Aniset Butati-Fanya njia (Video lyrics) booking +255675197388

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 215

  • @florentnizeyimana2333
    @florentnizeyimana2333 Месяц назад +1

    Nyimbo tamu sana na masomo hapa Belgium (Brussel)❤🎉

  • @PapaTheKingKenya
    @PapaTheKingKenya Год назад +35

    Kenya we love this message 💘💘💘 🔥🔥🔥🔥 leteni likes , subscribers hapa kwa ndugu butati

  • @AlphaxadeNIZIGIYIMANA
    @AlphaxadeNIZIGIYIMANA Год назад +2

    Ukweli asante l love ou san nakubali nikiwa Burundi

  • @mirriamwambua8990
    @mirriamwambua8990 Год назад +4

    Mungu nifanyie jia kwa kazi yangu naona ngiza tu oooh my GOd

  • @MUSSA638
    @MUSSA638 Год назад +3

    Ulakoze chane Butati mwenewachu.mwenyezi Mungu akubariki.nyimbo zako zinanifariji.

  • @كارسكيني
    @كارسكيني Год назад +5

    🇰🇪😩mimi ni mukenya lakini niko Saudi 🇸🇦 nimesikiriza huu wimbo nasikia kulia

  • @davidarsen2392
    @davidarsen2392 Год назад +3

    Naomba likes nyingi hapa jamani wimbo mzuri ubarikiwe mtu wa Mungu, Bwana anafanya njia sasa

  • @PaulineGloria-kx9zy
    @PaulineGloria-kx9zy 5 месяцев назад

    Huu wimbo unitoa machozi😢😢😢😢😢😢😢😢😢 hakika Mungu afanye njia pasipo na njia

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 Год назад +2

    Mvua unyeshe au usinyeshe una uwezo wa kunibari 👏👏👏💃💃

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 Год назад +2

    Mungu akubariki, nyimbo zako zinakuaka na ujumbe mzito sana hua zina nibariki na zinanitia nguvu ya kusonga mbele kiimani.

    • @ruthinesspeter132
      @ruthinesspeter132 Год назад +1

      Kabisa zinatuinua mioyo

    • @JosseeNaftari-zg4nf
      @JosseeNaftari-zg4nf Год назад

      Hakika jumbe Zinatuvusha ,🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @JosseeNaftari-zg4nf
      @JosseeNaftari-zg4nf Год назад +1

      Fanya njia Yeau mwaka usipite

  • @DivineKwizera-le8or
    @DivineKwizera-le8or 3 месяца назад

    ❤❤nakupenda sana na nyimbo zako balikiwa sana tena n'a Mungu akufungulie Milango❤❤❤

  • @zilpabwenda8638
    @zilpabwenda8638 Год назад +1

    Mungu nisaidie nipate kaz na nianzishe kampuni yangu nimesoma nina degree lakini na maisha magumu sina kaz watu wananidharau sana😢😢😢 MUNGU NISAIDIE NAKUTUMAINIA WEWE

  • @danphordcosmas
    @danphordcosmas Год назад +3

    Alo nimekuwa wa kwanza kutazama

  • @butatimusicproduction2129
    @butatimusicproduction2129 Год назад +1

    Huu n mwaka wa kufanyiwa njia huu Ni mwaka wa kugunguliwa milango
    Milango ya mafanikio lazima ifunguliwe kwa jina la Yesu

  • @ncutiyanjehypolite7348
    @ncutiyanjehypolite7348 4 месяца назад

    kweri leo nimelia kwa kusikiliza huu wimbo,naomba mungu kafu'gue njia

  • @jonathanvyaranse2668
    @jonathanvyaranse2668 Год назад +2

    Fanya njia Bwana niombi langu Kwa MUNGU hongera sana brother MUNGU Azid kukuweka juuu

  • @ruthinesspeter132
    @ruthinesspeter132 Год назад

    Haya ni maombi yangu Yesu wangu nakuomba ufanye njia pasipo na njia nifungulie milango iliyofungwa na wates wangu

  • @defrosanelson6605
    @defrosanelson6605 11 месяцев назад

    Huu wimbo unaweza ukauona wa kawaida Ila ni wimbo mzuri Sana ukiwa unapita kwenye mapito 😭😭😭😭😭 mungu akubariki Sana nyimbo zako nazipenda naweza kupata namba zako mtumishi nitume sadaka nyimbo zako zinanibariki Sana 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🌹

  • @evaristamwinuka6494
    @evaristamwinuka6494 Год назад

    Daaaa! Hakika fanya njia Yesu wangu😭😭😭

  • @janviersobhane6492
    @janviersobhane6492 Год назад

    Hakika kwa Yesu ni amani tupu,hata kama hatuna kitu lakini tunaburudika ndani ya Yesu maana baraka zote kutoka kwako Bwana Yesu.

