎
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hongerah Sana , Bwana alufikishe kwenye shauku ya moyo wako
Amen Ev. Gift Sanga🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Janet Mungu awabariki nyote mlioshirikiana kwenye wimbo huu
Amen Amen
Hakika Yesu anaweza. Ubarikiwe sana
Amen Amen utukufu kwa MUNGU tuh mummy
Madam nimeiona kazi njema by servant kenedy
Congratulations my daughter 👏👏 nimwbarikiwa Sana na wimbo huu, hakika Mungu anaweza
Amen Amen Mama🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kwakweri anaweza
Good work you did My friend nmebarikiwa sana na huu wimbo ase, mungu akupganie ufike mbali . Congratulations 👏👏👏👏👏
Asantee Sanaaaa.
Ameeeeeen😌😌😌😌😌
Pouwaaaaaaa 👊👊
Nakuona ukienda mbali sana, Let it be done for you. Hakika Yesu anaweza wala atuna mashaka na yeye, BLESSED BE UPON OF YOU.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hakika Mungu anaweza! Hongera sana kwa hatua hii njema ya kutumika ktk kusudi la Mungu. Hongera my daughter. God bless you. What a blessing song!
Amen Daddy 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hakika yesu anawez asanten kwa ujumbe mzuri
Amen
Hakika Mungu akuinue viwango vingine zaidiiii
Amen Amen
Hakika Mungu anaweza, hongera sana Janeth
Asantee mom
Aiiiyeeeeee!!! Waweza YESU hujawahi KUSHINDWA sina mashaka nawe🙌
Well done mtu wa MUNGU
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😌
Unajua unajua unajua tena wounderful hongera sana blessed dear🙏🙏
Hakika utukufu kwa Mungu anaye niwezesha🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️
Ubarikiwe bint yangu. Wimbo ni mzuri saaaana
Amen Kaka mkubwa
Ubarikiwe Janeth kwa ujumbe mzr
Amen Amen utukufu kwa MUNGU
Story nzuri sana
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😌
Hongera sana Mdogo wangu,, Nabarikiwa na wimbo huu ❤️❤️❤️
Utukufu kwa Mungu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Blessed upo u..Mollel na ur frnd it's really good
Amen
🙏🤲🤲 Blessed
Mungu Akuinue My Dear💯💥💥💥
Amen
Mungu azidi kuwainua wadogo zangu 🥰🥰🥰
Amen Dada
Woooooow hakika Mungu anaweza..great song namuona Yesu katika ujumbe huu na hakikaa mtafika mbalii
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hongera San mtumishi wa mung barikiwa sana
Amen mpendwa wangu
Hongera sana best hakika Mungu anaweza
Amen
MUNGU hakika anaweza na pia atawawezesha mfike mbali MUNGU awatangulie
Amen Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hakika Yesu aweza 🙏🙏
Yes Yesu anaweza yote
@@ChantalNIZIGIYIMANA-w9y AMEN AMEN.
Hakika
Our new star in Gospel❤❤
Glory to God🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wooooooow be blessed my love 🥰🥰🥰
Amen
Blessed so much servant of God
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
God is Good continue don't give up
🙏
congrats ma cc !!!❤keep going!!
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu akutangulie dada big up sana
Amen
Amina hakika Mungu aweza!
Amen
Hongera sana waimbaji wakubwa wa mbeleni hakika wimbo wenu ni wa faraja kubwa sana na ni wimbo ambao hauna mwisho maana kila muda tunapita kwenye matatizo lakini yeye Yesu anatusaidiakwa neema yake.
Umetisha sana wakati wa kuondoka. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Amen Amen. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Aweza Yesu
Hakika anayaweza yote yasiyowezekana kwa nguvu za kibinadamu. Nimeickiliza nyimbo hii vzr nahc kubarikiwa kiukweli Mungu awabariki sana.
Keep pushing🔥🔥🔥🔥🔥
#anaweza
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ubarikiwe janeth hutoishia hapo
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
What a wonderful song that gives an inspiration 🔥🔥 🔥 (Amazing)
Barikiwa baba mshika 🎹🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Waweza ki🙏🔥🔥🔥🔥😘😘🔥
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu azidi kukuinua zaidi
Amen Amen kaka
Ameen,MUNGU awabariki kwa wimbo mzuri hakika
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
God bless you mate I love this song
Be blessed more
Amen 🙏 wimbo unautukufu🔥🔥💪
Utukufu kwa Mungu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😌😌😌
God blessed much🥰🥰
Amen mom
I love it congratulations ur the super star ⭐ my sister
🙏🏻🙏🏻🙏🏻😌😌😌😌
May the Almighty God bless you more N more! #Waweza👍 Awesome song.. Keep moving Ladies💪🙏
Amen🙏🏻🙏🏻
Haleluuuuuuuya, Mungu awabariki na awape hatua nyingine zaidi. ❤️
Amen mama🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hakika Mungu anweza
Barikiwa sanaaa mtumishi wa Baba 🙏🏻
God bless you, more step up 🙌🙏
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hakika Mungu anaweza,,,,,Big up sana my Jane always am happy for you kipenz ,,,,,great song mama,,,, Kama awezavyo Mungu daima akuwezeshe zaid yaan ndo tumeanza👏👏❣Nakupenda.
Asantee kipenzi.
Heshima na utukufu nikwa Mungu anaye tuwezesha tuh.
❣️❣️❣️❣️❣️
The God did again congratulations
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😌
This is supercalifragilisticexpialidocious 🤩🤩🤩😍😍✨....May God bless you ladies abundantly.
😂😅🙌🙌🙌
Amen Amen mama mwenye utu wake.
I'm receiving it😌😌😌😌