KILIMO CHA MIGOMBA, NJIA MBADALA ZA MBOLEA, NAMNA YA UPANDAJI, MAZAO YA KUCHANGANYIA | KilimoPro

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 8

  • @husseinhamisimwindadi2211
    @husseinhamisimwindadi2211 2 месяца назад

    Hongera sana ,kazi ukiipenda itakulinda,SHAMBA lako linavutia!

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 2 месяца назад +1

    hongera sana baba mungu akulinde kwenye kazi yako

  • @dorcasassenga2005
    @dorcasassenga2005 2 месяца назад +1

    Hongera sana jamani. Kazi nzuri. Umasikini bye bye

    • @KilimoProTanzania
      @KilimoProTanzania  2 месяца назад

      @@dorcasassenga2005 Asante, endelea kufuatilia vipindi vyetu!

  • @BensonTemu-h6h
    @BensonTemu-h6h 14 дней назад

    Hakuna ndizi kubwa na bora bila mbolea. Miche ni midhaifu kwa sababu hajatia mbole/samadi. Watu wa moro wamedanganywa kuwa ardhi yao haihitaji mbolea jambo ambalo sio kweli

    • @HellenaMahundu
      @HellenaMahundu 14 дней назад

      Naomba niulizie kama ctaki kutumia mbolea ya ng'ombe au mnyama hakuna mbolea za dukan?