TT nakupenda sana hila umeweka mwarabu mweusi kwa shida ya plot.hapo sio sawa maana wengi wamejikuta kwa shida hii juu ya uongo kama yako..comedy hila sisawa
Ety bibi ya mwalabu Analia kama ya gari diesel waaah🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni kali TT ako na marafiki wengi mpaka Dubai unaongelea mwalabu mgani watching all the way from st Elizabeth hospital New York city ongera sana team TT much lv
Nilisema Mwarabu atalijua jiji sasa ngoma imeanza. Yaani TT ndio kusema hata OCS hana nguvu. Of course, Shosh always coming out strongly with her words of wisdom. Thank you all for entertaining us. Love from USA!!!
Woooow ak simnafanya kazi poa jameni anyway I really like this wife ya mwarabu tafadhali naomba mnipe yeye tuact na yeye she's very emotional nimependa yaani 🤗🤗🤗 anyway big up tit and shosh please next episode wife wa mwarabu apewe script waact
@@ttcomedian Kabisa. Notificación nayo niliweka show ikiwa Premier nawatch na kisha narejea baadaye kwa mara ya pili kupata uhondo wa kijana ya OCS.. Mr Chairman mwenyewe
Hahaha TT ur very sharp.....hii kenya we are fixing everything hata mwarabu mweusi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.....ooooh...may the good lord elevate you to higher levels....TT ur blessed forever..🙏🙏
Hii Epsod nikali sana.nimeipenda sana, All people involved are very sirious, the way Tt talk to Ocs , make me🤣🤣🤣 ,"sawa ataachiliwa kabla ya bendera kushuswa🤣🤣,...kwenye mpesa yako.... tutaonanajioni. From starting of this ep to End isFire
Napenda tu tt na shosh mtatumaliza hii imeweza
Asante sana
hahaha asante sana
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
The continuity is amazing..... Mwarabu mweusi ulikataa kuona tt Kando Sasa pambana na Hali yako
Acha akajibu mashitaka cotini
@@katwin58 mama mdogo mate ajue kirudisha mkono. Kazi alipata lakini amenyamaza tu
aki ongeza sauti kaka jamaa ajipange kabisa ama ata kiona
@@ttcomedian ukipata deal just kushare.... Acha urafi..... Sasa jamaa ako custody kwa ocs
Love from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿wakenya ni ndg zetu let us surport this guy together💪💪💪
Wow from tz thanks
@@katwin58 Leo sitalala haki nimecomentiwa na katwin jamn nimefurahi sana 😂🤣🤣
Shukran sana I say keep the support
much appreciated
@@ttcomedian You are the staring of our movie we love you broh!
🤣🤣🤣🤣😂😂😂TT akh siku hizi umekuwa mkali joh👊you makes me happy ,tricky sana na kuna sisi apa hatuna kifua
Asante sana keep the support
Nakubari juhudi ndy kitu bora Sana from Tanzania ❤️❤️
Tante
asante Tanzania ni nyumbani jamaa
@@ttcomedian kumbe !
TT nakupenda sana hila umeweka mwarabu mweusi kwa shida ya plot.hapo sio sawa maana wengi wamejikuta kwa shida hii juu ya uongo kama yako..comedy hila sisawa
Hahahaha shukran mtazamo tu
Tt kijana wa ocs ngoma imeanza love and respect from Somalia...
Wazi Somali land
More love 💓💓💓💓💓
Mashallah
Katwin, mjukuu na tt family Asante Kazi iwake since day one niko rada
Huyu mtoto bana ana vituko sna.....TT comedy for life..
Amin
😂😂😂😂😂this boy is just more than comedian,you should start Nollywood.
for sure....
True
Long time Madam KATWIN, we miss you
Thanks for that support
Wow i love this i think i should start making movies too sindio
Ety bibi ya mwalabu Analia kama ya gari diesel waaah🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni kali TT ako na marafiki wengi mpaka Dubai unaongelea mwalabu mgani watching all the way from st Elizabeth hospital New York city ongera sana team TT much lv
Hahah huyu mwarabu ndio nani..
WOW WOW ❤️❤️❤️❤️Much love from St Elizabeth Hospital ❤️❤️❤️❤️❤️
Very talented boy,,, anyway wanyonge pia wanahaki learn that
Kabisa
Yes mtu asione ako na kifua sana....namjua sana mimi
Aggiee🤣🤣🤣🤣🤣sorry for your mahabusu...lakini jamani umekimbia kwa kasi mno 🤣🤣🤣🤣
Hheheheh wewe sasa unamtetea haki na walikula pesa yangu na maabusu wake aki
Yaani TT ako na simu moto kuliko yangu😂😂😂This life no balance 😂.. Wonderful comedy TT and the crew😍
Waaaaoooh thanks you
@@katwin58 Anytime
😆😆
We simu ziko na bei ndogo siku hizi watu wana lilia shamba wewe una lilia simu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@ttcomedian 😂😂😂😂Nko comfortable na hii yangu nkitafuta shamba pia😂😂
Watching from Dubai.
