Allah aendelee kukubariki natufundisha zaidi Mimi nilikuwa nikisikilia Darsa zake hadi nimejipata kupenda sana Dini ya kislaam na sikuwa Muslim lakini bora niseme Alhamdulillah japokuwa sijajuwa mengi zaidi kuusu wislam naamini nitaendelea kujuwa mengi zaidi nikiendelea kusikiliza ma waidha zake InshaAllah🤲🏾🤲🏾

Mashallah tabarakalah ya sheikh,mafunzo mema,Jazzak Allahu kheri.
ManshaAllah kimebahatika sana kizazi chako 😊
Allah akulipe kheri nyingi na umri mrefu
Dunian sheikh wangu kipenzi ni maalim pekee
Mashaa Allah tabaarakAllah wajazaakallahu kheir sheikh wetu
Masha Allah
Allah akuhifadhi leo duniani na kesho akhera maalim . Ustadh km una mke mmoja nioe niwe mke wako wa pili
Akuowe tenaaa😂😂😅
😂😂
MaashaAllah
Raby hakupe kheri shk wetu umri na kila unacho muomba hakukubalie nasi pia tupate kheri.