  • @meryyohana
    @meryyohana Год назад

    Amen nimebarikiwa mnoo yani kama unanisema Mimi MINGU AKUBARIKI. Fungus milango nichogusa kifanikiwe ameni

  • @InnocentAutumnTrees-ux1jj
    @InnocentAutumnTrees-ux1jj 8 месяцев назад

    Haleluhya wimbo mzuri wenye kunipa matumaini kunyeshe kusinyeshe bado unabariki jehova

  • @DamarisMumbua-u1p
    @DamarisMumbua-u1p 3 месяца назад

    Wimbo mzuri hakika unanitia moyo. Barikiwa sana butati

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Год назад +1

    Hakika Mungu fungua milango 🙏🙏🙏fanya njia Yehova shama .

  • @zakariakayanda8732
    @zakariakayanda8732 Год назад

    Fanya njia e Bwana kabla mwaka kuisha nisimamw nishuhudie matendo yako makuu uliyo yatenda amen,

  • @BasemeBakale
    @BasemeBakale 9 месяцев назад

    Naburudika nawimbo huu nikiwa drc mwenyezi mungu akuvike nguvu mtumishi

  • @dannymwepu
    @dannymwepu Год назад

    asante sana kwa mziki uyo ,zaidi mungu akusaidie juu upashe habari kwenye nyimbo

  • @NadineGentil-wj4zq
    @NadineGentil-wj4zq Год назад +4

    Burundi tunakupenda sana naomba wa fans wznzangu tujuwane weka mikono juu❤

  • @PapaTheKingKenya
    @PapaTheKingKenya Год назад +2

    Ni Mungu Tu anaweza

  • @philissimiyu2123
    @philissimiyu2123 Год назад

    God bless you Butati nimepata message on time thank you kwa ujumbe

  • @JacquesMusafiri-bn7kb
    @JacquesMusafiri-bn7kb 9 месяцев назад

    Bonjour grand aniset nakupenda sana kwa kazi yako naishi RDC

  • @aarpp4907
    @aarpp4907 Год назад

    😪😪😪fungua milango Yesu wangu tegemeo langu niwewe Mungu usiniaibishe 😭😭😭😭😭

  • @JaneNgimba-qn3dm
    @JaneNgimba-qn3dm Год назад

    Mungu afanye njia kweli,Hongera Mungu aendelee kukuinua

  • @rechelabisay2873
    @rechelabisay2873 Год назад +1

    Fanya njia Bwana Fungua Mirango Nakuomba 😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌

    • @zakariakayanda8732
      @zakariakayanda8732 Год назад

      Mungu anenda kufanya njia pasipo na njia

    • @zakariakayanda8732
      @zakariakayanda8732 Год назад

      Tuna Imani naye 🙏🙏🙏🏿🙏🏿🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @mambostephen4450
    @mambostephen4450 10 месяцев назад

    The reality of most of us ... We really need God to remember us.
    Wimbo una ombi zuri sana.

  • @كارسكيني
    @كارسكيني Год назад +1

    Kuna Wenye hawategemei Mungu Wana Maisha mazuri, lakini haitafanya nimuaje mungu wangu

    • @aarpp4907
      @aarpp4907 Год назад

      Kabisaa wakati ukifika na ssi Mungu atatujalia na maisha mazuri ,,tusikate tamaa😢🙏

  • @butatv6961
    @butatv6961 Год назад

    Tunabarikiwa kutokea hapa kazuramimba kigoma nimekusanya kijji tunaitazama fanya njia huku tukiamini Mungu anaenda kufungua milango kabla mwaka haujaisha huu

  • @harrisonlukwesa1365
    @harrisonlukwesa1365 6 месяцев назад

    BRO GOD BLESS U AND YOUR MINISTRY INDEED YOUR SONGS UPLIFT MANY SOULS LISTENING FROM ZAMBIA

  • @irusaviohletogesi5739
    @irusaviohletogesi5739 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤ the song you have the grace of God.God always is using to spread the Gospel to his people

  • @MwaaziElisha91
    @MwaaziElisha91 Год назад +3

    God will reward you with more blessings over this song getting you from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @toffimweka9130
    @toffimweka9130 Год назад

    Oh God make away for my progress 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much ❤❤❤ my brother God bless you.

