🔥🔥 Amen ata mimi naiona neema ya mungu ikininua ni nyimbo nzuri sana na yakutia moyo kutoka 🇰🇪🇰🇪 tuna mkubari mtumishi Aniset butati kama unamkubari nione like yako tu barikiwa nyote 🙏🙏🙏
Huu mwaka tayari napitia magumu sana ila nina imani kabla mwaka kuisha nitakua nimeona neema ya mungu maana mimi sio mtumwa wa matatizo ila chaguo la Mwenyezi Mungu. Niombeeni ndugu zangu haya yatapita tu siku moja. Mzidi kuniombea jamani♥️ sitakufa ila nitaishi kuona wema wa bwana
Mwaka huu sijui ni uzuri au ni ubaya lakini cha kufanya ombeni Mungu Sasa basi wakwanza leo naombeni 💯 likes zangu please God bless you 🙏🙏🤦😭😭📖📖I love you 🇯🇲🇯🇲🇧🇮🇰🇪🇨🇮🇧🇷🇺🇸🇺🇸🇺🇬
Glory to God, nakosa neno lenye uzito kiasi cha kueleweka huu wimbo ni lango langu navuka naingia msimu mpya naiona Neema kwakweli Mungu ataniinua sitabaki kama nilivyo.Oooh my living God raise me up. Barikiwa kk Aniseti🏇🏇
Kama ww unamkubali Aniset Butati tujuane Kwa Like song ni 🔥🔥🔥
Am here 🇰🇪🇰🇪🤲🤲🤲🙏
Halima Edison
🎉
From Kenya am ohangla gospel rhumba huu mwaka tunaona neema mafuriko itaisha in Jesus name neema imetosha nipewe likes mukinifuata😊
Amen
Ndio kufik kutok kwa mafurik
Nyimbo Nzuri Sana Imejaa Uwepo Wa Mungu Video iliyojaa ubunifu wa Nje ya Boks ni Vile Hawakutegemea Nikubwa Sana Naiona Neema🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen amen
🎉🎉🎉🎉ni mekukumbuka sana mdogo wangu mtumishi wimbo huu umenibariki sana mm hakika mbarikiwe sana wote munaoni baliki mm isaya
🔥🔥 Amen ata mimi naiona neema ya mungu ikininua ni nyimbo nzuri sana na yakutia moyo kutoka 🇰🇪🇰🇪 tuna mkubari mtumishi Aniset butati kama unamkubari nione like yako tu barikiwa nyote 🙏🙏🙏
Amen🙏🙏
Amina
Huu mwaka tayari napitia magumu sana ila nina imani kabla mwaka kuisha nitakua nimeona neema ya mungu maana mimi sio mtumwa wa matatizo ila chaguo la Mwenyezi Mungu. Niombeeni ndugu zangu haya yatapita tu siku moja. Mzidi kuniombea jamani♥️ sitakufa ila nitaishi kuona wema wa bwana
Amen amen
Kweli n nema
Nice nyimbo Tanzania tumebarikiwak kwauimbaji mzuri ongeza bidi mungu yupo pamojana sisi amen
Amen asante
Hallelujah. Naiona Neema mwaka huu. Licha ya mafuriko na mambo mengi nchini Kenya Mimi naona neema na baraka. Asante kaka Aniset for the song
Amen amen
Ila Butati Mungu azidi kukupa kibali cha kufika mbali maana nyimbo zako zinanibariki sana sana
Amen Asante
MUNGU AKISEMA NDIO HAKUWA WA KUPINGA NAIONA NEEMA NEEMA YA MUNGU INAENDA KUNIINUA BUTATI UINILIWE ZAIDI
Amen amen
@@anisetbutati 🙏🙏🙏💪💪
Hakika naona neema yangu mwaka huu.
Amen amen
Barikiwa sana na ujumbe mzuri huu mtumishi
Imetosha,naomba mwaka ukawe wa kukumbukwa na Mungu.Asante mtumishi wa Mungu.
Amen amen
Naiona Neema ya Baba inaenda kuniinua mwaka huu.
Amen amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu butati wimbo huu unanibariki sana
Amen amen
Asante mungu tuondolee changamoto zote tunazopitia tuinue kichumi vilivyopotea turejeshe amina
Mtumish Aniset Mungu akubariki sana, you are a voice in your generation, much love from Kenya.
