UMUHIMU WA DUA | IJUE SIRI ILIYOJIFICHA NDANI YA SURAT IKHILAS | SHEIKH RAJABU SALUM AL~KUSHAIRIYU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии •

  • @aydahjomahjomah-hc2qs
    @aydahjomahjomah-hc2qs 2 месяца назад

    Mashaa Allah tuandie sheh atakulipa

  • @nuliatbaraka6350
    @nuliatbaraka6350 2 года назад

    SHUKRANI Shekh naomba kujua hiyo dua inapopatikana niweze kuikariri,Allah akulipe mema.
    SHUKRANIsana

  • @FunnyJigsawPuzzle-on3nu
    @FunnyJigsawPuzzle-on3nu 11 месяцев назад

    Mashaalha mungu tufanyee wepesi

  • @abdurahmanmuhammad9361
    @abdurahmanmuhammad9361 2 года назад

    Allah akuzidishie kila la kheri na akukinge kila la Shari kwa kutupa faida ya dua

  • @shamsamanja9141
    @shamsamanja9141 2 года назад +2

    MashaAllah. Tafadhali Sheikh hizi duaa tuandikie au kama kuna kitabu chako tutakipataje..

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 2 года назад

    shukran shekhe naomba dua yk uniandikie hapo chini mungu akupe afya

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 2 года назад

    shukrani shekhe wetu nimeiona duwa

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 2 года назад

    Shukran
    Shukran 💙💙💙

  • @broumaiyyah8018
    @broumaiyyah8018 Год назад

    Barakkallahu fiikii.Ushaur tu dua mngekua mna summarize au kuweka picha in shaa Allah

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 2 года назад

    shukran shekhe

  • @rayuuabdallah5270
    @rayuuabdallah5270 Год назад

    Twaomba tuandikie hii duaa

  • @shabanibahri2423
    @shabanibahri2423 2 года назад

    Baarakallah fiika

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 2 года назад

    Naam Sheikh Shukran twambie tutapata jee vitabu vyako vya DUWA MBALI MBALI

    • @rajabsalimalqushairiyyu7023
      @rajabsalimalqushairiyyu7023 2 года назад +1

      Maaashaaallwahh vitabu vipo vinapatikana kinondoni daressalaaam
      Ukihitaji utanipigia

    • @khalfachannel1340
      @khalfachannel1340 Год назад

      @@rajabsalimalqushairiyyu7023 andika namba ya simu

    • @Shafaakallwahhu
      @Shafaakallwahhu 11 месяцев назад

      Kuna kitabu nilifanya utunzi kinaitwa
      أهمية الدعاء
      Umuhimu wa Dua

  • @ismailkambini2107
    @ismailkambini2107 2 года назад

    Shukran

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 2 года назад

    Sheikh magunza mazuri sana

  • @FunnyJigsawPuzzle-on3nu
    @FunnyJigsawPuzzle-on3nu 11 месяцев назад

    Tuandikie

  • @khadijamussa6860
    @khadijamussa6860 2 года назад +1

    Tuandikie hii dua

  • @faridahkavochi8079
    @faridahkavochi8079 2 года назад

    Mashaallah

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 2 года назад +1

    Tunaomba dua utuandikie hatuwezi kuhifadhi

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 2 года назад

    Shukran sna sheik,jazakka Allahu kher.Naomba sheik wetu utuekee screan short ya hio dua ili tusimkosee Allah,kwa kuiandika kkufatia mana Quran ina maajabu ukikosea erufu unaingia kosani🙏plz sheik Allah akubarik🙏🙏i

  • @khadijamussa6860
    @khadijamussa6860 2 года назад +2

    Ustadhi hii dua tunaomba utuandikie unapoisoma hatuipati kuiandika

  • @shanisaid6744
    @shanisaid6744 2 года назад +1

    Asalam alaykm hustadhi shukurani kwa kutufuza usomaji wa duw Allaha akuzidishie kila la heri na akuondolee kila la Shari minaomba namba yako kwa kweli hiyo duw cjaishika

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 года назад +1

    Vzr uiandike au ungeeka kitabu cha dua kwenye screen watu wakachukua screen shot.

  • @jumaevarist9103
    @jumaevarist9103 9 месяцев назад

    Maaalim hiyo dua ipo wapi

  • @nuuraalinoor3630
    @nuuraalinoor3630 Год назад

    Thank you sheikh please write for us the Dua of surah Ikhlas , because I don't know Arabic,andika Kwa kiswahili.

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 2 года назад

    Je sisi mazuzu jamani itakuwaje tuandie ustadh dua kama hizi plz

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 2 года назад

    tupigie hata picha hiyo duwa shekhe nirefu