  • @pamellahkemunto5387
    @pamellahkemunto5387 Год назад +7

    Our lives are transformed through your songs 🙏 Baraka tele

  • @isackzongela205
    @isackzongela205 Год назад

    kazi nzuri sana Mungu azidi kukubariki mtumishi

  • @julietkiriswa9064
    @julietkiriswa9064 Год назад +10

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nikama unajua chenye napitea ukamuwa uniongelele but najua mungu siku moja atabisha kwangu😭😭😭😭😭😭😭funguwa kwangu pia mungu

  • @ruthmusyoki8278
    @ruthmusyoki8278 Год назад +1

    Wimbo unabariki kweli kweli Baba Fanya njia ,nikumbuke bwana fungua milango Bwana

  • @puritymbithe4483
    @puritymbithe4483 Год назад

    Fanya njia nimekua mtu wa kuumizwa fungua njia amen Bwana fanya njia

  • @nashecybarooh981
    @nashecybarooh981 Год назад +1

    This song is so powerful and it has a great message and what I know is that God is going to open for me the doors that have be closed🙏🙏Aniseti may God bless you🙏🙏❤️

  • @johnkibambe3427
    @johnkibambe3427 Год назад +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wamungu

  • @researchwilson4473
    @researchwilson4473 Год назад +1

    Amen. Fungua milango Mungu wangu

  • @raphaeljohn4544
    @raphaeljohn4544 Год назад

    Mungu akubariki sana kaka angu kazi yako njema

  • @wilsonsamsonwilliams
    @wilsonsamsonwilliams Год назад +1

    Asante sana Kaka ujumbe umefika,mwenyezi mungu atufungulie milango ya mafanikio🙏🙏🙏

  • @mirriammaina7320
    @mirriammaina7320 Год назад +2

    I love your songs Butati, they really bless & encourage me. Be blessed. All the way from Kenya

  • @ConnieMarura-tl4zq
    @ConnieMarura-tl4zq Год назад

    Amina Amina Mtumishi wa Mungu✨..Hakuna jambo lisilowezekana mbele za Mungu yeye ni Mwaminifu atafanya njia. Barikiwa sana kwa huduma hii nzuri🙏

  • @kiksleimmashow
    @kiksleimmashow Год назад

    Nikihusikiza wimbo huu naona baraka mbele yangu🙏

  • @methodmeshack5164
    @methodmeshack5164 Год назад +1

    Mtumishi wimbo unabariki(imana yilakola ibyitangaza)

  • @lyn254
    @lyn254 Год назад +1

    Fanya Njia Bwanaa 🙏🙏 Go Aniset Go Higher Kuna Mazuri Mbele

  • @zakayokilumile
    @zakayokilumile Год назад +2

    Mungu akubariki sanaa

  • @meryyohana
    @meryyohana Год назад

    Fungua milango ninachogusa kifanikiwe hakika nimebarikiwa sanaà wimbo in a his a mpaka ndani MUNGU akubariki mtumishi nimesikiliza siku nzima

  • @JosseeNaftari-zg4nf
    @JosseeNaftari-zg4nf Год назад

    Hii ni ya baraka Sana hakika imenitoa mahala kabisa

  • @majamberemoses27
    @majamberemoses27 Год назад +1

    Amen from USA 🇺🇸 thanks

  • @kelvingodsonnangwa6162
    @kelvingodsonnangwa6162 Год назад +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wimbo mzuri sana 💯❣️🎶🎵🙏

    • @JacquesMusafiri-bn7kb
      @JacquesMusafiri-bn7kb 9 месяцев назад

      Nyimbo zako nazifata sana apa Congo courage Mon grand frère nakipaji yako ikuwe ju sana

  • @nandobashongoma1559
    @nandobashongoma1559 Год назад

    Kutoka mashariki mwa D R.Congo nimeupokea ujumbe mkubwa kupitiya wimbo hui🔥🔥🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @toffimweka9130
    @toffimweka9130 Год назад

    Wacha kazi ya MUNGU itawale ubarikiwe sana ndugu.

  • @tabbiedorcas5817
    @tabbiedorcas5817 Год назад +1

    Very powerful watching from Kenya impressive may God continue establishing your talent 🙏🏽🙏🏽

  • @majaliwakhamis2857
    @majaliwakhamis2857 Год назад

    Hongera xn mtumish wimbo mzr na video ni nzr xn

  • @belvinmakin3536
    @belvinmakin3536 Год назад +2

    Fanya njia bwana maishani mwangu 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @ruthinesspeter132
      @ruthinesspeter132 Год назад +1

      Hakika Bwana anaenda kufanya njia🙏🙏

    • @belvinmakin3536
      @belvinmakin3536 Год назад

      @@ruthinesspeter132 glory unto the lord 🙏🙏🙏🙏

    • @JosseeNaftari-zg4nf
      @JosseeNaftari-zg4nf Год назад +1

      Mungu Atufungulie milango, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 🙏