Amen amen amen ubarikiww sana kaka huu wimbo ni mzuri sana
Amen amen
Oui frère je re soit dans le précieux nom de Jésus Christ soit bénie.
Nyimbo zako zanibariki sana mtumishi Mungu akubaliki sana .Naiona neema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wewe ni Mti wenye matunda Matamu Bwana Yunaweeeee Daimaaa.
Amen amen
Mwaka huu naiona neema ya kuniinua Kwa viwango vingine
Amen amen
Powerful Message! Ili litimizike kwangu kwa Jina La Yesu
Amen amen🙏🙏
AMEN AMEN AMEN huu ni mwaka wangu wa kuinuliwa.
Amen amen
Amen sana
Hongera sana shangazi wimbo mzuri sana Ubarikiwe
Amen asante
Amina aniset huu wimbo unanifaliji na kunipa faraja
This is my year,there is grace, enough Grace
Mungu afanye mema haki this time in my life, naishiwa nguvu lakini najua Mungu aniona.
Blessed Saturday Brothers and Sisters
Na iwe hivyo🙏
Huu mwaka mungu nimelia sana imetosha
Umetisha Amen
🇰🇪🇰🇪Amen🤲🤲🤲🤲🙏🙏
Mtumish uzidi kubarikiwa sana by Gerald #geraldmavukiro
safi sana mweshimiwa
Amen🙏
Kazi nzuri sana mtumishi wa Mungu
Baraka za Mwenyezi Mungu sote🙏🙏
Mungu akubariki kwa kututoshea wimbo wa baraka kwetu🎉❤❤❤🕊🙏💃🎊🥰❤️
Amen amen
Ni kwa neema miaka yote
Hakika
Kazi nzuri sana brother aniseti mm Niko nyuma yako nafatilia kazi zako naamini ipo siku nitafikia level yako na napenda sana huduma yako
Amen karibu
Mwaka huu sijui ni uzuri au ni ubaya lakini cha kufanya ombeni Mungu Sasa basi wakwanza leo naombeni 💯 likes zangu please God bless you 🙏🙏🤦😭😭📖📖I love you 🇯🇲🇯🇲🇧🇮🇰🇪🇨🇮🇧🇷🇺🇸🇺🇸🇺🇬
Amen
Aniseti Mungu Akubariki Kwa ujumbe huu naomba Mungu anipe neema ya kufanya kolabo 1 kwaajil ya Bwana
Amen karibu
Napokea napokea
Huu ukawe Mwaka Wa Baraka kwangu
Amen
Hongera sana Mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri. Nyimbo zako zimejawa Neema kweli. Pokea upendo wetu kutoka hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪
Amen Asante sana
Kenya twqkupenda sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana rafiki yangu kwa maombi mazito blessed🙏
Amen amen
Hakika Mungu akutunze mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏
Huu naukawe mwaka wa baraka na ushuhuda kwangu
Wimbo niliokuwa nausubiri.Barikiwa sana mtumishi
Amen asante
hallelujah yesu wangu niokowe amazing songs amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 🙏🙏🙏 amen
Haujawahi kutuangusha pale inapofika mida ya kutoa huduma ya uimbaji💯
Bonge moja la wimbo umetuweza 🔥🔥
Ubarikiwe saana mtumishi wa Mungu anniset
Amen
Amen
Tunashukuru kwa nyimbo ya kutufariji mioyoni yetu muendelee kubalikiwa na Mungu azidi kuwainuwa kwa kipaji alichowapa🎉 kiendelee kukuwa
Amen amen
waooo barikiwa sana mwalimu wangu hakika naiona neema sasa 🎉
Amen asante
Barikiwa mtumishi wa MUNGU ❤❤❤
Nakukubali sana kaka takupataje tufanye hata korabo
Karibu studio ndugu
Joshua kutoka kenya nyimbo zako hunibariki sana
Wewe unanema saaaana juu uriopewa mapenzi tunakupenda kuakweliii
hallelujah ameeeeen 🙏🙏🙏 yesu wangu very nice one song amen 💪💪💪 hallelujah
Mungu na taka kuona neema yako Dani ya maisha ya ngu🙏🙏🙏
Hakika naiona neema na mwaka huu ni mpaka wa baraka kwangu🙏🙏🙏🙏🎤🎹🎸
Amen
Huuu mwaka Lazima nikumbukwe, Ameeeen
Amen
Huu mwaka wangu wakupokea ❤
Mwaka huu ni wa neema ya kupelekwa kiwango kingine🙏🙏🙏
kweli mungu hallelujah yesu wangu well done Butati amen 💪💪💪 hallelujah
Mungu naomba unisaidue huu mwaka
Amina 🙏🙏🙏
1:41 vraiment💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕🎉❤
Man of God you bless me with your songs which are heavenly breathed.
