Leo nimelia Sana sababu ya umasikini ,yaani nadharaulika sababu ya umasikini ad nimekuj kusikiliza hii nyimbo mwenyezi mungu tuone watu wote tunaoitwa masikini🙏🙏🙏📖📖📖📖🙏🙏
Amen bro exactly but don't give up God will be with you always and forever am blessed with this song nice may God bless you go ahead am listening from Uganda country amen
May almighty God bless you Denno together with the singer huu wimbo umenifanya nikumbuke mbali😩😓Upendo wa Maulana tosha.kilio n cha usiku furaha ya mchana. Singer u have bright bright future🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ni kweli umaskini Ni mbaya,lakini Mungu adharau mtu, God bless you Onyango for the encouraging message in the song.Its true, CPA finalist, ongoing degree fourth year but struggling with umasikini still working as security guard. Mr Denno God bless you, you are such blessing to many families
My brother Dennis Onyamo keep the spirit may God bless you Mike Otieno trust in God poverty is not permanent real love the song. wimbo unanifanya nafikilia kwenye nimetoka na family yangu 😢😢😭
May God bless u brother Dennis....otieno your life will never be the same again u r going to give more testimony I like your faith God will never forsake you
Uuuuui deno you have done it more than blessings congrats ndugu maiko you will go far mungu wa amani akuinuie bro keep moving forward with Jesus Christ
Sikujua utaniibia aki mike otieno mungu wangu atakulipa Kwa ulinifanyia , no no no😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Leo nimelia Sana sababu ya umasikini ,yaani nadharaulika sababu ya umasikini ad nimekuj kusikiliza hii nyimbo mwenyezi mungu tuone watu wote tunaoitwa masikini🙏🙏🙏📖📖📖📖🙏🙏
Amen bro exactly but don't give up God will be with you always and forever am blessed with this song nice may God bless you go ahead am listening from Uganda country amen
Mungu yupo na wewe atatenda bila wewe kujua usikate tamaa maana kukata tamaa Ni dhambi kubwa Sana mtegemee mungu kwa Kila wakati Amen
May almighty God bless you
Denno together with the singer huu wimbo umenifanya nikumbuke mbali😩😓Upendo wa Maulana tosha.kilio n cha usiku furaha ya mchana. Singer u have bright bright future🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Thank you Deno otieno gooooo umaskini ni mbaya Aki but God is faithful
Wauuuuuuu nice song otioni...ni wimbo wa kutoa machozi
Amen umasikini nimekaa katika Jina la yeso be blessed Na uende mbali
Bro umenikumbusha mahali nimepitia tangu baba mzazi aniache lakin mungu yupo kwa sasa nko Baghdad Iraq kwa neema ya mungu Niko sawa kabisa👏👏👏👏🙏💯
Kweli pia nko lraq Bagdad
Baghdad
@@sweefaith2464 kweli? uko pande ngani mm nko hapa basra
@@robertmaingi4635 mimi niko Basrah
@@krystynaha2455 pande ngani 😂nkutembelee
Ni kweli umaskini Ni mbaya,lakini Mungu adharau mtu, God bless you Onyango for the encouraging message in the song.Its true, CPA finalist, ongoing degree fourth year but struggling with umasikini still working as security guard. Mr Denno God bless you, you are such blessing to many families
My brother Dennis Onyamo keep the spirit may God bless you Mike Otieno trust in God poverty is not permanent real love the song. wimbo unanifanya nafikilia kwenye nimetoka na family yangu
😢😢😭
I love it bro
We have passed alot inthis world maiko god will fight for you and your life will change completely
Wimbo wa kufutia ni kweli umasikini mbaaaya mungu kwaza ubarikiwe ndugu
Waaa maisha nilio pitia Aki mungu hajawai wacha mutu wake hengera Sana kwa wimbo mzuri barikiwa Sana🔥🔥🔥
Kabisa aliye juu siku moja utakuta chini🙏🙏🙏
Asante kaka barikiwa sana wimbo wako unanifunza kutia bidii nakymshukuru mungu kwa vyote
Ni kweli kakangu iam happy and blessed you can sing more
Hata nashanga is the song, may God bless you people, hawazidishie sana popote muendapo na chochote mnaguza iwe ya baraka, nawapenda bure jamani
OMG. The singer comes from my area. I know things are coming to be wonderful
Nalaani roho umaskini kwa jina la Yesu Kristo
Umaskin ni mbaya wapendwa bro Michael God bless and Denno God bless you for the good job you are doing 👏👏👏👏
I thank God 🙏🙏🙏 I have been looking for this song for so long but at last it's here 👇. Thanks so much maiko otieno for the good work.Denno keep it up
Gaki Dennis be blessed for the good work waaaah
Mungu anajua mbona umeyapitia hayo my brother God bless you for a good song
Hii dio type ya gospel tunahitaji...congratulations my brother
Nimebarikiwa na huu wimbo nikiwa meru,brother be blessed
hiyo wimbo ni ukweli umasikini ni kitu kibaya kabisa ubarikiwe broo mungu akuinue
Nmetafuta Huu wimbo for so long finally here it is..... Michael may God bless you...far you are going..... Dennis Pia Mungu akuzidishie mengi
Umasikini mbaya Sana but tusikate tamaa kumuomba mungu atatujaalia utajiri wa heri
Ongesea nyimbo nyingi ata mimi huu wimbo umenigusa sana
Nailed it bro ata mm niliitwa mchawi kwa sababu ya umasikini,umasikini mbaya jamani
Amen God is good mungu in mwema
Poverty is not permanent my brother...... He's soon lifting you....wau hadi umetukumbuka tulio ng'ambo..barikiwa umenikumbusha Mbali
Ukweli kabisa wimbo mzuri ndugu otieno
Amen
Sauti nzuri sana,,, Michael u are sincerely blessed with a wonderful talent. God bless you. 🙏🙏
Nikweli kabisa lakini mungu anapenda kila mutu maskini hata tajiri wote kwake ni sawa
May God bless u brother Dennis....otieno your life will never be the same again u r going to give more testimony I like your faith God will never forsake you
Dennis Onyamo you are an angel to many,,,,,, Be blessed abundantly Denno....................Michael you will go far bro
I have been there don't worry God's time is the best
Be blessed alot God support you we need more songs
God is good all the time atakusaidia man
Amen kabisa wimbo huo unafunza sana
Be blessed deno for supporting this song by otieno, u are an angel used by God🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Thank you brother deno may God bless you to support this wimbo umaskini
Amen.. I pray that God bless u and your family bro Dennis🙏🙏I really appreciate ur gud work.