  • @winniemoraa3530
    @winniemoraa3530 Год назад

    ❤❤❤Very powerful I love your songs butati

  • @mkojeragodsonofficial4664
    @mkojeragodsonofficial4664 Год назад +2

    I appreciate this guy he knows the word of God and how to reattach with his talent😂

  • @BlackLady-fu1bf
    @BlackLady-fu1bf Год назад

    My gallery is fully with videos of Aniset Amen ❤❤🙏🙏🙏 from 🇺🇬🇺🇬

  • @rechelabisay2873
    @rechelabisay2873 Год назад +2

    Amina KUBWA Wimbo Mzuri sanaaaaaaa 🥰🙏🙌

  • @NgezahayoYvette
    @NgezahayoYvette Год назад

    Mungu akubaliki sana❤

  • @gracemkamijack7638
    @gracemkamijack7638 Год назад

    God bless you, man of God, na mimi pia Mungu afungue kwangu 😢

  • @alicebutoyi3615
    @alicebutoyi3615 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤napenda nyimbo zako kaka

  • @paulynekhasoha4638
    @paulynekhasoha4638 Год назад

    Nikama unajua yenye napitia fungua milango yesu.

  • @margaretjosphat6472
    @margaretjosphat6472 Год назад +2

    Woooow my love for this song only God knows 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @clerenasimiyuwanyonyi192
    @clerenasimiyuwanyonyi192 Год назад

    Your song usinikumbushe was my msg nikawacha pombe nikaokoka sikuhizi ilibaji story

  • @KelvinMadadi
    @KelvinMadadi Месяц назад

    Nice song inaniguza sana

  • @LiberathaOscar
    @LiberathaOscar Месяц назад

    Ubarikiwe🎉🎉🎉

  • @samir-ye3rv
    @samir-ye3rv Год назад

    Mungu akubariki saaaaana kwa hii wimbo ni mzur sana

  • @estergunda7595
    @estergunda7595 Год назад

    Vizl kaka nimeupenda❤❤

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 Год назад

    NAKUONA MBAALI SANA UKIMWINUA MUNGU KIMATAIFA MSHIKE HUYO MUNGU HATA KAMA UTAHISI HELA HUPATI.KUPITIA UIMBAJI KUMBUKA KAXI UNAYO FANYA NI YA MUNGU ATAFUNGUA MILANGO TU UBARIKIWE HOME BOY KIGOMA KWETU HONGERA SANA

  • @alamusictz
    @alamusictz Год назад

    Nice Barikiwaaa saana kaka

  • @HabimanaJoel
    @HabimanaJoel Год назад +1

    🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Minafurayi Amen

  • @devidrashidi
    @devidrashidi Год назад

    Ameeen mungu akubariki sana kwa wimbo mzur sana

  • @milgospor7364
    @milgospor7364 Год назад +3

    Naupenda huu wimbo 🌹🥰🎊ubarikiwe mutumishi wa Mungu 👏📖 comment from Zimbabwe-Harare 🇿🇼

  • @rebeccakemunto5377
    @rebeccakemunto5377 Год назад

    🔥🔥🔥 Amen nilikua naingoja sana video akika Mungu atafanya njia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪barikiwa nyote sana 🙏🙏💓💓💓

  • @amosizebedayo9190
    @amosizebedayo9190 Год назад +2

    Hakika Mungu fanya njia

  • @mrkibali6075
    @mrkibali6075 Год назад

    My brother uinuliwe sanaaa hakika umegusa Fanya Njia🙏

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 11 месяцев назад

    Kabisa.mungu.afungue.njia

  • @AokoObwanda
    @AokoObwanda 8 месяцев назад

    Be. Blessed. Man of. God

  • @Teresiabundala
    @Teresiabundala Год назад

    Waooooh very powerful song,be blessed.

  • @djnickzie9743
    @djnickzie9743 Год назад +1

    Kenya am loving this

  • @charlesjacksontz267
    @charlesjacksontz267 Год назад

    Ongera sana lafiki yangu

  • @nahshonnyangaya423
    @nahshonnyangaya423 Год назад

    I love the song has a powerful message my God bless you bro butati

  • @hollinessmasanju6518
    @hollinessmasanju6518 Год назад

    AMEN be blessed brother Aniset Butati

  • @Gospel434
    @Gospel434 Год назад

    Kwakweli twabarkiwa sana🙏🔥🔥

  • @Williams-u4z
    @Williams-u4z Год назад

    Amen aman 👌👌👌

  • @erickmuema2393
    @erickmuema2393 Год назад

    Amen ishaafunguliwa

  • @joanjepleting-kp6vs
    @joanjepleting-kp6vs Год назад

    Nice song may God bless you Aniset

  • @bugramsafi9873
    @bugramsafi9873 Год назад

    Amina kwa wimbo huu