TAFRANI BAVICHA - WAJUMBE WAPANDWA na HASIRA - MGOMBEA AJIONDOA GHAFLA - UTATA WATANDA....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 22

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  15 дней назад

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @Dr.ForexTz
    @Dr.ForexTz 15 дней назад +2

    Huyu ni mgombea mzuri sana aliamua kujitoa mda mrefu baada ya kukubali hoja za Deo kwenye mdahalo na Chief Odemba.

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda 15 дней назад +1

    Salumu mwalimu hafai kuwepo hapo hata mara moja

  • @MAGRETHMACHAKU
    @MAGRETHMACHAKU 15 дней назад +1

    Mmmmh naogopa sana😢,, Hawa ndo wa kuwapa waiongoze nchi 2025??? MUNGU atusaidie sana,, naona Kila mtu ataruka uchizi sasa

  • @tanzaniashinyanga454
    @tanzaniashinyanga454 15 дней назад +1

    Mambo ya cm ysnatoka wapi hapo acheni ushamba

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 15 дней назад

    Mbona hamko serius

  • @SebastianCharleskayanda
    @SebastianCharleskayanda 15 дней назад

    Mgombea kuamua kumuunga mkono mgombea mwenzake ni haki yake yakikatiba

  • @GwaGMwatukambo
    @GwaGMwatukambo 8 дней назад

    Mbowe yuleee

  • @CyplianSambagi
    @CyplianSambagi 15 дней назад

    😂😂Mwoga huyo kwann kajitoa hayupo serious

  • @abdulabdul6370
    @abdulabdul6370 15 дней назад +2

    CCM, CCM, CCM, CCM 🤣🤣🤣 Mnaiota muda wote, hata ukijikwaa, CCM.

  • @winfredcanaan582
    @winfredcanaan582 15 дней назад

    Mbona kama hawana adabu?

  • @IMANIRAPHAEL-nn4di
    @IMANIRAPHAEL-nn4di 15 дней назад

    Acheni ubabaishaji wasimamizi wa uchaguzi

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 15 дней назад

    vijana wa ovyo wasioheshimu viongozi

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 15 дней назад

    Ccm inahusikaje hapo ss Hana issue muoga tu hafai kuwa kiongozi yeye amepanganini na mahinyila

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 15 дней назад

    Wajinga sana ninyi humo ndani kina wana CCM ..Mtaumiya sana juu ya CCM nahamtaiweza CCM

  • @winfredcanaan582
    @winfredcanaan582 15 дней назад

    Mbona kama hawana adabu?