Nice song bro keep it up na ubarikiwe Sana 🙏🙏
Man is not limited. Quiet talented. God bless.
Finally!!!Denno you are a leader,may our good lord bless you beyond expectations,amazing song.
Finally he has dropped it❤❤❤poverty is a big crisis
Mungu azidi Kukuinua ndugu utaenda mbali nilipitia umasikini bt Sai nko out of Kenya barikiwa sanaa
SIFA SIMURUDIE MUNGU MWENYE NGUVU KUPITIA WIMBO HUU.🙏🙏🙏🙏
You have touched me and my family
Denno indeed you are an angel from God you will never lack 🙏🙏🙏🙏otieno we are waiting for more
Very true brother niliiitwa mchawi juu ya nyumba nilioishi ,😭😭 Asante Jehovah for this far
Pole Dada, trust God always
Nice msg, God remember your people
Umaskini ni mbaya indeed. Nice song
True mm nilipitia umaskini lakini sahivi Niko 🇺🇸
True my dear umaskini ni mbaya sana mtu asiwai ombea ata adui yake kuwa
Umenikumbuza mbali ...bt mungu yuko
Congratulations otieno its true umaskini ni ugonjwa baya
Thankyou Jesus Christ for this great victory,you are blessed man of God thankyou for those who supported this brother
Finally the song is with mi, a really touching song . Michael big ups Gods tym is the best . Bro Deno we r proud of u.
Denno ,May our Heavenly Father bless you abundantly 🙏🙏Go Otieno gooooo bro mataifa lazima wajue kuna Mungu..🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
God bless you bro onyamo Otieno 👆👆👆👆THERE'S GOD IN HEAVEN keep going 👏👏👏👏👏
Demo mungu akubariki sana finary tumepata hi wimbo.God bless you.
Indeed inspiring song
Umasikini ni kitu mbaya sana
Otieno and bro Dennis be blessed alot
Ogotera okuya sana ave been looking for this song thanks for aploading
Sema nom
Absolutely amazing ❣❣thankful grateful blessings
Am indeed blessed with your song...Success!!
God bless you brother amen
Amen, GOD bless you oti
Nice song.... Thank you so much for posting this l was looking for the mwimbaji for long stay blessed
Finally. B blessed Deno. U r an angel on earth
Mary kerubo Ukweli ndugu mungu ndiye muweza barikiwa sana
Nice song bro with agood msg be blessed
This guy mungu amubariki sana
Congratulations otieno God will assist you.. Denno God bless you good job.
Kweli umaskini ni mpaya sana 😭 thanks Dennoh for supporting the guy through you tumepata the song God bless you abundantly
Uuuuui deno you have done it more than blessings congrats ndugu maiko you will go far mungu wa amani akuinuie bro keep moving forward with Jesus Christ
Mungu anaweza jibu yote ,Asante bro Dennis to find this guy .
Asante yesu,am blessed this morning....barikiwa ndugu...
In God you are richly blessed bro Dennis
Good song listening from U.S
Wow what a nice song aki😍
Bro mungu yupo siku oja atatenda makubwa kwako
Nice song bro God bless you 🙏🙏
Ohh God' of Nazareth 👏👏👏👏👏👏🙋🙋🙋🙋 thanks brother , nice song 💯💯💯💯 God bless you more , it has a good message.
Woow good jop thank you denno for supporting this guy
Asante sana Maiko Otieno.
Amen brother ,mungu hatakuwacha kamwe
Mimi nimewai Itwa Mwizi wa kuku na Sijai ibaa kuku ya mtuu tangu utotoni..Umaskini ni mbaya Jameni
Wimbo poa sana mungu akubariki na akufungulie milango otieno
Congratulations otieno God will never forget you be blessed
Glory to God, bro Denno may expand your territories.
Mungu Nimweza
This is really God given. The song is heart touching.
yes its heart hurting but indeed it is good💪🙏🙏🔥
@@dorothysyombua8395thanks
Amen nice song i like it my God bless you and open your doors brother
Asante kwa ujumbe mzuri ndugu wengi tutainuliwa na huu ushuda mungu afunguwe milango zako ndugu
Very powerful song with alot of teaching watching through RUclips in Qatar
God bless you and god will provide for you good luck with you
Listening from Nairobi
Good Mr.Dennoh even though I don't no u bt u a doing great job keep on helping those who need help n God will bless u abundantly.
Good work bro Denno otieno don't worry mungu si mchoyo
Mungu akubariki dungu yangu