Wimbo wa kiunabii!! Sitabaki vile nilivyo!! Naiona neema mwaka huu!!🎉❤
Amen
Huu ukawe mwaka wa baraka kwanguu
Amen amen
Amen butati ndi murwanda ndagukunda kbx Imana igushyigikire
Leo asubui nimeona kweli neema
mungu na akubariki mtumishi ...huu mwaka kabla uishi Mungu anaenda kutenda makuu..imetosha.. neema ichukue ushukani
Amen Amen Amen huu ni mwaka wangu wa neema in JESUS name
Aksante kwa nyimbo hii. Nzambe atombolayo ndeko.
Hakika huu mwaka we are going to enjoy the blessing of or lord ,feel blessed bro Aniseti butati neema ikatoshe kwa kila jambo through the ministry
Kweli neema iwe kwangu kabisa
Amen
Amen barikiwa sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana.napokea katika jina la yesu
amen hallelujah thank jesus you are mighty God hallelujah 🙏🙏 amen nice song amen 💪💪🙏 hallelujah may God bless you amen 🙏🙏🙏
Amina huu ukawe mwaka wa baraka kwangu barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Kazi nzuri natamani iwe na mwendelezo
Hallelujah Hallelujah!!!! Huu ukawe Mwaka Wa Baraka Kwangu🤲 Katika Jina Kuu Lishindalo Majina Yote AMEN AMEN 🙌🙌
Amen amen
Amen akika neema inakwenda kuniinua 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏 mwako huu niwabaraka kwangu in Jesus name 🙏
Amina kubwa ujumbe mzuri
Kamanda ubarikiwe kazi yako njema kaka hakika wimbo uko vizuri ubarikiwe sana,neema inakwenda kuniiniuwa,
Amen amen
Mungu aubariki zaidi huu ujumbe wa kuiona neema amina
Amen barikiwa Sana mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe Mno kwa wimbo mzuri sana,
Amen! Neema ya Bwana Mungu wetu ya Tosha kabisa. Ubarikiwe Pia!!
Amen amen
Nyimbo zote za Moto Mungu amuinue zaidi Aniseti Butat❤❤
Amen
Amen amen napokeya baraka🎉🎉🎉
Glory to God, nakosa neno lenye uzito kiasi cha kueleweka huu wimbo ni lango langu navuka naingia msimu mpya naiona Neema kwakweli Mungu ataniinua sitabaki kama nilivyo.Oooh my living God raise me up. Barikiwa kk Aniseti🏇🏇
Amen amen🙏🙏
BARIKIWA SANAA
Ameni.kazi.nzuri.mtumi
Asante🙏
Amen, blessed Messege.🎉🎉
Amen
Wimbo mzuri sana bravo butati
Brother God bless you hujawai kukosea niombee tu nami nataka sana mwaka huu nije ofisini kwako kurekodi 🎉🎉🎉
Amen
Aaa nzuli sana nyimbo hii mtumishi wa Mungu ubalikiwe sana Mungu aendelee kukuinua viwango vya juu
Amen asante
Blessed rafiki yangu ubarikiwe kwa maombi mazur 🙏🙏🙏
Ubalikiwe sana tupo pamoja nawe uku Moçambique 🇲🇿🙏
Amen asante
❤❤❤lazima waniheshimu huu mwaka maana nimwaka wakuinuliwa kwangu, 🙌kazi nzur sana kaka
Amen amen
Wimbo huu, mzuri sana ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na kuinuliwa sana.
Amen amen