Sheikh Salim naomba nitoe mapendekezo, wakristo wengi ukiwauliza kwanini ni wakristo wanasema "nimezaliwa hivyo na wazazi wangu ni wakristo" . Suratul Zukhruf ina aya nyingi sana zenye kufafanua maswali haya yakufata wazazi.
Hakuna nchi ya kiislamu inayonyima wanawake kusoma. Hata wanawake wanakuwa polisi na askari wa jela. Airport pia kuna wanawake wanafanya search kwa wanawake sio mwanaume anafanya search. Just imagine, kama wanawake na wanaume wamekatazwa kukaa pamoja miskitini, vipi mwaanaume daktari akubaliwe afanye mambo ya gnaecolgy kwa mwanamke? wacha kiislamu, hata nchi ambazo sio kiislamu hawakubali mwanaume amfanyie search kwa mwanamke.
Masha allah, shekh salim allah akuzidishie elmu yenye manufaa, unafunza vzr sana hadi raha napenda natamani ata hii daawa isiishe
Masha Allah
Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu ayyuhal ikhwanil qiram
Masha Allah tabarakallah haki inazidi kung'aa Alhmdulillah 🤲 aki mmoja ukihitaji stara nipe nimstiri bora ameona haki insha Allah
Swadakta
Masha Allah
Naona sheikh salim mashallah kiarabu chapanda👏
Mashaallah baarakallah fiq
Shekh Salim, ndiye kiboko ya Wakristo wabishi wasiotaka kuelimika kuujua ukweli. Inshaallah tunakuombea heri na mafanikio mema, wewe na Wenzako wote mnao toa mafunzo ktk Da'awa.
Mashallah ❤❤❤❤
Skiza habari
Napenda sana hii sikiza hbariiiiiii😊😊😊😊
Naipenda xana sikiza habari bila io nno sijaona ustadh salim❤
Chwaaaaa!
Allah amuogoze kaka aliesilim afe akiwa muislam kamili nasote amiin
Aamiin amiin amiin sote
Masha allahy Sheikh Salim Na Masheikh Wengine
Mashallah 👌
Sheikh Salim naomba nitoe mapendekezo, wakristo wengi ukiwauliza kwanini ni wakristo wanasema "nimezaliwa hivyo na wazazi wangu ni wakristo" . Suratul Zukhruf ina aya nyingi sana zenye kufafanua maswali haya yakufata wazazi.
Inn shaa Allah
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh MashaAllah Allahu akbar ❤leo nimefurahi kuwaona tena
Walykum msalam warahmatullahi wabarakaatuh
Masha Allah
Allah abariki kwa kazi njema mnafanya ya dawah Allah awaifadhi Inshaallah
Aamiin amiiin amiiin sote
😊😊😊😊😊mchungaji kakatazwa kuvaa nguo😂😂😂 nimwendo wa magunia tu ebo👌
ALLAHU AKBAR ❤
MashaAllah Sheikh Salim Allah akujaze kheri inshaAllah
Allah Akbar......wakiijua haki wanaifuata ndivyo alivyosema Allah katika kitabu chake kitukufu Cha Qur'an
Wacalekuma salaam
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Alhamdulillah Allah awaongoze hadi mwisho wa uhai wao
Aamiin amiiin amiiin sote
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Allhamdullilah
Allahamdhulla
Allahu akbar Allah atupe mwisho mwema
Aamiin amiiin amiiin sote
Assalamu Alykum Napenda Sheikh Salim anapouliza ...Dini yako ? Jawabu Mkisto Mmmmm Mkriiiiisto 😂😂
Walykum wabarakatuh warahmatullah wabarakatuh 😂🤣😂
Mashallah
Allah awalipe kila kheri wahadhiri
Aamiin amiiin amiiin sote
Hakuna nchi ya kiislamu inayonyima wanawake kusoma. Hata wanawake wanakuwa polisi na askari wa jela. Airport pia kuna wanawake wanafanya search kwa wanawake sio mwanaume anafanya search. Just imagine, kama wanawake na wanaume wamekatazwa kukaa pamoja miskitini, vipi mwaanaume daktari akubaliwe afanye mambo ya gnaecolgy kwa mwanamke? wacha kiislamu, hata nchi ambazo sio kiislamu hawakubali mwanaume amfanyie search kwa mwanamke.
Sikia Habari
Allahu akbar
Waleikum salaam
Mbarikiwe team daawah
Aamiin amiin amiin sote
MshaAllah Salim Wa ilimishe
Mpaka waelewe inn shaa Allah
Waambie ukweli
Lebanon hakuna kitu kama hicho, wewe mzee muongo
Mashaallah
Waambie ukweli