Mie mwaeabu rafikiye TT wa Dubai...hahaha cheza na chemistry ya TT
Thanks bro welcome
Hehehhe mwalimu Bana 💕💕💕💕
Hahahahhaa TT babalao leo nimeona nguvu ya ocs kwa tt na mm nimenda hahahahha
Hahahahaha thanks
Hehehheheh vijana wakuje na tear gas bana
Hapo sawa kabisa tt smart boy congratulations good job sana
Asanti sana
Lots love na courage mtoi anayo....leo nmekuwa top 25
L
safi umefanya kitu poa sana ku support
Asante
Wow nimependa Huyu msichana bibi ya mwarabu shes a good actress I see big up til
🤣😂😅🤣😂 TT kijana tundu na mwenye akili nyingi sana baba mlezi wa TT comedian kutoka Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wazi tanzania
Mjukuu ni mtanzania
I love you Tanzania 🇹🇿 ❤
safi baba
@@mackzedon6611 😂🤣 Tena
Nilisema Mwarabu atalijua jiji sasa ngoma imeanza. Yaani TT ndio kusema hata OCS hana nguvu. Of course, Shosh always coming out strongly with her words of wisdom. Thank you all for entertaining us. Love from USA!!!
Hhahaha nakweli ulisema na nika kwambia atajua hajui huyu mambo ndio imeanza tu sawa ❤️❤️❤️❤️❤️💓💓
Khadija asante sana wewe ni wamuhimu sana
Mwarabu ujanja kwisha Acha ale maharagwe kiasi daa
TT comedian una nibamba mbaya kbx 👍👍 🤣🤣🤣🤣 Na enjoy from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Congo Asante sana
Really l love you boy
Ngasema wewe thaleta kemikal😂😂😂😂
Weeee dogo nomaa Sana nakubali toka Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wow asante sana kwa kuaminia kazi yangu
This talent is unmatched you will go far TT you have my blessings
Amen
Amen and thank you ,keep on supporting
Remembering all those lines is a gift
I love you TT❤❤❤
You will go far TT
Woooow ak simnafanya kazi poa jameni anyway I really like this wife ya mwarabu tafadhali naomba mnipe yeye tuact na yeye she's very emotional nimependa yaani 🤗🤗🤗 anyway big up tit and shosh please next episode wife wa mwarabu apewe script waact
Hahahahahahaha sawa
Huyu mtoto kwani hasomi🛑
Itakuwa anaigiza muda wa baada ya shule
😁😁😁
Siku izi pesa kwanza
Wewe jiulize, pesa ikiwa inaflow, utasema wacha nisome kwanza?
heheheh kwa nini wewe
😂😂😂😂"watu kama mimi hatuna mwili"..... 😂😂😂😂 TT leo amesema kweli
sindio wacha mwili ututetee aki
Please can you one day bring the O.C.S we want to see him watching from dubai T.T
Thanks you dubai
Ok we will bring him
Sawa coming soon
Wow 😳 shure guys mnataka kuona OCS
@@katwin58 we miss dear.
😅😅😅😅😅I love watching mkijipishana na mjukuu,,,I imagine nikimjibu babangu hivo,,ile fimbo ntapewa🤣🤣🤣🤣love you tt🥰❤
TT big up sana dogo nawapenda wote O.C.S
Asante sana
Tunasubiri chombo kwa hewa
Haki tt 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahaha walai nakuli sana
Napenda hayo mawaidha ya shosh kwa TT.. Ni kielelezo cha uzuri kwa jamii
Shukran sana
Asantr sana keep it locked
@@ttcomedian Kabisa. Notificación nayo niliweka show ikiwa Premier nawatch na kisha narejea baadaye kwa mara ya pili kupata uhondo wa kijana ya OCS.. Mr Chairman mwenyewe
Mwarabu mweusi miramba minne lakini kaangushwa na mshoghoro...TT kudos you never disappoint
This boy will kill me with laughter...ati Cari ya diesel..😂😂🤣♥️♥️♥️🙏🏾🔥🔥🔥
Ha ha hahahaha
Hahaaaaaa...great!.. hatuna mwili but tuna akili,,wooi, love Ttttt!
