Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu.. Maa Shaa Allah,,,Allah awahifadhi nawapenda sana,,, yellow t-shirt mswiba,, alhamdulillah kwa neema ya Uislamu
Huyo Martin ni mbishi sana na wala hataki kutumia akili😅😅 hawa watatu nawaombea Allah awape hidaya. Martin, Shadrack na David. Na Allah atuongoze sote inshallah.
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Wengi wanao toa ahadi watakuja Kesho Yake huwa hawarudi . Aliyesema Akisomewa Andiko ( Aliyesema ameokoka ) lake ndio atarudi Hajaonekana 😂😂 Barakallahu feekum nyote
Asalaam alaikum, my favourite team. Alhamdulillah, I got a new thing again today. "Yesu anawezaje kuwa mkristo na wakati" ukristo ni kumfuata yesu?" Good question. Listening you from Tanzania 🇹🇿 👌
@ lakini mwanzo kwa nn waskisome kitabu chao mwanzo wakielewe kam mm niko hapa North America watoto wamekatazwa kusoma bibilia shuleni na hizi nchi ni wa kristo kwa nn?
Brother Salim mwambie huyo anaekuuliza kitabu cha hadith yuataka kitabu cha nani. Mwambie Kuna collectors tofauti wa hadith za mtume (swa) . The main ones ambao wanakubalika na ma imam wanaitwa sahihi Sita. Yaani the six collectors of hadith ambao Ni kina 1 Imam Bukhari 2 Imam Muslim 3 Imam Tirmidhi 4 Imam Ibn Maja 5 Imam Abu Dawud 6 Imam Al - Nisai These are refered to as The Six authentic books of hadith in Sunni Islam. The Shia have come up with their own books of hadith. Before this six collectors ware the Musnad Ahmad a small collection of hadith by Imam Ahmad. Also Al Muwatta which is also a small earlier collection by Imam Malik. The Six great collectors come after the four great Sunni Imams. So huyo jamaa anataka kitabu gani cha hadithi katika hao Sita wanaoaminika. Yeye ametumwa na hajui anacho uliza. Halafu mwabie hadithi is not just what the prophet said but also what the sahaba used to see him do or approved what he saw the sahabas doing and told them is ok . Sahihi maana yake authentic in English . Tunatumia neno hilo hilo Kiswahili .
Waleikum salaam warahmatullah wabarakatuh
Nawapenda kwa anjili ya Allah
Tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
Masha Allah sheikh salim Allah atupe mwisho mwema na atupe pepo yake tukufu ya firdausi ishallah
Aameen ameen ameen sote
Wakwanzaaaaaaa taqbiriiiiiiiiiii
😅😂😅 Allahu Akbar. Mashallah. Mabrouk
@@HisMajesty64🫡Alhamdulillah wallah
Tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu.. Maa Shaa Allah,,,Allah awahifadhi nawapenda sana,,, yellow t-shirt mswiba,, alhamdulillah kwa neema ya Uislamu
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen sote
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana nimefurahi kuwaona tena ❤❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Mabruk..
Huyo Martin ni mbishi sana na wala hataki kutumia akili😅😅 hawa watatu nawaombea Allah awape hidaya.
Martin, Shadrack na David.
Na Allah atuongoze sote inshallah.
Waarakallah fiik alla s.w awalipe ujira kaamil tukutane sote katika hodhi la mtume Muhammad s.a.w inshallah taala
Aameen ameen ameen sote
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu ayyuhal ikhwanil qiram. Allahumma Barik
Aameen ameen ameen sote
ALHAMDULILLAH
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
Wengi wanao toa ahadi watakuja Kesho Yake huwa hawarudi . Aliyesema Akisomewa Andiko ( Aliyesema ameokoka ) lake ndio atarudi Hajaonekana 😂😂
Barakallahu feekum nyote
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ndio kawaida yao
Mash'Allah ❤
مشأ الله تبارك الله
Allah akubariki
Aameen ameen ameen
BaarakAllahu fiikum.
Sheikh salim tunafurahia kazi.
Alhamdulillah
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Mansha ALLAH
Asalam aleikum Jana nimengoja sana
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu. Tulikua wengi😅
Tupo wengi waleykm msaalaaam warahma Tullwah wabaraqt ❤❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Uyu shadrak huaga hana hoja kila siku yye ni kubishana tu😢😢
Tshirt white ni MUUZA SURA . hana swali isipokuwa anapenda CAMERA tu.😅😅😅😅😅
😂
😂😂😂
Jana kuliendaje sh:Salim
Shuguli kindogo za kazi tukachelewa
Sauti yenu chini sana
Masha Allah
Huyo Kijana hakuja kuelimika, bali ni mbishi tu. Achana nae akautumikie moto wa Jahannamu.
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Asalam alaikum sheikh. Wetu maswali yakipuuzi. Jamaa kakimbia
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Asalaam alaikum, my favourite team. Alhamdulillah, I got a new thing again today. "Yesu anawezaje kuwa mkristo na wakati" ukristo ni kumfuata yesu?" Good question. Listening you from Tanzania 🇹🇿 👌
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakat Iyi 26:27 sheikh ni kitabu Gani
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh matendo ya Mitume
Allahu Mubarak
Asc
Allahamdhulla
Hawa makristo wakija hapo wako confidence wakijibiwa ni kama simba alinyeshwa na hawajui bibilia lakini wajua Quran hiyo ni shida
Quran sikua wanaijua ni aya wanzitaftia ubishi lkn wakisomewa wanaumbuka sio vile wanavofikiria kua ni point ya maana
@ lakini mwanzo kwa nn waskisome kitabu chao mwanzo wakielewe kam mm niko hapa North America watoto wamekatazwa kusoma bibilia shuleni na hizi nchi ni wa kristo kwa nn?
Maskini wakristo Allah awafungue kifua na macho waone haki
Aameen ameen ameen
Sh:Hassan amepona ama mbna sijaona 4long
Yuko pale anketi lakini aonyesha bado Alhamdhulilah
Peponi hakuna kitu ambacho ukila ama ukinywa kitakuletea madhara na huko ni vitu vya halali tu nd vinavyopatikan
Brother Salim mwambie huyo anaekuuliza kitabu cha hadith yuataka kitabu cha nani. Mwambie Kuna collectors tofauti wa hadith za mtume (swa) . The main ones ambao wanakubalika na ma imam wanaitwa sahihi Sita.
Yaani the six collectors of hadith ambao Ni kina
1 Imam Bukhari
2 Imam Muslim
3 Imam Tirmidhi
4 Imam Ibn Maja
5 Imam Abu Dawud
6 Imam Al - Nisai
These are refered to as The Six authentic books of hadith in Sunni Islam. The Shia have come up with their own books of hadith.
Before this six collectors ware the
Musnad Ahmad a small collection of hadith by Imam Ahmad. Also Al Muwatta which is also a small earlier collection by Imam Malik.
The Six great collectors come after the four great Sunni Imams.
So huyo jamaa anataka kitabu gani cha hadithi katika hao Sita wanaoaminika. Yeye ametumwa na hajui anacho uliza.
Halafu mwabie hadithi is not just what the prophet said but also what the sahaba used to see him do or approved what he saw the sahabas doing and told them is ok .
Sahihi maana yake authentic in English . Tunatumia neno hilo hilo Kiswahili .
MA Sha allah mungu awajazii herii