Kueli uyu kjana alikua anafanya kazi ya mungu,amekua akitabasamu tu akiwa anaimba,sisi tunapenda na kundi hlo lote la sabron singers,wnatazania mua he wivu,mtu akibarikiwa ,eti Ako freemasoni,alikua masikini eti muangalie lipi n lipi jamani,acheni mambo mengi kua huyo kjana mtabasamu ,yeye n mbarikiwa wakati parabanda zikilia Marco ataamka akitabasamu pamoja na bwana wetu yesu christo,na ambao wanamuekea mambo machafu wataambatana na shetani katika moto usio zima milele,wnatazania wengine ni wachawi kabisa ,hata rose mahando mulitaka kimia pasipo akimbolie kuetu Kenya sai tungekua tumemusahau rose,mtu wa gospel akiinuka tu tazania,anaumia muchaka,kaburi linamupokea kua nni?Kenya tumehusunika sana kuliko country zingine ju tunawaelewa vzuri hwa waimbaji,mungu fariji hlo kundi sana😗😗😗😗😗
We ndio umenena vema kabisa❤❤❤sio yule mtangaza hovyio na kutusi wa fiwa badala yakuwajenga na kuwatia nguvu ana wabomoa mungu anamuona yule mtangazaji wanjaa
Kwanza poleni familia ya marco, Mungu awatie nguvu.wale wanaosema mambo ya ajabu haya ,Mungu atawashughulikia mana Mngu anasema tusihangaike na madui zetu,waacheni Mungu atashughulika nao. Mungu awape faraja ya kutosha. Amina.
They'll keep talking nonstop. Once blessed they say all manner of dirt about you. Sabrina singers tie yourselves with a belt of faith, seek no advice from haters, advice yourselves. Ignore much and stick together like this🤞. Focus on God you've no other. Peace ✋
Rest in peace brother you havre finished the race and Kept the faith..Wana Zabron nawaombea nguvu ya kuzidi kuenezs injili yake Yesu...ignore haters of progress
Hasara kubwa ya kupotosha ni kuua ndoto za waliowengi kwani anawafuasi wengi wanaamwani na kuuiga nao wawe kama yeye kwani wanapoona taarifa zimenukuliwa vingine hukata tamaa kabisa, tuache kupotosha.
Mungu hutoa vipaji vya pekee kwani Kila mtu angelikuwa maarufu, Wajinga wengi wanahusisha na Imani zingine kama ni hivyo Kila mtu angelienda Freemason na kufanikiwa lahasha Mungu hutoa vipaji kwa watu wake bahati mbaya wengi hatuvitambui vipawa vetu.
Ni ukweli serekali ya TANZANIA ikomeshe mambo mchafu yanayo semwa kwa Familia ya zablon singer's,, ni yapi watauguza kumupoteza Marco au watauguza maneno ya Binadamu

Amen barikiwa sana utajiri na heshima hutoka kwa Bwana mungu wetu barikiwa mtumishi
Kaka barikiwa sana kwa ujumbe mzur
Mungu ayiweke roho ya marehemu pema peponi mm sikubaliani kwaba amekufa na guvu za giza
Thanks, that is true God bless you
polen sana
Tusi sahaghu kama Sisi ni wasafiri hapa chini ya jua n'a Mungu anajua Siku zetu n'a yeye ndiye Ana maisha yetu mikononi w mwake.
Mungu nifundishe kunyamaza
My condolences from jackline kaunda when a person dies alot of things are spoken never mind only God knows the death of Marco
Ninamwombea sana mungu awasidizie nguvu na poleni sana mungu awe nanyi na mungu awalinde familiar yake siku zote.
They'll keep talking nonstop. Once blessed they say all manner of dirt about you. Sabrina singers tie yourselves with a belt of faith, seek no advice from haters, advice yourselves. Ignore much and stick together like this🤞. Focus on God you've no other. Peace ✋
Mengi yatasemwa lakini Mungu mwenyewe ndiyo anayejua walio baki wasikate tamaa Marco pumzika kwa amani
Watanzania hamuchoki kuongelea huyu kijana jamani ,,, mungu shuka tumechoka Sasa kusikia mambo mchafu kwa mtu Mishi wako
Leo kwake kesho kwako mungu ailaze mahali pema peponi
Mungu awe nayeye daima milele
Mtangazajii nawee upumzikee Kwa aman unatusumbuaa
mungu amlaze pahali pema peponi
Acha kusema wako watu, Wewe ndiye unayesema tena wewe ni hasi badilika, utahukumiwa kwa haki mnafiki wewe
Watu wengine sujuwi mbona mnachafulia wengine majina mwenye anatangaza pia hawazi
Mungu anajua yote tumwachie yeye
Mmekosa kazi ya kufanya????
Aminikuwa mti wenye matunda hupigwa mawe kilasiku MUNGU ALITOA NA MUNGU AMETWA JINA LA BWANA LIBALIKIWE PUMZIKA KWAAMANI NDUGU YETU,
Yote tunamwachia
Mungu
Rest in peace brother you havre finished the race and Kept the faith..Wana Zabron nawaombea nguvu ya kuzidi kuenezs injili yake Yesu...ignore haters of progress
Jaman mke wake mungu ampe nguvu na watanzania tuache maneno ya ajab msitumie jina la mtumishi huyu kujichukulia umaarufu kwa kusema alikuwa freemason
Mtu akifa mengi huwa yanaongelewa ila Mungu awasamehe kwakuwa hamjui mtendalo
Mwandishi wewe ni wa ukweli umetumia kalamu Yako vyema na Mungu akubariki sana.
R.I.P marco zabron
Anaonekana mtu mwenye Moyo safi,
Usiongee kitu bila ya kufanya uchunguzii
Mti wenye matunda mazuri huwa unapigwa mawe.
Hasara kubwa ya kupotosha ni kuua ndoto za waliowengi kwani anawafuasi wengi wanaamwani na kuuiga nao wawe kama yeye kwani wanapoona taarifa zimenukuliwa vingine hukata tamaa kabisa, tuache kupotosha.
Poleni sana 😂
Mungu ampumzishe salama
Rip brother, inauma sana.
Poleni sana
I can't believe it
Mungu hutoa vipaji vya pekee kwani Kila mtu angelikuwa maarufu, Wajinga wengi wanahusisha na Imani zingine kama ni hivyo Kila mtu angelienda Freemason na kufanikiwa lahasha Mungu hutoa vipaji kwa watu wake bahati mbaya wengi hatuvitambui vipawa vetu.
Tuiombee familia yake
Watanzania hamkosi sababu ya kifo jamani..mtu akifa ni basi Archana na stories za jaba
Miuongo
Jamanii acheni uongoo
Pumzika kwa aman ya bwa
na 8:26 8:29
Jaman nikweli pole yao
Acha kuchafua watu wakishatoweka mbona manayo yaongea hayana evidence!!!! Kuumwa kupo na kufa kupo so stop propaganda zenu,
Serenkali mwingilie kati wa wanawo wachafuwa walio tangulia wakamatwe tuu tumechoka 'na adisi zawo kwakweli
Ni ukweli serekali ya TANZANIA ikomeshe mambo mchafu yanayo semwa kwa Familia ya zablon singer's,, ni yapi watauguza kumupoteza Marco au watauguza maneno ya Binadamu
Mtakipata tu tafuteni nyie
Urikuwa unataka afe ndipo mmchafuwe hujuwi unachafua kundi