TT the best comedian boy in Kenya may God bless u my legend keep going love u
Amen and thank you keep it locked
Huyo OCS amepata wapi iyo kiwanja kama hakupata kwa ufisadi....🤣🤣🤣
Been waiting for this episode ,huwezi ibia TT na iishe chini ya maji🤣🤣🤣🤣
Yaaah mtoto wa ocs ako makini sana
Hhahhahaha kweli kaka hapa kazi tu
@@ttcomedian keep going we love you ❤
Hahaha hahaha asante sana tt smart sana
Hahahaha iyo mabusu bado iko can't stop watching TT God keep u for us our comedian.....hope to see OCS in the stage watching from Arabia
Wow thank you ,keep it locked
Hahaha TT ur very sharp.....hii kenya we are fixing everything hata mwarabu mweusi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.....ooooh...may the good lord elevate you to higher levels....TT ur blessed forever..🙏🙏
Siku moja sasa inafaa tuone OCS pia TT. Kazi safi kama kawaida my brother🔥🔥🔥
Safi sana kabisa..❤️❤️❤️❤️ Nashukuru sasa OCS ako laikipia akirudi utamuona
Tunangojea huyo ocs
Thumbs up for TT …wewe ni mnona na si Siri keep up with the good work
Santi sana
T T yake haikuliwi rahisi viujinga ujinga ,big up to all the crew GOD BLESS watching it from Bahrain
Thanks so much 💓💓💓💓💓💓❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️the whole team appreciate you
Nimechelewa lkn nimefika ... TT my boy hahahah 😂😂😂
hahaha umechelewa waoi leo
U made my day Agnes Mutheu continue with the same spirit and u will go far 💖💖
Shukran sana
Inshallah
Aky Tt jameni umemset mwarabu mweusi, woiye 🔥🔥🔥
Hhahahah aki si yeye alini nyaganya pesa yangu
TT is no joke. Director Charles and team your are doing a great job. All the way to the top
Hhahhaha ...we appreciate kabisa more 💕💕💕💕💕💕💕💓💓💓💓💓💓💓
Thanks you
T T umeweza....aki 😆😆😆😆😆😆🔥🔥🔥🔥🔥
I just love being a loyal fan because am always entertained.... Mob love from Doha Qatar ❤️
Mashallah
Inshallah
Hi ndio post ya tt ya mwisho...kwani nini kinaendelea..
Am sure more comedy is coming
Great be loyal this side too please kiroo safii ❤️
I..wish I could hv shosh like wa TT...cheers to all crew of tt comedian
Thank you
Hahahahhahahahh thank you and keep it locked
@@shoshtt2327 hello shosh tt
"Shosh me naenda" TT waaah sheria ko mokono yake .....he so funny .....
Namkubali sana
hehehe umeskia kumbe
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆watu watajuwa hawajui kwa TT jiji wataliona keep it up love
Hahahahaha LoL 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 revenge nayo
nabado aki
😂😂😂👏TT utatuonyesha mambo wewe🤔🤔😂😂
hahaha we nawe
TT nakukubari sana 🙏🙏🙏
safi
Jamam shosh mi nakupenda na TT God bless you on your work, but ximuoni anti zulpha ako wap jamon
Asante sana
wooow i really love this new gal she's very emotional and i think she can be a good actress coz i see ako talented otherwise big up all crew
Santi sana keep the support
Haha TT comedian una Mambo sanaa Yuko wapi Mjukuu.....!?
hahaha mjukuu ako hapa ana kunyua chai
Very entertaining ,,,,, big up sanah TT,,,,, 🔥🔥🔥🌹🌹🌹
Really like the team,,,,,, so talented kid in the world 🌎🌍
Asante sana nashukuru 💓💓💓
TT anajua sana kuigiza jamn namkubali Sana
😀😀😀huyu mwarabu ulimwambia hakuskia anaona motto
na imagine bado hajasikia walai
@@ttcomedian 😀😀😀 atajuta next time
HAPO shoshi nakubali love kwa Tt wake..
Finest, Behind The Scene Congratulations For This Great Talent and Inspiration.
Shukran sana keep the support
Wow thank you for the recognition
Mbona hamjapost mda sana
Wait to day kitu kinacome
Hii Epsod nikali sana.nimeipenda sana,
All people involved are very sirious, the way Tt talk to Ocs , make me🤣🤣🤣 ,"sawa ataachiliwa kabla ya bendera kushuswa🤣🤣,...kwenye mpesa yako.... tutaonanajioni. From starting of this ep to End isFire
Wow thank you, keep on supporting
First one here leo,likes za bazoo TT zicome through
zikuje kibao sana
@@ttcomedian 0⁰0
TT huwezi mwibia iishe hivo. Nilijua atapiga come back 🤣🤣
Hahahahahhahaha me siezi kubali kuchezewa
Nice 1 bro TT comedian and your team keep up ..nice job and unique indeed...
Much love bro
@@katwin58 kabisaa nashukuru pia katwin ...tunakupenda sana
Much appreciated kabisa...mwaest
@@ttcomedian wewe ni kiongozi mkuu .. TT
TT comedian my guy plot for sale Bibi yake ako hapa analia kama gari la diesel 😂😂😂 unaenda mbali sana uko na kipawa nzuri 👏👏👏
Hahaha bibi yake analia sana jamani mimi mwenyewe nimeshangaa sana bana....wacha tu mzee asamehewe
That bond btn TT na OCS wake😂😂😂😂😂
hahah safi
😂😂😂😂😂 eti kamata hii nyang’au
Heheheheh
I like this new gal,Aggie, we are seen an emotional seen for the first time ,,big up the all crew
Thanx shukran sana
Thanks for support 🙏
Kali sana tt hebu pia Mimi uni support tu angalau kidogo nipata 4k watch hour's tafathali
Jamen tt aki ww unkaa mtoto lkn mtu mzim😂😂😂😂😂🤔🤔
heheheh wewe unachoma
Tt comedian khaaaaa we noma🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Hahhahhaha asante
Amazingly kijana mdogo waenda mbali with your school uniform today the show is more fire
Shukurani
Hahhahahahahh thank you ,keep it locked
I love TT from Turkey walahi penda sana wewe
❤️❤️❤️❤️❤️❤️💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓
Great talent... Happy to be among your fans
Wazi Alan karibu nyumbani
your presence here is very important and much appreciated kabisa
🤣🤣🤣🤣 ep48 iwish will be the mama mdogo revange😅🥰🤣🤣
Great keep turned in
Hahhhahahaah ,keep it locked
Vile unajuaga tt azurumiwagi hela yake
Amempatia mamamdogo kazi namama mdogo hampatii posho yake 😆😆😆
We love you TT here from TZ 🇹🇿
Kwa ethics za uaskari hapo umekosea huwezi kumtaja aliyeleta siri. Ila nafahamu MNA act. Big up
Hahhaha asante sana nashukuru ❤️❤️❤️ tutalifanyia kazi hilo swala
Am waiting
Wazi mkwehu
Imeweza shosh tt
wewe shosh soma gazeti unafanya nini online
😹😹😹😹😹aki hyu mtoto ,ati bibi yake ako hapa analia kama gari inatumia diesel
hHeheheeh ujaskia hiyo sauti kaka
😂😂kabla bendera ishushwe
hehehhe achilia mabusu
Na bado inaanza 😂😂😂TT COMEDY
heheheh asante kabisa
Tt i like that 💯💯💯 commission yako hailiwii na mtu mwengine
That's fact
yes ange nipea tu share yangu aki
Hahaha muarabu mweusiii poleee.. tt alikwambia hukuskiiaaa
Tunasubirii ya mama mdogooo atafanywaa niniii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwarabu anarusha kijana ocs hahahahaha leo amewezwa
Waaaaaaa!!!! TT umeweza.... Last episode alikuchapa ndo umewekelea
TT hachezewo na last episode mwarabu mweusi alimuonyaa kweli kamnyoshaa OCS kwa mpesa kuna. Kitu ntakutumia duh so taletend
Hahahahha
Hhehehehe kaka bwana hatar sana..ni neema
3Vv
Shosh fevourite wa TT😂😂😂😂
mwaeeest kabisa
TT fighting hard for mama mdogo😂
Hahahahaha kweli
Anampenda sana
kabisa
🙌🙌🙌 best online content ever 🔥🔥🔥 shosh zidi kutupea mawaidha 🙌🙌🙌
Wow thank so much 🥰🥰🥰😍😍😍😍 hahah shosh uko wapi
Asante sana
I see my friend Angnes msalimieee sanaaaa akh TT
hahahah sawa
Tt,,akhi leo Kwan n revenge wewe n moto 2a kuotea mbali keep up son
ongeza sauti aki
Woow. TT. 😳🤣🤣🤣💘💕💕💕❣️❣️
Haki haka tt! Dawa yangu
hehehe
TT sio wa kuchezea.... hahhaha mwarabu mweusi amejua hajui
Heheheheh abieni huyu jamaa walai....alithania hapa ni oshago kwao aiii😂😂😂😂😂
Haha😂😂🇰🇪 huyu mwanakadarasi janja sana
hehehhehe niku wachapa tu viboko kabisa
Bravo TT always you are the best atleast wenye hatuna mwili acha akili itutetee
heheheeh kabisa na hivyo ndio tuliiba kura🤦🤦🤦🤦🤦
@@ttcomedian 😂😂😂😂🚶🚶
Shush aki the way u defend TT ❤️😍❤️ we love u
Thank you
Shukran sana keep the support
Noma
tt
@@mjukuu254 and tt
Umentupa sana 😂😂
Wow tt keep it up 💜💜💜 you will go far my boy 💖💖💖 may GOD bless you 🖤🖤🖤
Shukran sana
Thank you and Amen
Tekyu
Tt amepelekwa kimangoto, wamemchafua na amechafuka... Mwarabu ameingia Cha kike ni nomaaa